TUNDU LISSU AENDELEA KUUWASHA MOTO MANYONI MASHARIKI AMZUNGUMZIA RAIS KAMA MAMA ABDUL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 14

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 6 місяців тому +4

    Huyu Jamaa kuna Roho ya Mungu ipo ndani yake

  • @muhamadsalim5295
    @muhamadsalim5295 6 місяців тому +5

    Watanganyika huyu mtu ni muhimu sana kwenu munapaswa kumtunza na kumuunga mkono kwa manufaa ya taifa lenu la baadae cc wazanzibari tulikua naye mtu muhimu km huyu Muslim seif baadhi ya wazanzibari wakampuza kwa maslahi ya watu wachache ss hivi wanatamani arudi tena duniani na nyinyi mtumie huyu mtu kabla mauti yake hayajamfika acheni itikadi zenu za kisiasa na kidini ekeni maslahi ya taifa lenu mbele

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 6 місяців тому +6

    Akili kubwa sana

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd 6 місяців тому +8

    TUNDU LISU MPENDA HAKI, HONGERA SANA KWA KAZI KUBWA YA UKOMBOZI UNAYOIFANYA. NAMWOMBA MUNGU AKUTANGULIE MPAKA IKULU.

  • @FrancesMichael
    @FrancesMichael 6 місяців тому +3

    Lissu mimi nakupenda sana ww ndio mtu wa haki unaongea mambo yanayotugusa watz wote

  • @NgombeMasalu
    @NgombeMasalu 6 місяців тому +1

    Hongera sana mh Lissu

  • @RaphaelMuna
    @RaphaelMuna 6 місяців тому +3

    Lisu mpigania haki🎉

  • @EliasJohn-lc8nu
    @EliasJohn-lc8nu 6 місяців тому +2

    Nakuona watu wengine wanakutukana watapata laaana tu hii ni zawad toka kwa mungu

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 6 місяців тому +1

    Huyu Jamaa ukiona humwelewi Jitathimini sana

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso 6 місяців тому +1

    Kweli samia hana mfuto kwa wananchi.

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 6 місяців тому +1

    Piga kazi Mheshimiwa

  • @hamphumichael7194
    @hamphumichael7194 6 місяців тому +1

    Mkombozi wa WATANGANYIKA NICHI HURU

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 6 місяців тому +2

    👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @evelina9621
    @evelina9621 6 місяців тому

    Honger!..waelimishe.nn.siasa.bora.uwongozi.ccmu.w ajipange.vizuri