SIMBA TUNAHAMA UWANJA WA KMC?/SEMAJI AHMED ALLY AIBUKA NA HII/SINGIDA BLACK STARS WATATUPIGIA MAKOFI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 171

  • @silvamsophe4392
    @silvamsophe4392 День тому +4

    I love my Tanzania 🇹🇿 I love simba naangalia nikiwa kenya

  • @anthonymilinga8696
    @anthonymilinga8696 2 дні тому +7

    From Dunedin New Zealand 🇳🇿, Simba nguvu moja! Simba yakimataifa tulipo simba sports club ipo. Ubaya Ubwela.

  • @RajabuKagoma-b3t
    @RajabuKagoma-b3t 2 дні тому +30

    Kama unaipenda simba gonga like apa... SIMBA NGUVU MOJA

  • @yokoi-u3g
    @yokoi-u3g 2 дні тому +5

    Somewhere in Africa. Ubaya ubwela. Simba nguvu moja. Happy new year wana simba

  • @MulgaNkachepa
    @MulgaNkachepa День тому +2

    From Moçambique nakutakiya maisha mema msemaji na simba

  • @konshazikonsha6180
    @konshazikonsha6180 2 дні тому +6

    From Vikindu Simba for life❤
    Nguvu 1💪

  • @christophertemba6915
    @christophertemba6915 День тому +2

    Huyu mwamba anajuwa sana kujibu maswali anayoulizwa.
    Nakujibu pasipo kutumia nguvu kubwa na kuweka udabwidabwi .
    Hongera sana jombaa

  • @duniahainasirifpctkitagata2917
    @duniahainasirifpctkitagata2917 День тому +2

    Hongela semaji tunajivunia kuwa na mtu kama wewe mungu akutunze

  • @PeterMtabe
    @PeterMtabe 21 годину тому

    I LOVE SIMBA 🦁🦁 naangalia nikiwa America Tanzania 🇹🇿 naipenda sana

  • @LucasDeo-w9s
    @LucasDeo-w9s День тому +1

    From Dubai Simba nguvu moja❤❤❤❤

  • @highlightboy255
    @highlightboy255 2 дні тому +37

    Naangalia nikiwa israel 🇮🇱 I LOVE MY TANZANIA 🇹🇿 I LOVE SIMBA SPORTS CLUB I LOVE SEMAJI AHMEDY ALLY🙏

    • @nikasmkud7332
      @nikasmkud7332 2 дні тому +5

      Vp mambo huko Israel ?? Heri ya mwaka mpya.(UBAYA UBWELA)

    • @highlightboy255
      @highlightboy255 2 дні тому

      @ HAPPY NEW YEAR 🎆 NDUGU ZANGU TANZANIA 🇹🇿 NAWAPENDA SANAA MUNGU AWABARIKI MNOO NAWAPENDA SANAAAA

    • @barakayusuph4617
      @barakayusuph4617 2 дні тому +1

      vip vita huko imeshaisha laikn

    • @highlightboy255
      @highlightboy255 2 дні тому

      @ NDIYO ILA MWANZO ILIKUWA BALAA SANA SAHIVI TUNAMSHUKURU MUNGU

    • @barakayusuph4617
      @barakayusuph4617 2 дні тому +1

      @@highlightboy255 kila la kheri kaka..karibu sana mwanza jiji sato na sangara🇹🇿

  • @aclinekindiye5249
    @aclinekindiye5249 2 дні тому +3

    Simba SC wako vizuri. Waongeze kujituma uwanjani muda wote kupambania timu

  • @OmbeniSunja
    @OmbeniSunja День тому +1

    From Zeeland simba is the big team in Africa

  • @KhanashyAlmassi
    @KhanashyAlmassi 2 дні тому +5

    Tulikumisi ahmedy ally,tupe madini,simba nguvu moja.

