Kwa Viumbe Vyote Barabara 13 Ulyankulu Yesu alipokuwa ameketi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 185

  • @johnhosea1321
    @johnhosea1321 4 місяці тому +13

    Tunaoendelea kupata ujumbe huu 2024 weka like kuonesha upendo ❤ wa kutosha kwa wahubiri hawa.

  • @shideashidea5570
    @shideashidea5570 6 років тому +95

    Gonga like kama unawapenda hawa waimbaji 2018

    • @mamajanee1790
      @mamajanee1790 5 років тому +1

      Nawapenda sana japo Mimi ni roman catoric tena sana mama yangu mtu wa Tabora naludia tena nawapenda sana,sana amina

  • @richardkubanda6627
    @richardkubanda6627 2 роки тому +26

    Nahisi kutokwa machozi, Marehem mama yangu mzazi alizipenda sana nyimbo hizi. Barikiweni sana Wana Ulyankulu.

    • @lumierejason5019
      @lumierejason5019 9 місяців тому +1

      Marehemu mama yangu pia alikuwa akizipenda sana , RIP MAMA

    • @fridasiwingwa9080
      @fridasiwingwa9080 6 місяців тому +1

      Mama yangu pia alizipenda mno mno hizi nyimbo. Mwenyezi Mungu aendelee kumpumzisha kwa amani Mama. Amina

    • @millionaire_mentor_ndobandola
      @millionaire_mentor_ndobandola Місяць тому

      @@fridasiwingwa9080 HATA MAMA YANGU ALIKUA AKISIKILIZA NA KUTUSIKILIZISHA HZI NYIMBO
      PIA AMEFARIKI
      ALIACHA KITU KIKUBWA MOYONI MWANGU

  • @GivasMwananzumi-tx2ss
    @GivasMwananzumi-tx2ss 14 днів тому +2

    Mungu mwem San, nlikuw nmezikariri hizi nyimbo mwanzo Hadi mwisho mungu mkuuuuu 2024.

  • @erickfungo7979
    @erickfungo7979 2 роки тому +18

    Legendary choir who agree with me 2022

  • @jacksonmlacha6724
    @jacksonmlacha6724 4 роки тому +12

    Nyimbo hizi zinatia faraja na kunkukmbusha mbali...mbarikiwe kila mmoja anaepitia hizi nyimbo...Amen

  • @richardnakashange8207
    @richardnakashange8207 5 років тому +29

    since 1992 I was still under age and now I m 37still enjoying

    • @esthersher7605
      @esthersher7605 3 роки тому

      I know this feeling. Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪

    • @pkyegon
      @pkyegon 3 роки тому

      Never heard this yet am 3yrs older than you 😁😁😁

  • @cristamelahashimu3679
    @cristamelahashimu3679 12 днів тому

    G.O.A.Ts 2024. Waliziimba nyimbo kwa roho na kweli .

  • @aristotledemartinez2149
    @aristotledemartinez2149 2 роки тому +3

    Naisikiliza kwaya hii kwa takribani miaka zaidi ya 20, nyimbo zao hazichuji, waliimba katika roho, nasikiliza karibu kila siku nyimbo hizi, kwaya za siku hizi zimebakia na midundo tu na vitu vinavyosisimua hisia wakati zimekosa uvuvio wa roho mtakatifu. Mungu awabariki sana

  • @johnsonokeyo2021
    @johnsonokeyo2021 5 років тому +10

    vumilieni my song since 1996.Anakuja na kila jicho litamwona.Ombi letu tupata uzima wa milele.

