USO KWA USO MZEE MAGOMA AVUTANA NA HAJI MANARA, WEWE HATUKUTAKI, RUDI SIMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 648

  • @AbuuMatama
    @AbuuMatama Місяць тому +10

    Uyu mzee kumbe genius hivo

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA Місяць тому

      UMEJUAJE NDUGU? HUYO MZEE WANA YANAGA WASIMPUUZE KAMWE kwasababu ANAHOJA NZITO WANAOMKATAA hawana uwezo wa kizibeba. ALIVYOSEMA KUHUSU ZOOM NA UKOSEFU WA UKUMBI INATIA AKILI SANA HAPO

    • @smarty1064
      @smarty1064 Місяць тому +1

      Nilikua sijui kama ndo aliyekuw anashauri wachezaji wa kusajili, nilipoona kwenye social media nikajua anazingua na hana akili kumbe ni tofauti

    • @godsonkyense4742
      @godsonkyense4742 Місяць тому

      ​@@YOSHUAMWAMPETA Hoja za mama yako manina Yoshua

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA Місяць тому

      @@godsonkyense4742 IMANI,TAMADUNI NA DESTURI nilizokulia sikuwahi kufunzwa KUTUKANA ILA NAJUA AWAZAVYO MTU NA KUSEMA NDIVYO ALIVYO MOYONI MWAKE.

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 Місяць тому

      NIKWELIIIII
      KBSAAAAAA NI GENIUS

  • @barakamwasenga2143
    @barakamwasenga2143 Місяць тому +11

    Mashabiki wengi yanga oya oya hata hawajui magoma anasema nini

  • @raymondmwalisatile127
    @raymondmwalisatile127 Місяць тому +9

    Ukiwa simba,, Raha kumsikiliza huyu mzee🔥🔥😂

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 28 днів тому +1

    😂😂😂❤ magoma umetisha

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 Місяць тому +15

    Hamia Simba ukapewe usemaji badala ya Manara.

    • @saidkhamismasai1204
      @saidkhamismasai1204 Місяць тому

      Ww ndio wa kuhama kwa vile hao ndio wanaijua yanga kuliko ww mtu wa juz

  • @mussatweve1270
    @mussatweve1270 Місяць тому +5

    Safi sana mzee wangu

  • @rukundorwiza5223
    @rukundorwiza5223 Місяць тому +3

    Hongera sana babu magoma tunakupenda we ndo yanga❤

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh Місяць тому +17

    Mimi ni shabik wa Yangu ila huyu mzee yupo sahihi sana

    • @selemapingon9286
      @selemapingon9286 Місяць тому +1

      Hayupo sahihi. Anapotosha. Ni kutokujua tu. Real Madrid in Rais, Barcelona ina Rais. Uenyekiti unakuja kwenye vikao. Kukiwa namkutano then rais anakuwa mwenyekiti

    • @ShedrackThomas-nu1ko
      @ShedrackThomas-nu1ko Місяць тому

      Hakuna lolote

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 Місяць тому +66

    Ukiangalia Comments Unajua Baadhi Ya Wa Tanzania wengi Bado wengi wana Ujinga na akili zimeganda hatupendi kujifunza au Kuelewa tunapenda kusikia maneno na umbeya..Mahakama hua haikurukupi iko makini.

    • @JosephDamasimushy
      @JosephDamasimushy Місяць тому +8

      We kenge nini wangap wanahukumiwa bila hatia

    • @engisack9610
      @engisack9610 Місяць тому +3

      Point ✍️

    • @athumanimpanda4734
      @athumanimpanda4734 Місяць тому +7

      We ndo huna akili, mahakama inaweza kukosea kutoa hukumu pia ndio maana kuna rufaa, lakini pia hii hukumu inamapungufu mengi kwanza Kesi ilisikilizwa upande mmoja bila upande wa pili kuwepo na taratibu za kimahakama zilikiukwa. Mahakama ilitakiwa watoe Tangazo kwenye vyombo vya habari ama magazeti hawakufika mahakama ndio inaweza kuamuru kesi isikilizwe upande mmoja