  • @NajmuKhamis-xu8xd
    @NajmuKhamis-xu8xd День тому +1

    From kenya simba nguvu moja

  • @Aman_mmari
    @Aman_mmari 2 дні тому +1

    From Kilimanjaro I Iove you simba

  • @TabiyaPhiri-s5r
    @TabiyaPhiri-s5r 2 дні тому +3

    From Zambia I love you simba

  • @ElizabethLukosya-lv2vf
    @ElizabethLukosya-lv2vf День тому +1

    From Tz Simba nguvu moja mashabiki bora

  • @vannie-gggg
    @vannie-gggg 2 дні тому +1

    Basi na mimi from RUSIA Simba nguvu moja❤ ubaya ubwela❤

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 2 дні тому +5

    From South Africa I love Simba

  • @kelvinikaroly-v9q
    @kelvinikaroly-v9q 2 дні тому +9

    Simbaaa isiyo na mfanooo

  • @franksebastian2676
    @franksebastian2676 2 дні тому +9

    Simba nguvu moja

  • @MafieElirehema
    @MafieElirehema День тому +1

    ❤️❤️❤️❤️❤️semaji mtu sana😁😁

  • @CarenMkoma
    @CarenMkoma 2 дні тому +1

    Semaji langu hajui kupika chai 😄 najivunia Simba yangu ❤️❤️❤️❤️❤️💪

  • @CorneliusMbwilo
    @CorneliusMbwilo 2 дні тому +7

    From New York I love you simba❤

  • @HappyFieldHockey-wo2jc
    @HappyFieldHockey-wo2jc День тому +1

    ❤ Simba

  • @exsaverymachaninga6138
    @exsaverymachaninga6138 2 дні тому +2

    From Belgium Simba NguvuMojaaa

  • @richardmduma5103
    @richardmduma5103 2 дні тому +2

    From Parkstan I love SIMBA.

  • @WealthyKingdomCityzen
    @WealthyKingdomCityzen День тому

    From Chechnya, simba my team

  • @FedrickAmosi
    @FedrickAmosi 2 дні тому +1

    Simba❤❤❤

  • @WeliksElias
    @WeliksElias 2 дні тому +9

    From USA simba my team

  • @JumaJuma-e6r
    @JumaJuma-e6r 2 дні тому +2

    Semaji nakupenda saaaanaaa M Mungu akubariki

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 дні тому +1

    Semaji napenda mdawote nwenakusikiliza unatupatia madini yakiwango chajuu sana Simba nguvu moja

  • @BellaTuyi-hd7tw
    @BellaTuyi-hd7tw 2 дні тому +1

    From Moro
    SIMBA for Life❤
    Ubaya ubwela
    ✍️ Mabetu &Co

  • @lumungomateso
    @lumungomateso 2 дні тому +2

    SIMBA 💪💪💪💪

  • @meadaephraim648
    @meadaephraim648 День тому +1

    Ubaya ubwelaaaaa, happy new year semajiii

  • @allyzaidan6879
    @allyzaidan6879 2 дні тому +7

    From Tunisia Simba ❤

  • @lucasndaganiwe5764
    @lucasndaganiwe5764 2 дні тому +1

    From out of WORLD
    Simba na ipenda na huku nje ya dunia tuna wapenda
    Ubaya ubwela

  • @AshrafSaid-o6s
    @AshrafSaid-o6s 2 дні тому +2

    From musoma Simba for life❤

  • @MichaelMsigala-pv7gx
    @MichaelMsigala-pv7gx 17 годин тому

    Nimeipenda hii mimi binafsi sikuona sababu ya sisi wana simba kuhama uwanja, #HATUHAMI