  • @danadon6782
    @danadon6782 5 місяців тому +4

    ❤❤ 2024. Mathayo 24

  • @sifamaombi9342
    @sifamaombi9342 5 років тому +7

    “Vumilieni simama imala . Yesu yukalibu kucukuwa watu wake “
    Nawapenda saana watu wa Mungu !
    I was not even born at that time but I am enjoying your songs!
    God bless you 💕

  • @AlinanusweKasyele
    @AlinanusweKasyele 5 років тому +11

    kwa kweli Mnastahili tuzo ya Kwaya Bora ya Muda wote ''Hall of Fame''

    • @dicksonakyoo8222
      @dicksonakyoo8222 5 років тому

      Ni kweli usemavyo,,,hawa waimbaji sijui nisemeje lakini mungu awabariki popote walipo

  • @lydiahmutai6456
    @lydiahmutai6456 3 місяці тому +2

    Revisiting again in 2024🎉gonga like pliz

  • @naahmontee3694
    @naahmontee3694 4 роки тому +5

    Nani anawaangalia hawa wapendwa 2020 gonga like kama tuko pamoja

  • @peds2love
    @peds2love Рік тому +1

    Best choir ever.. I miss this.. when everything was simple and the songs were ministering..

  • @bettydickens4114
    @bettydickens4114 Рік тому +1

    Kazi nzuri sana. Wimbo huu ni chanzo cha imani yangu, hunileta karibu sana na Mungu. Barikiweni.

  • @johnmbise8996
    @johnmbise8996 4 роки тому +3

    Hakika Mungu awabariki na vizazi vyenu mlijitoa kwa mioyo yenu yote kufanya kazi ya bwana mbarikiwe sana 2020 tuko pamoja

  • @abodetidings8392
    @abodetidings8392 3 роки тому +3

    choir ya zamani sana, mungu aendelee kuwabaliki imana ibongerere imigisha myinshi

  • @AgnessNjeri
    @AgnessNjeri 6 місяців тому +1

    Waimbaji waliimba katika roho na kweli mmbarikiwe sana

  • @Moraa556
    @Moraa556 Рік тому +4

    My old time favorite choir

  • @DNY303
    @DNY303 4 роки тому +3

    Kwa kweli hiyi choir nayipenda kwa sana....tangu mwaka wa 2000 mpaka hivi nafwata nyimbo zawo.Mungu awabariki sana.

  • @lookenfrag7412
    @lookenfrag7412 4 роки тому +2

    Nyimbo zao ni habari njema tosha. MUNGU AWABARIKI HAWA BARABARA 13 SIKU ZOTE ZA MAISHA YAO.. Ameen

  • @hopelazaro8570
    @hopelazaro8570 4 місяці тому

    I was soo little this songs make me happy and cry 🙏🏼

  • @elaineeliudi2497
    @elaineeliudi2497 3 роки тому +1

    Wimbo wangu bora sana unanijenga mpaka sasa ni mpya kila siku

  • @ZacharyKe
    @ZacharyKe 6 місяців тому

    My late dad's favourite choir of all time.

  • @eliufoowiliam8882
    @eliufoowiliam8882 4 роки тому +1

    Naikubali sana hii kazi .nakumbuka mbali sana .

  • @lillyf426
    @lillyf426 6 років тому +2

    Enzi zile watu hawakua wanajipodoa ndo wamwimbie Mungu...wako sawa kabisa,kuanzia sauti,mavazi na wimbo...wanaimba kwa hakika.mbarikiwe sana...

    • @dicksonakyoo8222
      @dicksonakyoo8222 5 років тому

      Sahv vipodozi Vingi,,hawa walikuwa wanamuimbia mungu sahv wengi wanafanya biashara

    • @richardkhamisi9653
      @richardkhamisi9653 4 роки тому

      Imagine these were refugees from Burundi who settled in Tanzania. Yet they forgot their difficulties and served God! Blessed lot

  • @jennifernzioka81
    @jennifernzioka81 4 роки тому +14

    2020 still my favorite

  • @herielijosephat8004
    @herielijosephat8004 2 роки тому

    Kwaya ya Ulyankulu yaniiii ni miongoni mwa waimbaji ninao wakubali nyimbo zao zina ujumbe MUNGU AIBARIKI KAZI YA MIKONO YENU pamoja na UIMBAJI WENU🙏🙏🙏🙏

