RECAP: ALIKIBA, DIAMOND, HARMONIZE COLLABO INAKUJA?? MAPUNGUFU POA YA NANDY NA MAUA SAMA, UPENDO TU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @christiancuma6146
    @christiancuma6146 3 місяці тому +5

    Bro. Mbona hauja fanya Recap juu ya studio na vipindi za Crown media? Love from Congo

    • @ISSASHABANI-sw7lx
      @ISSASHABANI-sw7lx 3 місяці тому

      Kwa nini asiemde yeye kwanza kimataifa mbwa huyu kwani yeye hafai kwenda huko kimataifa

    • @WendoJuma
      @WendoJuma 3 місяці тому

      Kweli kabisa..jamaa mnafki sana

    • @mustafamsati9599
      @mustafamsati9599 3 місяці тому

      Mi nishamsona hivi ushawai kuona anatoa mapungufu wimbo hata wa msanii mmoja wa wcb ? Hata aimbe hovyo

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 3 місяці тому +1

    Huku kila siku nilikutoa nilikutoa nilikutoa nilikutoa Haaaaaa

  • @mustafamsati9599
    @mustafamsati9599 3 місяці тому +2

    Mapungufu yanakuaga kwenye nyimbo ambazo sio za WCB tu hahaha yan hata huna aibu et upendo wakati roho inakuima

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 3 місяці тому +1

      Huyu huwa ni chawa kindakindaki wa WCB

    • @SharafiPanjoro-mg9uw
      @SharafiPanjoro-mg9uw 3 місяці тому +1

      umeona eeeh huyu jamaaaa mapungufu Anaona nyimbo nje na wcb tu huyu jamaaa sijui yukoje

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 2 місяці тому

    Wasanii wetu kufanya collabo inawezekana ila shida huwa inakuja pale je, nani atakuwa mstari wa mbele kumfata mwenzie kuomba collabo? Tatzo liko hapo bwana Armando 🙄

  • @IssaIssa-wc6nm
    @IssaIssa-wc6nm 3 місяці тому

    Kulilia kolabo zakimkakati tu ... Kusapoti wasanii waendembele aaaah utaki

  • @BarakaHarrison-l4t
    @BarakaHarrison-l4t 3 місяці тому

    Nadhani unaota ndoto ya mchana sana ww hakuna kolabo apo

  • @frankngoloka5416
    @frankngoloka5416 3 місяці тому

    Wabongo atupendani

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 3 місяці тому

    Hapo kwenye Alikiba na Diamond daaaahh hatari....

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 3 місяці тому

    Asante sana mchambuzi wetu umeongea vzr sana kweli wasanii wetu wawe wamoja

    • @mustafamsati9599
      @mustafamsati9599 3 місяці тому

      Kwaza yeye mwenyewe hana upendo na wasanii hivi nikuulize umesshawai kuona anatoa mapungufu wimbo wa hata uwe wa kucoppy ila ni kutoka wcb?manguf ni kaz ni kwenyekaz Za wasanii ambao sio anaowapenda tu je yupo fea? Huyo mtu ni chawa tu hana lolote anakatisha tamaa wasanii

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 3 місяці тому

    Nani kakudanganya King na Dainamoo ni jambo la kibiashara?

  • @dicksontimotheo7617
    @dicksontimotheo7617 3 місяці тому

    Acha ujinga fanya recap ya vipindi crownfm mana ww ulisemaga kiba hana uwezo wa kusimamia media....ebu tufanyie recap tuone

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 3 місяці тому +1

      Hawezi, ni wivu tu unamsumbua huyu mtangazaji.

    • @dicksontimotheo7617
      @dicksontimotheo7617 3 місяці тому

      @@furahachuma9039 alikiba kawasprize sana hawaamini wanachokiona asaivi naona watangazaji wengi wanatamani kwenda crown mana naskia wasafi pale wananyanyaswa sana na familia ya boss hawana uhuru