  • @BernadoMbogo-d6s
    @BernadoMbogo-d6s 2 дні тому +2

    From jupiter simba nguv moja

  • @BATULIALLY-x4s
    @BATULIALLY-x4s 2 дні тому +3

    Hatuwezi kuwaogopa wachawi tunae mungu asieshindwa ushindi nilazima kwasimba

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 2 дні тому +12

    Wanasimba naomba tuongeze maombi tu tusifikilie kuhama uwanja 🎉🎉🎉

  • @AntamUyaga-r2j
    @AntamUyaga-r2j День тому +1

    From kazakhstaani ubaya ubwela

  • @SirmwelSirndamu
    @SirmwelSirndamu 2 дні тому +4

    Ubaya ubwela🦁🦁

  • @alfredkiyega1836
    @alfredkiyega1836 2 дні тому +10

    Nguvu moja

  • @DamianiItandula
    @DamianiItandula 2 дні тому

    Naipenda simba yangu

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 2 дні тому

    From Adan Yamin Siimba nguvu moya ubaya ubwela

  • @shabanijuma9478
    @shabanijuma9478 2 дні тому

    From Malaysia ❤

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 дні тому

    From Ukrein nawatazama kwa umakini.

  • @thetrueworshipersfamilyfm7946
    @thetrueworshipersfamilyfm7946 2 дні тому

    From Mbinguni simba nguvu moja

  • @FloraMweza-u7y
    @FloraMweza-u7y 2 дні тому

    Simba nguvu moja ubaya ubwela my team forever

  • @Zaqchris
    @Zaqchris 2 дні тому

    From kigamboni #simbanguvumoja

  • @robertsongola6034
    @robertsongola6034 2 дні тому +1

    Kiukweli Simba tumejitahidi lakin Kubwa nilakuhama uwanja hilo lita kaa vizuri

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 2 дні тому

    Safi sana

  • @vincentkatabalo286
    @vincentkatabalo286 2 дні тому

    Umesahau marefa ❤

  • @KhadijaYahya-f6b
    @KhadijaYahya-f6b 2 дні тому +1

    From oman ubaya ubwela

  • @EdwinKabasa
    @EdwinKabasa 2 дні тому

    Simba Nguvu Moja Ubaya Ubwera

  • @jamesmwilima1358
    @jamesmwilima1358 2 дні тому +1

    Kweli kabisa semaji

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 2 дні тому

    Ubaya ubwela👏👏🔥🔥💪

  • @MADINAKITEMO
    @MADINAKITEMO 2 дні тому

    Asante semaji letu kwa kutuhakikishia hatuhami kmc ng'oooooooo

  • @ManyanguSostenes
    @ManyanguSostenes 2 дні тому

    From 🇵🇰 nguvu moja

  • @emmanuelsenga4536
    @emmanuelsenga4536 2 дні тому

    Nakukubali Ahmed Ally,ameni uwanja wa kmc, uwanja wa Abbas Tarimba

  • @HamzaAlly-lx6gr
    @HamzaAlly-lx6gr 2 дні тому

    From bbt negams simb ubaya ubwela unaendelea

  • @christinawarioba8226
    @christinawarioba8226 2 дні тому

    This is simba

  • @korneliludovicks1867
    @korneliludovicks1867 2 дні тому

    Apo Apo Amna kuhama simva❤

  • @melkzedeckbenjamin883
    @melkzedeckbenjamin883 2 дні тому

    Nguvu moja

  • @MusaMollel-l5s
    @MusaMollel-l5s 2 дні тому +1

    ❤❤❤

  • @DanielJuma-w7y
    @DanielJuma-w7y 2 дні тому

    Nice

  • @Sanjar-y3c
    @Sanjar-y3c 2 дні тому

    ❤❤❤yes

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u 2 дні тому

    Sawa

  • @EmanuelMkweji
    @EmanuelMkweji 2 дні тому +1

  • @AmadealiAli-wn8mt
    @AmadealiAli-wn8mt 2 дні тому +1

    🎉🎉

  • @patrickgoldian1836
    @patrickgoldian1836 2 дні тому +1

    Timu yetu tujitahidi kufunga magori Mengi

  • @BashiruAthumani-c6y
    @BashiruAthumani-c6y 2 дні тому

    Nawaomba viongozi hameni KAMA tunataka kufanya vizuri

  • @franccoz94
    @franccoz94 2 дні тому +5

    BORA KUHAMAA TUU,MAANA TOKAA UTOPOLO WAMEKUJAA KMC COMPLEX TUNAFURUKUTA SANAAA PALE KMC, UTO WACHAWI SANAAA

    • @jascinthakameleki104
      @jascinthakameleki104 2 дні тому

      Kuhama itakuwa mtoto. Tutapambana nao Tu!

