😂😂😂😂nimeona hio gari ya wire video ikianza ikanipea flashback ingine noma. Aki those days were truly beautiful kama haungekua na hio gari haukua na say😂😂. 2023 and still vibing to this song. Anita still i love you baby😢❤
2007 tulikuwa brides maids kwenye harusi. Hii nyimbo ndo ilikuwa hit wakati huo tukaichagua nyimbo yetu kuingia ukumbini tulipractice dancing steps kila siku. Brings back memories 😂
Namkumbuka sana mshikaj wang wa primary alikua akiitiaga yeiyeeeeeeeeeee baada ya matonya akisema anita ... kila nkiiskia hii nymbo namkumbuka sana .. RIP BRO ... tupo nyuma yako
Mume wangu alikuwa akiimba na anasisitiza kwenye mstari umaosema waliniambia nikuache wewe iliniishi mwenyewe........sasa nimeanzaa kuelewa alikuwa anamaanisha nini...
This song reminds me of my neighbor, she used to call me Anita whenever we would met and sing this particular song for me especially when she is drunk may God rest her soul in peace
When songs were so nice I was in highschool in Kenya We would wait for a whole week to just watch this song only on Saturday evening (Entertainment day# Old Good Memories
Whenever people comment on such memorable songs, with remembrance of their departed loved ones, I feel some inner pain. I don't know what people would say of me when am long gone. This is 2023 celebrating my 31st birthday
Wale marafiki tuliokuwa nao pamoja Busia enzi hizo za highschool, you know how we danced to the tunes of this song. 2008 memories are fresh. Ujana ni moshi
Yani iyi song ata mwaka waaah 2026 ikingali Hit yani ata hivi ninayipenda🥰 pia ata dada yangu anitwa Anitha namupenda sana😍 like zangu apo pia naivi 2023 tuko pamoja nahiyo song🎵
Nyie Nimeukumbuka uu wimbo ghafla nilikua nauuimba kichwani it’s January 2025 aniiiiiiiiiii🎼🎼 tusichanganye changanye 🎼🎼🎼watu wa 90’s gonga likes hapo disco toto enzi hizo 😅😅😅
Matonya nayeye alikuwa kwenye list ya mahandsome aisee nampenda yeye na nyimbo zake Yan mpaka Leo nampenda Sana ❤❤❤❤❤2024 like hapa Kama unamuelewa matonya jaman
When songs were classic, so sad to see these new generation artists what they have brought to the music industry, they have pushed away legends like this one who can really sing...
I have always loved this beautiful song but sadly i just lost Anita Wangu two weeks ago, the pain is unbearable but somehow listening to "our song" helps me release my tears and some of the pain every time... malaika wangu kwa milele ❤❤❤
Km umekuja huku baada ya kuona interview ya Anita leo gonga like
Kwenye mbengo tv😅
😂😂😂😂
Hapo kwenye miaka 16 tumepigwa na kitu kizito sana , ukiangalia vizuri utaona kabisa alikua na 20 hadi 25 hapo 🫣
Nami nimekuja baada ya kuona interview.
😂😂😂😂
Anita jameni ni 2024!!!...tafadhali rudi nyumbani...
Nilirudi jamani😂😂
Ye bado ku rudy tout??😂😂😂
Nilisharudi jmn 😂😂 hii nyimbo ilifanya nikisema naitwa anita watu waone najiita kwasababu ya nyimbo😂😂
Hahaha
Turiorudi kumtizama anita 2024 baada ya interview gonga likes
😂😂😂😂😂😂kumbe tupo wengi
Eeeeh tuko wengi 😂😂
Alaaah! Kenya yawatambua
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mpk sasa 2024 bado ipo fire,Matonya rudi kwenye game.
Kama umesikia huu wimbo 2025 gonga like ❤
2023 still the song hits nikama imetoka studio sahii.....legendary
Haha
2024😅😂
It's 2024 and I can relate Anita amekataa kurudi nyumbani 😢😢
Class 7 (2007) I used to sing this song to my crush back in primary school.... her name ofcourse Anita. Now we married with 2 kids.
Cogrates
Congratulations
Congratulations 👏
aai hii si uongo?😂😂
Story za Jaba😂😂
2024 naomba kujua kama Anita alirudi nyumbani😅.
Alirudi isee
😂
😂😂😂😂
Alirudi😅
Alirud enhee
Wanao tazama huu wimbo 2024 gonga like apa ❤❤😂
🙈🙈🙈
We still enjoy the music in 2024 from Kinshasa, Congo
ME TOOO❤@@SalemKapital-nb8op
Tuko hapa❤❤
Beautiful tune!
