Essence of Worship Ft Imani Shoo - Una Nguvu (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- Isaya 40:28-31
Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki.
Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.
Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka;
bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital
WEWE ni MUNGU mwenye Nguvu Uinuliwe Sana Bwana wa Majeshi. God Bless you Essence of Worship
Mtumishi you should pull sth together
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏
Mungu wa majeshi pekee yako wewe ni Mungu mwenye nguvu
Huu sio wimbo😭😭..hizi ni nguvu za Mungu nimeziona hapa hapa zikiniingia😭😭😭nilikuwa mgonjwa mimi lakn wakati nasikilza huu wimbo machozi yakaanza kutoka na nikawa nahisi mwilini kama kuna hali ya tofaut yani sijui nielezeeje lakn😭😭😭😭..This is healing😭😭🙌...God bless you team🙏
Nipo hapa dukani lakini nimehudumiwa sana Mungu asante kwa zawadi ya essence of worship
Woow be blessed
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙌🏻
Hallelujah
Kabisa Naskia mwili unatetemeka 🙏🙏🙏
He who heals🙌😭🙏 Ni Mungu mwenye nguvu,sijachoka kuimba this song mpka Mungu atakapofanya kwangu🤌🏾😭🙌🙌
Amina amina yeye ni Elshaddai
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏
Bwana anaweza mambo yote hapa chini ya dunia hata na mbinguni.yeye hashindwi lolote lile yeye ni mungu mwenye nguvu. Anaye kubali hayo ajibu kwa comment akisema. Amen
Bonjr mes freres et soeurs en christ jesuis juniaJean je suis de nationalité haitienne je vis en Haiti 🇭🇹 je vous suivres sur UA-cam vous etres formidables mais ds cette video je sens que le seigneur es en nous soyez benis. Je comprend pas ce que vous dis dans cette chanson mais je sens l'onction qui manifeste je suis benis atraver cette prestation si merveilleu pour notres sauveur jesus christ.
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏
Hallelujah 🙌
Every knee shall bow and every tongue confess that He's God
All the love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 les show some love to the amazing team essence of worship Tanzania
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏
Essence of worship Uganda appreciates you again and again
Mungu awalinde Essence of Worship kwa kila wakati mnatujulisha kwake upya hii ni ya nguvu saana.Mhifadhiwe kabiisa
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏🙏
Wewe ni MUNGU mwenye nguvu zote..God bless you essence of worship
What a perfect timing (for me) for this song release!
May anyone struggling with anything, and listening to this song, be reminded that God is powerful!
Again, thank you Essence of Worship for your ministry.
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏🙏
@@Danielmparanyi 0
@@Danielmparanyiq
"But the hour is coming, and now is, when the true worshipers will worship the Father in spirit and truth; for the Father is seeking such to worship Him." John 4: 23
You guys are a blessing to our generation. Much love from Kenya.
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏
Am already,Kenyan hit like as we praise Jesus
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏
Kila wakat Mnatupeleka kwenye viwango vya juu kiimani,,,,,, Nyimbo zenu zinafanyik baraka kila wakat,,,, kila saa........ Mungu Awabarik xana watumishi.......🙏🙏🇹🇿🇹🇿
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuli sana. Songa mbele
Tunaiyona ibada sasa hiki ndicho ambacho Yesu kristo anataka kukiona kwenye ibada zenu watumishi wa Mungu.
Iakini sio ivyo tu waambieni watu hao juu ya nyakati za kurudi kwake Yesu kristo duniani kulichukuwa kanisa lake. Watu waache dhambi Amen.
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏🙏
Waiting like never b4
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏🙏🙏
Hakika wewe ni Mungu mwenye Nguvu
what a powerful song it encourages me in my studies my the almighty widen your ways
God of heaven is the Almighty God with mighty power
Nenda ufike kwa mafuta ya Roho Mtakatifu. Mungu ameweka jambo kubwa ndani yako madhabahu na kuhani akikataa kukusaidia Mungu atasimama mwenyewe alitangaze jina lake kwa wewe.
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏
Mhhhhhhhh!!!! Ndo Nini sasa
Hakika napokea nguvu sana ndani ya .Maisha yangu
🙌🙌 Aba father your Jehovah Rapha
Mungu wetu mwenye nguvu 🇹🇿🇹🇿🙏 ✨ Utupe nguvu Kwa wale wanaye kutarajia Kwa kila jambo
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏🙏
Wewe ni Mungu mwenye nguvu. Asante kwa maneno yaliyojaa ufunuo, wimbo huu unatufaa
Mungu awabariki,huwa nabarikiwa ninaposikiriza nyimbo zenu
Lile saa alilolisema Bwana Yesu kuwa lipo naona linatimia sasa roho mtakatifu tujaze sasa.
