She nimeota jini amefika nyumbani kwangu mke wangu akasema jini wako kafika eneo alio tokea kukawa kuna moto alikua mdogo alipotoka kwenye eneo la moto kuja kwangu akawa mkubwa mno akampoteza mke wangu nikawa na mwambia mke wangu namuitaji akujibu nikawa namfokea akanipa kitu wakati na muamlisha akanipa kitu alafu akaamua kurudi kwenye alipo toka na mke wangu akawa ananiamsha kua naota kwa kupiga kerere
Nimekuelewa sana Allah azid kukujalia inshaallah
Jee tufanye vipi kuji saidiya sheikh tuko mbali tusaidiye n’a dua ao aya za quran kuwa rudisha njiya njema
Mmm kaka huwa wakati mwengne najisikia kisunzi kwa ghafla tu au nionemacho hayaoni vizur ghafla vinaacha
Kwann mm nikifanya uradi ninakuwa na kizunguzungu cijelewi na usingizi mzito
Asalaam aleykum Sheikh mie nasumbuka Kwa kweli
waalaykum salam pole
Mimi nimeambia kama mara tatu hivi nitafute vazi rangi furani
+255756479879
Asalam Alykum,Ustadh wangu nikama ndo yuko mbele yangu kulingana nayale napitia,sasa utanisaidia vipi kuniweka sawa,Tafadhal
+255756479879
Napia kila mara naota mwanammke ananipa pete
Nitajuaje Nina rohani yupi Ako mbele au nyuma
+255756479879
Asc ustadhi tunaomba namba yako tafadhali 🙏🏿
+255756479879
Namba yako ni gani
0756479879