Ndugu zangu wakati ni kama moshi, ukitoka haurudi, Itumie vizuri nafasi unayo ipata sasa. Huyu ni Chidi Benz alikua wa moto sana back in 2006 - 2010 WASANII WENGI WALIFANYA NAE KAZI TENA KWA HESHIMA ILA LEO 2023 HAONEKANI TENA. M/Mungu atufanyie wepesi wapambanaji wote tuwe na mwisho mwema.

Kazi moja swafi ya spack, chidi d king kong, Allah atufanyie sahali
noma sana ngoma iyo
Iko poa sana ilo song❤❤❤😂
Umeandika vizur sana
Dah naupenda sana huu Wimbo jaman
Hii nyimbo ilihit miaka kadhaa nyuma is soo swt👌
2024 piteni na likes
Naomba Like za Chidi benz
😂😂😂 august 2024 ❤️🇰🇪 diaspora team
Nimekumbuka mbali sana
utakua kama umeng'oa kiraka kwenye Jeans ya bishoo,sio kwenye giza ya bishoo
Qali sana nyimbo hii
laiti sio light,kwa nini home uliondoka sio humu ulioondoka
Chiddiiii beenzyyy 2:06
Hatal San👊
Laiti si light
Ni Light ama ni Laiti
Kazi safi
Sana
❤❤❤❤❤
Nice
😘😘😘
Tamu