🚨Mpya Yanga,Mwanasheria Saimoni ATUA mahakamani,Afunguka majibu aliyopewa,siku 14.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • #football #yangafc #yangasc #ahmedally #alikamwe #simba #yangatv #youtube #simbaislive #simbatanzania

КОМЕНТАРІ • 11

  • @mubaraalichiku6089
    @mubaraalichiku6089 2 місяці тому

    Wanegushi signature ya mama Karume😂 hao kifungo kinawahusu washenzi hao

  • @MustAlly-gz1te
    @MustAlly-gz1te 2 місяці тому

    Yanga ni makesikesikei.......

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 2 місяці тому

    Waandishi maandazi na fikra tunduizi ni 0% wanatengeneza taharuki inayowarudia wao

  • @AshrafuJuma-l3l
    @AshrafuJuma-l3l 2 місяці тому

    Uyo magoma choko tuuuu

  • @mubaraalichiku6089
    @mubaraalichiku6089 2 місяці тому

    Huyo kinyago Magoma na wenzake Milembe inawahusu, hana adabu, hana akili ni mshenzi tu, akauze makalio yake Kariakoo kwa buku moja tu mbwa huyo

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 місяці тому

    Kuna mtu hapa sijui ka kaenda shule!!! Eti magoma mwamba huyooo!! Shocking ! Mtu anafurahia ujinga!!

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 2 місяці тому

      Mjinga hufurahia ujinga Kwene ukweli mjinga anasononeka

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 2 місяці тому

    Kuhusu hiyo sabotage ni kitu ambacho kiko nje ya uwezo wa kibinadu --- Hata ktk kundi la wanafunzi 12 wa Bwana Yesu,alikuwepo mwanafunzi mmoja,aliyekuwa msaliti, YUDA ISKARIOTE --- sasa unashangaa nini ktk bodi ya wadhamini ya Yanga,kuwepo mmoja,ambaye ni msaliti --- Hivyo ndivyo walivyo wanadamu mioyoni mwao.-- Moyo wa Mwanadamu ni mdanganyifu,tena una ugonjwa wa kufisha ...". Yeremia 17:9 .

  • @HassanHassan-cd9fs
    @HassanHassan-cd9fs 2 місяці тому

    Huwezi kujifunza kama hujakosea

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 2 місяці тому

    Huyu jamaa vipi! Abed Juma! Yuko body ipi? Mwandishi lazima ujue Kuna ya sasa ambayo Iko Kwa katiba mpya na Ile body iliokuwepo Kwa katiba ya 2011.

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 2 місяці тому

    Mtangazaji hajelewa bado