    • @allikombo8379
      @allikombo8379 2 дні тому

      Tumefuruka kwenye mechi gani???….au ni hyo ya JKT??? Wanasimba tunajitia MCHECHETO wenyewe bila SABABU.

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 2 дні тому

      Hatuwezi kumwacha mke wetu maana kajileta getoni kwetu . Mpaka abebe mimba.

  • @Lufuta33.
    @Lufuta33. 2 дні тому

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Adilsalimally-o1v
    @Adilsalimally-o1v 2 дні тому

    kama unaipenda simba gonga laik

  • @josephbashasha831
    @josephbashasha831 2 дні тому +1

    Mwaka ujao swala la udhamini wa timu zaidi ya Moja TFF wafuate Kanuni na Sheria za FIFA , Maana tukiendelea na ligi tukiwa na mdhamini Mmoja anakuwa na timu 8 tutadhiofisha ligi.
    Tuanze kujenga uwanja wetu tuhache kuangaika na viwanja vya watu sisi ni timu kubwa ,naomba mchakato uanze mapema mwakani uwanja wa Simba uanze kujengwa

  • @JumaBagelle
    @JumaBagelle День тому

    Anae mwita mzee mchawii yeye ni mchawii zaidii

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 2 дні тому +3

    Kama uongozi unaohusika na ligi yetu TZ.unahitaji ligi yetu iendelee kuwa Bora,uliangalie jambo la mdhamini Mmoja tena mdhamini wa timu mshindani kudhamini timu zaidi ya timu yake,ni kuitaka ligi yetu ishuke. Unatimu alafu unadhamini timu. Ni sawa na rushwa.

    • @Nuru8700
      @Nuru8700 2 дні тому +2

      Na ndio maana team inapocheza na mpinzani inajituma mpaka dakika za mwisho ili kupata matoke ya alama 3 lakini kwa asiejua mpira ataona simba mbovu

    • @jascinthakameleki104
      @jascinthakameleki104 2 дні тому +2

      Kweli kabisa. Compare and utaiona Simba inapocheza na team zinazofadhiliwa na GSM ,mpira unakuwa mgumu Sana but kwa mwenzetu mambo mteremko. Lkn tunafurahi kwani wanatupa ushinadani mkubwa. Acha waseme kuwa tunafunga gori moja ila kwa jashi na damu. TFF warifikilie hili la mdhamini mmoja kufadhiri zaidi ya team moja. Kwa manufaa ya mpira.

