CHIDDI BENZ AKATAA MKONO WA HARMONIZE-INFORTAINMENT CODES

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • FOLLOW US ON SOCIAL NETWORKS:
    Instagram- / jubononline
    Twitter- / jubononline
    Facebook- / jubononline

КОМЕНТАРІ • 155

  • @frozen4rozen475
    @frozen4rozen475 6 років тому +28

    Chidbenz Hana jimpya kama amefeli yeye anataka wote wafeli big up hormonize ameonyesha lav kama hana habari kbx

  • @priscilarkahindi9126
    @priscilarkahindi9126 6 років тому +115

    Kama unakubaluana na mm Chidi asumbuliwa na wivu gonga like twende sawa👌👍😂😂😂

    • @jp1780
      @jp1780 5 років тому

      Priscilar Kahindi hana wivu we vipi kunamambo yaliyo pitikana kati yao that's why he didn't wanna shake his hand kuwa wa proves vya vitu kisha ongea

  • @seifyusuph9627
    @seifyusuph9627 6 років тому +21

    kama umemuona chid benz kawa mzee gonga like hapa

  • @g4jr.176
    @g4jr.176 6 років тому +13

    Walahi chidi zimeruka kabisaaaaaaaaaa wivu yooo, salamu nialazima

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 6 років тому

      Junior Mwamba kweli hata kama mtu humpendi kumsalimia ni wajibu

  • @kiluwasalum5002
    @kiluwasalum5002 6 років тому +7

    Daa aya maisha ni funzo sana ivi kweli chidy umebaki mtu wa rawama muda wote sasa hapo harmonize amefanya kosa gani mtu anakupa mkono autaki asingesalimia ungesema anajskia lipi jema kmn daa ww hipo op yy bongo frevr WAP na wp pore bro chidy

  • @mohamedfogo8820
    @mohamedfogo8820 6 років тому +56

    ukifeli kila mtu
    unamuona adui

    • @emmanuelmahendeka6108
      @emmanuelmahendeka6108 6 років тому

      mohamed selungwi kweli kabisa

    • @awadhirajabu7754
      @awadhirajabu7754 6 років тому

      chidi ni mfasi wa ali kiba ndio mana alifanya ivo uyu aliwai kumchunia ali kiba salam

  • @JIMBO_MEDIA
    @JIMBO_MEDIA 6 років тому

    Big up Chidi Benz. Nakukubali sana

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 6 років тому +20

    Unga sio mboga

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 6 років тому +1

    CHIDI BENZ tulikupenda lakini madawa ya kulevya yame kupenda zaidi ( saiv utamuona kila mtu adui Kwako)

  • @sweetlovemusicianfromburun231
    @sweetlovemusicianfromburun231 5 років тому

    yes soo nice

  • @khatibhaule6598
    @khatibhaule6598 6 років тому +10

    Unga hahaaaa alijua waugali kudadeki mshamba chidbenz kuanza Leo najivua kumshabikia kabisa

  • @anointedking6960
    @anointedking6960 6 років тому

    That was a great and wise move Harmonize took,the fool was left wondering shamelessly thinking -vely

  • @barrysulty1756
    @barrysulty1756 5 років тому

    Hata hivyo kavuu 2 mwenzako anatusua na ww umebakia na sifaa nilikua nilikua ilikua achana na bwimbwi lilimshinda mzee sadari!

  • @jamesjoseph5895
    @jamesjoseph5895 6 років тому

    kafeli ndo maana anaona aibu wakati hamo kamkuta kwenye game na kapitwa mbali saaaaaaana #utasoma namba saan chid bro pole

  • @andrewshamlamba6923
    @andrewshamlamba6923 6 років тому +12

    madawa sio mazuri aisee sasa tatizo nini apo alilofanya harmo basi utakuta aliwah muomba pesa akamnyima ndio kaweka rohoni daaah chid kazingua mwanangu uhuni ukizid sana inakua tabu kwa kwel kila mtu utagombana nae

    • @carenalphonce5013
      @carenalphonce5013 4 роки тому

      Kwel kabisa kaka kumbe umeona ee uhuni ukizidi sana sio vizuri

  • @stamuujumajuma.4181
    @stamuujumajuma.4181 6 років тому

    juma jux

  • @AmCool_
    @AmCool_ 6 років тому

    JONIJOO ahusike hapa. Tunaomba utuletee Chuma Chidi Benz kwenye kipindi atupe sababu.

