GUDLUCK BRO HII NGOMA UMETOA WAPI 😫😫😫😫NGOMA YENYE MANENO MAZITO ❤️❤️MAY GOD BLESS U ❤️❤️❤️❤️ uliko nitoa ni siri ya Moyo wangu haya maneno kaka 😢😢yame ugusa moyo wangu Much love ❤️ from Australia 🇦🇺
Huu wimbo huu nimeusikia zaidi ya miaka mitatu iliyopita nimekuwa nikiupenda Sana Ila this time around umekuwa ni faraja kwangu baada ya mwanangu niliyekuwa natarajia angezaliwa mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza au mwanzoni mwa mwezi wa pili kufia tumboni Yarabi hata sijui ninini kilimkuta kiziwanda changu Ila Mungu anajua Yote. Moyo wangu umejawa na shukurani nyingi japo muda mwingine napatwa na uchungu Ila najua Mungu alinipa atanipa tena. Nikiwa chumbani nausikiliza na kuurudia zaidi hata ya Mara kumi na kujikuta napata amani maana hata Mimi niliona ni jinsi gani nilivyoponywa na kaburi. Mungu amenipa nafasi ya kuwa hai tena Namshukuru Sana.
Goodluck Gozbert nakupenda bure ww simchoyo hata kwa kufunza wenzako! Mungu akujalie mema! Uliimba vizuri na yeye pia ameimba vizuri! Haki nafarijika na zote2 yake na yako! Mbarikiwe you sing my life! Hulia sana nikiusikiza juu hukumbuka mengi!!
Cover kama mwenye nyimbo umeitendea haki sanaaaaaaaaaa Dada, cjui niseme nini aisee maaana kuna radha flani taamu. Anae ikubari hii cover gonga like kwa upendo
Jaman huyu Mungu n wa ajabu sana yan alipomtoa huyu mdadam hata camin kwel hakuna kinachomshinda Mungu kiukwel kambadilisha sanaaa co khadija tena n Natasha love u cc be blessed much Mungu azid kukutumia.
kunakipindi nilikufaa nikawa mifupa inayotembea ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho,, ila kwa hurumaa uliniponya na kaburi.. Kwa hurumaa sitosahau wema wako wee🎤 Huu wimbo umenifanya niwe naenda kanisani
For Sure,,,hiyo wimbo ya niinga...mkapa moyo...aimbu umefuta yani kuthalauliwa ni hushuni inaingia sana ukiwa umepitia mazito... Thanks am blessed in Saudi Arabia
Kwanza niseme Kila mtu kwenye maisha yake ameshawahi pitja vipindi vigumu sana Goodluck umeimba Wimbo Mzuri Sana Ever LKN uyo Dada kaimba kwa Hisia sana mpaka unajiona kabisa unabarikiwa,asanteni kwa wimbo Mzuri kila mmoja kwa nafasj yake ametisha (original song na ckver) Be blessed guys
Mwanamke, ulitenda haki ndicho nnachoweza kukwambia. Halafu Goodluck, your the Lion on that side of the jungle. Naamn unataka muziki mzuri sio tusikikize tu et kisa n wa dini. Kuna sanaa. Brooo massive resp. Totalky in it. Khadija ulifanya professionally. Mungu awabariki.
kiukweli hata mimi huu wimbo kwanza umebeba history ya maisha yangu na pia huwa nikiusikiliza lazima nilie hasa pale kunakipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea huwa naria sana,nahuwa najifariji na wimbo ule lia kidogo nyamaza duh,barikiwa mtumishi good luck huwa nyimbo zako kama umefatilia my life,sifa na utukufu nikwake bwana wetu
Spreading Joy Ndio! Upako wa Roho Mtakatifu hushuka panapokuwa na sifa yenye ibada ya kweli! Uimbaji wa sifa ya kweli kwa MUNGU hupokelewa vyema sana, Sababu uimbaji na kuabudu kwa sifa itakayo rohoni na kweli humfanya MUNGU ashuke karibu yako kupokea sifa hizo! Ni kazi aliyokuwa akiifanya Lucifer kule Mbinguni na kisha akaingia kiburi na kukataa kumtukuza, kumuimbia, kumsifu na kumuabudu MUNGU, ndipo vita ilipotokea Mbinguni na Lucifer pamoja na malaika walioasi na kumfuata wakashindwa na kufukuzwa Mbinguni wakatupwa Duniani!
