@@claireomari9001 thank you, if you find time share full translation so that I can learn Swahili....by the way I have Tanzanian roots...check my surname
Dear mom saida, kuanzia siku yakwanza nakua na kukujua kiukweli nlitokea kukupenda na kupenda na kufatilia kazi zako, I real appreciate your works, najivunia kuwa mmoja wa kabila lako,,, much love mom
Kama kuna mtu kaja kuingilia 2024 nipe like hapa❤❤
Wenye TikTok imewaleta apa mikono juu ✋✋✋✋✋😂
Nilijuwa mpya
Me too ,tiktok .
Hahah
Niko hapa!I thought its a new song 😂😂😂
@@dariuskipkosgei1 halafu Mama alimunyosha jamaa kaimba vizuri sana
From TikTok likes zetu zikuje🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Kwanza from mummies Francie account
Yiihiiiiiiiiiii noma zaidi noma weweeeeee kama imekukosha hii ngoma gonga like tujuane🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Saida hakika mtani wangu hapa Africa mashariki hakuna msaii mwenye sauti nzuri Kama yako unaongoza mtani wangu.
Kazi nzuri , Saida sauti nzuri
Asante sana
Kama ni TikTok imekuleta hapa nipe 👍🏾
Saida on this igive you 98% out of 100% kwa nyimbo zako dada Mimi fan yako mkubwa kutoka Kenya ,pesa Nini??!!..
The lyrics,voice chaiiii Saida i die here 4u,if Tiktok brought you here pls less gather here for our Mum n show her love❤❤❤❤❤❤🔥
Translate the song for me to English..watching from Zimbabwe
* what's money over love* Gid has given her little but she's happy,smart etc
@@claireomari9001 thank you, if you find time share full translation so that I can learn Swahili....by the way I have Tanzanian roots...check my surname
I can never satisfy ur voice saida, plz train young girls over ur voice swt,We African countries dont want miss or loose ur legacy in musics
🔥🔥🔥🔥
Hiyo sauti ya saida
Tiktok ni kumto😂. God bless. Mammie Francie singejua huu wimbo❤❤
Same she brought me here😂
mikono juu kwa Saida Karoli
3yrs na ndio nasikia hii song wueh kali sana
Unajuaaaaaaa mpaka basi.njoo Zanzibar utupigie shoo moja
I thought its a new release. Hot like it never was there before. Tiktok family hi💥💥💥
I also thought it was newly released but Tiktok 🔥 🔥
Hatali
Hi aki nimeiskia tiktok
Tik tok family
Kindly translate the song for me to English
Huyu Mwanamama ni Shidaa!!
❤
wueh I thought n ngoma mpya ..thanks tiktok kwa kufufua hii ngomaaa..
Yesuwee😭 iyindirimbo nayikunze cyane kuri TikTok 😍😍 mwamamare nshuti🤟🤟🤟
Wow am in love with this song,,since 2019 ndio najua Leo after trending in TikTok
Ata mie aki 😂😂😂
Wow
@@hyphinenyamanya410 u
Me too
Kali ni Kali imetisha
Tiktok inasaidia sana ndio imefanya ni fike apa kucheki hii ngoma nice one #gideonmwanzia
Since I was young nmekuwa nkipenda kazi zako
Tufikishe milioni 1 views tuachiye nyimbo nyingine ft saida
Nyimbo kubwa, Wasanii wakubwa nimeikubali😍😍
❤❤❤❤👍👍
Pesa ni nini? Saida Karoli to the world
Wimbo wangu BORA 2019, kweli vipaji SANA Hakuna mwanamke kipaji Kama TZ ever.
Ata cc tuko 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️🤣
4 years later,got my way here from tiktok.This song is amazing❤
Saida wewe tumezaliwa mwaka Moja tutajuwana aje? Mimi mnyarwanda lakini nakupenda Dada nyimbo zako zmeniteka kabisa
sauti kama kinada Saida
na kweli pesa ni nini zaidi ya mapenzi🥰🥰🥰😍
Caroley nao hiyo huku Bomet Kenya brao iko moto sana
Wooooii all the way from TikTok love mummy, Caro great voice
अहं तत् गीतं न अवगच्छामि स्म। परन्तु सङ्गीतं सुन्दरम् अस्ति।
Watching from Nairobi kenya,.... Hii nayo haina wengi. Hongera Mum Caroly saida
H‹.'‹de
Kiula
q
watching from kenya
@@ezrakiptoo7913 a
Its really muzuri sana saida mimi anayenda nyimbo yako mingi....hahaha Bob from Uganda
Amenipa kidogo kaning'alisha..a greatful lady..be blessed
Dudeeee la motooo safi saaaana kakaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏻❤️❤️❤️❤️❤️
Pesa n nn zaidi ya mapenzi,,,, f❤️❤️ from tiktok to UA-cam viewers likes zikam🥰😅
Almost broke my legs coming here after tik tok sent me.
Such a nice song. I love it.
This woman never disappoints big up saida
Man uziko urenze wana 🇷🇼🇹🇿💪🏽🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This one ....can trend in kenya
God gave her a unique voice, appreciate your sweet voice
Penda sana nyie ``pesa ni nini zaidi ya mapenziiii'' 😙😙
All the way from TikTok 😍😃😃her voice wow 🥰
You are really a talented legend...I Really love your songs even though i don't understand that language......Nakupenda sana Saida.... Bob from Uganda
saida you're still big deal ozz b none c urumunyarwanda?
