ALIKIBA AMSIFIA MWIJAKU MBELE YA WAANDISHI AMTUPIA MZIGO WOTE KUMLIPA HELA NYINGI ATOBOA SIRI NZITO
Вставка
- Опубліковано 2 чер 2024
- Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny - Розваги
King kiba unapenda mno Allah akuhifadhi ❤❤❤
King kibaaa..
Ali kipenz cha watu
Hili limeijaku ni libunifu sana sema litashusha brand ya kiba kwa sababu ya kuendekeza njaa muda wote hata kwenye vitu serious anataka aokote😅
Yaan Ali kiba angetakiwa awe mtoto wa Kikwete. Wanafanana😂😂😂
Kweli mkuu sijawai fikili ila nikweli 🙏🙏🙏😂😂
Wakiongea pia
Me huwa na waswas pia tena ukimchek na kwny aje video ile suti nyeusi utasema kikwete wakat bado kijana
Hahahaaa
😹😹😹😹😹😹
Zawadi Gani?
Zawadi ya gari.
Hiyo shati ya kiba naiona kwa maara ya nne sasa. Au ndo special kwa wandish wa habar
Alikiba haishi kistaa anaishi kawaida kama watu wengine maana akiamuxha kuixha kixtaa kama ukubwa wa jina lake mtamuogopa Kwaiyo uximxhangae kurudia nguo
Kwa hiyo akivaa mara 1 alitupe?