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 6 років тому +12

    ZANGU NI KUSOMA COMMETS TU NIPE LIKE ZENU KAMA SIKO PEKEYANGU KUSOMA COMMENTS.

  • @nancymohamed1924
    @nancymohamed1924 6 років тому +2

    Unga sio chaii

  • @stevenkambeytz2459
    @stevenkambeytz2459 5 років тому

    Tatizo la chidy unga anauvuta badala ya kusonga ugali!huwezi ukawa mzima kwa staili hiyo afu Dogo kacheeekatu kampiga hug afu kaendelea na yake something good ambayo muungwana yeyote hufanya..namsifu sana hamonize hajaonesha dharau wala hasira.good boy

  • @fostetz7647
    @fostetz7647 6 років тому +1

    huyo naye vp Aache kutumalizia MB zabure Unaxhindana Nam2 Anaekalibia kuwa A Tanzania
    me harmonize Namkubalisana
    Maana nim2 Anae jitahidi
    ku2mia Kipaji chake Sawa sawa Hizi nyimbo zake 3
    1) MATATIZO
    2) SINA
    3)ATARUDI
    ZINAELIMIXHA KUNA WENGINE WANAKAZANIA
    KUIMBA ZAKIMAPENZI2
    ILA PONGEZI IENDE KWA PLATINMZ KWAKUMWEZESHA!!!

  • @anordtanzania
    @anordtanzania 6 років тому

    Harmonize msamehe bure chid ... Network search huyo

  • @hiram5899
    @hiram5899 6 років тому

    My observation.Tanzanians follow wave not content that's why Chidi benz got frustrated n started doing drugs.Hamna kama Chidi ..mistari kamili.

  • @hadijadamumbaya5423
    @hadijadamumbaya5423 6 років тому +5

    hahahahaha kama samaki kaliwa kabakishwa mwiba na kichwa alivobaki chidi

  • @aloycebassu3303
    @aloycebassu3303 5 років тому

    chidbenz kazeeka sana halafu hana mpya harafu kawa kama zombi furan iv anapewa hai analeta mapenzi fara kweli

  • @jonasmsunza9093
    @jonasmsunza9093 6 років тому

    Chidi kazingua kweli

  • @salehebori6025
    @salehebori6025 6 років тому

    Kamsha feli chidy

  • @mwanaidikombo1603
    @mwanaidikombo1603 4 роки тому

    Nimekukubali benzino

  • @kassimhashi4092
    @kassimhashi4092 5 років тому

    Kula ngada mpaka sasa unaonavibaya kwa wenzako kufanikiwa.

  • @sibiromallya5894
    @sibiromallya5894 6 років тому

    hyu fala naona hiyo dona ishapanda kichwani
    tumuombee tuuuu kwa mungu yanawezekana subira huvuta her

  • @j...876
    @j...876 6 років тому

    Chide Kawaza bangi Ni mchicha, no acha wenzako wafanya Kazi Hadi upate taabu !!

  • @starrecordshancej1083
    @starrecordshancej1083 5 років тому

    chid umezingua saana mzee

  • @rachionlinetv1713
    @rachionlinetv1713 6 років тому

    Nakukubali xana Chidi Benz ila hapo umezingua mbayaaaaaaaa

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 6 років тому

    Nomaa sana chidi

  • @mashmashmkeyenge9210
    @mashmashmkeyenge9210 6 років тому +3

    fara chid benz hata usipomsalimia hamo kashakuacha kimaisha bwege tu

  • @abdulazizi6606
    @abdulazizi6606 5 років тому +1

    w nn chid atakama usimpe mkono tayari kafanikiwa mana najua inakuuma

  • @poulsantana1202
    @poulsantana1202 6 років тому

    sawa sawa kutompa mkono sababu ni chawa.

  • @georgedominick9405
    @georgedominick9405 6 років тому

    chidi benzi bonge la mshamba asiyependa mafanikio ya mtu, zilipendwa huyo, achana nae konde boy, nobody can stop you but God

  • @Tonyfelix-jq7qr
    @Tonyfelix-jq7qr 5 років тому

    Sio mzz kawa mshamba

  • @boniphacesylivester2541
    @boniphacesylivester2541 6 років тому

    Sas kukataa mkono wa Harmonize amempunguzia nin au ndo anajipa presha tu kwa sababu wenzie wanatusua ye amekalia kula madawa mpuuzi huyo