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports🙏🙏
Hongera mdogo angu @Ezra Mungu kwa WAKATI wake atakuthibitisha
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏
Hallelujah, revival is here❤❤❤
Upo uponyaji kwa huu wimbo 🔥🔥🔥
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏
Please pray for my healing from hormonal dysfunction. And for the assurance of a firm Foundation in Christ.
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏
What sort of dysfunction? if you don't mind my asking
New faces,new strength. keep up Essence of Worship and Gwamaka for giving young ministers opportunity to serve. Proud from 🇰🇪
Wimbo una upako kweli.... Essence Mungu awazidishia neema.Nyinyi ni wa baraka katika bara la Afrika na eneo la Afrika Mashariki
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports🙏
Wewe ni Mungu mwenye nguvu. Unamtoa mtu chini unamketisha na wakuu hakika ndivyo ulivyo bwana👌👌👌
Can't wait 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏🙏🙏
Hakika wewe ni MUNGU mwenye nguvu hakuna kama wewe.........GOD bless essence of worshp🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
hello mighty men .Would request you guys to do a live recording in Kenya. Gwamaka there is way Essence really connect with Kenya in the spiritual ream. Cant wait to see you guys tonight at KICC.
Ww niMungu mwenye nguvu nakuamini
Kuna nguvu kubwa sanaaaaa hapo inayobadilisha 😭😭❤️
Hakika Yeye ni Mungu Mweye Nguvu tena ni mweza wa yote
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏🙏
Waiting
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏🙏🙏
WEWE NI MUNGU MWENYE NGUVU EEH BABA HUJAACHA KUDHIHIRISHA NGUVU ZAKO KATIKA MAISHA YANGU BABA ASANTE SANA KWA NGUVU ZAKO
Mungu wa majeshi🙌
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏🙏🙏
I may not meet the requirements to host you guys in my village church in western Kenya ...but with God all is possible ,
Great job @Mwakalingatz
Kwa Mungu yote yanawezekana
Na hakuna mkubwa wala mdogo 🙏🏿🇹🇿, wewe amini tu
@@gloriousnp baraka
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏
@@Danielmparanyi amen ,umeubariki moyo wangu
MUNGU awabariki saaana aisee because mnatu inspire wengi
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports🙏
Wewe ni Mungu mwenye nguvu, I bless you Lord there is non like you Lord. Can't compare you with any other Jehova
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏🙏
Ameen🙏
Very simple
''unatosha Bwana WEWE NI MUNGU MWENYE NGUVU''
My fellow worshippers Kenyans we have now a worship songs in our lists
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏
My Song.... Oh Jesus...!!
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏🙏
Kuna uwepo wa Mungu wakiwango cha juu sana ktk wimbo huu,,,Huu sio wimbo tu nimaombi kamili mbele za Mungu.
kweli wewe ni Mungu mwenye nguvu..haufananishwi na yeyote wala chochote mbinguni na duniani..wewe ni Mungu peke yako..hallelujah
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏🙏
indeed HE is a POWERFUL GOD, besides HIM there is no any other, nataka nikuabudu wewe peke yako na kukuadhimisha wewe pekee. haulinganishwi, haufananishwi, hauhesabiki, hauzoeleki, wewe ni wa ajabu sana, wewe ni wa pekee, you so HIGH and lifted high. our provider, our deliverer, our healer, our source of being.. oooooooh I love you GOD ALMIGHTY
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏
Very powerful song God bless you essence of worship Mungu wetu ni mkuu kuliko chochote, Mungu wa majesh hakika hakuna wakufananishwa nae 🔥💖💖
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏
Kwà hapa Dar munapatikana wapii nabalikiwa na Huduma hii nielekezenii
Hakika MUNGU hafananishwi na kitu chochote MUNGU wetu ana nguvu yeye ni yule leo jana na hata milele anadumu ❤️❤️🙏 ALELUYAAA
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏
You guys,what you're doing is so incredible
I'm so blessed with you're ministry 🙌🙌🙌🙌
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports
Mungu awabarki essence of worship kwa huduma yenu nzuri mungu azidi kuwainua viwango na viwango
If you are a person of worship, while listening to this song you will find yourself tears are coming as it happened to me! Such a deep worship which uplift and reminds you that despite of hardships you pass through, there is GOD who is powerful and able! MUNGU awainue zaidi watumishi EOW kwa huu wimbo, musicians, lighting, video, sound, vocals are awesome! Be blessed more!
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏
halleluyaaaaaaaaa Mungu aishie milele ndiye mungu aliyekuwa, awaye na atakayekuwepo, Mfalme wa wafalme. Mungu mwenye Nguvu
Mungu ni mwenye nguvu, amezionyesha kwangu🙌 hata nilipokuwa nasikiliza wimbo huu.
Mungu azidi kuwabariki muendeleee kugusa maisha ya watu zaidi na zaidi.
