Mbona kila kitu mnambebesha Diamond? Kazi ya Meneja ni nini? Wakati AY anapanda mabasi kwenda kutafuta kolabo Kenya na Uganda kwa miaka ile, wasanii wengine si walikuwa wapo tu? Katoboa tena ndio aanze kulaumiwa kushindwa kuwashika mkono? The same applies kwa Diamond, wakati anajitafuta kwenda hadi Nigeria wenzake si walikuwa wanamuangalia tu? Waliona ubahili kutumia hela sasa hivi shida aletewe Diamond.? Badilisheni mindset.
Sauti iliyorekodiwa na ya live ni sawa..ni msanii wa hadhi za juu.
Kuna wasanii bongo hawana vyota hila wanajua.big up mjeda❤
Linex is underrated.. Vocals wah
Jamani, jamani, jamani how can this amazing artist be described, we must retain you linex.
Noma sana kigoma ni hatukamatiki 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Voa huyu jamaa noma kwenye live
Huu wimbo naupenda sana sana
Jaman kigoma yetu tuko juu kwa sauti zetuuuuuuu!!!!!! Za uimbaji mungu aendelee kutubles
Mwamba namkubali kinoma❤ kama unamkubali linex gonga like twende pamoja.
Linex unajua kwanini hutoi kazi mzee!!
Safi kabisa pambana mwamba
Watoto. Wa 2000 hawajui iz nyimbo
Juuu sana
Oscar mwambie boss wako ajifinze kupitia huyu c umeona vocals izo😂😂
Sio kujifundisha. Kila mtu na anavyozaliwa na kipaji chake, bosi wake hakuzaliwa na vocals na haziwezi kuja kwa kujifundisha
Sunday Mjeda
Best performance
Voice linex mjeda mnoooma
Linex Nini kakosea jamani
Noma
Diamond fanya kitu kumwokoaa linex mbona wasanii mnabaniana hivi???
Mbona kila kitu mnambebesha Diamond? Kazi ya Meneja ni nini?
Wakati AY anapanda mabasi kwenda kutafuta kolabo Kenya na Uganda kwa miaka ile, wasanii wengine si walikuwa wapo tu? Katoboa tena ndio aanze kulaumiwa kushindwa kuwashika mkono?
The same applies kwa Diamond, wakati anajitafuta kwenda hadi Nigeria wenzake si walikuwa wanamuangalia tu? Waliona ubahili kutumia hela sasa hivi shida aletewe Diamond.?
Badilisheni mindset.