Sister SANDRA Anaonekana ana moyo mzr sana kama uso wake ndo maan nilipo muon tu mara ya kwanza kwenye movie tofauti tofauti kuanzia kwa Bravoo mpaka kwenye wake wenza season 2 ya comedy plus nilikumbali uyu Dada.... Tukiachn na yote Sister SANDRA unajuw tena unajuwa kuigiza kipenzi pongezi kwako Beautiful ❤❤❤🇧🇮
HAYA MASHABIKI ZETU MTUSAMEE KWA KUCHELEWA LAKINI MAMBO MAZURI HAYA HITAJI HARAKA SASA MNAWEZA KUENJOYI EP 19 SANDRA SERIES NI MOTO MR NARABUKUUU HAPA😂😂😂🙏🙏🎉🎉
Asnte Sandra nakupenda sana nakubali kazi zako asnt kwaa upendo wako kwangu sitowacha kukufatilia mapaka hatima yaa mwisho me au ww hata ukizaa ww nitakukumbuka sitowacha kukuagalia hata nikiaza me nitakukumbuka❤🎉
SANDRA ni msanii anayetakiwa kupewe kipaumbele na Clam Vevo. Ktk wasanii wakike wenye kipaji na ushawishi kwenye sanaa ni SANDRA 🏆 Lakini Sandra usije kubadirika ktk maisha yako 🙏 Production naipa maua yake 🎉 Juma Jicho akikaa na Sandra anafanya mambo mazuri sana tofauti na akiwa sehemu nyingine. ❤ Kaza buti ndugu yangu. Kipara upo moto sana kaza buti kaka nakukubali sana kwasasa wewe ndiye naekutegemea kwa wasanii wa kiume kutoka Clama Gang. Akina Mr Chibu & Mr Butua wameshakosa mwelekeo...😢
@IrakozeHami-t9m asante pia kwakufatilia comment zangu na kuniunga mkono 🎖🏆 Tuzidi kutoa maoni bila unafki ili kuhakikisha wasanii weru wanafahamu nini wafanye na nini waache
Ayaaa nilikua sina bando muvi naipenda hii dada sandra uwapi jamani I miss u my dear pia nawapenda wote mlio shiliki ktk muv hii ninzuri sana nawatakia heri ya mwaka mpya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nipo hapa fans namba moja wa SANDRA & JUMA JICHO 🎉 Juma tulia kwa Sandra ukiwa huku unafanya vizuri sana tofauti na kwenye makundi mengine. ❤ Kaza buti kaka huku ndio sehemu yenye mafanikio kwako 🎉
Sandra episode 20
ua-cam.com/video/bQWs0B_sgzc/v-deo.htmlsi=q3XSPW-ddUhjLeHu
Sandra episode 19
ua-cam.com/video/XPIpFulzsrQ/v-deo.htmlsi=sw-pZTucuKTzGxSS
Sandra episode 18
ua-cam.com/video/PyZHa3q1qPs/v-deo.htmlsi=FA8_wECsFeVqe9Ol
Sandra episode 17
ua-cam.com/video/za66LGMABsI/v-deo.htmlsi=H7ic4rg5-2sK86O3
Sandra episode 16
ua-cam.com/video/kXropyF54SY/v-deo.htmlsi=jUrVXcv7INQoI2cC
Sandra episode 15
ua-cam.com/video/niohI4EhWyc/v-deo.htmlsi=ErafpqS8BJpo67kY
Sandra episode 14
ua-cam.com/video/XaOv9kNypSM/v-deo.htmlsi=IgFcc1mu1JmNaP4W
Sandra episode 13
ua-cam.com/video/OjpHZtlEqhQ/v-deo.htmlsi=PF5sWX0DzsuDsE5D
Sandra episode 12
ua-cam.com/video/G-5HbFxMLK8/v-deo.htmlsi=cXQotZskToHPK-HN
Sandra episode 11
ua-cam.com/video/PlFNMUAvqq4/v-deo.htmlsi=1ZeJc1Tpsc9hENzV
Sandra episode 10
ua-cam.com/video/i1ednW2wyjk/v-deo.htmlsi=BbTgNypsWkJ_reRl
Sandra episode 9
ua-cam.com/video/WHTUpPcfqLg/v-deo.htmlsi=BQkoYJAxeu5FU6iY
Sandra episode 8
ua-cam.com/video/quZfZh9hxkM/v-deo.htmlsi=M1l7-glLZtCZrI3X
Sandra episode 7
ua-cam.com/video/V119d-ku-Z4/v-deo.htmlsi=zV3SBOIbtnHrjzGl
Sandra episode 6
ua-cam.com/video/EVFHWef1pfU/v-deo.htmlsi=Sml-MpMn4xJG_MXE