Mungu ana vyombo hongera ni wimbo unamuhudumia kila mtu anaeweza kubahatika kuusikia Nimejikuta nikitokwa machozi Mungu akuinue na kukutumia zaidi ya hapo na akutunze sister Natasha
Iko vizur Sana Natasha yupo vizur mungu ampiganie nimeguswa pia god yupo vizur ,nimejikuta nalia asee ,nikisikiliza nyimbo iyo shukulani zangu nakuwa naman sana
This was one of my most favourite ❤️ song ,l get to tears whenever l listen to it! Good luck may God bless you forever 🙏💖💖💖! For you Natasha am touch may God bless you too! Peninah from Kenya
very touching,you nailed it Natasha,you are talented and may the good Lord take you higher so that His name can be glorified through singing as for Goodluck,men you are incredible,keep the fire burning,God bless you
Speaking of keyssss hahaha!!! But she did her best and the song has come out well.... Am proud of you gozbet.... It takes a heart do that.... Nimependa aiseee..... May God guide you all the way toward your ministry
GUDLUCK BRO HII NGOMA UMETOA WAPI 😫😫😫😫NGOMA YENYE MANENO MAZITO ❤️❤️MAY GOD BLESS U ❤️❤️❤️❤️ uliko nitoa ni siri ya Moyo wangu haya maneno kaka 😢😢yame ugusa moyo wangu Much love ❤️ from Australia 🇦🇺
Please where can get these songs nyimbo zako unibariki zote
Huu wimbo huu nimeusikia zaidi ya miaka mitatu iliyopita nimekuwa nikiupenda Sana Ila this time around umekuwa ni faraja kwangu baada ya mwanangu niliyekuwa natarajia angezaliwa mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza au mwanzoni mwa mwezi wa pili kufia tumboni Yarabi hata sijui ninini kilimkuta kiziwanda changu Ila Mungu anajua Yote. Moyo wangu umejawa na shukurani nyingi japo muda mwingine napatwa na uchungu Ila najua Mungu alinipa atanipa tena. Nikiwa chumbani nausikiliza na kuurudia zaidi hata ya Mara kumi na kujikuta napata amani maana hata Mimi niliona ni jinsi gani nilivyoponywa na kaburi. Mungu amenipa nafasi ya kuwa hai tena Namshukuru Sana.
Goodluck Gozbert nakupenda bure ww simchoyo hata kwa kufunza wenzako! Mungu akujalie mema! Uliimba vizuri na yeye pia ameimba vizuri! Haki nafarijika na zote2 yake na yako! Mbarikiwe you sing my life! Hulia sana nikiusikiza juu hukumbuka mengi!!
Am not a Christian but this is a masterpiece
2020 and it’s still my favorite song..kama bado unaikubali hii nyimbo gonga like😊
☝️
2021❤️❤️❤️❤️
@@mwanaidhussen1325 h
Dada unasautiiii moja amazing mnooo mnoooo bado naitazama 2024
nimelia pia mungu umenitoa mbali,,,asanteee sana BABA YANGU,,,,,,,,NAKUKOSA MNO WANISAMEHE
Cover kama mwenye nyimbo umeitendea haki sanaaaaaaaaaa Dada, cjui niseme nini aisee maaana kuna radha flani taamu. Anae ikubari hii cover gonga like kwa upendo
Jaman huyu Mungu n wa ajabu sana yan alipomtoa huyu mdadam hata camin kwel hakuna kinachomshinda Mungu kiukwel kambadilisha sanaaa co khadija tena n Natasha love u cc be blessed much Mungu azid kukutumia.
Paulina Gabriel Ala! Kumbe alikuwa anaitwa Khadija kabla ya hapo? Sikujua historia yake mwanzo! Amenigusa sana.
jamani huyu dada kwanza anasauti nzuri yani kaendana na kuimba hii nyimbo waaaaaao
kunakipindi nilikufaa nikawa mifupa inayotembea ikiwa kwa siku za usoni walisema tunazika kesho,, ila kwa hurumaa uliniponya na kaburi.. Kwa hurumaa sitosahau wema wako wee🎤
Huu wimbo umenifanya niwe naenda kanisani
Ulikonitoa ni siri ya moyo wanguu...
