Kontawa: Mke (Lyrics Video) Based on Story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 778

  • @azzahdora3058
    @azzahdora3058 2 роки тому +163

    Ivi mnajua kontawa akiamua kuimba ile serious kabxa tunampata mtu mwingine kabxa na mi naona upande uo atatisha zaidi xio kwamba uku kwenye rap hayupo poa yuko vzr sana tena sana ila muziki wa kuimba nafikiri utampa sana pesa kutokana na watu wanaosapot ni wengi zaidi

    • @georgemronda7693
      @georgemronda7693 2 роки тому +5

      Namuona King zilla kabisaa hapaa

    • @kingvoice4669
      @kingvoice4669 Рік тому +4

      Mwanangu kontawa anajuwa sana bigapu sana ntawa

    • @rashidizenge4218
      @rashidizenge4218 Рік тому +2

      Tawaaa kwahaya mashairi anyo yatoa umetisha sanaa✍️🔥🔥🔥🔥

    • @kapona927
      @kapona927 Рік тому +1

      Kweli akiimba Anajua anakua mnomaa

    • @jumatingi2047
      @jumatingi2047 Рік тому +1

      Azzah Dorah Nakuunga mkono kk

  • @samwelmachage1245
    @samwelmachage1245 2 роки тому +37

    Haujawahi Niangusha Kaka Tawa🔥🔥 Good story

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 2 роки тому +1

      Hii hapa 👇.....🕊
      ua-cam.com/video/TwjTkvxxmA4/v-deo.html

  • @oribomakobisuruarinyaronami
    @oribomakobisuruarinyaronami 2 роки тому +14

    Love from Kenya....wapi like zake jameni

  • @jeancyrichard4613
    @jeancyrichard4613 8 місяців тому +2

    Wewe ni star wangu ninaye moenda 💗💗💖💋

  • @abiasifredrickdima3255
    @abiasifredrickdima3255 2 роки тому +5

    Ntawa we ni Nyoko Sana hujawahi tuangusha wahuni🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @bachrispre734
    @bachrispre734 8 місяців тому +2

    bro we ni mkali Kwa utunzi mungu akuzidishie Sema TAWA TAWA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FelixMatiabo-cn9qm
    @FelixMatiabo-cn9qm 6 місяців тому +1

    🎉🎉🎉 yuvu Master of tawa unajuwa xan kaka 😢😢😢

  • @saidgongo7182
    @saidgongo7182 2 роки тому +7

    Ila TAWA uko vzur mno kwenye aina hii ya nyimbo🔥🔥🔥

  • @Inanoproduction
    @Inanoproduction Рік тому +11

    this guy is serious a rapper...ana story ambazo ni nzuri sanaaa

  • @AndrewGodfrey-l2p
    @AndrewGodfrey-l2p Рік тому +3

    kontawa best of best 🎉❤ more love more blessing

  • @elidaalenx6547
    @elidaalenx6547 Рік тому +1

    Uko vizur kontawa mungu atakusaidia usijal mwaya

  • @pukaonlinechannel9924
    @pukaonlinechannel9924 2 роки тому +1

    Unajua sana broh fanya mpango mkutane na @dizasta vina mtaua ataree

  • @aswanmusic
    @aswanmusic Рік тому +14

    Kaka una uwezo na story unazoimba ziko true. Mimi hapa shabiki wako wa kitu cha kwanza,big up!🎶💖

  • @ramadhanijumbe7965
    @ramadhanijumbe7965 2 роки тому +5

    Ime bidi nirudie hii ngoma 🔥🔥🔥🙌🙌

  • @djbillionsafrica5837
    @djbillionsafrica5837 Рік тому +1

    Mashairi yaliyopangwa kweli I love ❤️ Kontawa #🇰🇪

  • @SuleJuma-k4j
    @SuleJuma-k4j Місяць тому

    Mungu akulinde blood yangu haujawah kutuangusha you is really amazing boy from Africa big up xana Ngoma zako tunaishi nazo

  • @yussufhassan001
    @yussufhassan001 2 роки тому +1

    Walahi hii song ni kali imeweza bro

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace3509 Рік тому +2

    Woooow am so proud of u.
    Ongeza bidii uchukue tunzo.