2024 likes hapa
Asanteni jameni.....Anita kesharudi....
Ebu nani Ako upweke vile Anita alikuwa gonga like,Dec imefika usivuke mwaka alone😂😂😂❤ na matonya Ako zawapi? Please munitafutie matonya
Bado nikingali nafurahiya hii nyimbo mwaka huu 2024 munipe like zangu kama na wewe pia tuko pamoja!
Bado anaesiklza anita mpaka leo aweke like zakutosha
hapa Rwanda turimupenda nampaka sasa
We dont search for old songs we search for old memories. Rest in peace my lovely sister scola 😢
Memories are very important,,,,🙏🙏🙏 exactly
Sorry😢
tunaoskiliza matonya 2024 likee
Hai
Kuna jama flani ametokelezea kule kenya kwa mziki 🎉 Ras Edu mwana mziki
2024 kama unalikubali hili NGOMA gonga like
❤❤
❤❤❤
😅😅
Unyama sana
❤❤🎉🎉
I can't believe we used to dance to this song in high school,still a hit🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Alikiba ft Diamond Platnumz 🔥🔥🔥
🇹🇿🇹🇿🇹🇿ua-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/v-deo.html
ua-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/v-deo.html
ua-cam.com/video/XTyrqyX30Vg/v-deo.html..
Vry true hiii goma Kenya n high school ad waleo n sumu mashikaji niamin
That's true
Same in Uganda 😊😊
I can't too
Tanzanians should respect this guy ametutoa mbali yeye ndio ametufanya tusikiliza wimbo zenu
More views and likes please tufikishe hata 1M views. This song was a hit back in the days ... 2021 representing Kenya
Sure bet
Kabisa
Naangalia hii nyimbo 2025 bado naiona nyimbo bora sana.. yaan zaman walikua wanqimbaaaa
Tonya 4 real ❤❤ ma hme boy 2024 hadi kesho aitok kichwan kwangu
Chuma kwangu bado ni Hit Song
2023 and I am here once again. Amazing rendition 😊🖤
😅😅😅😅
@@angelamuhua5429 what are you doing here???? 😂😂😂😂😂 this is hilarious
Am a Ugandan but this music will never fade away from my head forever big up to Tanzania for this master piece
Ntaisikiliza mpka niambiwe Anita kasharudi nyumbani❤❤ 2024 tulike hapa
😂😂😂😂nimeona hio gari ya wire video ikianza ikanipea flashback ingine noma. Aki those days were truly beautiful kama haungekua na hio gari haukua na say😂😂. 2023 and still vibing to this song. Anita still i love you baby😢❤
Am from Uganda I don't understand Swahili at all but I used to listen to this song when I was still young and still 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Good old days when I could sing this song word by word.. Sikuhizi hata huwa siskii kina domo wanasema nini sijui uzee au vipi. Big matonya.. ❤️
Io miaka ya kina alikiba
😂😂😂😂😂uzee
Siyo uzee. Ni kweli hawasikiki
Hili lilikuwa goma la kwenda miaka yetu tuliorudi 2024 kucheki upyaq gongaq like
2007 tulikuwa brides maids kwenye harusi. Hii nyimbo ndo ilikuwa hit wakati huo tukaichagua nyimbo yetu kuingia ukumbini tulipractice dancing steps kila siku. Brings back memories 😂
Hii nyimbo nakumbuka kulikua na shangazi yangu anaitwa Anita bas kila akija home mm naimba dah jamn wale wa 2023 hit like
Jaman tujuane hapa wangapi walijua wakitumwa sehem wakakutwa wimbo huu unapigwa wanasimama kwanza mpaka uishe ndo wanaendelea na safari
tujuwane wote wanaoikumbuka hii ngoma
Jamani uu wimbo naupenda Sana yangu Niko la pili mpaka nimemaliza chuo saivi ndo najua maanake Ila ni mtamu sana
Wakwanz Nani ana angalia 2021 🔥🔥🔥🔥💖💖💖
Agost 2021
Novembre 2021
2022
26 4 2022niko 😃🙋♀️🙋♀️🙋♀️
Zero nudity,zero sex references, just pure vibes 💯
It was when we had true love Kwanzaa uko ocha ungwimbia dem hii song, walai!! It was really good.