    • @barkemtika1575
      @barkemtika1575 Місяць тому +2

      Mzee embu bAdilika kidogo mzee

    • @FranksonMkumbwa-mb3pp
      @FranksonMkumbwa-mb3pp Місяць тому +2

      Nani alikuwa mshitakiwa? Na nani alisimama mahakamani , mzee mhuni

  • @JovianRichard-i5n
    @JovianRichard-i5n Місяць тому +7

    Mimi yanga ila mzee uko vizuri sana wa 2000 kukuelewa kaziii

    • @RosePetro-ck8pt
      @RosePetro-ck8pt Місяць тому +2

      Hauwezi kuwa ynga wewe

    • @JovianRichard-i5n
      @JovianRichard-i5n Місяць тому +2

      @@RosePetro-ck8pt wewe mwenye yangu unakadi ya yanga au ndiyo wale wapiga kelele

  • @ShaibuAbdalla-z7g
    @ShaibuAbdalla-z7g Місяць тому +18

    Yan uyo mzee Yuko sawa kabisa

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 Місяць тому +29

    Yanga punguzeni kupenda supuu za bwerere msikizeni huyu babu yenu?

    • @user-ij2oq3xw5y
      @user-ij2oq3xw5y Місяць тому +3

      acha shobo fatilia team yako choko wewe yakwenu yamewashinda kazi ya yanga

    • @alittlemoretime
      @alittlemoretime Місяць тому

      Peleka upuuzi wako

    • @alittlemoretime
      @alittlemoretime Місяць тому

      Wemjinga nn

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 Місяць тому +1

      😂😂😂 sawa kabisa

    • @hosea7919
      @hosea7919 Місяць тому

      Inaonekana uliimia sana kwakukosa supu ya YANGA😂😂

  • @NadhariusAman
    @NadhariusAman Місяць тому +1

    Ukoo sawa mzee tumekuelewa

  • @user-uq3dq7sr3l
    @user-uq3dq7sr3l Місяць тому +9

    Haji manara na Ally kamwe ni nguvu moja sio nyuma mwiko 😁😁😁😁😁

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 Місяць тому +10

    Dah ccm kiboko yani mnawahamisha watu kwenye mada ya nape mkaona mlete mambo jaya ili tusahau

  • @obijoha2877
    @obijoha2877 Місяць тому +8

    Engineer Hersi na Degree , kumbe Magoma ana PHD😂

    • @godsonkyense4742
      @godsonkyense4742 Місяць тому

      PhD ya mama yako manina wewe

    • @omarypetro3207
      @omarypetro3207 Місяць тому

      😂😂😂 Jibu kwa hoja mama tena kafanyaje ​@@godsonkyense4742

  • @husseinc
    @husseinc Місяць тому +26

    mgoma ana hoja asikilizwe

    • @ibrahimmbarouk1564
      @ibrahimmbarouk1564 Місяць тому

      Bwana mkubwa Magoma, dhahiri ana ajenda ya chuki binafsi. Hafai kabisa, sasa njaa yake aseme nayo.
      Tizama sasa hata uhalali wa Ali Kamwe na Haji Manara.
      Yanga, Simba nakataa kuwa ni kabila.
      Mzee nakukumbusha mfano, Abdallah Kibadeni aliipenda sana Yanga lakini leo ni Simba kindakindaki, na mifano kama hii ipo tele.
      Sasa matakwa yako yawe ndiyo msahafu, huyu atizamwe kwa macho yote...

    • @godsonkyense4742
      @godsonkyense4742 Місяць тому

      ​@@ibrahimmbarouk1564asikilizwe na mama yako manina wewe

  • @waziriwaziri4330
    @waziriwaziri4330 Місяць тому +3

    Huyu mzee ana uweledi sana kuliko hata msomi wa ovyo anayekandamiza haki za watu wapenda maendeleo Ila hata mimi nilipata wakati mugumu ivi kweli shabiki /mpenzi wa team furani kindakindaki unaweza hama.

    • @banagakatabazi9648
      @banagakatabazi9648 Місяць тому

      Bwege tu huyu mzee. Anafikiri kwa kuangalia karibu sana

  • @ExzaudIpyana
    @ExzaudIpyana Місяць тому +3

    Mzee yuko sahihi sana.inabid mmwambie hapo kunanini hapo kunaniniiiiiiiiii

  • @rizikimtei1635
    @rizikimtei1635 Місяць тому +3

    Ili uwe mwanachama hai ni lazima uwe umelipia Card Yako.Wewe umesema huna card ,kwa hiyo ni kweli huyu Mzee siyo mwanachama hai w a Yanga.

