- 5
- 690 188
KWAVIUMBE VYOTE KWAYA Rd13 ULYANKULU
Приєднався 6 лип 2017
Hii ni kwaya ya Kwaviumbe Vyote kwaya barabara ya 13 Ulyankulu Tabora Tanzania; Kwaya hii ilianza mwaka 1987 tukihudumu na kueneza neno la Mungu kwanjia ya uimbaji, kuanzia mwaka huo mpaka sasa.
Natumefanikiwa kurekodi nyimbo za sauti (audio) Album saba;-
1. Kwaviumbe Vyote
2. Tufanyeje ili tupone.
3. Heri mtu yule.
4. Dunia ya shida.
5. Upendo wa Mungu
6.Habari za furaha.
7. Alipozaliwa Mwokozi.
Nakutoka katika Album hizo tuliweza kurekodi album mbili za video zenye nyimbo mbalimbali kutoka katika album hizo saba za nyimbo zetu za sauti (audio).
1. Kwa Viumbe vyote.
2. Samsoni na Delila
Natumefanikiwa kurekodi nyimbo za sauti (audio) Album saba;-
1. Kwaviumbe Vyote
2. Tufanyeje ili tupone.
3. Heri mtu yule.
4. Dunia ya shida.
5. Upendo wa Mungu
6.Habari za furaha.
7. Alipozaliwa Mwokozi.
Nakutoka katika Album hizo tuliweza kurekodi album mbili za video zenye nyimbo mbalimbali kutoka katika album hizo saba za nyimbo zetu za sauti (audio).
1. Kwa Viumbe vyote.
2. Samsoni na Delila
Kwa Viumbe Vyote Barabara 13 Ulyankulu Yesu alipokuwa ameketi
Kwa Viumbe Vyote Barabara 13 Ulyankulu Yesu alipokuwa ameketi
Переглядів: 381 287
Відео
Kwa Viumbe Vyote Barabara 13 Ulyankulu Bwana Ndie Mchungaji wangu
Переглядів 57 тис.7 років тому
Kwa Viumbe Vyote Barabara 13 Ulyankulu Bwana Ndie Mchungaji wangu
Kwa Viumbe Vyote Barabara 13 Ulyankulu Alipofika karibu aliuona Mji
Переглядів 128 тис.7 років тому
Kwa Viumbe Vyote Barabara 13 Ulyankulu Alipofika karibu aliuona Mjii
Kwa Viumbe Vyote Barabara 13 Ulyankulu Wakati ule wa Nuhu
Переглядів 77 тис.7 років тому
Kwa Viumbe Vyote Barabara 13 Ulyankulu Wakati ule wa Nuhu
Kwa Viumbe Vyote Ayubu Barabara 13 Ulyankulu
Переглядів 46 тис.7 років тому
Kwa Viumbe Vyote Ayubu Barabara 13 Ulyankulu
Bwana awabariki sana
😂wakilisito olijino
Wananikumbusha mbali hawana uchafu waleo nywele feki nguo za uchi
Nyimbo safii sana bwana ndiye mchungaj wangu
G.O.A.Ts 2024. Waliziimba nyimbo kwa roho na kweli .
Mungu mwem San, nlikuw nmezikariri hizi nyimbo mwanzo Hadi mwisho mungu mkuuuuu 2024.
2024🎉
Hawa walitumwa na Mungu.walikuwa na unabii mkubwa kuhusu Tanzania
Hawa walitumwa na Mungu.walikuwa na unabii mkubwa kuhusu Tanzania
Barikiwa sana2024
Nyimbo ambazo zilitoka kwa biblia barikiweni sana
Yaani huo ubeti nimeupenda sana umenigusa moyo wangu, njoo kwake Yesu usamehewe, kwake Yesu utakasike, kwake Yesu utapona, suku moja utaingia mbinguni.
Ujumbe kama huu ndio tunahitaji siku hizi za mwisho maana dunia imelewa sana
Nani anawasikiliza 2024 tuungane, hakika nyie mlitumiwa na Mungu
Amen Amen Amen hallelujah
2024❤❤❤
Adi mim nimelia sanaaa
2024 nimeuona mji wa maisha yangu nimeulilia nikisema kwanin hubadiliki unaninyima amani?
♥️
Uimbaji situation hizi umekuwa Sanaa badala ya kuimba katika roho
Sauti nzuri kabisa
Revisiting again in 2024🎉gonga like pliz
❤❤❤❤❤❤❤
Tunaoendelea kupata ujumbe huu 2024 weka like kuonesha upendo ❤ wa kutosha kwa wahubiri hawa.
Hongeleni Jameni mungu azidikuwalinda mahalipopote mulipo
❤❤❤ 2024 tupo hapa
I love this songs 🙏🏼
I was soo little this songs make me happy and cry 🙏🏼
2024.5
Nawakubali sana mbarikiwe sana 2024
Hii ndio ilikua injili sasa
Amina
Amen amen amen 🙏🏻
🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Zinanibariki ❤❤
Hao ndiyo Wapentekoste halisi
2024 bado nipo hapa nabarikiwa..
Mubalikiwesan
Ndacabakunda murabokozi batagirubwibone muhezagirwe
Alafu uyu mama alikuwa na sauti nzuli
❤❤ 2024. Mathayo 24
Mwl. wa kwaya Habona Edmudi
Nausikiliza 2024
Yale yanayotendeka sasa ni mabaya sana kuliko wakati huo
Waimbaji waliimba katika roho na kweli mmbarikiwe sana
My late dad's favourite choir of all time.
Nawapenda
Nawapenda sana mungu awabaliki sana
Asante ulyankulu
The year is 2002. I was just joining form 1 at Kanyawanga school. The song is so Nostalgic
God bless.