Hallelujah! Mungu akazidi kutukuzwa katika huduma yenu. Jina la mwokozi wetu liinuliwe. Watunzi WA nyimbo zenu wavuviwe na roho WA Mungu. I am blessed.
Mbarikiwe mno ila nawaombeni katika bwana muimbapo imbeni kama mmeshika mafail vitendo visiwepo mkifanya ivo tutajikita kufikilia ujumbe na sio kuanagila vitendo barikiwen amina
First to comment from Kenya have been always blessed with this choir.😅😅since we met hope for Africa series in 5th ngong avenue New life SDA church 😅 Yerusalem Jiwe Ombeni Being my favorites 😊😊😊 Be blessed wanaberoya
Jamani Melody za uimbaji mwingine zinasogea saana kwenye Rumi, kuiga iga magharibi sio vyema, Kuna kwaya zilizodumu kwenye melody zake nzuri na sikiimba Hadi shetani anakimbia kama vile Kurasini, Salasala na mbiu , Tafadhali hivyo kama mnambembeleza shetani kabisa
Woow🙏🙏. May the Almighty Lord bless you abundantly, grant you His unending mercies and grace as you worship Him and support course of Gospel.💯🥰🥰 Mungu awabariki sana na tele mmtukuzavyo na kueneza njili. Nawapenda sana sana 🥰🥰
Kazi nzuri saana Mungu awe pamoja nanyi endeleeni kumuomba Mungu msitoke ktk uimbaji sahih wa kumtukuza Mungu kinanda kiwe safi bila chembechembe za kuamsha hisia za kucheza mtafika mbali sana kiimani
Kuna jambo laniudhi sana, wacha nifungue roho, kwaya inaimba vyema sana, chochote wanachofanya ni kumtukuza Mungu, badala ya watu kuwaombea wazidi kuwa katika Kristo, na wapate baraka kwa nyimbo, wamejaa na kukashifu, mara hili mara lile, jamani hii kukashifu ni roho wa Mungu kweli? Righteousness police wamejaa sana kwa wale wamejaa na Holy anger, jamani tuwapongeze na kuwapa heko kwa kumtukuza Mungu.
Bora tuu uwaambie jaman kuna aina ya nyimbo huwez imba kama uko msibani kwanza wimbo wenyewe ni wa ushindi so why don't they show up reaction of what they mean. Tatizo ufarisayo mwingi na watu wako tu kuangalia kasoro za watu wacha injili isonge mbele, wimbo makini,waimbaji,makini yan ni raha tupu
Amen, what a powerful piece!, glory to God. I really love what i hear...But we're praying for your youthful members wasipate msisimuko wa kucheza😅.Barikiweni sana
Oyaaaaaaaa Wanangu beroyaaaaaaaaaaaaaaaa anaewakubali Masela wangu Hawa wa kisabato agonge like hapaaaaaa
May God bless and protect you all during 2025! Thanks for your songs! 🙏🧡🙏
I don't understand the language but my Spirit was blessed.
Beautiful! God bless these young people who are praising God. Amen!! 🙏🙏❤❤⭐⭐😊😊👍👍
Amina, kiukweli nabarikiwa sana na nyimbo zenu .Mungu wetu apewe sifa zote milele
I love this song from rwanda
Bwana awafunike ,awatunze mdumu kumtumikia Kwa uaminifu!
Calmness song ,, revealed how GOD , is great,,, waoooohh what a song ,,, marvelous
My beloved choir, mubarikiwe sana ndugu zangu
Aminaaa
Ni Alpha na Omega mwanzo hata mwisho....fantastic
Wimbo mzuri wa masimulizi keep it saints Of GOD
Nawapenda Beroya wangu🥰
I know that this remaining time we might not see each other but through God's I grace we will be together with our savior Jesus Christ in heaven
Hallelujah! Mungu akazidi kutukuzwa katika huduma yenu. Jina la mwokozi wetu liinuliwe. Watunzi WA nyimbo zenu wavuviwe na roho WA Mungu. I am blessed.
The best choir beroya nyie naomba n waharike makambi mwakani Panasonic majaliwa
Karibu
Beroya,God bless you, powerful message.Michael the great prince,guards,guides,directs, protects, and comforts his people when in disasters.Amen
Be blessed too
Nimemwona mwal. Wangu alinifundish mjini kat sda ukerew ubarikiwe sana now u sing t beloya 🎉🎉
Amen mbarikiwe sana
Amina sana .mbarikiwe kwa wimbo mzuri huu
Nawaombea msije mkaanza kucheza. MUNGU atawaacha.
