Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu Sheikh Allah akuraïsishie kila ligumu,niko Bujumbura niko mwanafunzi wako,naitaji namba yako ao groupe ili niwe nauliza maswali inshaAllah.
Asc..sheikh unajua sie wanawake 70% tumezoea kuchora piko/henna ili kuwa kivutio zaidi kwa waume zetu..lakini siku 1 kaja mtu nyumbani ati amenambia piko haramu kisa inakaa sana kwenye ngozi..inaweza kuchkua hata wiki mbili then ndo ifutike..sasa me naomba niulize ni kweli piko haramu?? Au
Alhamdhulilah ala kulihali alhamdhulilah ala neematil islam alhamdhulilah
MashaAllahu mashaAllahu mashaAllahu shukran sheikh.jazzakh Allahu
Amiin amiin takabal dua Yaa Allah
Shukran sheikh Izudin kwa mawaidha mazuri
Jazakallah kheir
Ameen Ameen MashaAllah Sheihk
Subhanallah
Amin
mashallah
Ameen Ameen Ameen Yarabi sote InshAllah 🤲🤲 shukran Sana Kwa Dua
Allahuma Ameen Yaarab🤲🏼❤️❤️
Allahumma Ameena thumma Ameena YA RabilAallameena 🙏 ln Sha Allah
MaashAllah
Shukran jazakalahu kheiran
Shekh izudin niko na maswali nataka usaidizi maswali yangu ni.. Mume ataka kuoa akalipa mahari walokubaliana kabla ya ndoa kufanyika mke kamsaliti mume jee mahari anaregeshewa lapili mume kalipa mahari kabla ya ndoa mke kafa jee mahari ataregeshewa..
Amiin yarrab Amiin
Allhumma Amiin
Gostei estou aprender como ter subra
Shukran wajazaka llahu Heri inshallah
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu Sheikh Allah akuraïsishie kila ligumu,niko Bujumbura niko mwanafunzi wako,naitaji namba yako ao groupe ili niwe nauliza maswali inshaAllah.
Ameen
Aaamin
Assalam Alykum sheikh izudiin mpe salam Shariff Alwiidiin
Shukran