  • @JosephSaidi-db2rv
    @JosephSaidi-db2rv Місяць тому

    Mzee magoma yupo sahihi kabisa.
    Ila mashabiki vitumbua hawawezi kumuelewa

  • @otmarykiowi4132
    @otmarykiowi4132 Місяць тому +6

    Mzee anajua mpaka Zoom meeting 😂😂😂

    • @totonata5384
      @totonata5384 Місяць тому

      He is well educated na ana uelewa mkubwa. Anajua anachokitaka na haki zake kama mwanachama

    • @ElizabethLukosya-lv2vf
      @ElizabethLukosya-lv2vf Місяць тому

      Mzee yupo sawa ila yanga vichwa vigumu badaye watakuja mkumbuka huyu Mzee

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 Місяць тому +9

    MZEE ANA HOJA ASIKILIZWE

    • @pambaboniface1199
      @pambaboniface1199 Місяць тому

      wewe umemuelewa vuzuri kwa kuwa uelewa wako ni sawa na yeye hivyo usilazimishe wegine wawe kama wewe na huyo mzee wako

  • @JuliusDonald-d8b
    @JuliusDonald-d8b Місяць тому +10

    Kumekuchaa kumekuchaaa

  • @masumbukomola1911
    @masumbukomola1911 Місяць тому +12

    huyu mzee ana akili sana

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 Місяць тому +2

    Magoma mi5 tena😂😂

  • @user-yc5ez6nr3r
    @user-yc5ez6nr3r Місяць тому +2

    Mzee una point tena kubwa tu, ila kueleweka kwa sasa hawata kuelewa, naamini kuna siku ipo utaeleweka.

    • @gweahshoo5120
      @gweahshoo5120 Місяць тому

      Mbona kigwangala mligoma kumuelewa😂

  • @BADAWY575
    @BADAWY575 Місяць тому +1

    Huyu mzee bonge la comedy adi raha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mara anaonesha mkataba yalio andikwa anatunga hapo hapo paka mtangazaji kastuka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AlexChawe
    @AlexChawe Місяць тому

    Upo sahihi sana 💪

  • @user-ht5tc5yv5t
    @user-ht5tc5yv5t 15 годин тому

    Nguruwe fc ndo wamejazana humu kumsifia nguruwe mwenzao😂😂😂 sasa ni hiv na nguruwe wenu huyo hamuiwez yanga 😂😂

  • @ramadhanilessosaidi9691
    @ramadhanilessosaidi9691 Місяць тому +3

    Magoma acha tabia hiyo.
    Umeona wapiiiii wanachama wa CCM nchi nazima wakakutana wote mkutano mkuu?
    Kuna wawakilishi.
    Hivi Magoma YANGA ni Ya Dar es salaam tuuuu.
    Na sisi wa mikoani tusemeje?

    • @roselynurio7645
      @roselynurio7645 Місяць тому

      Wa mikoani shabikieni klabu za mikoani kama upo Iringa Lipuli😂

    • @roselynurio7645
      @roselynurio7645 Місяць тому

      Baba anajieleza sana jamani

  • @MussaCharles-l9p
    @MussaCharles-l9p Місяць тому +8

    We ungekuwa unaipenda yanga ungeishitaki mahakamani

    • @norbertmbena5896
      @norbertmbena5896 Місяць тому +2

      ndo mahali penye hadhi ya kutasiri sheria

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp Місяць тому +2

      Kwaiyo ukipenda uburuzwe tu kama mzoga ?

