#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • SEPTEMBER TO REMEMBER
    Pastor Innocent Mashauri
    +255 758 708804 Whatssap text, Call
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 65

  • @JoyfulLargeTree-ed6pt
    @JoyfulLargeTree-ed6pt 5 днів тому +2

    Ameen Ameen nafuta Kila nilichotamkiw ili nisiolewe

  • @EstellaNshimirimana-up9jo
    @EstellaNshimirimana-up9jo 5 днів тому +2

    Asante Mwenyezi Mungu kwakunivusha nipate mafanikio kwamaisha yangu,asante Baba,asante Baba,napokea ukombozi kutoka kwako,navuka in might name of Jesus maadui wako nyuma yangu wanapotea wanakufa nasonga mbere in might name of Jesus Christ 🙏🙏 amen amen

  • @NIVYUKURITV
    @NIVYUKURITV 5 днів тому

    MUNGU BABA JEHOVAH NAOMBA UNIVUSHE KWENYE HAYA MATATIZO YA UCHUMI PAMOJA NA MATATIZO YA SHULENI NAOMBA UTENGENEZE NJIA NIPATE SECTION YA PARAMEDICALE NINAAMINI YA KUA UTATNDA KWA JINA LA YESU KRISTO. AMEN

  • @NIVYUKURITV
    @NIVYUKURITV 5 днів тому

    Ninapingana na neno la laana ya kwamba Sitaingia mbinguni ya kwamba nitakufa masikini ya kwamba sitapata section ya paramedicale katika jina la YESU NAAMINI YA KUA MANENO HAYO YAMEFUTWA KWA DAMU YA YESU NA KWA JINA LA YESU AMEN AMEN.

  • @devothahaule6665
    @devothahaule6665 5 днів тому +1

    Naomba sana Nguvu ya Mungu Kwa baba yangu mzazi aokoke

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui 5 днів тому +1

    Amen amen najiungamanisha na ibada hii hata kama nimechelewa

  • @SaraMpozi-nf1yk
    @SaraMpozi-nf1yk 5 днів тому +1

    Mungu mvushe mwanangu john aweze kuongea katika jina la yesu

  • @julianarichard920
    @julianarichard920 5 днів тому +1

    Mimi na watoto wangu Bryton na Brightness ninaomba mungu atuvushe

  • @SaraMpozi-nf1yk
    @SaraMpozi-nf1yk 5 днів тому +1

    Mungu nivushe kwenye mangumu ninayopitia

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui 5 днів тому

    Napokea neema ya kuvushwa katika jina la YESU 🙏🙏🙏

  • @jenniferpallangyo6123
    @jenniferpallangyo6123 5 днів тому

    YESUUU Nisaidie Nivukee,nisaidie Baba yangu,nisaidie ninaomba kuvuka Leo,nitoke kwenye magonjwa niingie kwenye uzima,nitoke kwenye madeni Yesuuu wangu,nivushe wewe..

  • @AshuraNdohelo-hi7su
    @AshuraNdohelo-hi7su 4 дні тому

    Amen, nafuta maneno na manuizi yote ya laana yanayorudisha nyuma maendeleo ya elimu Kwa watoto wangu.

  • @PedroSantos-rh8nc
    @PedroSantos-rh8nc 5 днів тому +1

    Assante baba Kwa lolote lema analonifanyia Kika siku nakushukuru baba adi Kwa vinayokuja kutoka kwako yesu Cristo pamoja na baba alio mbonguni.

  • @SYDEYLINET
    @SYDEYLINET 5 днів тому

    Hallelujah BWANA NIVUSHE,NIKOMBOE katika kila eneo na sehemu may this September to remember,REMEMBER ME OOOHH LORD 🤲🤲🤲🤲🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️ninavuka kwa kishindo na nguvu za YESU KRISTO AMEN AMEN AMEN

  • @ZilagabaBisukaye-wh4zw
    @ZilagabaBisukaye-wh4zw 5 днів тому

    Ameni,kwa jina la yesu ninaibadirisha mipango yote ya adui katika familia yangu,Mauti haipo tena

  • @AnithaAndelison
    @AnithaAndelison 4 дні тому

    Ameeen

  • @josehenriqueshenriques9782
    @josehenriqueshenriques9782 5 днів тому

    Nao nguvu ya kutumika madhabahuni na nguvu ya maombi Niko Msumbiji 🇲🇿 Nisaidie baba Innocent

  • @AureliaNgailla
    @AureliaNgailla День тому

    Asante Yesu

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 5 днів тому

    🎉 mungu naomba unisaidie na Mimi nifuke kila cku kulia nimecho loho ya kudhulumiwa nimechoka nisaidie nivuke watoto wangu kuhangaika nisaidie nivuke nitoke kwenye maumivu ya kugumu

  • @JolleetNiaze
    @JolleetNiaze 5 днів тому

    Amen

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 5 днів тому

    Amen najiungamanisha mtoto wangu Jenifer mufungue ufahamu mpe ushindi mungu apate shule nzuri