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🥹🥹🥹 Mungu mwenye nguvu nyingi🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Nimeshindwa Zuia machozi yangu...... May Lord continue to raise u gyz more and more
God bless you
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏🙏
Ww ni mungu mwenye nguv San San San San🔥🔥 thenk you Jesus
Amen wewe ni Mungu mwenye nguvu❤❤❤
Amen kweli Mungu ni mwenye nguvu...barikiweni sana kwa kazi safi
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏🙏
Mungu wa majeshi ni Mungu mwenye nguvu.Nabarikiwa sana na hii nyimbo wakati wote!!!
Huu wimbo unaponya, this team is blessed. God to bless each and everyone of you Essence of worship.Amen.
what a powerful prayer, may the almighty bless each and every family rep ,ur a blessing to many and this song is just awesome
🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏🙏🙏
This song is my favourite song, it has blessed me soo much
Oh hallelujah!!!!! Mungu na atie nguvu wote walio wanyonge! Ndani mwake mna nguvu kuu...! Aliye ndani yetu ni mkuu!!! Naombea kila mmoja, kila huduma, kila ndoa, kila kazi, kila familia.... Nguvu ile iliyomfufua Kristo imo ndani yako..! Hallelujah! Asante sana Essence of Worship kwa huduma hii!
my best song of all time🙏
Bless you family.This is powerful .Wewe Ni Mungu mwenye Nguvu 🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏
Mungu wa majeshi,wewe ni Mungu mwenye nguvu,tutakwenda kwa miguu wala hatutazimia ..wamngojeao BWANA
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏
Barikiwa sana
Nawapenda sana essence god bless us
YESU uinuliwe Pote kwani unastahili na kutawala pote.
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏🙏
Amen wewe ni mungu mwenye nguvu
Wewe Ni MUNGU Mwenye Nguvu, unaponya , unainua na unabariki uiniliwe zaidi MUNGU wetu Unastahili kuinuliwa siku zote🙏🙏🙏🙏😇
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🥹🥹🥹 Mungu mwenye nguvu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Be blessed kaka Imani and essence
My favorite gospel ministry essence of worship,KWA HAKIKA WEWE NI MUNGU MWENYE NGUVU,unaponya kila magonjwa hakuna aliye Kama wewe mungu wetu🙏🙏🙏🙏🙏🙏such a blessing song that you just find yourself in deep prayers
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports🙏
Mungu mwenye Nguvu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏🙏🙏
Kwa maana Katika yeye tunaishi, tunakwenda na Kuwa na Uhai wetu.
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏🙏
Maisha yangu yako salama mikononi mwa Mungu!
Hakika nazidi kuelewa kuwa Mungu ana watu🙌🏾🙌🏾🙌🏾. Mungu wetu azidi kutukuzwa kupitia Essence of Worship. This song is heavenly😭😭😭Mbarikiwe sana ndugu zangu❤️🙌🏾
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏
Wewe ni Mungu mwenye NGUVU🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏🙏
Mungu azidi kuwapaka mafuta watumishi wa Mungu
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏
Essence of worship ....Naipenda Sana hii kwaya ...nyimbo zao zinanibariki Mno 😭😭Mungu nibadilishe mimi nifanyaje nawe ...nijaalie Nguvu mpyaa
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏
Mungu akufanyie haja ya moyo wako nawe ukawe zaidi yao Aminaa.🙏🙏🙏
Wewe ni Mungu mwenye nguvu...
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏
Ensence ni mnyenyekevu Sana
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu kwa kweli mimi ni mkosefu najua ya kuwa sienendi sawasawa na mapenzi ya Mungu lakini hakika wewe ni Mungu mwenye nguvu wanilinda pamoja na udhaifu wangu, pamoja na makosa yangu mwengi kwako..
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏🙏
My very best Song in this new franchise of essence of worship to God be the glory and multi bless the team 🙏🙏🙏
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏🙏
Amina Amina. Mungu azidi kuwatumia ili mkaendelee kuwa baraka zaidi kwa kizazi hiki na vizazi vijavyo. Upako wa Bwana hakika upo hapa
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏
Wewe ni Mungu mwenye Nguvu 🙌
Nimejazwa na Nguvu za Mungu 🙏
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏🙏
Kwa kifupi tu, jamani mnabariki maana Roho wa Mungu anaweka wimbo wa kusifu na kuabudu mioyoni mwenu.
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏
Mungu mwenye nguvu 😭
This is an intercessory song🙏🙏🙏 we bless the Lord He is All we need in our lives, Hallelujah 😭🙏🙏
Glory to God
God bless you dear essence of worship,
#Mungu una Nguvu
Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you for your supports 🙏🙏🙏
Wewe ni Mungu mwenye nguvu , unafungua na kuponya nakwamini
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏🙏🙏🙏
Unaponya ,unatosha ...Wewe ni Mungu mwenye nguvu❤️❤️❤️🇰🇪
This is so powerful
I can feel the touch of God through this song.
Essence of Worship with my young brother Eric Shoo keep uplifted
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you more!🙏