    • @zeelamipango
      @zeelamipango Місяць тому +1

      Ulitaka aje ashitake nyumbani kwako

    • @MabenaKishapu
      @MabenaKishapu Місяць тому

      Kwan kaishitak yang ? ELEWA

    • @user-xd2tg8eq1h
      @user-xd2tg8eq1h Місяць тому

      Acha usenge babu haijashtakiwa yanga bali ni watu ambao hawaipeleki yanga inavyotakiwa

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 Місяць тому +4

    Mafanikio ya club yanaficha madudu yanayoendelea ,,,tunabaki kusifia Team inafanya vizur mnasahau kuhoji

    • @stephanSandika
      @stephanSandika Місяць тому

      Wao walipo kuwa viongozi waliisaidia Nini timu

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 Місяць тому

      @@stephanSandika Team imeuzwa sio ya wananchi tena😁😁😁

    • @stephanSandika
      @stephanSandika Місяць тому

      @@jeremiahcharles6027 kawaida tu hata mo kawekwa b20

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 Місяць тому +2

    Hili zee chonganishi sna nw linataka kumgombanisha mama Samia na hersi kiufupi uyu mzee ni mchawi sna

  • @user-oh1xz8wm3q
    @user-oh1xz8wm3q Місяць тому +5

    Nenda simba

  • @charlestesha4202
    @charlestesha4202 Місяць тому

    Upo vizuri sana Mzee unahoja

  • @FATUMABACARCADANGE
    @FATUMABACARCADANGE Місяць тому

    NENDA SIMBA KWANI UMEKATAZWA CHAWA WW

  • @jostonmwanukuzi6293
    @jostonmwanukuzi6293 Місяць тому

    Mzee Magoma anapoint

  • @enockgogy5458
    @enockgogy5458 Місяць тому

    Weee mzeee achana nayanga mtafte mungu aksamehe makosa yako ili utafte ifarume mbinguni

  • @snipershort6988
    @snipershort6988 Місяць тому +4

    Kama mfumo wa makolo umekupendeza nenda huko, ndomana kesi za kimichezo unapeleka mahakama za kawaida ukifananisha taasisi inayojitegemea na chama cha siasa,. MZEE MMOJA WA HOVYO SANA KUMBE BADO HALIJITAMBUI HILI ZEE 😮😮 HEBU MWAMBIE AVUE NGUO AKASIMAME MBELE YA KIOO HUENDA AKAJIPATA YUPO KUNDI KIPI😢😢 INNALILAH WAINNAILA😊😊

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 Місяць тому +1

      Chuki tu imekujaa mzee yupo sahihi ninyi ndyo misukule mnaoburuzwa tu kws kuwa et yanga inafanya vizuri watu wasiseme

    • @shirrangimedia4570
      @shirrangimedia4570 Місяць тому

      Kafiri wewe utakufa mibudu mjinga mkubwa huyumzee anahakili zaidi ya babayako unajieerewa wewe ?? Ungekua karibu ningekupga doko maana inaonekana unafilimbwa mshenzi mmoja

    • @godluckharuna7192
      @godluckharuna7192 Місяць тому

      Msipomuelewa huyu mzee mjue bado hamjakua

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 Місяць тому

    Very genius

  • @BADAWY575
    @BADAWY575 Місяць тому

    Bongo Dar es salaam kuna viumbe huyu ndio clip yangu ya kwanza kukaa na kumsikiza kwa makini .nikipata jibu huyu mzee amehibrand na huu ujio wake wa style hii mukimfahamu mutacheka sana sanaaa tu.kuna sauti zake anajijibu mara kapandisha kama nyerere mara kaweka sauti ya masoud.wandishi wa habari hawajamuelewa .mzee magoma ww ni msani wa mwaka tushio .ANAHITAJI MANAGEMENT

  • @OnesmoMwacha-wp4bo
    @OnesmoMwacha-wp4bo Місяць тому

    Yanga wamelambishwa asili wakauza timu...yanga ni kubwa mno acheni umbumbu yanga.mzee anahoja za msingi mno

  • @NasoroHamisi-u7s
    @NasoroHamisi-u7s Місяць тому

    Upo sahihi yapaswa kuwa mwalimu wa kuigwa mungu akubaliki;;;;;;;;;;;;

  • @user-sh2zv3ys6v
    @user-sh2zv3ys6v Місяць тому +1

    We kinembe kabisa pamoja na anaekuhoji

  • @japhetmiyoi6280
    @japhetmiyoi6280 Місяць тому +4

    Analopoka tu mtoto wake mwenyewe anamkataa kama Hana Hela aseme tumsaidie tu shida tu zimemjaa

  • @user-fs5ql1cx5c
    @user-fs5ql1cx5c Місяць тому +3

    Jmn! Mna uhakika huyu mzee hana file mirembe??