The old school songs had good vibes👌
💯 no twerking pure vibes and talent
Talented
Absolutely
Namkumbuka sana mshikaj wang wa primary alikua akiitiaga yeiyeeeeeeeeeee baada ya matonya akisema anita ... kila nkiiskia hii nymbo namkumbuka sana .. RIP BRO ... tupo nyuma yako
Those days when we're watching Filipino drama on iTv, TVS and EATV was the main music channel, thanks Tanzania for the memories......🇿🇲🇿🇲
I hope Anita alirudi nyumbani jameni, it's been long. 😪
I'm back🤗🤗🤗🤗🤗🤗
😄😄😄kwa kwel
We still looking for her😅
Haha I know
🤣🤣🤣nilirudi
Anita is damn beautiful❤.na hapo hakuna filters 🥰🥰🥰
Man 🔥🥱
Annitah we always beautiful 💓
@@annitahmwangi2430 ❤️❤️❤️😊yees
One of Tanzania's greatest composer.. Matonya 💯💯💯
For Real mazee
Actually nimekuja kuungalia huu mwimbo this year2024 after kuangalia interview ya mbengo TV ya Anita alisema alikuwa form 1 hapa😮😮
Vitamin music 🎶 tonya dah aiseeeee we watakua wamekuloga sio bule kaka ila bonge la msaniii hapa tz
Kama unamkumbuka lady jaydee weka like hapa😂😂
Mume wangu alikuwa akiimba na anasisitiza kwenye mstari umaosema waliniambia nikuache wewe iliniishi mwenyewe........sasa nimeanzaa kuelewa alikuwa anamaanisha nini...
Kama umekuja baada ya interview gonga like ❤
Tar 20/7/2024
Ndio swali nililotoka kumuuliza mpenzi wangu,arafu naingia tiktok nakuita hi nyimbo nikasema ngoja nije niitafute💔💔💔😭😭😭😭😭🙏
Nyimbo kali MDA wote kwangu pale napo isikia box najisikiaga vzr
Mazoea Yana tabu
Who is here 2023?
Much love from Kenya 😍
Those were the Days I could go home straight from school to and get the best of this song from THE BEATS
Especially on ktn at 11
Those days🙌🙌
Nostalgic
This song reminds me of my neighbor, she used to call me Anita whenever we would met and sing this particular song for me especially when she is drunk may God rest her soul in peace
Hii inanikumbusha sana mpenzi wangu anita tulimwagana mwaka uliopita ila namukumbuka sana natamani tuludiane ❤️❤️❤️❤️
Maneno yakutulia enzi hizo, ili ukariri nyimbo lazma niandike kwenye karatasi ❤❤❤
When songs were so nice
I was in highschool in Kenya
We would wait for a whole week to just watch this song only on Saturday evening (Entertainment day#
Old Good Memories
Nipo naisikiliz
Whenever people comment on such memorable songs, with remembrance of their departed loved ones, I feel some inner pain. I don't know what people would say of me when am long gone. This is 2023 celebrating my 31st birthday
Wow this song takes me back to when my Kenyan friends in Sweden played this song for me cos my name is Anita lol. Love from a Ghanaian girl
Nipo mondo sec kondoa , ulinirusha sana Tonya na anitaaa, kassim Bakari Bindo from kigamboni dar es salaam Tanzania
Wale marafiki tuliokuwa nao pamoja Busia enzi hizo za highschool, you know how we danced to the tunes of this song. 2008 memories are fresh. Ujana ni moshi
❤😊
This is not just a song. It's pure memories!!!
This guy's built bongo music industry ...much respect
I made this a lullaby for my kids. I just replaced then name Anita. They are now 15 and 11 and this song is so special to them❤
Tulioludia kutizama baada ya kuona akiojiwa tia like hapa 2024
Yani iyi song ata mwaka waaah 2026 ikingali Hit yani ata hivi ninayipenda🥰 pia ata dada yangu anitwa Anitha namupenda sana😍 like zangu apo pia naivi 2023 tuko pamoja nahiyo song🎵
The nostalgia that this song brings is incomparable. I had just completed High School when this song came out.
Hii nyimbo inatoka mm darasa la tano nilikuwa naipenda san
Gonga like kwa sis wa 2023 goma Bado linaita halichuji...,🔥🔥🔥
kabisaa bado mi naliskiza ngoma hili nikizidiii kukumbka miaka izo za nyumaa waaah moto Sana
Nyie Nimeukumbuka uu wimbo ghafla nilikua nauuimba kichwani it’s January 2025 aniiiiiiiiiii🎼🎼 tusichanganye changanye 🎼🎼🎼watu wa 90’s gonga likes hapo disco toto enzi hizo 😅😅😅
2020 bado nasikiza bonge la muziki wa Matonya. Ahsante sana Matonya na Lady Jaydee.