matopeni topeni umeniketisha na wakuu juu😭😭😭😭😭🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Huu wimbo kweli ni Baraka kwangu.sichoki kuusikiza.Mengi nimepata lakini bado ameruhusu tabasamu kwangu.Ubarkiwe sana
Hata nikiwa nasli unajua nasali unajua namaanisha 😭😭🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 umenipa heshima umenifuta machozi ☺️☺️🤩🤩🤩🤩🤩🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 AIBU UMEFUTA, FEDHEA UMEFUTA, OOOoooh 🔥🔥🔥🔥😭😭😭😭🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽GOD bless you Natasha and God continue to increase you brother Goodluky .....
naupenda sana ushuhuda katika wimbo huu...barikiwa Natasha na gozbert...I look up to you good luck kabla yesu kurudi napenda kufanya na wewe huduma
Da nyimbo mzuri sana💝💕 kipenzi wewe ni mwimbaji wa hari ya juu sana pamoja saaana wakati wote💋🎉🎊😍
Natasha hakika unasauti nzuri wimbo umeufanya uwe mpyaaaaaaa, BWANA MUNGU na akubariki katika huduma%%%
wewe goodluck gozbert Mungu akuweke miaka mingi hapa duniani na shauku yangu ni siku moja nije nikutane na wewe
For Sure,,,hiyo wimbo ya niinga...mkapa moyo...aimbu umefuta yani kuthalauliwa ni hushuni inaingia sana ukiwa umepitia mazito...
Thanks am blessed in Saudi Arabia
Nimetoka machozi jamani ushuhuda huu umenikuza na mimi na tena ni ushuhuda wa maisha yangu pia dada Mungu akubiriki sana 💕💕😭😭🙏🙏
Nimependa sauti yake kikweli..Yesu endelea kumtia nguvu Natasha yeye na familia yake..Amina🙇🙇..Nimelia😢..Asante Yesu umenipaa amani iliyo ya kweli🙇
Amen
Amen
Lost of words,,,,,, this is awesome ,,,,,,,Good luck na Natasha mbarikiwe sana,,,,,, kazi nzuri
Huyu dada ana kitu kizuri ndani yake. As she is singing there is that cloud of Glory coming down and covering the spiritual atmosphere.
True i saw it too😢
This song has really touched me kweli mungu amenitoa mbali Sana namshukuru
Kwanza niseme Kila mtu kwenye maisha yake ameshawahi pitja vipindi vigumu sana
Goodluck umeimba Wimbo Mzuri Sana Ever LKN uyo Dada kaimba kwa Hisia sana mpaka unajiona kabisa unabarikiwa,asanteni kwa wimbo Mzuri kila mmoja kwa nafasj yake ametisha (original song na ckver) Be blessed guys
Ni mmoja Kati ya waguswao Sana na huu wimbo
Shukran zangu Ni kwako Bwana Yesu
Kunakipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea😥😥😥
Anayependa kipande hiki.gonga like
Maikovin Company Yaani Mimi unanigusa kabisaaaaa
Jamani huyu kaka alifanya napenda nyingi za injili
Ana ujumbe wa kuhamasisha yani utaona kama day.. ..
She MADE me fall in love with this specific song😍😍😍
Here is a vivid explanation to the reasons why Christians and other true worshippers drop tears while worshipping......so grateful 4 y'all..
yah so very true
Ajali tulipata wengi umeluhusu nibaki na uzima asante sana Mungu kwa kuniokowa😭😭😭😭mimi ningekua naitwa marehemu
Mwanamke, ulitenda haki ndicho nnachoweza kukwambia.
Halafu Goodluck, your the Lion on that side of the jungle. Naamn unataka muziki mzuri sio tusikikize tu et kisa n wa dini. Kuna sanaa. Brooo massive resp. Totalky in it. Khadija ulifanya professionally. Mungu awabariki.
Vraiment ce chant me fait pleurer chaque jour que j'écoute cela , vraiment soyez bénis 😢😢😢😢😢shukurani zangu nikwako
kiukweli hata mimi huu wimbo kwanza umebeba history ya maisha yangu na pia huwa nikiusikiliza lazima nilie hasa pale kunakipindi nilikufa nikawa mifupa inayotembea huwa naria sana,nahuwa najifariji na wimbo ule lia kidogo nyamaza duh,barikiwa mtumishi good luck huwa nyimbo zako kama umefatilia my life,sifa na utukufu nikwake bwana wetu
Valentina Mussa hata mimi jamaniii
Valentina Mussa hata mimi jamaani
Huuu wimbo mkali saana huyu dada kaimba vzr kuliko og yke
Valentina Mussa ni kweli ule unaitwa hauwezi kushindana na......
