MOTO SOKO LA KARUME: MTUNZA STOO AFUNGUKA A-Z WALIVYOOKOA MIZIGO 'MINGINE IMEIBIWA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 47

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 роки тому +5

    Uyu mzee anavyoongea naskia kucheka na kulia wallah pole babu yangu Ila hii tzd 🙌🙌🙌hpana tusalini jmn naona km Giza machoni mwangu vibaka watazidi mtaani 😭

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 роки тому +3

    Subhanallah innalillahi mtihani mkubwa Tanzania yetu Allah atuondolee mabalaa yanayoendelea kuikumba Tanzania hatusongi mbele kibiashara kila ukicha kurudi nyuma

  • @elarifmohamed5681
    @elarifmohamed5681 2 роки тому

    Duuu poleni sana mungu awape nguvu na mowo wasubra wafania biashara wa soko la karume.kweni kipindi kigumu hiki

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 роки тому +4

    Poleni sana aisee

  • @kimaniwachamba5409
    @kimaniwachamba5409 2 роки тому +5

    Fungueni macho africa.Hivi ndo soko la Gikomba kenya huwa linachomeka.inakaa niagizo la wazungu.

    • @Dantaata
      @Dantaata 2 роки тому

      nina hakika hawa viongozi nao wanaona uchungu lakn ni maagizo ya hao watu,,

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 2 роки тому

      Siyo Kenya tu,hata Burundi wamekuwa wakiunguliwa sana,tena masoko makubwa

  • @freddyjonas1423
    @freddyjonas1423 2 роки тому +5

    Selikali niyakisenge hii wanajua kinachoendelea

  • @hadijajohn7434
    @hadijajohn7434 2 роки тому +3

    Poleni kwa majanga ya moto

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 роки тому +4

    Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yang hapo kama hautojli

  • @ikramuomary1214
    @ikramuomary1214 2 роки тому +7

    awazimamoto sijawai kusikia wamewai kwenyetukio wamezima moto kilasiku wanakuta majivu Sijui wanafaida gani Yan 😲

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 2 роки тому +2

      Wa wahi vipi na wakati ni madili yao? Inaingia hakilini kkoo saa saba karume saa saba si kwa ufirimasoni huo

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 роки тому +2

      Kwakweli ni ajabu...Karume na fire station ni umbali wa kama kilomita mbili na kwa usiku huo barabara zipo wazi hakuna foleni.

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 2 роки тому +1

      Alafu hawako mbali nakarume

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 роки тому +1

      Hawa wanawahi kama ni nyumba ya kiongoz inaungua moto. Ila kama ni mali inayohusu wananchi wa kawaida hawawahi. Arusha soko liliwaka mpk likaisha na wkt ilipo fire Station ni mita mia na hamsini tu.

  • @jescaelias1527
    @jescaelias1527 2 роки тому +3

    Eeeh mwenyez MUNGU tusaidie😔

  • @judithmwakatundu
    @judithmwakatundu 2 роки тому +3

    Poleni sana jamani

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 роки тому +1

    Daaaaa, cjui tanzania inaenda wap Sasa jaman🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️
    Weeee mungu watie. Ngumu wahanga yaraby 🤲🤲🤲🤲🤲

  • @bensonbenezeth
    @bensonbenezeth 2 роки тому +1

    Serikali ya wanyonge imeondoka imekuja ya wababe.

  • @darkplatnum9006
    @darkplatnum9006 2 роки тому +2

    Kaz inaendelea jamn sndio tumekubalian na kesho tutaambiw anaupiga mwingi

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior 2 роки тому

      KESHO UTAAMBIWA WANATAKA KUJENGA SOKO LA KISASA HIVYO WAFANYABIASHARA WAPISHE KWA MUDA.

  • @zahrahamidu6372
    @zahrahamidu6372 2 роки тому +2

    Polen Sana. Jaman.. Mbona Ali inazid kua ngumu😪

    • @omanphone3455
      @omanphone3455 2 роки тому +1

      Hawa zimamamoto wanazima nini sahizi moto umewaka tangu usiku

  • @kulwamussa3612
    @kulwamussa3612 2 роки тому +1

    Tz hakuna fire tusidanganyane moto unapo tokea unawapigia sim wanakuja baada ya lisaa yotehaya nikumdhalau mama anavyo ongea nao akiwabaniapua ilakama angekua moto heshima ingekuja sasaivi nizam hakuna wanamchuliapoa kama anavyo wachukuliapoa mwenyewe

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 2 роки тому

      Fire hamna kitu wanapata mishahara bure hawa. Ivunjwe iundwe upya

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 роки тому +2

    Poleni jaman8

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 2 роки тому

    Pole sana baba yangu kwa kufanya kazi yako vizuri. Mungu akubariki

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 2 роки тому

    Alaaaniwe Aliyechoma

  • @farhadimranmoodyimran5119
    @farhadimranmoodyimran5119 2 роки тому +1

    Sasa wazima nn na kila kitu kishaisha 😀😃😄

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 2 роки тому

    Kuna umhimu wa kufanya uchunguzi wa wazi juu ya haya majanga màana yamekisiri kila kukicha kurudishana nyumba tu, kariakoo mpaka leo uchunguzi hatujausikia inaumiza sana.

  • @loxlox150
    @loxlox150 2 роки тому

    Sasa ao zimamoto wanaokoa nini so wangeendelea kulala tu

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 2 роки тому

    Haya mambo yaangaliwe vzur maana jinsi hii tutakua wadogo sana duniani tukizan ndo wakubwa labda tuonavyo

  • @azizasaid5014
    @azizasaid5014 2 роки тому +2

    Maisha yanazid kuwa magum kwakwel

  • @raniamohamed9848
    @raniamohamed9848 2 роки тому

    Moto ukitokea huko mikoroshini fire kufika inachukua mda haya huku je? Yani karume na fire kuna umbali gani? Hizo magari za zima moto ziko wapi jamaaaani? Mpaka soko liungue asilimia 98%.

  • @mashakaandimile5771
    @mashakaandimile5771 2 роки тому

    Serikali ina mkono mlefu itawasaidia mitaji

  • @muhammedsuleyman6501
    @muhammedsuleyman6501 2 роки тому

    Uchawi mwingi hii nchi

  • @mohammedathumani7639
    @mohammedathumani7639 2 роки тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭subhana llaah

  • @birianination7097
    @birianination7097 2 роки тому +3

    Nirahisi kusema fire walikuwa wapi, ila ningependa tukumbuke fire wapo hapo toka jana usiku mpaka mchana na bado moto hauja zimika, hii inaonesha ugumu wakazi walio pitia.

    • @petromtakati2975
      @petromtakati2975 2 роки тому +1

      Uwepobwa fire sio kigezo cha moto kutosababisha maafa wao wanaplay part yao mengine mungu ndo anasaidia

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 роки тому

      @@birianination7097 walifika saa ngap?

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 роки тому

      Bado tz tupo nyuma sana kwenye kupambana na moto

  • @jchriss4269
    @jchriss4269 2 роки тому

    Hatari hii
    ua-cam.com/video/dDBwWu_ANd4/v-deo.html