  • @fabianmargareth7687
    @fabianmargareth7687 Рік тому +1

    Nimependaaa

  • @matikomatiko9634
    @matikomatiko9634 2 роки тому +4

    Daaah congratulations 🎉 bro uko poa sana hii ngoma na doctor nimezielewaaah

  • @nicksonchisunga3062
    @nicksonchisunga3062 2 роки тому +1

    Daah umeuwa mwanangu noma sana

  • @michaelbenedict1200
    @michaelbenedict1200 2 роки тому +1

    Comment kutoka visiwani😂😂 comment la kivita yaani mwambaaa huyuuu hapaaaaa🌴🌴🌴🌴🌴🏝🏝🤣😂 🔥 ngoma ya kwenda💪🏿

  • @kelvinmtai5804
    @kelvinmtai5804 Рік тому +3

    🔥🔥🔥🔥🔥 nakubali sana kontawa big up much love from Kenya 🇰🇪(254)

  • @jumaasungwi6574
    @jumaasungwi6574 Рік тому

    Mwenetu kontawa tunakubali .....Dunga mawe

  • @allymachejo2996
    @allymachejo2996 2 роки тому +2

    Daaaah tumekosa mke hapo 🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿

  • @cesardkabulo4525
    @cesardkabulo4525 Рік тому

    Bro Niko Congo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 unajuwa sana mungu akulinde nasafari ya muziki kontawa

  • @mwende6722
    @mwende6722 Рік тому +1

    Umeweza kaka najaribu kama ww

  • @Allenafro_ibo
    @Allenafro_ibo 2 роки тому +2

    Kizazi sanaa tawa unanyoosha mno blessing 2 you

  • @shinertz2092
    @shinertz2092 2 роки тому +6

    U alwys drop the movies 💥 can't wait......

  • @shaniahrachma7767
    @shaniahrachma7767 Рік тому

    💯🤗🤗🤗much love from kenya unajuwa baba shikamoo

  • @shabanirashidi2486
    @shabanirashidi2486 Рік тому

    daah mwanang umetisha sana nyimbo saf sana hii

  • @octavian54
    @octavian54 2 роки тому +2

    Wanaoimba good music hawana nyota wenye nyota wanaimba kawaidaa daaaah😭😭😭one day yes go TAWA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mussamashiku9278
    @mussamashiku9278 Рік тому +1

    Broo kwakweli ngoma zako kiboko sana afu zinafundisha sana nakubar sana kaka popote ulipo

  • @fazilimngodo8535
    @fazilimngodo8535 Рік тому +1

    Uyu mwamba stoli sjui ata anazipata wap mnyama Sana 🎵🎶

  • @izackhongoli8099
    @izackhongoli8099 Рік тому

    tawa shikamoo sna Neno kwako Kaka uyujamaa nifundi asee

  • @rosehiiti6390
    @rosehiiti6390 2 роки тому +1

    Nakukubali hujawahi kuniangusha keep it up 👍 my G🥰

  • @heritagecyber4107
    @heritagecyber4107 Рік тому

    Nomaree kijana ya mwea amema ni fire

  • @kachamaparty5718
    @kachamaparty5718 2 роки тому +2

    Alaways huna kazi mbovu
    Be blessed tawa✊🏽

  • @mansooral-sagafy4702
    @mansooral-sagafy4702 2 роки тому

    Talended boy huna kazi mbovu TAWAAAAA

  • @sparksthedeejay
    @sparksthedeejay Рік тому

    😳😳😳 Masaibu kwa siku moja mzee 🤣🤣💪🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🔥♨️

