LAMECK LAWI Kwamara Yakwanza Mbele Ya Waandishi Kwa Nini Hajaripoti SIMBA? Msemaji Ajibu Kibabe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @SangaryaMasero-kc3br
    @SangaryaMasero-kc3br 14 днів тому +5

    Nyinyi sio watu wazr mnakatalia lawi mnadhan anafurahia Hilo swala

  • @allyiddakizimana7103
    @allyiddakizimana7103 14 днів тому +1

    ROHO MBAYA.WANAMBANIA DOGO HANA HATA RAHA

  • @denisosward7464
    @denisosward7464 14 днів тому +3

    Duu pole Sana lawi kwa hili

  • @user-pv2to4cu2m
    @user-pv2to4cu2m 14 днів тому +3

    Lawi Hana Amani ya moyo Hadi amenuna kuikosa simba

  • @user-ib2ew9ec3d
    @user-ib2ew9ec3d 14 днів тому +2

    Uyo ataondoka akiwa huru naligi ikianza hatoonyesha makali malengo yake sio kucheza cost😅😅😅 anataka kwenda juu

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 14 днів тому +2

    Daaa!!!...dogo Hana amani....tff ingilieni kati dogo moyo unamsononeka sana...dogo muulize fei toto alishindaje hizo vita kama hiyo

  • @user-sy4wf5ll4o
    @user-sy4wf5ll4o 14 днів тому +2

    Mnambania dogo kupata maisha yake

  • @shukurumwepea3319
    @shukurumwepea3319 14 днів тому

    Wanamkatalia lawi kuondoka alafu shirikisho caf hamfiki popote

  • @JacobKibiki
    @JacobKibiki 14 днів тому +1

    Mnazani anapenda laki kuliko mil

  • @erickprotace9463
    @erickprotace9463 14 днів тому

    Shida ya waandishi wa habari ni kutoelimisha hatua ya kusitisha mkataba kuendelea kwa watu ili watu waelewe vizuri sakata. Bila hivyo watu wataakaa bila kujua mmiliki halisi wa mchezaji. Elimisha njia za kusitisha mkataba au makubaliano Kama zimefatwa au la Kama vilifatwa watu wajue mmiliki

  • @evansmoshi1923
    @evansmoshi1923 14 днів тому +1

    Cost bure kabisa ninyi

  • @saidothman4527
    @saidothman4527 14 днів тому +1

    Lawi anapotea kimya kimya kwenye şoka

  • @JacobKibiki
    @JacobKibiki 14 днів тому +1

    Mbna kuongea mchezaji TU mnaogopa au Kuna kitu mnajua ataongea nn hata yy czani kama amependa

  • @tsitingilembombo9995
    @tsitingilembombo9995 14 днів тому +1

    Kwani LAWI yeye anasemaje??

  • @munamuna7488
    @munamuna7488 14 днів тому +1

    Muacheni aende

  • @josepahatmargwe6504
    @josepahatmargwe6504 14 днів тому

    Unazungumza ujinga , Lawi atachelewa kucheza mwaka huu.

  • @ganjosuleman9263
    @ganjosuleman9263 14 днів тому

    We nifala😊

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 14 днів тому

    SI MSEME TU HIZO NI FITINA ZA MATOPOLO MACHOGO FC

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 14 днів тому

    uyo anakwenda kupotea

  • @kassimyusuph9470
    @kassimyusuph9470 14 днів тому +1

    😂😂😂😂😂 Simba nidude kubwa,sana Simba nikubwa kuliko,lawi mnachokifanya mnaweza kukijutia bade kwani,mchezaji,huyo,inawezekana asicheze Simba Wala kosto hadimwisho wamsimu