Sandra episode 5
ua-cam.com/video/4etfPTUa6os/v-deo.html
Sandra episode 4
ua-cam.com/video/bACm-XJtZyM/v-deo.htmlsi=EiXws9tSAnGKGiR2
Sandra episode 3
ua-cam.com/video/Z1Emh1A9QCQ/v-deo.htmlsi=jaJh5HuXoxyPKzv6
Sandra episode 2
ua-cam.com/video/gT1pxPbZwuY/v-deo.htmlsi=jsAMEJKXBYDT75di
Sandra episode 1
ua-cam.com/video/imqzkqFrVT4/v-deo.htmlsi=oRFW5N_WWCSJrAsE
Tunakusamin sana ubarikiwe
@@sandrahofficial255 😙😘🇲🇿
Sandra umeanza kualibu move sandra kafariki wakati sauti nihiyo hiyo ndo nini sndra wanakuwa wengi move moja
@@SaraRobert-io8xvSandra anapacha wake,pia hajafa alifichwa kwenye mti
Sahivi mnazingua,mnachelewesha sana movie
Wangapi wame hipenda hiyi movie gongeni like hapa Kama hunamkubali Sandra ❤
🎉 weee Producer tabia ya kuchelewesha Ngoma sio nzuli uwe unahalakisha kitu eti alafu mgonge like apa Leo nimekua wa 4 from Burundi 😊😊
Be nice😂😂😂
😂😂😂😂
Yes this was true 😂😂😂from 😂😂😂
Wanachelewesha sana adii tunasahahu tulipo ishia
Sister SANDRA Anaonekana ana moyo mzr sana kama uso wake ndo maan nilipo muon tu mara ya kwanza kwenye movie tofauti tofauti kuanzia kwa Bravoo mpaka kwenye wake wenza season 2 ya comedy plus nilikumbali uyu Dada.... Tukiachn na yote Sister SANDRA unajuw tena unajuwa kuigiza kipenzi pongezi kwako Beautiful ❤❤❤🇧🇮
umeona eee❤❤❤❤
Even Juma Jicho namkubali sana wakwanza Sandra
HAYA MASHABIKI ZETU MTUSAMEE KWA KUCHELEWA LAKINI MAMBO MAZURI HAYA HITAJI HARAKA SASA MNAWEZA KUENJOYI EP 19 SANDRA SERIES NI MOTO MR NARABUKUUU HAPA😂😂😂🙏🙏🎉🎉
Pamoja kaka na pia pongezi sana❤❤❤
Kiukweli umeupiga mwingi sana. NAARABUKUUUUUUUUUUU😂
Unatisha sana. Naipenda hiyo naaaaarabuku.❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naarabuku😂❤
sahma
Sandra napenda kazi zako
Leo nimewahi jamani nipeni like zangu kutoka burundi🇧🇮
Abarundi baringaha baze tubabone
@DanierNisabwe turahari
Yaan mm sibanduki ikitoka ninayo Sandra nipe maua yangu
Mambo moto 😅😅 we kipala jamani ❤ ongela Sandra umeweza🎉🎉
Jaman mi cjawah kupewa like jaman npen kidg
Wow nimekuwa wa kwanza wangapi tunaomkubali sandra❤🎉
Nimechelewa lakini nimefika nipeni like basi
Jamani siwez kuishi bila kipala ❤❤❤ Sandra Fanya jambo ❤😅😅
Imeniuma sana nimechelewa leo🇲🇿🇲🇿
Nakukubali San Sandra you are good actor🎉
Safi sana kwa kazi yenu nzuri sana 🎉🎉🎉🎉
Kazi iendelee🎉🎉🎉 maua kwako
Hongera Kwa kazi nzuri Sandra
Kazi safi sana, tuendelee ivo hadi mwaka ujao 🔥
Hii movi Sandra upo vizuri❤❤❤
Ila nampenda sana Sandra jaaman nataman awe hajafa 😢😢
Juma mzima😅upwiru tena😅😅
Tunawapenda jamanii juma acha wiziii mchere mchanga 😂😂😂😂😂😂😂
Nilikua sitaki kucheka,eti anakumbatia muombe,yeye anaona Sandra 😂😂😂😂❤❤❤
Toka nianze kufatiliwa hii muvi leo ndo nimewahisana nimekuja wa 18 naombeni like zenu😂😂😂😂😂😂
Mvi nzuri sana ,Ila mnachelewa sana mpka tunaisahau ii ndo chakula changu naomba mwaishe Sandra ep 20 samahani
Sandraaa❤❤❤🎉🎉🎉Upo vizurii dadanguu unajuaa tena unajua tenaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mmnimeipend sandr anajua mashallah
