SONG : KESHO NI YA MUNGU ARTISTNAMES ::BANDO X MICHU Chorus Unaweza ukaingoja asubuhi, ukaamka asubuh, Na Ukalala usiku usiione asubuhi, Umeshinda mzima ukalala majeruhi, Hatuna guarantee na kesho yetu, maana kesho ni ya Mungu. VERC 1 If you pray for new day and pray for do/ When oi pray what you pray pray for kariakoo/ Sad day bad day everyday day you know Bad news Shetani yupo kazin you better know/ Skuizi hata ukitoka asubuhi nyumban kwenda mishe/ Kurudi salama maskani nayo ishakuwa mishe / Siasa za kutekana tekana hizo sio mishe/ DUNIA INAACHA BARABARA MUNGU Isimamisha / NAONA TUPO GIZANI ,MUNGU TUPE RAMANI / HOFU IMEJENGA WINGU ZITO IMETANDA ANGANI STORY ZA WATOTO KUBWAKWA NAZO TAFARANI / CHIZ ANACHEKESHA KAma NI MTOTO WA JIRANI / On my way , (on ma way) when I pray Story za marolini znafurahishasana mzeee / Ikiwa marehem sio ndugu yako wakaribu aiseee / Chorus 2 Unaweza ukaingoja asubuhi, ukaamka asubuh, Na Ukalala usiku usiione asubuhi, Umeshinda mzima ukalala majeruhi, Hatuna guarantee na kesho yetu, maana kesho ni ya Mungu. VERSE 2 Unaweza ukaingoja asubuhi, ukaamka asubuh, Na Ukalala usiku usiione asubuhi, Umeshinda mzima ukalala majeruhi, Hatuna guarantee na kesho yetu, maana kesho ni ya Mungu. On my way,when I pray,namuomba mungu yatapita one day. Napokea TAARIFA za habari toka kwa runinga/ Gorofa imeanguka kariakoo na ndugu winga / Nayeye ndo anaichora ramani ya TEAM inaposhinda/ Nayendo ananyoosha Kamba ya nyumbani inapopinda / REST IN PEACE MA NIGA UMEUMALIZA MWENDO KAKA / ULIPLAY UR FIGER DUNIA ISINIPE MIPAKA / WATCH IKNOW MA NIGA ULIFANYIKA KUWA BARAKA / MFICHA MAUMIVU WANAOMTEGEMEA UWAPA HAMASA / On my way , (on ma way) when I pray Story za marolini znafurahishasana mzeee / Ikiwa marehem sio ndugu yako wakaribu aiseee / CHORUS Unaweza ukaingoja asubuhi, ukaamka asubuh, Na Ukalala usiku usiione asubuhi, Umeshinda mzima ukalala majeruhi, Hatuna guarantee na kesho yetu, maana kesho ni ya Mungu.
hakika.. huyu anajua sema akna nanihh wanawatu wanaowapromoti kilazma mpk ngoma ionekane nzuri.lkn kwa bando mistari n ya maana na anajua kuitendea haki kuishusha
Vitu 5 nilivyojifunza kwenye tukio la Kariakoo.... 1. Hakuna mwenye ahadi ya kurudi nyumbani salama, tujiombee kila tunapoamka. 2. Anayeweza kukuokoa sio yule unayemdhania, Acha majivuno. 3. Riziki ni uwanja wa vita, unaweza kwenda na gari yako ukarudishwa kwenye box. 4. Huzuni Ina mafunzo mengi kuliko furaha. 5. WATANZANIA TUNAPENDANA SANA. Poleni kwetu sote Tanzania Maisha mafupi tupendane🙏
SONG : KESHO NI YA MUNGU
ARTISTNAMES ::BANDO X MICHU
Chorus
Unaweza ukaingoja asubuhi,
ukaamka asubuh,
Na Ukalala usiku usiione asubuhi,
Umeshinda mzima ukalala majeruhi,
Hatuna guarantee na kesho yetu,
maana kesho ni ya Mungu.
VERC 1
If you pray for new day and pray for do/
When oi pray what you pray pray for kariakoo/
Sad day bad day everyday day you know
Bad news Shetani yupo kazin you better know/
Skuizi hata ukitoka asubuhi nyumban kwenda mishe/
Kurudi salama maskani nayo ishakuwa mishe /
Siasa za kutekana tekana hizo sio mishe/
DUNIA INAACHA BARABARA MUNGU Isimamisha /
NAONA TUPO GIZANI ,MUNGU TUPE RAMANI /
HOFU IMEJENGA WINGU ZITO IMETANDA ANGANI
STORY ZA WATOTO KUBWAKWA NAZO TAFARANI /
CHIZ ANACHEKESHA KAma NI MTOTO WA JIRANI /
On my way , (on ma way) when I pray
Story za marolini znafurahishasana mzeee /
Ikiwa marehem sio ndugu yako wakaribu aiseee /
Chorus 2
Unaweza ukaingoja asubuhi,
ukaamka asubuh,
Na Ukalala usiku usiione asubuhi,
Umeshinda mzima ukalala majeruhi,
Hatuna guarantee na kesho yetu,
maana kesho ni ya Mungu.