  • @bettydickens4114
    @bettydickens4114 Рік тому

    Ujumbe mzuri sana. hongereni wana Barabara 13 Ulyankulu

  • @MrAsifiwe
    @MrAsifiwe 2 роки тому +5

    Never fading, still sweet in the ears notwithstanding the years

  • @BenjaminNgove
    @BenjaminNgove 2 місяці тому

    Nyimbo ambazo zilitoka kwa biblia barikiweni sana

  • @rebeccaonesm8543
    @rebeccaonesm8543 4 роки тому +5

    2020 like hapa kama umebarikiwa Kama mm

  • @MathiasMokaya
    @MathiasMokaya 3 місяці тому

    Sauti nzuri kabisa

  • @frederickilumba6204
    @frederickilumba6204 2 роки тому

    Mungu awabariki kwa kazi na juudi mbarikiwe

  • @softmediatechnologytanzani9109
    @softmediatechnologytanzani9109 3 роки тому +2

    Nabarikiwa na uimbaji wao. Mungu awabariki walio hai, na wale waliotangulia mbele za haki, Mungu awakumbuke na asahau makosa yao. Hakika mmekuwa baraka kwa kizazi hiki.
    Naitwa Frank Mangowi.
    Dar es salaam.

  • @MagnusSweddy
    @MagnusSweddy 5 місяців тому +1

    Hao ndiyo Wapentekoste halisi

  • @aronmwambapa5250
    @aronmwambapa5250 6 років тому +6

    FACT msg, bless servants of God

  • @restutaigangati1523
    @restutaigangati1523 Рік тому

    Napenda nyimbo zenu mbarikiwe

  • @JosephMkongo
    @JosephMkongo 5 місяців тому

    Nawakubali sana mbarikiwe sana 2024

  • @TonneyAbiero
    @TonneyAbiero 7 місяців тому

    The year is 2002. I was just joining form 1 at Kanyawanga school. The song is so Nostalgic

  • @agnessnkugwe615
    @agnessnkugwe615 3 роки тому

    Kazi yenu ni njema ktk Bwana. Mmekuwa Baraka kubwa kwa kizazi hiki.

  • @derickkatunzi1679
    @derickkatunzi1679 4 роки тому

    Mbalikiwe na Bwana kwa uimbaji mzuri wa kumtukuza Bwana wetu Yesu Kristo. Natamani nikutane na ninyi mbinguni

  • @bensonlucasmbunda2489
    @bensonlucasmbunda2489 2 роки тому

    Hii ni injili kamili kabisa...wanahubiri...Mungu awape mwisho mzuri wa wokovu....Ebr 12;14

  • @simonkabuchojudiciary
    @simonkabuchojudiciary 8 місяців тому

    Mum from Narok you made this the best wakati tulikuwa wadogo. I love this till today.

  • @lightnessmwinyi2676
    @lightnessmwinyi2676 2 роки тому

    Kwaya za Zamani walikuwa wanavaa heshima lakini saizi mmh tumwachie Mungu tukisema tunaambiwa Mungu haangalii mavazi

  • @wamburamwikwabi7155
    @wamburamwikwabi7155 4 роки тому

    Huwa nabarikiwa saaaana na hiii kwaya Mungu awabariki saaaaana

  • @plasdomligo2403
    @plasdomligo2403 Рік тому

    Barikiwa Sana na hizi nyimbo 2022-2023

  • @thobias2939
    @thobias2939 2 роки тому

    Ooh bwana apewe sifa na utukufu milele na milele amni

  • @IsaacJavan
    @IsaacJavan 4 роки тому +4

    This song makes me cry

  • @learuzamuka6834
    @learuzamuka6834 7 років тому +10

    Mungu azidi kuwa bariki sana

    • @abcccc2665
      @abcccc2665 3 роки тому

      Hiv hawa watu wapo kweli?

