Soloka umeuliza suala zuri kwa sababu majadida wenzangu watajuwa hii kadhia maulama wamelizungumzaje na watajuwa kuwa sheikh rabii hakutukanwa ila. Amekosolewa kwa manhaji yake mpya ...
Bachu ww simba yani majadida hawasomi, wanafungwa fugwa na masekh zao kumbe shekh rabii ni binadamu anapatia na kukosea, lakini kuna mijitu ina taasubi hiyo hakki ikubali hata kama inatoka kwa adui wako.kama imamu shafii mwenyewe anasema kauli yangu ikiharifiana na yamtume tupeni kauli yangu chukueni kauli ya mtume wa mwenyezi mungu, hata imamu maliki nae alisema kuwa sisi sote kauli zetu tunakosea na zinarudishwa isipokuwa kauli ya mwenye kaburi hili kauli yake hairudishwi akikusudia mtume, lakini hawa wanaona shekh akosei
Halafu kuna watu wanasema sheikh Rabii anatukanwa!! Mtihani sana kuna namna watu wamejenga dhana kwamba kuna sheikh fulani kila ki2 akisema basi ni sawa2
Wewe ustadh Muhammad bachuu umeulizwa kadhia gani umekwepa kwa sababu kadhia ulioizungumza ni kadhia ya Abul Hassan Al amaarib na sheikh Rabii ndio Asheikh Abuul Muhasin Al Abaad akaandika kitaabu hicho cha rifqa rifqa na kitabu hicho kimejibiwa na Ulamaa mkubwa na ni mualimu wake Asheikh Abuul Muhasin Al abady Allah amhifadhi AMBAYE ni Asheikh Muhammad bin Yahya Annajmi na akakikosoa Sana na katika kadhia hiii nikuulize wewe nani alioko katika haqq na maulama wasemaje kuhusu Abul Hassan Al amaarib??? Jibu hiii ustadh na uwabainishie watu
Muhammad Muhammad Muhammad. Nimekuita mara tatu. Kaa chini usome, wewe ni debe tupu hujui hata ta'arif ya hadith ghariyb ndio mana masufi walikunyoosha mombasa😂😂😂
Usiwe mshabiki, ingelikuwa vema na uadilifu kuekeza pale alipokosea kutokana na kile kilichoulizwa na Sheykh Hassan na kile kilichojibiwa katika maelezo ya Sheykh Muhammad. Watu wanajifunza kupitia mijadala hii na mfano wake.

Na kama inasemekana kwamba mambo haya kayaanzisha Asheikh Amaaniy ljamiy Allah amhrehemu tuambie ninani aliosema maneno hayo kuhusu Asheikh Amaaniy Ljaamiii.?
MAASHAA ALLAH ALLAH akuhifadhi sheikh
Amin from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wallah hyo video ya sheikh Albani Kuna jadida mmoja niluekea asikilize mwisho anakwepa mada ,Allah awaongoze hawa Hizb Asalaf
Mashallah vzr Sana sheikh tunakupata kwa hakika
Sheikh Muhammad bachu hao Jamaal hawasomi vitabu na hawana muda wa kusoma vitabu tumuombe mungu akupe nguvu ili uwasomeshe wao pamoja na sisi
aamiin
Amin
Hawa ma jadida wakome kuwaita watu wa sunna mahizbi
Ubainif mzur maaashaallah
Soloka umeuliza suala zuri kwa sababu majadida wenzangu watajuwa hii kadhia maulama wamelizungumzaje na watajuwa kuwa sheikh rabii hakutukanwa ila. Amekosolewa kwa manhaji yake mpya ...
Allah akuhifadhi
Katika qadhwia hii Muhammad Bachu yuko katika haqi, masalafi hatutakiwi tuwe na taasubi bali tuikubali haki inapo tufikia.
Bachu ww simba yani majadida hawasomi, wanafungwa fugwa na masekh zao kumbe shekh rabii ni binadamu anapatia na kukosea, lakini kuna mijitu ina taasubi hiyo hakki ikubali hata kama inatoka kwa adui wako.kama imamu shafii mwenyewe anasema kauli yangu ikiharifiana na yamtume tupeni kauli yangu chukueni kauli ya mtume wa mwenyezi mungu, hata imamu maliki nae alisema kuwa sisi sote kauli zetu tunakosea na zinarudishwa isipokuwa kauli ya mwenye kaburi hili kauli yake hairudishwi akikusudia mtume, lakini hawa wanaona shekh akosei
فرَّج الله همك، وقضى دينك، وأسعدك في الدنيا والآخرة "♥"🤲🏽❤
Shukran🙏🙏
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
Allah akubariki
Soloka na ndio leo tuko hivi tuko majadida tunawatowa watu wengi ktk usalafi kwa sababu ya sheikh rabii.... allah amuhifadhi sheikh wetu kipenzi rabii
Kila sheykh inachukuliwa kauli yake na kuachwa hivyo katika qadhwia hii Muhammad Bachu yuko katika haqi
Masheikh wetu hamna adabu za dua...Allahu akbar
Nijulishe adabu za dua ndugu, samahani lakini, nataka nipate elimu tu. Na itakua vizuri ukifanya kama nilivyotaka "nijulishe adabu za dua" hivyo tuu.