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 Місяць тому

    Upeo bado sana mzee

  • @allykombo4915
    @allykombo4915 Місяць тому +5

    Kweli huyu mzee ni mnafiki balaa

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 Місяць тому

      Uko wapi unafiki wake?

    • @totonata5384
      @totonata5384 Місяць тому

      Mzee anaakili na busara. Anajua anachokitaka

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 Місяць тому

      Utopolo wengi ni mbumbumbu hivyo akitokea mtu mwenye akili anatukanwa.

  • @user-yr7iz3zl1u
    @user-yr7iz3zl1u Місяць тому

    Huna Kaz nyingine mzee

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 Місяць тому +1

    Huyu Magoma anaropoka au anakusudia kudanganya? Yeye anatumia zoom meeting gani hiyo ambayo ina uwezo wa kushirikisha watu milion moja? Zoom Business pekee ndo ina weza kuwa na wahuzuriaji wengi na kikomo chake ni wahuzuriaji 500.

    • @ziondaniel3953
      @ziondaniel3953 Місяць тому

      Anaweza kujoin 1 watu elfu wakafuatilia hata kwa spika

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 Місяць тому +2

    Ukiona mtu anasema mimi Yanga ila mzee kasema kweli jua huyo ni Kolowize😅 alie kubuhu

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 Місяць тому

    Hapo mwisho kamalizia vyema sana. Kaelezea maslai mapana ya nchi na kutufundisha kuacha uoga.

  • @omarcarlos4595
    @omarcarlos4595 Місяць тому

    Nimekuelewa mno mzee magoma

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 Місяць тому +7

    Magoma kiboko yao mamae

  • @liberatvalence1510
    @liberatvalence1510 Місяць тому

    Young African Akuna kumsamehe Kunguni kama uyu , Peleken Mahakmani achezee miaka saba kwa kufoji sain , akili ikae sawa

  • @harbatramadhani2829
    @harbatramadhani2829 Місяць тому

    Mzee ana LOGIC flan hiv ukiwa na akili timamu utamwelewa vizuri

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas Місяць тому +1

    Mimi ni yanga lakini huyu mzee yupo sahihi.

  • @saudahassam3031
    @saudahassam3031 Місяць тому +3

    Mzee unauchungu na team achana na vijana wa 2000 kina kamwe tetea mzeeeee

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 28 днів тому

    Mr Magoma umenivunja mbavu na pozi la kipwani ...

  • @MosesWilliam-oh8tt
    @MosesWilliam-oh8tt Місяць тому +3

    Na utakufa kweli

  • @erickmasumbuko3841
    @erickmasumbuko3841 Місяць тому

    Ali simba😂😂 twende sawa eti nimezoea ali simba mie😂😂 magoma

  • @miriam5735
    @miriam5735 Місяць тому

    Mashabiki wa Simba wote ni wasenge kama huyu mzee

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa Місяць тому +1

    Magoma Asikilizwe Jamani Ana Kitu😂😊

  • @nipashekambwili7289
    @nipashekambwili7289 Місяць тому

    Wewe mzee sio kweli suala la uwakilish lipo maeneo yote je ww ni mwanachama wa chama gani je nec wanaingia WANACHAMA wote usitudanganye magoma,tunakuheshimu punguza mtandao narudia Tena tunakuheshimu tafadhali sana.

  • @rockmedia6883
    @rockmedia6883 Місяць тому

    Yanga HipHop

  • @allykimbulaga8885
    @allykimbulaga8885 Місяць тому

    Anasifia timu inayopotea iliyoshika nafasi ya 3 kwenye ligi anaiponda timu bingwa huyu mchawi wa MCHANA

  • @user-ix2tk8pg6j
    @user-ix2tk8pg6j Місяць тому +2

    Huyu mzee mwenda wazimu kweli,ata hajuwi anachokiongea ni nini?

    • @OnesmoMwacha-wp4bo
      @OnesmoMwacha-wp4bo Місяць тому

      Wewe umepofuka macho wewe ukiwa na njaa ukipata mtu akakupa mkate unauza kwenu.