VERSE 2
Unaweza ukaingoja asubuhi,
ukaamka asubuh,
Na Ukalala usiku usiione asubuhi,
Umeshinda mzima ukalala majeruhi,
Hatuna guarantee na kesho yetu,
maana kesho ni ya Mungu.
On my way,when I pray,namuomba mungu yatapita one day.
Napokea TAARIFA za habari toka kwa runinga/
Gorofa imeanguka kariakoo na ndugu winga /
Nayeye ndo anaichora ramani ya TEAM inaposhinda/
Nayendo ananyoosha Kamba ya nyumbani inapopinda /
REST IN PEACE MA NIGA UMEUMALIZA MWENDO KAKA /
ULIPLAY UR FIGER DUNIA ISINIPE MIPAKA /
WATCH IKNOW MA NIGA ULIFANYIKA KUWA BARAKA /
MFICHA MAUMIVU WANAOMTEGEMEA UWAPA HAMASA /
On my way , (on ma way) when I pray
Story za marolini znafurahishasana mzeee /
Ikiwa marehem sio ndugu yako wakaribu aiseee /
CHORUS
Unaweza ukaingoja asubuhi,
ukaamka asubuh,
Na Ukalala usiku usiione asubuhi,
Umeshinda mzima ukalala majeruhi,
Hatuna guarantee na kesho yetu,
maana kesho ni ya Mungu.
🙏🙏🙏🙏
Ohoooo
Let goo
Ue kill it
🎉🎉
Pray 🙏 for Kariakoo
Mdada wa kwanza kuiskiliza kulike na kucomment kesho ni ya mungu nipen likes zangu 🫡
🔥🔥
Kesho
Yet
No
As delay
🎉MUNGU
Bro kilasku nasema bando mc nizaidi ya bando la megabits ukifika muda wa tuzo wanapeana kwa kujuana siosiri inaumiza sana big up to you My home 🏡 boy
Asant kaka
hakika..
huyu anajua sema akna nanihh wanawatu wanaowapromoti kilazma mpk ngoma ionekane nzuri.lkn kwa bando mistari n ya maana na anajua kuitendea haki kuishusha
Please! Tushushe Like nyingi zaidi NGOMA KALI NA INATUKUMBUSHA KESHO YETU🎧
Sana
Pray fo kariakoo🤲🤲
Kariakooo😢
Huzun
Duuuuu
Majonz
Bleesd god
From DRC CONGO 🇨🇩🇨🇩
POLE TANZANIA 🇹🇿🇹🇿
POLE KARIAKOO 💪💪
Ila uyu Brother Bando mc ana kitu ki kubwa sana 🙏🙏
Fam
Vitu 5 nilivyojifunza kwenye tukio la Kariakoo....
1. Hakuna mwenye ahadi ya kurudi nyumbani salama, tujiombee kila tunapoamka.
2. Anayeweza kukuokoa sio yule unayemdhania, Acha majivuno.
3. Riziki ni uwanja wa vita, unaweza kwenda na gari yako ukarudishwa kwenye box.
4. Huzuni Ina mafunzo mengi kuliko furaha.
5. WATANZANIA TUNAPENDANA SANA.
Poleni kwetu sote Tanzania Maisha mafupi tupendane🙏
@ kubwa sana
@@SamsonMabena-u1odaaah kweli Brother tupunguze majivuno
@@BandoMC 🙏🙏🙏
Kaz nzur san band ujawah niangush family 🙏🙏🙏🫵 kesh niya Mung
Kabsa
Inauma sana 😭😭😭
Mbosso kauwa
My best raper ahsante kwa ujumbe mzuri
Kabsa
BELIEVE
Bonge la ngoma ebana eeehh 🎉
Nooma
Naam
Whem i pray
My way
Kaka Asante kwa kutuvariji😢
@@onesmokuzuri naam
Cool mzee wangu bando
Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hatari sana 😢 🙏
@@AthumanbonyeBonye1 naam
Pôle sana Tz pôle sana Bando Mc DRCongo inawapa pôle na nyimbo yako ni nzuri inanituma niliye kweli🎶😭😭
Naam
Dah!!😭😭😭
Kama unaamini mungu nimwema sema ame poren sana ndungu zangu wakariako mungu awajalie nguvu na nauzima😢😢
Kabsa
Kesho ni ya mungu😢😢
Naam
KILA SIKU TUNAYOPEWA NI ZAWADI HATA LEO,KWAHIYO TUSHUKURU KWA KUIONA LEO
ASANTE MUNGU. AMEN
Amin kaka
Nomaa sna hii nyimbo bando
Dah
Kabsaa
You guys are the best
Wimbo umenigusa sana
🔥🔥🔥
Amen
goma kali la wiki ni keaho ni ya Mungu
Pray for kariakoo
🙏🙏
I'm the first person to appreciate this masterpiece
Naam
When you pray what you pray pray for kariakoo
🙏🙏
@youngbroti5602 ❤
Nakubali sana brother ❤ bando
Bando x michu #kesho ni ya mungu 🙏
Kwan hawa wanaotaka like wanazipeleka wapi nijuzen na mm nianz kuomb like😂😂😂
😅
Hakika kesho ni ya mungu 🎉😢😢
nawakubali sana , poleni sana ndugu jamaa na marafiki wa wale walioathirika na tukio hilo
Amen
Brother 🙏🙏🙏
ni nomaa kaka umetisha💥
😭😭😭😭😭😢😢😢😢😢🇹🇿🇹🇿🇹🇿 play for kariako ,Mungu awalaze mahali pema waliolala ,😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭
Sio poah
Amen 🙏
Kesho ni yake Mwemyezi
Kabsa
Mbona kila vibe la bando lina mafunzo na radha yake....unajua mwamba.......254 nakukubali sana hapa kenya kwenye simu nimejaza madunde yako ,.......