    • @MACHOYATAI-jk6fu
      @MACHOYATAI-jk6fu 2 дні тому

      Yanga ndio inaharibu moira kwà kununua mechi

  • @menasgeorge1749
    @menasgeorge1749 2 дні тому +1

    From Chitohori - USA ubaya ubwela 😂 Happy nyu year Ahmed Ally

  • @PaulTungu-t2r
    @PaulTungu-t2r День тому

    Hatuhami uwanja wa kmc

  • @Abdulmateleka
    @Abdulmateleka 2 дні тому

    Hii simba ubingwa mwaka 2025 ni radhimaa semaji la ubaya ubwela nguvu mojaaa

  • @Official.maniger
    @Official.maniger 2 дні тому +1

    Simba nguvu moja

  • @PakatJames
    @PakatJames 2 дні тому

    Simba nguvu moja. Maoni yangu binafsi na nafikiri ni maoni ya wanasimba wengi kuhusiana na kukiongezea nguvu kikosi chetu cha simba. Usajili ni gharama na kunako sajili kunahitaji stahamilivu ya kumsuburia mchezaji kujipata. Ila msimu huu kwa simba tusiongepeane tukizubaa na Yanga kuja kubeba ubingwa tena basi kama tuna mchezaji au wachezaji watakuwa kwa nmna moja au nyengine tuna subiri kuja kuwaka au Kujipata baada ya kuja kudhalilishwa tena na Yanga mwisho wa msimu kwa kuja kuokosa ubingwa tena sidhani kama kutakuwa na amani ndani ya simba. Viongozi wetu kama wana nia na nguvu ya kukiongezea nguvu kikosi kutokana na maelekezo ya bench la ufundi la simba basi wafanye hivyo mapema zaidi bila kusita. Sio siri Yanga walishaanza na kampeni yao ya siku zote ya kucheza mechi nje na ndani ya uwanja. Kubwa kwetu sisi simba cha kufanya ni kujenga timu yenye wachezaji bora bora zaidi ndani ya ligi yetu na kipindi hiki cha dirisha dogo la Usajili. Sajili tutakazo zifanya ndizo zitakazokwenda kuamua hatima yetu ya kuchukua ubingwa. Timu tunayo tayari hapana shaka Fadlou na benchi lake la ufundi wametimiza majukumu yao kwa asilimia kubwa ya malengo yetu kongole kwa Viongozi kwenye usajili wa dirishakm kubwa la usajili lililopita.. Binafsi mimi kama mimi siridhishwi na safu yetu ya ushambuliaji kutokana na mahitaji yetu hapana na siamini kama hatuwezi kupata washambuliaji bora zaidi ya Ateba na Mukwala. Simba kubwa tuna watu karibu kila kona ya dunia tushirikiane au washikirikwishwe kwenye dharura hata ushauri la sivyo ni vigumu kufikia malengo.

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 2 дні тому

    THE BAD IS RETURN " UBAYA UBWELA" hii ni tafsri ya Ahmed Ally 😁😁😁

  • @AndrewLikiti-yb2ws
    @AndrewLikiti-yb2ws 2 дні тому +1

    Kuna wakati Mke akizingua ili kuepusha Shari,unamuachia nyumba. Wala hakuna sababu ya ugomvi wala kujinyoga. Unahama unamuachia nyumba.

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 2 дні тому

    Sio wote, Mwina Kaduguda hayumo

  • @LocksMichael-w2f
    @LocksMichael-w2f 2 дні тому

    Kabisa kaka turikua na mwendo wa nchecheme nchecheme sana

  • @VicentMbwile
    @VicentMbwile 2 дні тому +4

    Hap xaw ubaya ubwela

  • @amanichaula1
    @amanichaula1 2 дні тому +1

    Vp uwanja wetu kwa kauli hiyo atutakuwa na uwanja wetu milele

  • @GEORGEHAULE-nv7df
    @GEORGEHAULE-nv7df 2 дні тому

    Kama unamkubari semaji la Dunia gonga like

  • @ElikanaKimayi
    @ElikanaKimayi 2 дні тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @johnlevis6861
    @johnlevis6861 День тому

    Ubaya ubwela unaendelea kimataifa Bagamoyo moja hiyooo

  • @MkumbaJuma
    @MkumbaJuma 2 дні тому

    Semaji vp we si ulisema kcmc ndo geto kwenu yanga wanaingia chumban kwann mnahama

  • @MzeeBabu-s6y
    @MzeeBabu-s6y 2 дні тому

    Yaa semaji letu

  • @AminaShedurack
    @AminaShedurack 2 дні тому

    ❤ mateso sasa bc

  • @MaikoMamboleo-dv9nn
    @MaikoMamboleo-dv9nn 2 дні тому +1

    Ww gusa achia twende kwao

  • @HalimaAli-c5v
    @HalimaAli-c5v День тому

    Nikiwa ndani ya Oman nakufatilia sana semaji la kimataifa