Kucheza haviingiliani na kuachwa na Mungu,bali ni matendo
Kwani Mungu amekataza kucheza?
Barikiwa kwa ushauri ndugu🙏
@@janethmwihumbo1289Anajua kile anakisema so many choirs have fallen into it na wasikilizaji don't take the message serious
Kama vile Daudi alicheza akaachwa na Mungu?Tupe mfano Ndugu
Aminaaaa ,nimebarikiwa
Mbarikiwe mno ila nawaombeni katika bwana muimbapo imbeni kama mmeshika mafail vitendo visiwepo mkifanya ivo tutajikita kufikilia ujumbe na sio kuanagila vitendo barikiwen amina
Barikiwa kwa ushauri ndugu
@@BEROYAMISSIONADVENTISTCH-nw8sy amina
Aminah
Moyo ukifurahi na viungo vinacheza so hiyo ndio kumsifu Mungu unacheza kama David
I love ❤️ African song so much even I don't understand the words
Swali zuri kabisa na jibu la uhakika NI YESU TU BASI ANATOSHA
Nawapenda nawapenda nawapenda tena Mungu awafikishe mbaliiiii injili isonge mbele kupitia huduma yenu ya uimbaji
Role model wa Adventist choir❤
AMINA kwa Michael!!!
My favorite choir. I love your composition and the message is always great. Keep up serving the LORD.
Thank you so much!
Nabarikiwa Sana ni ombi langu tukutune mbinguni tukaimbe wote
First to comment from Kenya have been always blessed with this choir.😅😅since we met hope for Africa series in 5th ngong avenue New life SDA church 😅
Yerusalem
Jiwe
Ombeni
Being my favorites 😊😊😊
Be blessed wanaberoya
Second here 😂..Amina🙏
Third one 😂😂@@samsonplatson2136
Amina sana
Hongera kwa mbio za baraka 🙏🙏
🥉🏆
Amen. I am blessed.
Keep on praising God. From the songs you lift many souls
Wonderful voices,Let God be glorified.Amen
Woohoo 🥰🥰🥰🥰🙏
Excellent.
May our God meet all your needs, the needs of Heath, finances, knowledge, your families, yes Mikael fights all the battles!
Amen ameeen, quite an inspiring song with a great message. Sauti zilizoundwa kwa kumtukuza Mungu na jina la Bwana lihimidiwe.
Walau saya, gak mengerti bahasa. Namun saya suka paduan suara Beroya. Saya dari Indonesia. Beroya choir bagi kemuliaan Tuhan Yesus
Be blessed
Wapendwa Mungu awasaidie msianze kucheza tupo kwenye vita kali sana wanakwaya wajitahidi kutulia wasicheze.
Terima kasih banyak sayang dan semoga Tuhan memberkatimu dan terus diberkati oleh paduan suara ini
Barikiweni nyote wapendwa! Mungu yu mwema, mtu awaye yote asiwapunguzie mwendo!
Bwana awabariki kwa ujumbe mzuri,napendekeza mapigo ya kinanda yanamvuto wa kucheza msije cheza watu wa Mungu .
Barikiwa kwa ushauri ndugu
Hakika mko sawa sana namna ya kuimba Bwana awatangulie mmetulia sana na ndivyo inavyotakiwa HONGERA SANA
Wimbo wangu pendwa nimeutqfuta tangu makambi beroya barikiwa sana
Bwana awabariki sana beroya
Amen
🔥🔥🔥🔥Barikiweni
Wapendwa Mungu awasaidie msianze kucheza tupo kwenye vita kali sana wanakwaya wajitahidi kutulia wasicheze.
Imepokelewa mpendwa tunashukuru
Wasimame kama mlingoti ndio raha yako? Watu wanaokosa baraka sababu ya kukosoa kila jambo, righteousness police!
Jamani Melody za uimbaji mwingine zinasogea saana kwenye Rumi, kuiga iga magharibi sio vyema,
Kuna kwaya zilizodumu kwenye melody zake nzuri na sikiimba Hadi shetani anakimbia kama vile Kurasini, Salasala na mbiu , Tafadhali hivyo kama mnambembeleza shetani kabisa
Este coral e maravilhoso todos dias escuto suas mensagens musicais pelo trânsito de são Paulo.
