This was nice.... Family is very important, nimeone a few of your guests wanarelay sana on family positively..... Cheeers to vijana who chose to establish healthy 2 parents homes
Bro Charles hauna utulivu kwenye maiki ....mi ni mmoja ya watu napenda sana podcast yenu ila daaah kuna time unakuwa kama wasafi fm pale uyu anaongea yule anaongea tena Charles ndio huwa una mix mambo si wengine tunaplay podcast kama hii kwenye sehemu ambayo watu wengi husikiliza sasa kelele zikiwa nyingi inapoteza maana halisi ya podcast muache mtu amalize hoja then huliza hoja yako ....ila yoyote kwa yote napenda sana podcast yenu
I love the way she articulate herself, Ni wasanii Wachache sana tz wanauwezo wa kufanya interview bora kama hii, wasanii nendeni shule
💯💯‼️
And the code mixings were so on point
This was nice....
Family is very important, nimeone a few of your guests wanarelay sana on family positively.....
Cheeers to vijana who chose to establish healthy 2 parents homes
Well said🎉❤️
My best show
😍
Great interview
Ulisema utamleta feisal tunamsubiri kinomaaaaaaaaaaaaa... keep it up broh...💥💥
Branding,big up Matukio
🎉🎉
Madini flan
😂hilo swali la wadada to be desperate na ndoa umetisha sana 👊👊
Nice
Jimmy anatoa madini sana 💥💥💥👏🥂
❤
🎉🎉
Bro Charles hauna utulivu kwenye maiki ....mi ni mmoja ya watu napenda sana podcast yenu ila daaah kuna time unakuwa kama wasafi fm pale uyu anaongea yule anaongea tena Charles ndio huwa una mix mambo si wengine tunaplay podcast kama hii kwenye sehemu ambayo watu wengi husikiliza sasa kelele zikiwa nyingi inapoteza maana halisi ya podcast muache mtu amalize hoja then huliza hoja yako ....ila yoyote kwa yote napenda sana podcast yenu
😂😂 sometimes kweli hivi sema unyama tu tutazoea
acha ujuaji
Nafikiri ndo utofauti wake na interviews nyingine. I like it🫡
Basi mimi napenda sana anavyohangaika Yani hatulii kbs mimi naenjoy sana Yani saana NAPENDA MBWEMBWE ZAKE😂😂
Here for Jimmy
Hivi vipindi kila baada ya siku ngapi vinakuja UA-cam
Tuletee dj ally b
nikki mbishi mlete kaka
The host is talking too damn much. He needs to shut up sometimes.