  • @josephmayunga4743
    @josephmayunga4743 5 років тому +1

    Mungu awabariki wanakwaya wote maana mnibariki mimi

  • @ibrawawason3808
    @ibrawawason3808 5 років тому +5

    super Choir in TZ

  • @esanfesto9923
    @esanfesto9923 6 років тому +13

    yaliyo imbwa ndo tunayasikia yanatokea nihakika mwisho umekalbia niwajib wako ewe mkirstu

  • @christinamachage5397
    @christinamachage5397 3 роки тому

    Za kale ni dhahabu still am young up to now bado na barikiwa na hizi nyimbo 2021 like here

  • @medionindagijimana9020
    @medionindagijimana9020 6 років тому +1

    Hakika MUNGU Awabariki sana waimbaji wimbo huu unanigusa sana moyoni mwangu mubarikiwe

  • @joyjoel6631
    @joyjoel6631 2 роки тому

    Nawapenda sananyimbo zenu zinanibarik

  • @johnabel6872
    @johnabel6872 Рік тому +1

    2023 amen

  • @prettyveronica5951
    @prettyveronica5951 5 років тому +5

    Best kwaya from alpha to Omega

    • @dicksonakyoo8222
      @dicksonakyoo8222 Рік тому

      Naungana na wewe,sidhani kama ilishakuwepo Wala utakuwepo kwaya nyingine Bora kama hii

  • @bernardjosephmulokozi3901
    @bernardjosephmulokozi3901 2 роки тому

    Pumzika kwa amani Mama yangu, yaani nimekumbuka mbali sana.

  • @eunicebaraka367
    @eunicebaraka367 2 роки тому

    Nabarikiwa sana na nyimbo zenu

  • @Bobby32636
    @Bobby32636 Рік тому

    Wonderful choir. May God bless you. Looking forward to new songs

  • @tellassekemneke5988
    @tellassekemneke5988 6 років тому +2

    amina nawapenda , nyimbo zina ujumbe mbalikiwe.

  • @kivurugaathuman2694
    @kivurugaathuman2694 2 роки тому

    Wow! Ujumbe Mzuri saana, Mungu azidi kuwabariki.

    • @juliusmwendwa3742
      @juliusmwendwa3742 Рік тому

      Walioyatabiri yafanyika Sasa: kusalitiana, taifa kupigana na nyingine, manabihi wa uongo, njaa, tetemeko etc.
      Tuvumilieni Yesu yu'Karibu!

  • @allisonmbwambo3023
    @allisonmbwambo3023 4 роки тому

    Nawapenda wote mko vizuri mungu awabariki sanaa

  • @muganyizijoseph6581
    @muganyizijoseph6581 2 роки тому

    Napenda album yote.....

  • @gracerukondo4001
    @gracerukondo4001 2 роки тому

    Nyimbo nzuri

  • @seehelp
    @seehelp 2 місяці тому

    Amen Amen Amen hallelujah

  • @samuelkubiha976
    @samuelkubiha976 5 місяців тому

    🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @donaldyusuphu1879
    @donaldyusuphu1879 Рік тому

    Amen Mungu awabarik sana sana

  • @raymonddanielcosmas444
    @raymonddanielcosmas444 3 роки тому +1

    Nyimbo ina UPAKO leo na kesho.