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 2 роки тому

    We bana wewe 🙌🙌🙌🙌🙌😀😀😀😀😀 yaaan storii haiishii masikioni

  • @beatriceshayo8656
    @beatriceshayo8656 Рік тому

    munyama... kontawa good mungu akutangulie kk

  • @juliaslotannjoolai6700
    @juliaslotannjoolai6700 Рік тому

    Mungu ibaraki Tanzania kazi nzuri

  • @YvesNdayikengurukiye-n7p
    @YvesNdayikengurukiye-n7p Рік тому +2

    Tawa Bhanaa🔥🔥

  • @mariayoeni4211
    @mariayoeni4211 Рік тому

    Jaman Mimi nakupenda kontawa...😍😍😘

  • @thomsanga7956
    @thomsanga7956 Рік тому

    Nipo hama Marekani nakula mziki mzuri wa kontawa, bless mdogo wangu 🙌🏿

  • @gezaulole7501
    @gezaulole7501 2 роки тому +1

    Dahh umetisha sana kaka kwann usiendelee kuimba km iv manaake mpk uyo dayoo aingii ndani

  • @benjaminsemwenda3152
    @benjaminsemwenda3152 2 роки тому

    Hii style yako ya uimbaji ni ya kichoko achana nayo, endelea kuflow kama zamani....

  • @Rose-yp9zt
    @Rose-yp9zt 2 роки тому

    Uko poa sanaa kaka pambanaa nakukubaliiisanaa

  • @onesmo004
    @onesmo004 Рік тому

    Kontawa mashabiki zako tunakuona mbali sana tunaamini hutotuangusha kabisa

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 Рік тому

    Kontawa wew daaaah unajua mpaka unakera 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @aloyceurio306
    @aloyceurio306 2 роки тому +1

    Story nzuri snaa, big up
    Koooontawaaaaaa una hatari mdogo wangu,

  • @princekusali7949
    @princekusali7949 2 роки тому +11

    @Kusali from Kenya
    I love the lyrics 🔥
    You good Kontawa 👊✊

  • @jumamwmpashi-mj8zy
    @jumamwmpashi-mj8zy Рік тому

    nakubali song zako ❤ kontaw

  • @NzwibaSaidi-mt6xe
    @NzwibaSaidi-mt6xe Рік тому

    Kontwa brooo hakika unajua sana kaza tuuu

  • @humblehavox2548
    @humblehavox2548 2 роки тому

    kontawa man uko sawa unafow vyaani huwezi AMINI, bonge la ng0ma

  • @mustaphamsofu8590
    @mustaphamsofu8590 Рік тому

    Quality and brilliant idea ang good music

  • @jumamfaume3249
    @jumamfaume3249 2 роки тому

    👍👍👍👌👌ngoma imesimama kaka salute xanaaaa

  • @johnshao6745
    @johnshao6745 2 роки тому

    Mhh mwamba umepangilia👐👐👏

  • @alitozzazoofficial1787
    @alitozzazoofficial1787 Рік тому

    Tawa umeua bana umenibamba much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ErnestKarrova
    @ErnestKarrova 7 місяців тому

    Hawawana wanajua sana2

  • @officialkayaya8542
    @officialkayaya8542 Рік тому

    Nimekufata uku kwasababu Championi nimeielewa

  • @rogathjmrema2221
    @rogathjmrema2221 2 роки тому +1

    Hapo utok mzee wangu

  • @sandromiyad8855
    @sandromiyad8855 2 роки тому +4

    story imefika hadi komoro 🇰🇲🇰🇲 ... big story and big up sn bro

  • @saisipistyles
    @saisipistyles Рік тому

    Talent 🔥 uyu aisee ni kipaji

  • @sullivanofficial.5201
    @sullivanofficial.5201 2 роки тому

    Oaaa ,kontawa anajua ni kisengee bana

  • @claoudytz9035
    @claoudytz9035 2 роки тому +4

    Respect kaka uja wahii kuniangusha mtu wangu 💯💯💯🔥

  • @jamesprincealiass
    @jamesprincealiass 2 роки тому +4

    Hii story nikama nishawahi kuskia ila ulivyoihadisia umeongeza utamu na manjonjo #Umetisha #Kontawa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥

  • @angeloelia8224
    @angeloelia8224 2 роки тому +1

    We jamaaa fire 🔥🔥 sanaaaa

  • @Luck_Kipaji
    @Luck_Kipaji 2 роки тому +4

    We Waiting For This Awesome Brodah Hujawahi Niangusha

  • @byaombembella5585
    @byaombembella5585 Рік тому

    kaka ume weza San kwenye hii ngoma 🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @msabatoinocent328
    @msabatoinocent328 Рік тому

    mungu akusaidie weee jamaaa unajua San kuimba

  • @starmo9887
    @starmo9887 Рік тому

    Weeèee mbwaaaa unajuaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀

  • @nellyflavour635
    @nellyflavour635 2 роки тому +1

    Utapa mwamba komaa hapo hapo🔥🔥

  • @buddahmakucha6848
    @buddahmakucha6848 2 роки тому +3

    Daktari,and mke my favorite songs 💯🔥🔥💫

  • @saidmpate3248
    @saidmpate3248 Рік тому +1

    Dah mwanangu mzk unaujua

  • @shabaniiddi688
    @shabaniiddi688 Рік тому

    Jamaa mashairi yanatufikia San

  • @Hemedymalunga
    @Hemedymalunga 6 місяців тому

    Duh kk we noma nakubali

  • @Mr.Nyingi
    @Mr.Nyingi 2 роки тому +1

    Oya Mwanangu TAWA 😂😂😂😂Apo umeisha sema bonge la Ideas ☝️

  • @doreendaudidoreen
    @doreendaudidoreen Рік тому

    Safiiiii Kaz nitakusapot na mm nitakuja kuimba kama ww

  • @elmara2561
    @elmara2561 2 роки тому +1

    Aujawayi niangusha 💪💪

  • @sagumosospeter9963
    @sagumosospeter9963 2 роки тому

    Kaza homeboy zaidi ya hapa uje kua na jina la uelimishaj na uburudishaj

  • @wasaficomedian3219
    @wasaficomedian3219 2 роки тому

    Daaaaaaaaaah nakubali sana hujakosea

  • @eliasmwita5653
    @eliasmwita5653 Рік тому

    Nakukubal sana kontawa unajua sana kijana

  • @nelsonmaganya5391
    @nelsonmaganya5391 Рік тому

    Nishakuwa shabiki yako bro I like how you sing salutations

  • @producergasper-bl7em
    @producergasper-bl7em Рік тому

    Mashine zipo nyingi dar ila kontawa ni baba laoooooo kweliiiii

  • @godefroidgodfreybasubi8204
    @godefroidgodfreybasubi8204 2 роки тому +1

    Yho mzee baba iyi kali kishenz bro much love from captown south africa

  • @Kimmyy99
    @Kimmyy99 2 місяці тому +1

    Oya mwamba anajua 😢😊

  • @japheblessin8837
    @japheblessin8837 2 роки тому

    Nmependa ufundi wa kishule,hii inataka makini ukisikiza

  • @TMS_17
    @TMS_17 2 роки тому +1

    Aaah Tawaa Mfalme wa Sadfa na Kinaya...Ngoma kaliii 🔥

  • @bugenetv
    @bugenetv Рік тому

    Huu ndo utofauti tunaoutafuta kwenye hiphop muzik sio punch tu but how you write your stanza nimependa sana real excited

  • @abdullujuo4776
    @abdullujuo4776 2 роки тому

    Niliisubir kwa mdaaa sana

  • @jumajob6410
    @jumajob6410 2 роки тому

    😂🤣😅🤣ngoma kali sana.sema mke hupati😂

  • @huguettelutumika7125
    @huguettelutumika7125 Рік тому

    Asante harmo uyu jamaaa anajuwa kabisa ila nilikuwa simufaham ila kutokan na remix ya i am champion namufaham sasa

  • @lucasjonas2987
    @lucasjonas2987 2 роки тому

    Upo vizur sana mwamba

  • @lumo9999
    @lumo9999 2 роки тому

    Mjuba umetisha kinomaa

  • @eliasmaro2964
    @eliasmaro2964 Рік тому

    Yeeeh kakaka mikono juuu unajuaa

  • @TechnoceFabien
    @TechnoceFabien 5 місяців тому

    Apo aupati mke kweli broo

  • @blackdigits1
    @blackdigits1 2 роки тому

    Uyu jamaaa anabonge la sauti mzee

  • @3malis
    @3malis 2 роки тому

    Hiii haina kuchimba dawa ✊🔥🔥🔥🔥