Tjr Tajiri wa ubunifu ndabakunda cane❤
🇧🇮
Ila mmechelewa kipara sema respect
Mimi leo wakwanza kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 naomba like 👍🌹❤️❤️❤️❤️
Heri uchelewe ila utuletee kitu kizur kama hichi ❤
Sandra na juma jicho bila nyinyi movie haiwezi kanoga kweli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wa pili leo toka DRC 🇨🇩 congo tunawa kubali sana 🎉🎉
Kazi nzuri sana sandra endelea kutupa vitu vizuri adi tuchanganyikiwe
Msichelewe sana jaman huo muendelezo tunamiss sana❤❤❤
Ongera sana kipara kurejesha furaha ya mama maria
Kazi safi mama❤❤...254 always your biggest fan 🎉
SANDRA UNACHELEWESHA KAZI SANA BANA 🎉🎉🎉
Sijachelewa sanaaaa
Longer dada nakupenda sana
Juma anapaa na godoro😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Sandra Sandra sandra nimekuita mala tatu mkuu 😂❤🎉🎉
Safi sana nimeipenda😊😊😊
Mremb sandrah ❤ tupe mwendelez me namshukuru mungu umeuona mwaka 2025
Sandra naona jinsi pambano lako litakavyokuwa gumu kidogo kwa sababu Kati yenu kuna mwenzetu
Asnte Sandra nakupenda sana nakubali kazi zako asnt kwaa upendo wako kwangu sitowacha kukufatilia mapaka hatima yaa mwisho me au ww hata ukizaa ww nitakukumbuka sitowacha kukuagalia hata nikiaza me nitakukumbuka❤🎉
Maua kwa kipara jamani🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mauwa kwa kipar❤❤❤❤
SANDRA ni msanii anayetakiwa kupewe kipaumbele na Clam Vevo. Ktk wasanii wakike wenye kipaji na ushawishi kwenye sanaa ni SANDRA 🏆 Lakini Sandra usije kubadirika ktk maisha yako 🙏 Production naipa maua yake 🎉 Juma Jicho akikaa na Sandra anafanya mambo mazuri sana tofauti na akiwa sehemu nyingine. ❤ Kaza buti ndugu yangu. Kipara upo moto sana kaza buti kaka nakukubali sana kwasasa wewe ndiye naekutegemea kwa wasanii wa kiume kutoka Clama Gang. Akina Mr Chibu & Mr Butua wameshakosa mwelekeo...😢
Ewaaaaaaaaaaa umenikosha ndugu yangu Asante❤
@IrakozeHami-t9m asante pia kwakufatilia comment zangu na kuniunga mkono 🎖🏆 Tuzidi kutoa maoni bila unafki ili kuhakikisha wasanii weru wanafahamu nini wafanye na nini waache
Leo nimetaarifiwa na jini sadra ndonmna nimewahi like zangu jaman from 🇴🇲🇹🇿
Sawa momy ❤
@ArnoShwazniga-yh4ny 😂😂😂
Shaghala majinun heb lala 😅
are all those your sisters sandra, you are blessed
Ayaaa nilikua sina bando muvi naipenda hii dada sandra uwapi jamani I miss u my dear pia nawapenda wote mlio shiliki ktk muv hii ninzuri sana nawatakia heri ya mwaka mpya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
kama unaamini hii kazi inaenda kuchukua tuzo 2025 gonga like hapa. 🎉
Sandra n yupi jaman
Alie uliwa ndie sandra me naona ivo
@@maylucson001 lakin Sandra hajafa apa
@@NicholasKenga-h7mnshamuonaa na mwengn wa tatu sandra😂
Ila juma we ni fala sasa nje ulikua unaangalia nn 😆😆😆
Nice job my dear nimeipenda❤❤
Sandraaa🇲🇿❤️❤️
#Sandra
#Mhinaa
#Shajraaaaah
#Upwiruu
#Kipara
#Suzzy
#Winnie
#Soffy
#Shabyus
#Baltazar
#Mzanzibari
We Kenyans are proud of u guys