  • @imanimaulid8304
    @imanimaulid8304 Місяць тому

    Yanga kueni makini sawa saizi mna mafanikio lakini baadae mnaweza Kuta kihenge hakina kitu Hawa wahindi wetu Hawa jeuri baadae ukuta sijapata faida yeyote

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 Місяць тому

    Nyoko sana we mzee. We unataka pesa tu sisi tunataka matokeo

  • @MaluguIkamula
    @MaluguIkamula Місяць тому

    NJAA INAKUUMA KUMBE NJAA UMEONA UMEFANYA KAZ MDA MREFU HUPANDI CHEO UNAONA VIJANA WAKO JUU WIVU NENDA KANISAN

  • @jazzjeff8431
    @jazzjeff8431 Місяць тому

    Mpeni time yake mzee wa watu.....magoma ze hero.......tunataka katiba yetu Ile ile tuliishi nayo kiujamaa...hii ya allikamwe na wenzie

  • @rajabumalonda2625
    @rajabumalonda2625 Місяць тому

    Kama ulizaliwa huna mvi na sasa una mvi ujue katka maisha mabadiliko ni lazima,kama unang'ang'ania ya zamani ujue huwezi kufika popote.Sasa Mzee usisumbue kichwa mi nakusashauri kasajili wachezaji baba na uwalipe ujipoze moyo kidogo

  • @AshelyAbel-kg4kx
    @AshelyAbel-kg4kx Місяць тому

    Aise Mama samia Rais wetu mpendwa unayokazi ya kuwakomboa vijana wakitanzania wengi ufahamu hawana kwa tafiti niliyoifanyia kazi takiribani miaka mitano, maana yangu kubwa bado fikra za vijana wengi zipo kwenye mambo yakipuuzi hatupendi kujifunza bali tunaishi kwakujazwa upepo ila sio kupambanua mambo hivi ukiwa mwanayanga utamipingaje huyu magoma ambaye lengo lake nikujenga kwa kuweka mifumo endelevu

  • @user-iu1dt1xg3k
    @user-iu1dt1xg3k Місяць тому

    Mzee tuko pamoja mpakaa wakueee

  • @FATUMABACARCADANGE
    @FATUMABACARCADANGE Місяць тому

    tokaaaaaa hautukutaki kolo ww

  • @Katomedia001
    @Katomedia001 Місяць тому +4

    Magoma ALLAH akutunze

  • @SaidiKidevu
    @SaidiKidevu Місяць тому

    Kazi ipo

  • @williammajani2152
    @williammajani2152 Місяць тому +1

    Mzee Magoma ni mzee wa zamani anajua zoom meeting alikamwe kijana wa kisasa anasema hukumbi hautoshi😂

  • @HafidhMwinyi-fp2po
    @HafidhMwinyi-fp2po Місяць тому

    Huyu mzee Ana umimi zaidi na haitakii mema Yanga.

  • @nicolausjanda714
    @nicolausjanda714 Місяць тому +5

    Nimeanza kumusoma mzee magoma kuna hoja ya msingi tumusikilize

    • @EvansTewele
      @EvansTewele Місяць тому +1

      Huyu mzee simuelewi raisi anachaguliwa na nani ndani ya klabu au uelewa ni mdogo

  • @richmaguzu4196
    @richmaguzu4196 Місяць тому

    Mzee yupo makini sana

  • @waziriwaziri4330
    @waziriwaziri4330 Місяць тому +3

    Ana huru na haki ya kuhoji ni mwanachama mkongwe wengine hawajuwi kuhoji.

  • @user-kz7qi2hh1v
    @user-kz7qi2hh1v Місяць тому +13

    Nipo na wewe magoma una hoja zenye mashiko

    • @Frankgamanuel
      @Frankgamanuel Місяць тому +3

      Simba wote wako na huyu Mzee pamoja na wewe ni mwana Simba wate hamjitambui
      Hakuna mwana yanga hata Mmoja mwenye akili timamu atamfata huyu mzee

    • @user-kf7vj2bm9o
      @user-kf7vj2bm9o Місяць тому +1

      Wewe ndo hujitambui sikilza wito kataa hoja,ko wew unataka kusema kwenye mazungumzo yake hana point aw umejaa na ushabiki akili ukaweka mfukoni