أسأل ألله أن يوسع لي ولك كلّ طريق وينجيني وينجّيك من كلّ همٍّ وضيق
أسأل ألله أن يملأ قلبي وقلوبك بالأنوار ويحفظني ويحفظك
ماشاء الله
sheikh naombi u we unatuekea link hizo za maneno ya masheikh ili tusipate tabu kuanza kusearch
Halafu kuna watu wanasema sheikh Rabii anatukanwa!! Mtihani sana kuna namna watu wamejenga dhana kwamba kuna sheikh fulani kila ki2 akisema basi ni sawa2
Wa kwnz mm kuangalia bin bachu
NAOMBA MAJADIDA MU COMMENT HAPO😢😢😢😢
Makada wa ccm pongwe kaz kwenu
Kweli nyie ni wahuni
Jambo liko wazi
Naona nimechelewa kuiona hii, what's wrong?
Naomba kujua huyo sheikh aliyekuwa anaongea mwishoni mwa hii video anaitwa nani na ni wa wapi?
Wewe ustadh Muhammad bachuu umeulizwa kadhia gani umekwepa kwa sababu kadhia ulioizungumza ni kadhia ya Abul Hassan Al amaarib na sheikh Rabii ndio Asheikh Abuul Muhasin Al Abaad akaandika kitaabu hicho cha rifqa rifqa na kitabu hicho kimejibiwa na Ulamaa mkubwa na ni mualimu wake Asheikh Abuul Muhasin Al abady Allah amhifadhi AMBAYE ni Asheikh Muhammad bin Yahya Annajmi na akakikosoa Sana na katika kadhia hiii nikuulize wewe nani alioko katika haqq na maulama wasemaje kuhusu Abul Hassan Al amaarib???
Jibu hiii ustadh na uwabainishie watu
Muhammad Muhammad Muhammad. Nimekuita mara tatu. Kaa chini usome, wewe ni debe tupu hujui hata ta'arif ya hadith ghariyb ndio mana masufi walikunyoosha mombasa😂😂😂
We mwehu ndo unajua Taarif ya hadith gharib?
Tuambie: nini maana ya الغريب النسبي ili tuone kama Sheikh Bachu alikosea au vielimu vyenu ni vidogo😂😂😂😂😂
aliefuatilia mjadalah bila ushabik yule suf alizungumz kipi.kuhusu hoja zilizotolewa mwambien kijana ajib hoja zamsingi mwenendo wenu wakutokusalimia au kupokea salam kwa waislam wenzen ni usalaf gan mnaolingania
Usiwe mshabiki, ingelikuwa vema na uadilifu kuekeza pale alipokosea kutokana na kile kilichoulizwa na Sheykh Hassan na kile kilichojibiwa katika maelezo ya Sheykh Muhammad. Watu wanajifunza kupitia mijadala hii na mfano wake.
Usiwe mshabiki, ingelikuwa vema na uadilifu kuekeza pale alipokosea kutokana na kile kilichoulizwa na Sheykh Hassan na kile kilichojibiwa katika maelezo ya Sheykh Muhammad. Watu wanajifunza kupitia mijadala hii na mfano wake.
Kassim kassim kassim kassim kassim,nimemwita mara 5 ametuletea upuuzi mkubwa sannna wallah katuharamishia Taasis haramu, kisha taasism dharura kisha taasis dharura
Na kama inasemekana kwamba mambo haya kayaanzisha Asheikh Amaaniy ljamiy Allah amhrehemu tuambie ninani aliosema maneno hayo kuhusu Asheikh Amaaniy Ljaamiii.?
Sheikh Muhammad nakuomba usiwaite majadida kwani wewe ni mtu wa sunna pia wao ni watu wa sunna kama wewe
Na wao wasiite watu mahizbi
Katika qadhwia hii Muhammad Bachu yuko katika haqi, masalafi hatutakiwi tuwe na taasubi bali tuikubali haki inapo tufikia.