Woow🙏🙏. May the Almighty Lord bless you abundantly, grant you His unending mercies and grace as you worship Him and support course of Gospel.💯🥰🥰
Mungu awabariki sana na tele mmtukuzavyo na kueneza njili. Nawapenda sana sana 🥰🥰
Amen....mbarikiwe sana
Too nice song
Waaaaaa mungu apewe sifa🎉🎉
Kazi nzuri saana Mungu awe pamoja nanyi endeleeni kumuomba Mungu msitoke ktk uimbaji sahih wa kumtukuza Mungu kinanda kiwe safi bila chembechembe za kuamsha hisia za kucheza mtafika mbali sana kiimani
Amina. Mungu atukuzwe
Mbarikiwe sana , nyimbo hii imeniongezea imani
Barikiwa mpendwa
Beroya mission mbarikiwe
Wimbo mzuri. Barikiweni.
Mubarikiweee ndugu zangu,muendeleye kutumikiya Mungu na ngufu zote,na akili zetu
2nabarikiwa na beroya choir jumbe zna2sogez miguun pa kristo
My best choir
Wimbo wa Mikael angalau mmechana mawimbi
Munguawabariki SAna niwapatakiwa Rwanda
Amen
Mubarikiwe tena ndugu zangu
Mbona wako sahihi
Sioni tatizo kwenye uimbaji wao kbsaa, tatizo watu wepesi wa kuhukumu na ufarisayo mwingi
Balikiweni ktk Jina la Yesu
Nice voices ❤
Mbarikiwe sana
Wawooo 🎉🎉🎉🎉
glory glory so blessed
Mbarikiwe sanaa❤
May God bless you as you continue lifting the banner of Christ.
Thank you! You too!
Hongera sana
Baikiweni Beroya mission
Wapendwa mungazidikuananyi ndiro obirangu musijemkajivunikaeniktkakristo
Amen and Amen again
Mwimbaji maarufu wa vizazi vyote ameanza kuwatekenya Waadventista; brobationary time ending!
Dumuni kunyenyekea BWANA azidi kuwainua ili awatumie shambani. Songeni mbele
Nice song
Be blessed so much
Nawapenda sana♥️♥️♥️
Bendiciones 😇
baraka za BWANA ziambatane nanyi waimbaji
Maravilhoso, Deus seja louvado sempre.
Kuna jambo laniudhi sana, wacha nifungue roho, kwaya inaimba vyema sana, chochote wanachofanya ni kumtukuza Mungu, badala ya watu kuwaombea wazidi kuwa katika Kristo, na wapate baraka kwa nyimbo, wamejaa na kukashifu, mara hili mara lile, jamani hii kukashifu ni roho wa Mungu kweli? Righteousness police wamejaa sana kwa wale wamejaa na Holy anger, jamani tuwapongeze na kuwapa heko kwa kumtukuza Mungu.
Bora tuu uwaambie jaman kuna aina ya nyimbo huwez imba kama uko msibani kwanza wimbo wenyewe ni wa ushindi so why don't they show up reaction of what they mean. Tatizo ufarisayo mwingi na watu wako tu kuangalia kasoro za watu wacha injili isonge mbele, wimbo makini,waimbaji,makini yan ni raha tupu
Mungu awabariki hawa waimbaji.kumbuka hata wanaopinga ni mawakala wa shetani
Amen, what a powerful piece!, glory to God. I really love what i hear...But we're praying for your youthful members wasipate msisimuko wa kucheza😅.Barikiweni sana
Amen amen amen💪🙏
Muito bom!!!!
Congratulations
Amina
My people ❤
Excellent ❤
Thanks
❤❤❤🎉
Blessings
mbalikiwe viongozi wa bwana
Vibe la kuanza kucheza naona linataka kuchukua kasi.
Amen
Habari ya Beroya naweza pata numbering ya simu
+255757145955
❤❤Amen.
Tatizo lenu miziki niyakidunia mmepungua mmeimba mmesimama lakini mnacheza mioyoni mwenu badilikeni imbeni nyimbo za kiroho siyo mpate sifa za kidunia badilikeni upigaji wa vinanda vyenu Amos 5:23
Barikiwa kwa ushauri ndugu 🙏
Kwani kuna binadamu anayesoma mioyo??? Wacha kufanya kazi ya Mungu!
Wah
😊🙏🧡
Amen bless you all pls ❤️❤❤🎉🎉🎉😊
🙏🙏
amen