Asante snaa
Appreciate ❤
Tuombeanee
Mzee ngoma kali
@@asherimkana2316 kali
Mm wa kwanza nipen like zangu maana kesho ya mungu#masterlee
Like chukua
KESHO NI YA MUNGU
Kabsa
Naomba Mungu yatapita one day🙏
Kila siku ni kumuomba mungu atupe uzima 🙏🙏🎵
Kweliii kesh ya munguuu😢
Kabsa
Hatr
Niyamungu
Kesho ni ya mungu 🙏
🙏🙏
Bando😢😢
Akuna aijuae kesho yake
Kesho m YA MUNGU
🙏🙏
Amen
Wakwanza leo
Kwelii umeshindaa😂😂
Nomaaa😢
@youngbrhuzunoti5602
Huzun
Daaaaa
Michael Marwa....🙌🙌🙌🙌
Ayee
Muraaah
Bando🔥🔥 All the way from 🇧🇮
Hukuu Kali sanaaa hii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kabsa
HAKIKA HAKUNA AIJUAYE KESHO, KESHO NI YA MUNGU PEKEE🙏
Kabsa
🙏🥲🥲
Kesho ni ya mungu
❤
Daah
Uhakika
Sure
Kka bdo wanapumua hao🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kabsa
Mm wa Kwanzaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤
Kabsa
Nomaa
Motoooo sana hii nyimbo
Tushukuru kwa zawadi ya uhai wa leo kesho ni ya Mungu😭😭😭🙏🙏🙏
💔💔💔
Goma kali sana
Noma sana
Kweri 🙏🙏🙏🙏
Nom
Majeruhiii
KESHO NI YA MUNGU 😢Never stop praying 🙏🏿
Pray for door
Bad news
Pray for kariakoo
Chizi
Anachekesha Kama mtoto wa jirani
😢😢😢 nakubali sana family 😢
Amin
Ngomaaa
@@PascdeeeKidd tusepe
Bando king hip hop 🫡
Asbh
We mjinga unaimba bwana 😊
Noma
@BandoMC uhkk
Noma
Dogo nomaaa wasup😅
Pray for Kariakoo 🙏🙏
Mmmh😭😭😭🕯️🕯️
Twende kazi like hapa 😢
Bando ebu nigonge like yangu ili damu itembe
Pray 4kariako
Naam
KESHO NI YA MUNGU TU UNAWEZA UKALALA ILA USIIONE ASUBUH UNAWEZA UKAAMKA ILA USIIONE JION 😭😭😭😭🙏🙏
Kabsa
Kongole kwa mwandishi wa huu muwa. Mia Mia ❤️🔥❤️🔥
Broo please tunaomba ep ya gospel please kama king kaka
first view.. aisee kwel kesh n ya mungu
❤
Kali sana hi yani huna baya bando ✊🏾💯🙌
🔥🔥🔥
Fex Boe(Bacteria) wa Kwanza Leo like zangu jamaniii sema nn kaka unajua sana
Kabsa
Shetan yupo kaz daah 😢
Umetisha kk kazi nzuri
Hii nyimbo inanifanya nitoke machozi😢😢
Dah
Shetani ataki tumalize mwaka
😢😢😢
Amn
Nomaaa
Amn
Kweliii😢
Inaumaaq
Jangaaqq
Fantastic thinking, shukran sana kwa kutufariji kaka pray for kariakoo
😢😢😢
Naam
Duuuu😢
@BandohuźuniiiMC
Majonz
atar
😢kesho
Even two minutes àhead ni za mungu......
Mungu husika na rtiba z maisha yetu
Daaah one love brother
Ngoma kali sana mwamba endelea mutupa brdan
Noma sana kaka 🥳🥳🥳 unajua