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 років тому

    Kweli mateja hawaminik hata Salam hatak

  • @starboychyner3458
    @starboychyner3458 6 років тому

    HATUTAKI SALAM ZA MASHOGA... WAVAA VIKUKU

  • @hawahalid4573
    @hawahalid4573 6 років тому

    Sawaaa Sawaaa

  • @romainambani1129
    @romainambani1129 6 років тому

    Chid Benz Maringo haiezi kupeleka Mbali....Unadhani Ni wangpi wamekuwa na hawako....Pambana na Hali yako

  • @misalabacharles2728
    @misalabacharles2728 6 років тому

    Mimi nasoma comments zenu tu Gonga like kama na wewe unasoma kama mimi

  • @immapaul8873
    @immapaul8873 6 років тому

    Alikuwa kwenye mood ya unga

  • @eliabuilding4667
    @eliabuilding4667 6 років тому

    Fala huyo alizani unga sembe jitu linapewa hai kutoka moyoni linauchuna umepotea sasa baada ya chid amekuwa chiba

  • @estherwamalwa8413
    @estherwamalwa8413 6 років тому +1

    Chidi una wivu

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 5 років тому

    Wivuuuuuuu

  • @mustaphyassin5320
    @mustaphyassin5320 6 років тому

    Safi sana chidi kwa kula jiwe

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 6 років тому

      mustaph yassin tena mwenzio nini maana yule alinyimwa hela ya sembe

  • @onesimosms6990
    @onesimosms6990 6 років тому

    Bangi mbaya

  • @iqramkhambi7208
    @iqramkhambi7208 6 років тому

    bangi na hajielewi mwenhu chidi Benz wala hana muonekano wa msanii chogo hilo bamia

  • @mickboyedwin426
    @mickboyedwin426 6 років тому

    Mshua kaisha

  • @kennerdytheswakxizzle8893
    @kennerdytheswakxizzle8893 6 років тому

    anatafta kiki hyo falaaaah chid pumbav zkeee

  • @mohamedfogo8820
    @mohamedfogo8820 6 років тому

    teja hana shukrani
    ukimnyima pesa lawama

  • @hamadyshukuru4750
    @hamadyshukuru4750 6 років тому

    Yani mambo yakikuendea kombo basi kila mtu unahisi anakuchawia chid umelosti

  • @mrict1971
    @mrict1971 6 років тому

    Hahahahaaa, Tabu sana

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 6 років тому

    hiyo hasira ungepeleka kwenye madawa hivi tunavyoongea ugekuwa kitu tofauti lakini sasa ulituambia rabda Dawa waache kuuza sasa jibu ni hili Dawa zitaendelea kuuzwa mpaka wewe zitakapokuuza zenyewe.🤔

  • @papynakashinga9970
    @papynakashinga9970 5 років тому

    Unga umezidi kicwani

  • @edwardbayo3326
    @edwardbayo3326 6 років тому

    What goes around comes around.
    @Harmonize, unakumbuka ulichomfanyia ALI KIBA Kwa Mazishi ya Masogange?
    Hayo ni malipo my Friend

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 6 років тому

    Bangi litamuponza alikuwa anataka apewe hela?

  • @asuntaasunta4204
    @asuntaasunta4204 6 років тому +3

    achana naee mchawi uyo

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 років тому

    mambo yakienda kombo dawa inakifanya kila aliyeko juu ni adui..

  • @joseecontroversial8720
    @joseecontroversial8720 6 років тому

    Hata unavyofungua interview tu....staay with me!

    • @JubonOnline
      @JubonOnline  6 років тому

      Ntalifanyia kazi bro..Ahsante kwa ushauri wako

  • @maombinshedson5914
    @maombinshedson5914 6 років тому

    nakukubali chid lakini kwahili kabisa umevunja utamaduni , nahili tusemenini isipo kusema this is wivu kari

  • @x-loveprophet1020
    @x-loveprophet1020 5 років тому

    He was drunk 😵 that why he didn’t say hey 👋 to the king 🤴 Harmonize, too much Ganja wee.....

  • @mikengiamatv8315
    @mikengiamatv8315 6 років тому

    Chidi akawa chizi

  • @videoginnah1973
    @videoginnah1973 5 років тому

    Mmh chidi benzi na dudu baya nyie cyo wazima kwenye vichwa vyenuu

  • @michaelmajaliwa8316
    @michaelmajaliwa8316 6 років тому +1

    When u fail to achieve jelous becomes UA potion

  • @karimujuma7784
    @karimujuma7784 6 років тому +3

    Chidy nani bhana harmonaiz akitaka kupeana mikono na watu c hata karne inaisha

  • @eddybrowntz2951
    @eddybrowntz2951 6 років тому

    Da watu wengine bwana

  • @jumamakaja8802
    @jumamakaja8802 6 років тому

    Bora upumzike kufanya muziki maana umebakiza wivu na Bichwa.