Good song
Congraaaaaaaz bro
Ka so muleba ivi
Nakaaa ailudia ludia
Kama imekukamata konga like za kutosha
Wonderful song guys mmetisha Huyo mshikaji wa kidhunguuu kaimba kilatini kachana noumaaaa duuuuh
I thought this song was released a week ago, beautiful song. From 🇰🇪 with love!
🤣🤣🤣🤣🤣
@@kadungulu1 😂😂😂 Nini wewe
Huyu mama anaimba jamani tumpe maua yake 🎉🎉🎉🎉 yaani wimbo kama umeimbwa leo
Saida hazeeeki bana...nikiwa mtoto alikua tu
Saida karoli the Queen ❤❤❤pesa nini zaidi ya mapenzi
All the way from TikTok Kenya🇰🇪🇰🇪 what a voice 🔥🔥🔥🔥
Hii ngoma Iko sawa sana akhy I love it mwenye pesa haongei actually
Saida hio sauti yako bana 👌👌👌
Had it in tik tok and came searching and am not dissapointed,,,,
🔥 🔥 lit 👆
Three years never had this song 😂😂😂 TikTok brought me hear today 🥰😘
Me too
Me too 😂
😂😂😂
Me too🤣🤣
A guy amevaa deraa
Me
This is one of the best of Saida Karoli. Thumbs up Saida👍👍. You're one of the best East Africa artists. We love you mum.
3yrs ago na najua hii song Leo 🙄🙄🙄🙄
Hii ngoma maxee ni xmart nataka nisupport huyu msanii
Kabisa
Bro kbs thats good decision to make collabo bro utafica tuu kazana tukonawe mpaka mbele unapoelekeza talent zako
Thanks
Wakola mawe, nakupenda bureee
Nauliza pesa ni nn💥💯💯 congrats mummy... Need more entertainment 💞
Nakupenda xana said ingawaje sijui kihay a daaah 💗
Niko hapa sababu ya saida kaloli...Lines zake aliua kabisa
Heard it today...it's my anthem now🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️💙
What a voice. Beautifully crafted.
This song is for my mum the love of my life ❣️❣️❣️
Ur my mum's namesake (Virginia kiratu is her name)
also i love the song
Love it , wimbo mkali 💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This Collaboration was lit😍😍saida you blessed with a voice😘😘
This voice am telling you
Daah mtani wangu huyo
From TikTok i thought this song is new saida be blessed 🙏🙏🙏
You nailed it can't wait much Love from 🇰🇪 kavoice mmuweeeehhh🙈
Pesa ni nini zaidi ya mapenzi was so wow
safi sana kaka na mama yetu muziki mzr
Nazikwenda mdogo mdogo 13september after kiapisha the fifth this the vibe hustler nation needs🇰🇪😅😅
Mix nzuri Dada bkoba unawakilisha vyema
Woow, alll the way from Kenya nice chemistry guys nice song🔥🔥🔥🔥
from tiktok💪 thought it was a new hit song
All the way from TikTok, thought it was a new song 😍😍😍, good voice
Kabisa 🥰 Kwanza hapo pa hamenipa kidogo ananingarisha😍👋
Pesa sabuni ya roho..love this song. Keep shining Saida
Nice rhythm and beats I love the mix up of languages beautiful and the vocals are top notch. Watching from London UK God bless 🇰🇪🇬🇧✝️🛐🙋🏽🙏🏽
Kindly translate the song for me. I'm Zimbabwe
Am Ugandan I understand English and kiswahili NYC song am enjoying in Saudi Arabia
Am here from TikTok. pesa ni nini??❤️❤️❤️❤️
Tiktok kafunza mengi never heard this song😘🔥🔥🔥🔥🔥
Hivi sasa tuko 2022 lakini bado ni Bora Sana kati ya nyimbo
Never knew about this song till TikTok brought me here. Sande yesu😂
This combination is so nice saida...keep it up ....Bob from Uganda
Kazi legit🙏
Saida has good vocals.. Anaimba kuimba👍
I was brought here by TikTok 🥰🥰🇰🇪🇰🇪
Dear mom saida, kuanzia siku yakwanza nakua na kukujua kiukweli nlitokea kukupenda na kupenda na kufatilia kazi zako, I real appreciate your works, najivunia kuwa mmoja wa kabila lako,,, much love mom
Ikosawa,sawa,ila huyo muzungu,au mweupe,,angeimba kiswahili,au,kiafirica ingekua pio
Bonge la song
ikosawa kbs
Nc xong
This song deserve 1m+ views for sure 🙋🏽🙋🏽💰📖✝️🛐🙏🏽
yeah sureeee
Pesa wewee❤️😂😂
Good music, great talent. Love it. From Zambia
This actually from 3yrs ago.....?? Where was I?
Daaaah Bro this is a mile of good work
Nshamba to the world
Definition of true hustle tangu 2004. It your time now to Bounce
Said a
Kabisa
Sijawai sikia huu wimbo nimeuona tik tok leo 😳😳
Nampenda saida Anatoka which country niko border flani hapa
Wimbo mzuri sana
I love the rap part the Guy Nailed it👍👍👍👍👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝Congratulations 🎉