KEVOO: SIMBA WASHAMBA ACHA WAFUNGIWE/HATUWATAKI WAJE KWENYE MECHI YETU/CAF WAONGEZE ADHABU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 6

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 13 днів тому

    Elimu

  • @ownmpompo6299
    @ownmpompo6299 13 днів тому

    Simba sio washamba,Simba WAPORI,hakai mjini.Waliong'oa viti zYanga wamechangia kunichafua Simba.Kwani nyinyi kufungiwa kusajili ilikuwaje et!

  • @edwardmaguluko6541
    @edwardmaguluko6541 13 днів тому

    MARUFUKU MASHABIKI WA SIMBA KUJA KWENYE GAME YA YANGA HATUTAKI VURUGU

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 13 днів тому

    NA NYIE NI ACHENI UJINGA KWANI NYIE C MLIFUNGIWA USAJILI?KWA WENZENU MNAPIGA KELELE. MWANDISHI MCHOCHEZI SANA

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 13 днів тому

    RAGE ALIWAITA MBUMBUMBU NA JULIO JUZIJUZI ALISEMA AMEICHEZEA SIMBA NA AMEKUWA KOCHA WA SIMBA LAKINI ANASEMA ALIKUJA KUGUNDUA WATU WA SIMBA HUWA AWAELEWI CHOCHOTE KILE KTK SOKA...SASA KWNN MTU UVUNJE VITI UWANJANI ? HUU NI AINA YA UJINGA WA AJABU SANA SANA

  • @ownmpompo6299
    @ownmpompo6299 13 днів тому

    Ongea mpira wewe.Ulitaka Simba amfunge Tp Mazembe wako ligi moja? Ziko timu Yanga hajazifunga Simba kazifunga hujui tu