  • @MWilly-xu1ki
    @MWilly-xu1ki 6 років тому

    Harmo is just smilling the guy use to be big star but now lakokaina imemmaliza he is just jealous

  • @oumaishababy9576
    @oumaishababy9576 5 років тому

    Chid benz teja

  • @esabelfadhili8432
    @esabelfadhili8432 6 років тому

    Chidi zee zima😏😏😏

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 6 років тому

    Duh chidi kafulia hadi wivu sasa mwanaume una kataa kusalimiwa kama demu huo umama

  • @salehemdim560
    @salehemdim560 6 років тому

    duh chidi pumbavu2

  • @salmamassoud9863
    @salmamassoud9863 6 років тому

    Atari ni uswahili ulio mjaa nini xx apo

  • @victoriachesco35
    @victoriachesco35 6 років тому

    Asamehewe bure ty cy akili yake ni akili ya vumbi analotumia

  • @williammutabazi8971
    @williammutabazi8971 6 років тому

    Ukichezea nafasi then akatokea mtu akakupiga gap ni shida sana

  • @musamkali5954
    @musamkali5954 6 років тому

    Haji tambui kabisaa

  • @davidsedekia1337
    @davidsedekia1337 6 років тому

    Kweli unga bado inamsumbu chid

  • @msombanehemia7503
    @msombanehemia7503 6 років тому

    Mshamba huyo chid dogo kamfanyia nn mwaache kwanza hampunguzii chochote

  • @marymah7149
    @marymah7149 6 років тому +1

    Jmn mwee

  • @PhylNation
    @PhylNation 6 років тому

    ana wivu...afu amekonda anaogopa kuvunjwa

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 6 років тому

    Waniwenzako wanatakakukurudisha kwenye gm unakstaaaa izo bangi hazitagusaidia ki2 mzhee

  • @jamesogafro80
    @jamesogafro80 6 років тому

    chidi ananate ramani chizi uyo uchukulie poa2 hamo

  • @ramaasalum8991
    @ramaasalum8991 6 років тому

    C chid tn ni child, mana duuuh...kwl unga c mboga

  • @tuntufyemwakalukwa1704
    @tuntufyemwakalukwa1704 6 років тому

    Chid mshamba ndio maana ameshindwa kuuhimili umaarufu wake.maskini tu hatishi uhuni kuwa na hela

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 6 років тому

    😂😂😂😂watuache ma-nigga na uchu wetu#hardcole

  • @rahasana2953
    @rahasana2953 6 років тому

    Ameuguza chidi ataki hata salamu kweli amechoka

  • @williampapymackanga2224
    @williampapymackanga2224 6 років тому

    chid naona imeshindikana kuacha ngada

  • @georgeshija1276
    @georgeshija1276 6 років тому

    safi chid wanafki hao

  • @rodricksindi906
    @rodricksindi906 6 років тому

    Unamkataa mtu ana ela zakee 😂😂😂 ye anachk we unanuna

  • @deethedon6378
    @deethedon6378 6 років тому

    Uwo wako sio uhun uwo usenge mjinga ww mambo ayo afany dad ako sio ww mfupa

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 6 років тому

    Bangi hizo utapata tabusana chid

  • @bigboy8508
    @bigboy8508 6 років тому

    Chidi analaumu kila mtu sababu ya makosa yake mwenyewe

  • @vivianminja6332
    @vivianminja6332 6 років тому

    Msipende kusambaza habari ambazo hazinamaana mngemtafuta chidi muulize km anatatizo na harmo pia mumtafute harmonize km anamatatizo na chidi ndio mtuletee habari hapo inawezekana ilikuwa utani tu ilanyie tayari mmeyakuza mxiiiuuuu😂😂

    • @JubonOnline
      @JubonOnline  6 років тому

      Vivian Minja Do you know the meaning of entertainment?

  • @acruxe5810
    @acruxe5810 6 років тому

    Chid madwa ya namsumbua tusi mlaumu

  • @rashidimtengula5230
    @rashidimtengula5230 6 років тому

    Chid anafeli uhuni uczidi xana aixeee