"CCM VIPI? HUKO MBONA MNAKOROGANA" SUGU ATUPA KIJEMBE CCM //MLITUSEMA SANA SISI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 7

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 місяці тому +3

    Nani ajifunze kwa mafisi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 місяці тому +1

    Na bado watsondoka wengi laana ya Magufuli inawatembelea Mungu anatoa nsjibu taratibu

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 2 місяці тому +1

    Wakimpa Msigwa uongozo watalia , mchonganishi mno.

  • @usembiphonedar5632
    @usembiphonedar5632 2 місяці тому +1

    Mh.Sugu endelea kujenga Chama hao mafisi acha waendelee kukorogana hao wana Laana na hiyo ndiyo inawatafuna na bado itawafuna wataropoka mengi na mwisho wataanguka na ccm yao ya mafisadi ndiyo inaenda hivyo! Acha Mungu afanye kazi yake! Sugu angalia na wewe usije kununuliwa ukaolewa kama Msigwa!!?

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 2 місяці тому

    Sugu kapambanie jimbo la Iringa acha kelele! Ukipoteza hapo umeumiza chama

  • @cloudjulius-sf6nw
    @cloudjulius-sf6nw 2 місяці тому

    Mm nakuja kumpigia kampong sugu

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 місяці тому

    Anataka kuhamia chadema ili wampe uongo