AHMED ALLY: MAYELE HAKUUZWA NA YANGA | HATUJAPATA HASARA KUMUUZA INONGA | KUHUSU NIDHAMU YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 чер 2024
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 49

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 3 дні тому +1

    Ahmed uko sawa

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 6 днів тому +2

    Semaji la wasemaji handsome boy wetu huyooo wanaonuna wacha wanune tupa kuleeeee!

  • @MusaAli-gl1ue
    @MusaAli-gl1ue 6 днів тому +2

    Inawaumaaa wakisikia sauti ya Ahmed

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 6 днів тому +1

    😂😂😂😂 oruma maswal yote yameyayuka baada .......bila d 2 huwez kuelewa

  • @mubaraalichiku6089
    @mubaraalichiku6089 4 дні тому

    Ahmed Ali Nakuheshimu lakini msenge, aseme ukweli mbwa koko ww

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 6 днів тому +2

    😂😂😂 alomuona oruma anajichekesha akicheka kinafiki 😂😂😂😂,

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 6 днів тому

    SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @HajiJuma-oy1jy
    @HajiJuma-oy1jy 12 годин тому

    Huna mamlaka yakusema bei lkn mamlaka yakuisemea Yanga unayo

  • @user-lj8jp9dc9l
    @user-lj8jp9dc9l 6 днів тому

    Wee jibu la inonga ya mayele hayakuhusu. Hivi huo fara walimchaguaje kuwa msemaji.

  • @gabrielgwawu4026
    @gabrielgwawu4026 5 днів тому

    Chizi chizi tu. Na badoooo.!! YANGA BINGWAAAAAA TENA NA TENAAA

  • @IssaAbdallah-rt2sh
    @IssaAbdallah-rt2sh 4 дні тому

    Ats nini utajua mambo ya mayele kweli

  • @HalidiKilale-d2n
    @HalidiKilale-d2n 5 днів тому

    Semaji la visemaji Sauti ya jogoo akiwika Hadi vijiji vya jirani wanaskia sauti.

  • @IssaAbdallah-rt2sh
    @IssaAbdallah-rt2sh 4 дні тому

    Sasa kwani yanga walimuuza mayele hata jambo la kweli yanga hamlitaki washamba sana nyinyi gongo wazi

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 6 днів тому +1

    Huyu ni msemaji sahihi kwa klabu yetu. Msemaji huwa hakurupuki

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt 6 днів тому

    Huyu msemaji ni komediani sana sasa watu wanakuliza yeye analeta mzaa kweli simba mjitahidi kutafuta wasemaji Wenyeweredi

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 6 днів тому

    Semajiii wakeereeee wenye vifukunyuku

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 3 дні тому

    Mda wa madunduka huu kutamba ligi ikianza mateso mpaka mda wadirisha dogo wanaamkaga tena

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 4 дні тому

    Inonga marehem duuuu

  • @user-xm5xg1tt6d
    @user-xm5xg1tt6d 5 днів тому

    Mayele alikua yanga kwa mkopo

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 6 днів тому

    Huyu msemaji 😂😂😂😂

  • @user-mg1yl2rl8s
    @user-mg1yl2rl8s 6 днів тому

    Mkataba umeisha unasemaje mmemuuza...hii klabu ni uongo uongo tuuu

  • @AbrahamanHussein
    @AbrahamanHussein 6 днів тому

    Huyo ahemed ni mpumbavu kazoea kuwadanganya makolo anawaina wote

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 6 днів тому

    Waandishi na ninyi wachambuzi,kfk hilo jibu lake huyo comedian(siyo msemaji wa simba)muulizeni swali dogo tu, ambalo halihitaji elimu ya chuo kikuu. ATS ya Mayele ilitoka klabu gani wakati anakwenda Plamidy?

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 6 днів тому +1

    MAYELE ALIUZWA NA SIMBA BASI

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 6 днів тому

    Wewe ndio semaji la caf simba nguvu moja

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 6 днів тому

      Nguvu Moja huku mkiteseka nyeee ni Hoya Hoya kweli

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 6 днів тому

    Sasa wewe unauliza bei YA mchezaji ili wewe iweje? Acha kuichokonoa Simba

  • @twahakabajemi9716
    @twahakabajemi9716 4 дні тому

    Kama yanga hawa kumuuza wewe inakuathiri nini?

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk 6 днів тому +2

    Wewe ahmedy ally ni matako kabisa Sasa una mamlaka Gani ya kusema mayere hakuuzwa na yanga wakati hukushiriki kumsajiri hapo umenihudhi pakubwa