Anyone listening to this wakati huu WA Corona virus gonga like
Kaka mungu akubaliki sana endelea kuwa na moyo huwo kazi nzuri sana
Unaweza kuhisi upako wa Roho Mtakatifu vile anavyoimba. Heartfelt testimony.... ninakushukuru Mungu
Spreading Joy Ndio! Upako wa Roho Mtakatifu hushuka panapokuwa na sifa yenye ibada ya kweli! Uimbaji wa sifa ya kweli kwa MUNGU hupokelewa vyema sana, Sababu uimbaji na kuabudu kwa sifa itakayo rohoni na kweli humfanya MUNGU ashuke karibu yako kupokea sifa hizo! Ni kazi aliyokuwa akiifanya Lucifer kule Mbinguni na kisha akaingia kiburi na kukataa kumtukuza, kumuimbia, kumsifu na kumuabudu MUNGU, ndipo vita ilipotokea Mbinguni na Lucifer pamoja na malaika walioasi na kumfuata wakashindwa na kufukuzwa Mbinguni wakatupwa Duniani!
Nakupenda,sana natasha,tokea,bongo freva nipo nawewe nakuombea kwa mwenyezi mungu azindi kuinua,karama yako/kipaji kwani yeye ndie aliyekupa.Amen
Safi Sana.... Kweli Bwana Yesu Kristo Hata Nami natoa shukrani
nimefurahi Sana dada ulivyookoka
Kwani I loved you since tht... congrats and welcome to the real world of love
Watu wa Te nawapenda sana, yaani ningekuwa Mungu kifo hangikekuwa na nafasi kwenu, ila basi shukurani zangu zote ni kwa Mungu
Huu wimbo unanibariki sana can't get off of it... Thank you goodluck and Natasha ... Yaani maneno pekee INA nguvu
AMAZING TUPO PAMOJA KWENYE KULIA, HOW TOUCHING, THAT'S WHAT WE CALL TALENT
Mungu awa bariki kwa ujumbe,nami najiunga nanyi kwa Ku mushukuru Mungu kwayoote anayofanya kila leo.
Daaaaah nimeliaa kiukwelii,nimepitia mengi asante baba
Huu wimbo haujawai chuja kwenye maisha yangu naupenda nikisikilza kwa Goodluck hata Natasha kiukweli umegusa moyo wangu,Mungu ambariki mtunzi
Kweli huu wimbo unaujumbe mzigo sana hata mm wanibeba hua nalia nkifikiri kule mungu ametoa shukurun zangu nikwako mungu .
Very powerful song God bless you Goodluck for this great song
2020 and still counting. One of my best Gospel Songs Ever.
Powerful Lyrics. Bottom to fill, I can relate.
God's good all the time.
Bless up
So powerful
Ndoa zimefungwa nyingi umeruhusu tubaki na amani😭🙏
goodluck may the good God bless you and always keep on using u again and again,, I love it (shukurani)... @ jimmy gift..
Mungu ana vyombo hongera ni wimbo unamuhudumia kila mtu anaeweza kubahatika kuusikia Nimejikuta nikitokwa machozi Mungu akuinue na kukutumia zaidi ya hapo na akutunze sister Natasha
Woman of God,Humble,Bless you Natasha
Huu wimbo umeutendea haki kbsaaaaaaaa,,, wonderful song... stayed blessed all
Iko vizur Sana Natasha yupo vizur mungu ampiganie nimeguswa pia god yupo vizur ,nimejikuta nalia asee ,nikisikiliza nyimbo iyo shukulani zangu nakuwa naman sana
Waoooh....u got a nice voice...nimependa ulivyouimba....umenigusa...sana big up...lets praise our Lord...
My favorite of all time… nabarikiwa sana nikisikiliza huu mwimbo najisikia kulia tu. Hakika mbarikiwe sana kwa kutubariki😇🙏🙏🥲😇
I rarely comment on UA-cam but this song is so fruitful,touchable and powerful.May God bless you 🙏🙏🙏
Kweli Watanzania Tunaweza🙏🏻🙏🏻🙏🏻
BIG UP🙏🏻👍🏼👍🏼GUDLUCK🎧💯💯💯💕🌹❤️
Sina chakusema dada Natasha umenikumbusha mbali xnaaa love u more my sister bless u
Nyimbo ina maneno Mazito kwa Mungu na ninapoimba najikuta nahisii moyo wangu unavunjika kwa Mungu. Nashukuru Mungu kwa hii nyimbo imenibariki sana.
mungu anatenda jambo kwa kila anayesikiloza wimbo huu. yaani unakuingia haswaaaa
Kwakweli
Catherine Msofe amin
Mungu akubariki saaana dada Natasha na Goodluck. Maneno ya wimbo huu pamoja na Melody yake vinagusa maisha ya watu wengi. Mungu awabariki sana
May God bless you brother whenever I listen to this song it bless my soul
I like this name Natasha Lisimo BWANA YESU akuinueee
This song is very deep. "Uliponitoa ni siri ya moyo wangu,..." May God bless you my dears!
