Soma Surah Hizi X3Kila Asubuhi Na Jioni Ni Kinga Ya Mabalaa Na Shr/Sheikh Ramadhani Khamisi Kwangaya
Вставка
- Опубліковано 6 вер 2024
- Soma Surah Hizi X3Kila Asubuhi Na Jioni Ni Kinga Ya Mabalaa Na Shari/Sheikh Ramadhani Khamisi Kwangaya
Mashaa Allah Sheikh Ramadhani Khamisi Kwangaya akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Soma Surah Hizi X3Kila Asubuhi Na Jioni Ni Kinga Ya Mabalaa Na Shari/Sheikh Ramadhani Khamisi Kwangaya
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: /
► LIKE DARSA TV on Facebook: /
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
UA-cam @Darsa tv
TikTok @Darsa tv
Alhamdulillahi
Sheikh Ramadhani Assalam Alleykum.Mwenyezi Mungu akijaalie Afya njema wewe familia yako.Pia Umri mrefu wenye manufaa.
Mashaallah tabarakallah.Allah akupekheri sheikh.
Mashallaah sheikh ushauri mzuri kwa viongozi wa dini
Maan .shaallah shekhe .wetu❤❤❤❤❤ shukran..sheke🎉🎉🎉🎉
MashaAllah BarakaAllah Sheikh.
SUBHANALLAH
LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADAN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MUHAMMADIN WAALI SAIDINA MUHAMMADIN WA BARIK ALAIHI WASALLIM
Barakallahu Feek
Jazakallahl kheir sheikh
Shukran sana sheikh wetu M.mungu akubariki
Jazaakallaahu khaira
Allah akulipe kila la kheir
Allah akulinde Sheikh
MashaAllah, JazakaAllah, Allah(SWT) Ibarik, Ameen.
Jaazakrllah khaillah shehe
maashaallaah Allaah atulipe sote
Allah akulipe inshaallah
ALLAHU AKBAR
Asalaam aleykum shekh asante Sanaa mawaidha haha tunaomba pigs pacha kitabu njee ill tuagize piano tupate manufaa
Assalam aleikum Sheikh, naomba no yako
Points inauma kuona hata dirisha moja tu LA msikitini hadi mchango upite wakati katika waumini kuna mafundi kibao wachana mbao wapo wauza misumari wapo nk
ndio wapo kumbuka na wao wanatafuta risq. Lakini pia kila mtu anatafuta thawabu. Fundi atajenga kwa pesa kidogo kama swadaqa yake. Na wewe changia pesa wote mtapata thawabu
@@PILLYKHOMBO-kn5ud😅
Kama wewe ni muumini wakweli hili liseme ukiwa ndani ya nyumba ya mungu je wewe unaelalamika umichangia nini ndani ya msikiti wako tuwache unafk.
A aleykum
Mnaweza kuniambia ni sura gani jamani maana sina kifurushi cha kutosha kumsikiliza
Surah Al-Ikhlas, Surah Al- Falaq na Surah An-Nas
JazakAllwahu khairan ❤️
Shukran kwa kutuelimisha🙏
Asante@@babyzuh18
Na biblia tusome wap shekhe
Mashallah,Allah akulipe sheikh.