Shekre tushushee usiwakatishe tamaa watu maana kuna watu wanaishi vizur tuu hata mtume wetu Muhammad SAW amemuita binti yake fatma .mungu akusamehe tuu maana unaenda mbali sana
Duuuuuh..!! Aisee. Nimejifunza kitu kikubwa leo. Dunia inasiri nzito sana na kweli Kila jambo linalofanywa na mtu au kitu kinachotokea duniani hakitokei kwa bahati mbaya...Kila kitu kina chimbuko na sababu za kutokea. Ninae Fatuma pia uliyoyasema nikimuangalia ni almost very big percent. Kikubwa kilichonifurahisha hapo Mimi ni P🙌 ananisumbua sana kwa kweli ila nampenda Sana na namvumilia pia.❤️✔️
Hii siamini kwasababu majina ya Herufi F. Yana bahati sana haswa wanawake wa F. Ni nyota kali sana nzuri yenye bahati wana mvuto mkubwa wanawake wa harufu F.. ❤❤❤
kaka ni mimi kabisa nilipo zaliwa nilipewa la furahini sangazi yangu marehemu akalikataa jina akanipa jina lake alilokua anaitwa yeye ndilo lilivuma paka leo lakini jina la furahini naona ndilo linanitawala yani unavyo ongea ni mimi mtupu kabisa
Kaka anaesema wewe muongo asikuvunje moyo chizi huyooo kaka mie naiywa frenk ila nimeslimu asaivi naitwa abubakari ila unayoyasema kuhusu sie wa f upo sahihi kabisa
Si kweli mm nitwa farida mbona hakuna mwanaume nilio Kaa nae akaugua magonjwa ya riri na hata kushuka kiuchumi zaidi yy hua tajiri au kipato chale hupanda 8:34

Ni kweli mtupu mana kuna ndugu yangu anafanya wema ila anavyo fanyiwa yeye ni mtihani
Ally kk. Niko na rafiki yangu anaitwa Francis .ni kweli uasumbuliwa na kibofu Cha mkojo.nikweli waaaah
Hii siamini kwasababu majina ya Herufi F. Yana bahati sana haswa wanawake wa F. Ni nyota kali sana nzuri yenye bahati wana mvuto mkubwa wanawake wa harufu F.. ❤❤❤
Ni kweli kabisaa f ni wakorofi ila Wana bahati sanaaa
Nikweli tuko na hasira lakini tuko nabahati sanaa
Yani hamjakosea mwenyewe ni hivo nina bahati Kweli
Hakuna kitu
F wengi hamkubali ukweli.
kaka ni mimi kabisa nilipo zaliwa nilipewa la furahini sangazi yangu marehemu akalikataa jina akanipa jina lake alilokua anaitwa yeye ndilo lilivuma paka leo lakini jina la furahini naona ndilo linanitawala yani unavyo ongea ni mimi mtupu kabisa
Asante ninae frenk kama una msema yeye.
Kweli kabisa naitwa mchawi mimi
Kweli yote unayoyasema asilimiya 1000000
Yaaani uliyoyasema ni kweli kabisa yooooote mimi nayapitia sana ila suluhisho ni nini maana mimi najua akuna kisichokuwa na tiba
Kwelii jaman
Yani Hyo sijamuelwa Hata kidgo utabiri wake
Nikwel kak mam Yang aitwa Fatuma nasumbuliwa Sana na yutiay
Sio kwel jaman watutisha tu😮
Ni kweli Mimi huwa Nina penda kuwa debdea wema watu lkn wao huwaa wana nijibu ubayaa. Na huwa Nina jitoa kwa kila mtu
Mhhh mbona mm nimemkuta mmewangu ayupo vizuri lakini saizi tupo vizuri san jamani
Mimi nina mpenzi wangu ni f na mm ni s nampenda siwezi kumuacha je nifanyeje ili nisije shuka kiuchumi
Me naitwa Farida nayaona Na mwanangu ananzia r je naweza kumbadilishia jina ana miaka 2 kasoro mwezi
dah kaka kuhusu jela yan mulemule nishaenda jela
Nimimi kbs 😢
Mi kila siku ni vita😢
Siokweli mimi mume wangu hanibanduki kwa utam nilonao nasi a tatizo lolote ukweni nat unaendelea vizuri tu kimaisha
😢😢
Kwakweli wewe ni zaidi ya mtafiti.❤❤❤❤
Acha uongo huo mbona mm na mtt wangu jina linaanzia n f lakini yote hayo hatunayo mh hapo umechapia kijana
Hat mm nikigomban n mdogo wangu asubh naumwa nyumbn baba anamwita mchawi ni mdogo hat miak 20 hajafk
Been so lucky in my life.
Kaka anaesema wewe muongo asikuvunje moyo chizi huyooo kaka mie naiywa frenk ila nimeslimu asaivi naitwa abubakari ila unayoyasema kuhusu sie wa f upo sahihi kabisa
Ukiwa na akili lazima utamuelewa tu
Nakupataje plzzzz ni mm kabisa
Mimi nina mpenzi wangu na jina lake linaanzia na herufi f na mimi pia ni f lakini napanga kuona nae je hatutakua na migogoro
Shekhe naomba nikuone ninashida
Kaka dd angu hivyo hivyo Yan kama umemuona du
Si kweli mm nitwa farida mbona hakuna mwanaume nilio Kaa nae akaugua magonjwa ya riri na hata kushuka kiuchumi zaidi yy hua tajiri au kipato chale hupanda 8:34
Sasa unabisha mwenyew kwenye kundi la watuote
Kwel mm Nina heruf f ila bahat Sina
Kama mimi kila Pahari ni nuksi tyu😢
Muongo kabisa kwaiyo hakuna jambo zuri katika nyota hii umetaja mabaya tu.
Kunaueezekano wakubadilisha jmn
Sio uongo nikweli kabisa hujakosea
Apo mi xierew ngoj nipit kwaz mbon mi nik n bahat san n baby wangu kafanikiwa san nikinun mamb ayaend mmmmm
We nae umzd uongo hayo unayosema uongo mtupu
Ww ni muongo kaka.
Kwanini unasema muongo
Uongo mbn me xkuumwa
Muongo kabisa kwaiyo hakuna jambo zuri katika nyota hii umetaja mabaya tu.