When bongo was bongo nowadays bongo imearibika juu ya wasafi records...still listening🔥🔥
Hakutai tokea bongo kama zile za zamani, aki nikiskia zinanifanya nafeel kurudi zamani😂😂😂😂
@@beverlykadenge2095 😃😃😅😅
@@erickawino8317 😂
Gonga like ukiamini hii ni mziki hadi wa leo 2023❤
daah yaaani huu wimbo na kumbuka mbali sana yaani tunakwenda kuona kwajirani tena mnaambiwa usikae kwenye makochi kaa chini😅😅😅😅❤
Matonya nayeye alikuwa kwenye list ya mahandsome aisee nampenda yeye na nyimbo zake Yan mpaka Leo nampenda Sana ❤❤❤❤❤2024 like hapa Kama unamuelewa matonya jaman
Yaani dem days Bongo flavour was realy a flavour in Our lifes ❤️
Kwann hamgongi ngoma kama hz siku sijui mmeingiwa na nn tu wasanii wa leo...daah za kale dhahabu gonga like kama zote tuliokua miaka ile
Hizi ndio ngoma safi haina uchafu ❤️❤️❤️❤️❤️
Tonya unajua Ila mdogo wako nko nitaakikisha tunarudidisha heshima inshallah
Mama yangu amenambia kama nikua siwezikura warakoze kunwa Bira hawatie iyi mwimbo ivisasa Niko mutu muzima naipenda sana 🎉🎉
Walio andika hizi nyimbo vitabuni wako wapi hasaa wanawake😂😂
Tko hapa the year was 2014😂😂😂😂
When songs were classic, so sad to see these new generation artists what they have brought to the music industry, they have pushed away legends like this one who can really sing...
In safe
I'm Congolese but I grew up with his songs in Kinshasa I don't understand but I love these sounds 🥹🥹🇨🇩😍
Nyimbo nayopenda kuweka pindi mpenzi wangu Anita anapokuwa amekasilika
Liki tu inasibitisha kama tupo pamoja mwaka hu 2024
When music was music💯🔥
Old school Bongo Hits were the real deal. I'm glad I grew up listening to such. Love from 254🇰🇪
We used to watch it kwa John video show before a movie
Hii ngoma haipitwi na wakat mda wote ipo hit
Wueh lady jay dee hitting the notes like its nothing...kudos
Huu wimbo jaman nipo nautazam huu mwaka 2024 nipeni mauwa
I have always loved this beautiful song but sadly i just lost Anita Wangu two weeks ago, the pain is unbearable but somehow listening to "our song" helps me release my tears and some of the pain every time... malaika wangu kwa milele ❤❤❤
Sorry
Matonya. Wake up again, if you refresh this song again am sure it will HITS AGAIN.
Wake up again, wake up again
.......
Machozi yanidondoka kila wakati ninapoiskia huu wimbo. not all rship are meant to last really. nipeni likes za 2021
Unakutwa na nn kwa wimbo huu
@@revocatusbenezeth2282 it reminds me of those days when love was not money 🤭
@@kipkemoimutai1903 kweli kabisa
@@kipkemoimutai1903 love was always about money
❤❤❤❤
Lady Jeydee she is truly Musician what a great lady , No Drugs free from all those shirts ...God bless her so much
Hawa jamaa wako wapi , natamani warudi kufanya kazi Yao , walikuwa vizuri mno
Still watching it in 2023... respect for this song...sikuizi watu hawajali wanaimba nini bora wameimba tu
Damn!!! Who remembers East Africa TV ? It used to be home of classics 😢
I hope Anita alirudi nyumbani 😂its been long jamani😢😅😅
I miss those days when i didn't exist,when music was meant for the souls...
When bongo was bongo sahizi watoto wanaimba tu matope. ..Diamond platnamz alianza fity but on his way akachanganyiwa
Mimi kama niliimbiwa na wanafunzi class 3weee
2023 🔥 🔥
I have seen Anita interview. She was beautiful still now. 2024 Kigali Rwanda
I can sing the whole song more than 10 years later . That's when songs had a meaning
Manzee😂😂😂
Its like the lyrics are written at the back of my hand😂🤗