Khutba iliyo watatiza wenzgi.(FULL)_Muhammad N Bachu.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Tafadhali Bonyeza neno subscribe kisha Bonyeza alama ya kengele itakayokuja ili kupata video zetu mpya.
    Like
    Share
    Comment
    Saidia kusambaza kheri ili ikunufaishe baada ya kuondoka duniani.

КОМЕНТАРІ • 65

  • @binamubinamu1151
    @binamubinamu1151 3 роки тому +9

    Uhifadhiwe na Allah

  • @habibumohamed1543
    @habibumohamed1543 3 роки тому +1

    Allah akuzidishie zaidi 'ilmu yenye manufaa duniani na kesho Akhera
    Allah akuhifadhi, akupe afya na kwa kila Shari na hasad akuepushe kwazo na akuweke Kinga madhubutii
    JazaakAllahu khayr

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr 3 роки тому +5

    Sheikh Muhammed MashaAllah saut yako inaaza kuja kama ya baba yako Nassor Bachu kazabuti nduyangu mawaidha yanataka ukali ili usisimke kido naam nakukubali sana

    • @hamzayusuf2999
      @hamzayusuf2999 3 роки тому

      titamuja hapo zanzibar tumkhuruju mana hana adabu sisi kazi yetu ni hiyò

  • @siafuonlinetv
    @siafuonlinetv 3 роки тому +3

    Allah akuhifadhi mwalimu wetu

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 роки тому +2

    Allah akulipe kher sheikh wetu jazakallah khaira

  • @twalkikombo2329
    @twalkikombo2329 3 роки тому +2

    Mashallah like father like son

  • @omarsalim5389
    @omarsalim5389 3 роки тому +3

    Asalam alekum allah akuzidishie ilmu na kukuhifadhi na kila aina y shari

  • @nuumanrk4814
    @nuumanrk4814 3 роки тому +3

    Hutba kamaizi ndoninazipenda maana hulali lakini mahatibu wengine wanachombeza mwanzo mwisho unadoneyatu lazima hatib uwemkali bali siyo unakuwalaini laini kama mlenda hongerasana Shekh Muhammad N Bachu👏👏👏👏👏👏

  • @Najmaabdi09
    @Najmaabdi09 2 роки тому

    Mashallh

  • @raibinasuleyman7081
    @raibinasuleyman7081 3 роки тому +3

    Subhana Allah 😭 Yaa Rabbiy tufishe hali ya kuwa umeturidhia 🤲🏼

  • @abuuislam301
    @abuuislam301 3 роки тому +4

    Assalam aleykum warahmatul wabarakatul allah akuhifadhi sheikh wangu

  • @sabihamakami3720
    @sabihamakami3720 3 роки тому +2

    💙💙mashallah

  • @abubakarsalim7272
    @abubakarsalim7272 3 роки тому +4

    Ust. Lingania kwa hekima na
    Busara.
    Tuelimishe bila kutujaza chuki na
    Kuipa nguvu migawanyiko.
    Heshimu Mashekhe wenzio.

    • @Muhammad_Nassor_Bachu_.
      @Muhammad_Nassor_Bachu_.  3 роки тому

      Mimi sio shekhe rafiki yangu. Niombee dua niwe shekhe

    • @maulidmnukwa3171
      @maulidmnukwa3171 3 роки тому

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. akhy naomba mamba yako ndugu yangu kuna majambo kidogo ningependa unishauri

    • @Muhammad_Nassor_Bachu_.
      @Muhammad_Nassor_Bachu_.  3 роки тому +1

      @@maulidmnukwa3171 0772 968311 WhatsApp only.

    • @maulidmnukwa3171
      @maulidmnukwa3171 3 роки тому +2

      @@Muhammad_Nassor_Bachu_. maaashallah nakuoenda saana kwaajili ya Allah

    • @saidomar8992
      @saidomar8992 3 роки тому

      nikweli kabisa

  • @mabrukjuma3878
    @mabrukjuma3878 3 роки тому +1

    Asalaam alaykum all akh UST Muhammad .mm nko Kenya nimaoni akhii احبك للاه ukifika pakumnasibisha Allah katika durus muite kwa majina take (Allah) pasi nahayo mengine ,afuan .

  • @khairakhamis874
    @khairakhamis874 3 роки тому +3

    Mshaaalh unafata mule mule alimopita mareh baba ako bachu

    • @hamisifaki5623
      @hamisifaki5623 3 роки тому

      Kijana anahitaji msasa mashehe mkowapi

    • @mariammohd3515
      @mariammohd3515 3 роки тому +1

      Huyu jamaa anajua sana mungu amzidishie asichoche atuongoze mapasho pelekeni baa iyo hii dini nwache aongee ukweli

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 3 роки тому

    Alhamndulilah namshukuru ALLAH mm na kizazi chetu tukuwa waislam

  • @al-akhsalimoo.9519
    @al-akhsalimoo.9519 3 роки тому

    الحمد لله بنعمة الإسلام، نسأل الله العظيم أن لا يأخذنا إليه إلا ونحن مسلمين

  • @yussufali5719
    @yussufali5719 3 роки тому

    Masha Allah. Allah akubariki

  • @shaadenshaduni7755
    @shaadenshaduni7755 3 роки тому

    Masha Allah!

  • @muhammadmjara6776
    @muhammadmjara6776 3 роки тому +2

    ewe mula tujalee mwisho mwema tujalie tundum katika kheri

  • @babatidaawa6550
    @babatidaawa6550 3 роки тому

    MashaAllah

  • @muhammadabdul4956
    @muhammadabdul4956 3 роки тому +2

    Twataka utuwekee sehem ya coment ndo shida yetu sehem nyingine waweka sehem nyingine huweki utapata vipi maoni ya watu au hujiamini

  • @salo.613
    @salo.613 3 роки тому

    Jazaka Allahu kheir.Hapa kuendeleza uislamu na viumbe ambae bado hawajaona haki,na kusema musivunje majengo ya waumini,vp hapa ?

  • @alinhoozil6929
    @alinhoozil6929 3 роки тому

    Hakika allah atujaalie qaul thabit

  • @mcheniabeid7099
    @mcheniabeid7099 3 роки тому +1

    Ckiliza sana mawaidha ya clips za baba yako ili uipate barabbara sauti yake

    • @Muhammad_Nassor_Bachu_.
      @Muhammad_Nassor_Bachu_.  3 роки тому +3

      Asante ila sauti sio muhimu sana, kutoa elimu ndio muhimu, au waonaje?

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 3 роки тому

      Usiige sauti hata kama ni ile ya baba bali fikisha ujumbe wa Allah kwa sauti ile aliyokujaalia yeye Allah.

    • @zebusdaughter8158
      @zebusdaughter8158 3 роки тому

      Mcheni abeid wewe Allah atakuwa anakujaalia hivohivo ukitizama mawaidha hupat kitu. Ni shiida. You need Tazkya ya nafs Wallahi. Kuna Neema kibao kwenye huu ukumbusho lakini hujaona kitu. Innalillahi wa innailayhi rajioon.

  • @saidomar8992
    @saidomar8992 3 роки тому

    shehe bado jipike sana acha kukosowa wakati huna hata fani ya swarufu

  • @salo.613
    @salo.613 3 роки тому

    Jee dua alotufundisha Nabii Ibrahim kuhusu walidayn?tuisome ama vp?

    • @omarialfaaruuq6643
      @omarialfaaruuq6643 3 роки тому

      Alishaijibu Allah kwenye suurat tauba usome tu akhii

    • @alijuma4893
      @alijuma4893 3 роки тому

      Huyu shekh huwakosea adabu wanazuoni hata si wakumsikiza

  • @saidomar8992
    @saidomar8992 3 роки тому +1

    lakin ndo kawaida yenu masalafi mnasubir watu waseme tu mukosowe nynyi mbn hamusemu kbl ya watu kusema nnacho omba mujielewe

  • @hamadmussa8402
    @hamadmussa8402 3 роки тому

    Shekh wangu. Hapo sijakufahamu. Kwamba Mtume wetu hakumuombea dua mama yake kwa sababu alikuwa mshirikina au vipi?

    • @mussafrancophonetours1356
      @mussafrancophonetours1356 3 роки тому +1

      Shekhe uko vizury ila mambo yaku kosoa mashekhe wezako si utaratibu na mwenendo mzury kwetu waislam

    • @abdullaabdulla8618
      @abdullaabdulla8618 3 роки тому

      Sheikhe endelea na daawa achana na vimeo

    • @maulidmnukwa3171
      @maulidmnukwa3171 3 роки тому

      Ndio hivyo mtume alikatazwa kumuombea dua mama yake

    • @maulidmnukwa3171
      @maulidmnukwa3171 3 роки тому +1

      @@hilalkhalfan1452 hahaha.... Akhy nenda katika swahihi Muslim ukurasa was 976 utakutana na hadithi mtume akisema nilimtaka idhni Allah juu ya kumtakia maghfiravmamaangu akankatalia, na nikamtaka juu ya kuhudhuria katika qabri take akaniruhusu , yazuruni makaburi kwahakika huko kuzuru makaburi hukumbusha mauti. Au unataka tuandike kwa kiarabu akhy

    • @maulidmnukwa3171
      @maulidmnukwa3171 3 роки тому

      @@hilalkhalfan1452 hakuwa muislam ndio maana alikatazwa asimuombee dua na ujue kuwa walikuwepo watu waliokuwa wakimuabudu mingu mmoja ambao baada ya utume wa Muhammad sallahu alayhi wasallam wao waliendelea kukubali imani ya mungu mmoja kwaiyo mama take hakuwa na udhuru was kuto kuamini na mfano mzuri ni waraqa bin nawfal aliye mtafsiria juu ya yule aliyemuona pangoni kuwa ni namus kwa maana ya jibreel

  • @saidomar8992
    @saidomar8992 3 роки тому

    tumia hekma mtume hakuwa hivyo licha ya mtme huyo baba yk alipinga si hivyo ww umezid

    • @ahmadsaid5845
      @ahmadsaid5845 3 роки тому

      Soma wewe utumiehekima

    • @omadal1
      @omadal1 3 роки тому

      @@ahmadsaid5845 wewe umesha soma??