Amen
Thanks GOD kwa hii song very proud I will testimony very soon coz touch me my life well done gozbert
This was one of my most favourite ❤️ song ,l get to tears whenever l listen to it! Good luck may God bless you forever 🙏💖💖💖! For you Natasha am touch may God bless you too! Peninah from Kenya
Asante kwa ujumbe mzuri,, umegusa maisha yang. Mungu awabariki
Beautiful n touching inlove with this version😍😍😍
Bless u Natasha
Saana
I can listen to this again and again Goodluck i wish you mentor me to perfect my music carrier.
wimbo !Mzuri asee yan malaika WA mungu wakuzunguke kila kona!!! ww Gudrack
God is great to us every day nice song
Nzuri sana iyo nyimbo mbarikiwe sana
Oooh dear you burst my tears last min when you cried.. Tears of joy God bless you
very touching,you nailed it Natasha,you are talented and may the good Lord take you higher so that His name can be glorified through singing as for Goodluck,men you are incredible,keep the fire burning,God bless you
Huyo Mungu wa Natasha nampenda jamani. Asante kwa cover nzuri sn
I shed tears... Its such powerful and moving song, 😢. 🙏.. Shukran no kwako. Tu Mungu!!
The song that brought me from such a dark place to light. I listen to this song everyday and it uplifts my spirit each time..,👌
Hii ngoma ni noma Sana aisee..
Gozbert we ni fundi aisee..
Na huyo dada ana vocal siyo mchezo
Speaking of keyssss hahaha!!! But she did her best and the song has come out well.... Am proud of you gozbet.... It takes a heart do that.... Nimependa aiseee..... May God guide you all the way toward your ministry
Ktk nyimbo zilizonya nimsikilize uyu jamaa ni(shukrani)
Yani nyimbo hiy nikiisikiya ,,,nakumbuka mengi sana mubarikiwe kbs
This song is such a masterpiece. Seeing Goodluck very involved and wanting the best for Natasha was incredible. May God richly bless you Goodluck
Ooh wow i love it
2020 and still healing to the soul. Anybody here?
Hongera sana Natasha,binafsi umenigusa sanaaa,zidi songa mbele.Mungu akutangulie
This is my favorite cover of this song, God bless you
Truly am blessed by this song. Uzuri wa Mola hailinganishwi kamwe na lolote.
Goodruck we we ni mtunzi hodari sana jembe mshukuru sana mungu kipaji hicho
huu wimbo unanigusa kweli shukurani tu kwa Mungu. be blessed
Wow sina mengi ya kusema so touching u've made me cry...keep up the good work
nyimbo za Gozbert zabariki hata mimi nataka nifanye cover moja Mungu akipenda
Uliponitoa ni siri ya moyo wangu😔❤️❤️much love from Mombasa, Kenya
I am happy to you Khadija to see you in the World of JESUS name,BWANA YESU akuinue zaidiii
mimi mungu ningekulipa nini, ulikonitoa ni siri ya moyo wangu matope ni topeni
. Maneno haya unibeba sana. God bless you guys
I really needed to hear this song. God bless you Goodluck
Song starts at 7:36
Margaret Wambui thank you help my MB
Wow wow natamani nami pia niwe mwimbaji kama wewe dada you really have a nice voice and also the song is very nice lile it
This song talks about my life. I have cried alot. Glory be to God.
11:56 😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏 machozi jamani this song touch heart ❤️
Amazing...Perfect job. Very uplifting. Thanks a lot great team. May God bless you abundantly. I am Blessed indeed.
Gozbert you're cooperative, am blessed with that
Labda hii cover isingekua ivo kama usingeshirikiana nae...
UBARIKIWE
Good work dada Natasha!💪
Kwakweli Im fil 2 cry...wimbo umenigusa sana!