  • @abodetidings8392
    @abodetidings8392 4 роки тому +1

    wow this is very very old choir

  • @shayolizeni182
    @shayolizeni182 6 років тому

    Wananibariki sana hawa waimbaji kwa nyimbo zao kweli hazichuji hata

  • @bkdongivupb773
    @bkdongivupb773 5 років тому +11

    2019 Mei.... still enjoying

    • @ignassmsemwa
      @ignassmsemwa Рік тому

      Mbalikiwe kwa uimbaji.nyimbo za faraja watumishi

  • @امزكرياالجابري-ه7ق
    @امزكرياالجابري-ه7ق 5 місяців тому +1

    Amina

  • @nelsonzakayo496
    @nelsonzakayo496 3 роки тому +3

    2021 still listening

  • @julesngama2508
    @julesngama2508 4 роки тому

    Muli ubiri ukweli wa maisha ya jayo, mu barikiwe saaaaaana

  • @dianamsemo3608
    @dianamsemo3608 3 роки тому +1

    October 2021 naendelea kubarikiwa sana 🙏😇

  • @DottoMwampale-e7e
    @DottoMwampale-e7e 3 місяці тому

    Uimbaji situation hizi umekuwa Sanaa badala ya kuimba katika roho

  • @johnisrael5475
    @johnisrael5475 Рік тому

    Mungu awabariki

  • @charleslyuki691
    @charleslyuki691 2 роки тому

    Ahsante sana kwaya barabara 13 Ulyankulu Tabora nyimbo zenu mpaka sasa 2022

  • @MupeCom
    @MupeCom Рік тому

    Awa waliimba ktk roho nakweli ndiomaana muda wowote uweziwachoka kusikiliza nyimbo zako waliona mbali, hivi wanapatikana wapi wanatakiwa tuzo

  • @JosephMkongo
    @JosephMkongo 2 місяці тому

    Barikiwa sana2024

  • @daudizengo8865
    @daudizengo8865 5 місяців тому

    Mwl. wa kwaya Habona Edmudi

  • @philipmwendwa6249
    @philipmwendwa6249 2 роки тому +1

    2022...baraka tele.

  • @Ney-wu1wi
    @Ney-wu1wi 5 місяців тому

    Zinanibariki ❤❤

  • @medionindagijimana9020
    @medionindagijimana9020 6 років тому +1

    Hakika MUNGU Awabariki sana waimbaji wimbo huu nifundisho kwawatu wote wenye mwili

  • @salomemtumbuka3751
    @salomemtumbuka3751 4 роки тому

    Nabarikiwa kila nisilizapo

  • @TonneyAbiero
    @TonneyAbiero 7 місяців тому

    God bless.

  • @AlliMwaka
    @AlliMwaka 7 місяців тому

    Asante ulyankulu

  • @anthonymwainyekule9271
    @anthonymwainyekule9271 3 роки тому

    Nabarikiwa Sana..

  • @mfalmelexx3029
    @mfalmelexx3029 Рік тому

    In the 90s we had it spotless

  • @sonnozac4189
    @sonnozac4189 4 роки тому +1

    Vipawa hivi hakika vitatuzwa... Nakumbuka enzi zile ladha ile ile hata leo

  • @HumanBeing-pj4hm
    @HumanBeing-pj4hm 5 років тому

    Hii mipigo ya solo iko sawa kabisa

  • @IsayaMwanyajile-iw8jf
    @IsayaMwanyajile-iw8jf Рік тому

    Amina Amina.

  • @nkurukiyesamuel4043
    @nkurukiyesamuel4043 11 місяців тому

    Hivi hawa watu kwa nini hawaendi kutembelea sehemu tofauti za dunia mmoja au kundi ,Kama Burundi chimbuko Lao na wakafanyiwe michango?,ingekua vizuri

  • @yonamoses3656
    @yonamoses3656 3 роки тому

    Wapo vizuri hata sasa

  • @phanuelnkeshi4197
    @phanuelnkeshi4197 2 роки тому

    Nyimbohiizi nazipendasaana

  • @ombenidavidmwanawabene1681
    @ombenidavidmwanawabene1681 4 роки тому

    Bwana Mungu awabariki sana. Jamani wangaliki wazima hawa waimbaji? Naweza pata anuani yayo je? Zile enzi ya 1992 kufikia hapa leo tungali na burudika nakufurahia iki kipeo cha njimbo