Nimeipenda Sana iyi Sandra ongera San kwakazi zur
Jaman ee munachelewa kutoa vipande munakaa wiki mbil nd munatoa munazinguwa bhn ila kaz nzur sana mmetisha❤❤❤❤
ndugu, hawajafikisha wiki mbili
santee jamani mbona muvi inazidi kua tamu sana👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Sandra unajua sana mnoo. Mungu akuongezeee upeo tuu., 🌹🌹
Nzuri kipara fundi
Nawakubali sana timu Sandra upo vizuri❤❤❤🎉🎉🎉
Wakwanza Leo naomba likes jaman❤
Kazinzuri sana 🙏 🙏 🙏
Nipo hapa fans namba moja wa SANDRA & JUMA JICHO 🎉 Juma tulia kwa Sandra ukiwa huku unafanya vizuri sana tofauti na kwenye makundi mengine. ❤ Kaza buti kaka huku ndio sehemu yenye mafanikio kwako 🎉
Watching from saudi arabia. Nipitieni guys
Kazi nzuri sanaaaa guys 🎉🎉❤❤
Sandra is very humble. Replying to every comment she gets. God bless her🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤ Sandra 🎉🎉🎉 movie nzuri
wakwanza leo nipeni like hata mbili jamani
Kenya flag on top🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Unafanya tufurahi sana sandra
Sandra wamchungo nimepend icho kisaut chako et saw mtukufu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉
Kazi nzuri sana sandra we love you so much
Leo wa sita like zangu
I love you Sandra kutu letea kazi nzuri 🇰🇪
Tuwahishieni mapema jamanii tutangojaweeh jamanii ❤
hey Leo nimejaribu kurauka mapema anyway following from bomet Kenya ✅✅💃🕺💃🕺
🎉🎉🎉from Kenya 🇰🇪
Sawa ila wanakawiaaa bwanaaa wanaboa sana aiseee mz CHINGA WANAMA
Jamn mbn muvi mzur lakn munatutolea kipand kimoja kimoja jamn daah😢😢
kikundi cha kipara, juma, na Balthazar ni noma saana bila wao daahhh
Jaman kipala anafel jaman 2mwambie kwel yan anachelewesha kazi San bwan
Tatizo mnachelewesha sana move hii
Ila sheik Juma wew et unakumbatia mti😂😂😂😂
Mimi leo wa49 nimechelewa jamani tokacongo 🇨🇩
Sista ake na sandraaa jameni😅
Dada sandra jitahidi utafika mbali una kitu kipo ndani yako ukijua kutumia vizuri utakuwa star mkubwa sana
❤ Sandra mbona mnachelewesha kazi jaman
Wow!!
Nafurahi sana kukuona Sandra ndo nikajua umekwenda mazima.
Keep it up until you pursue.
ivi Sandra kazi nzuri sana mimi nipo Congo
Huyu kibaraka wa Sandra yupo Serious na kazi yake😂😍🎉🎉
Kwaiyo sandra kajitoa mara tatu
Waah na huwa mkitoa mapema nilisubiri sana kwa hayo yote napenda kipindi chenu endeleeni
Mmmh hii ngoma bado mbichi maana kunamsaliti tena katokea kwenye kundi la akina sandra😢😢😢
Mpaka wa semeeww hapana chezea shabiusi NARABUKU 😂😂😂
Kwn sandra wapo wangp😂
@@mima637mima Mmojo tu hao wengine wanafanana yy ni yule alie uliwa japo tumeskia kuwa bado yuko hai hajafa ngoja tuone eps ijayo
Gooood performance is take to the director
Tanu msaliti ako miongoni mwenu,duh! Sijui itakuaje...hii vita bado mbichiiii
Mbna mnachelewa Sana nyie hadi tunaboeka
Yan hii Dunia Kila Kona Kuna usaliti mpaka kwenye Majin dah😂😂😂
Hatariiii sanaaaaa
Nilisubiri kwaham jamni love you sadraaaa nataman na mimi sikumoja niwe muigizaji jamni😢