  • @aku-vc09a11k
    @aku-vc09a11k Місяць тому

    Hizi ni ndoto za mchana...Zoom au mfumo wowote wa online meeting una limit, na hii ndio hasara ya kulishwa maneno..its total uncalled for na ufinyu wa kufikiri

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 Місяць тому

    SIMBA NA YANGA NITIMU ZA WATANZANIA WANAO FURAHIA UTANI WA JADI
    WAKIZICHUKUWA MATAJIRI WAZITUMIA KUJITAJIRISHA TU NA KUPATA UMAARUFU NA BAADAYE WAGOMBEE UBUGE
    SIMBA NA YANGA NI VILABU VYA BURUDANI MITAANI NA VIJIWE VYA KAHAWA NA BUNGENI
    WAKIVIBEBA MATAJIRI NI HATARI KUVIPORA KWA RAIYA YA WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 Місяць тому +2

    NG'OMBE WA MAZIWA WANAOGOPA KUKOSA MAJANI 😂😂😂😂😂😂 MZEE MAGOMA YUPO SAWA KABISA

  • @abbyn.mwamba
    @abbyn.mwamba Місяць тому +1

    chama kaja na migogoro

  • @manyotanyanguleti2058
    @manyotanyanguleti2058 Місяць тому

    Wewe hakika mtu mpinga maendereo hujionyesha kuanzia kwake anapo ishi ebujiangarie unapo ishi hivi huna hata watoto wakukushauri unawatia aibu wanao wewe hata kizazi chako hakifai kabisa

  • @mr.jperembo8140
    @mr.jperembo8140 Місяць тому +1

    BISMILLAHI ALRAHMANI ALRAHIMI
    Shabiki wingi wa yanga wanasema huyu mzee amepokea rushwa pengine ayasemayo huyu mzee yakwel lkn kama kweli yy hajapokea rushwa kwanini timu imekaa sawa yeye anaanzisha migogoro katika timu yake hii haiko sawa mzee migogoro maranying inapoteza mafanikio kwasababu utapigania malengo haliyakuwa una mawazo wahenga wana sema mshika mawili moja humdonndoka kama kuna makosa katika timu yako wafuate viongozi wako waeleze katika umakini wa hali yajuu

    • @manasekisunga7407
      @manasekisunga7407 Місяць тому

      Ndugu yangu huyu mzee hana shida kabisa na yanga ila viongozi wa yanga ndo walikurupuka wamekosea Sana kutumia media kumshambulia huyu mzee hukumu ameshinda na inamiezi 11 tangu itoke wao wangumuita wamsikilize yanga tunaviongozi wazuri ila kwa hili walikosea

  • @twaibujuma5023
    @twaibujuma5023 Місяць тому

    Njaaa mbaya sana

  • @zeelamipango
    @zeelamipango Місяць тому

    Mzee watakuelewa tuu hata kama hawataki

  • @AllyGolota
    @AllyGolota Місяць тому +1

    Magoma uyo chizi simba inatoa kadi za wanachama

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 Місяць тому +1

    Huyu tayari KISHACHANGANYIKIWA...🤣🤣🤣....!

  • @SelemaniSaidifundi
    @SelemaniSaidifundi Місяць тому

    Wewe kuma la mama ako choko

  • @FatmaMwabondo
    @FatmaMwabondo Місяць тому

    Sombaaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤

  • @chapaaandrew3562
    @chapaaandrew3562 Місяць тому +3

    MAGOMA APEWE TIMU YAKE

  • @abdallahrasambih1456
    @abdallahrasambih1456 Місяць тому

    Wacha ujingaa presidep lapota WA Barcelona president batamou aliondoka.presiden Madrid floretina Perez kasome Mzee Kwanza siku izi club zaenda muondo kisaaa sio wenyekiti au angalia Google president waizo club

  • @asnalimtv7690
    @asnalimtv7690 Місяць тому

    Ila magoma upo vizur Sana mm naona bora wakuachie yanga kwanza Hawa watu wakuja tu sisi hizi Tim ni za wazaramo na wamanyema

  • @omaryferuzi
    @omaryferuzi Місяць тому

    Mambulula ndo wanaompinga huyu mzee yupo sahihi