  • @AnithaAndelison
    @AnithaAndelison 4 дні тому +1

    🙏🙏🙏🙏🙏

  • @joharisadi873
    @joharisadi873 5 днів тому

    Nimevuka Kwa nguvu ya Mwenyezi Mungu

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 5 днів тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AshuraNdohelo-hi7su
    @AshuraNdohelo-hi7su 4 дні тому

    Amen nafuta maneno yote ya laana yalionenwa Kwa uzao wangu. 27:25

  • @Mwesige-s8q
    @Mwesige-s8q 5 днів тому

    MUNGU akusaidie sana 🙏🙏 Mtumishi wa Mungu na Mimi pamoja na Watakatifu wote pia 🙏🙏🙏🙏

  • @NIVYUKURITV
    @NIVYUKURITV 5 днів тому

    AMEN

  • @Witney4124
    @Witney4124 5 днів тому

    Asante Yesu kwa kuwa umeniweka huru

  • @NIVYUKURITV
    @NIVYUKURITV 5 днів тому

    NAAMINI AMEN

  • @user-qe6ie8jv5b
    @user-qe6ie8jv5b 5 днів тому

    Mungu nivushe mimi na watoto wangu

  • @AnithaAndelison
    @AnithaAndelison 4 дні тому

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu

  • @fortune3502
    @fortune3502 5 днів тому

    Ee Mwenyezi Mungu nakutolea sadaka naomba unipe ushuhuda wa kushuhudia kupitia maombi haya ya leo.

  • @janetnthambi
    @janetnthambi 5 днів тому

    Baba yangu uliyo mbinguni naomba univuje Yale yote nimenenewa mume wangu watoto wangu

  • @WemaBeatrice-yi2gt
    @WemaBeatrice-yi2gt 5 днів тому

    Asante yesu kvakunivusha

  • @ZengoMbogo
    @ZengoMbogo 5 днів тому

    MUNGU BABA Asante hata sasa umetenda.Barikiwa mchungaji

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 5 днів тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 5 днів тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AnithaAndelison
    @AnithaAndelison 4 дні тому

    Asante yesu😭😭😭🙏🙏🙏

  • @user-ld1uj2gz4z
    @user-ld1uj2gz4z 5 днів тому

    Asifiwe Mungu Baba,nimeokoka leo

  • @rebeccabrown5135
    @rebeccabrown5135 5 днів тому

    Amen asanti Mungu kwa msamaha

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 5 днів тому

    Asante bwana 🙏🙏🙏naomba neema na lehema aniondolee aibu

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 5 днів тому

    Sylvia asante yesu,baba naomba uakazidi kunivusha

  • @AnithaAndelison
    @AnithaAndelison 4 дні тому

    Mungu nisaidie mimi na familia yangu

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 5 днів тому

    Ee mungu ni vushe salama baba

  • @AnithaAndelison
    @AnithaAndelison 4 дні тому

    Yesu nivushe leo

  • @pasyanmwaikimba5616
    @pasyanmwaikimba5616 5 днів тому

    Ameeni Mungu nisaidie nivuke salama🙏

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 5 днів тому

    🎉🎉 mungu aniondolee kwanini mimi

  • @oman5875
    @oman5875 5 днів тому

    Ameni, Mungu nisaidie🙏🏿

  • @RameckElieza
    @RameckElieza 5 днів тому

    Mungu nisaidie nivuke

  • @AnithaAndelison
    @AnithaAndelison 4 дні тому

    Tawala leo kwa wazazi wangu

  • @julianarichard920
    @julianarichard920 4 дні тому

    Ninaomba kuvuka Leo nitoke kwenye uchumi.mbaya niingie kwenye uchumi.mzuri

  • @AnithaAndelison
    @AnithaAndelison 4 дні тому

    naomba mimi na wazazi wangu tuvushwe leo

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 5 днів тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 najiungamanisha na madhabau haya kutoka Saudi Arabia napokea uponyaji wangu Leo napokea ukombozi wa familia yangu inafunguliwa Amen 🙏🙏🙏😊

  • @VailetSilvester
    @VailetSilvester 5 днів тому

    Asant yes

  • @laurentndowa2304
    @laurentndowa2304 5 днів тому

    Ahsante MUNGU, Ahsante YESU Kristo Mwana Wa MUNGU

  • @salamam8721
    @salamam8721 4 дні тому

    Natamani kuvuka

  • @Christine-y2v
    @Christine-y2v 21 годину тому

    Mimi ata Siwezi kucimulia Maisha yangu tangu utoto ni 😭😭😭😭 laniki Leo na tabasamu milele milele👁️👁️

  • @MugishaSilvano
    @MugishaSilvano 5 днів тому

    Asifiwe bwana ya bwana

  • @notburgamlelwa
    @notburgamlelwa 5 днів тому

    Nimeokoka usiku wa leo

  • @NIVYUKURITV
    @NIVYUKURITV 5 днів тому

    AMEN

  • @AnithaAndelison
    @AnithaAndelison 4 дні тому

    Amen

  • @AnithaAndelison
    @AnithaAndelison 4 дні тому

    Asante yesu

  • @AnithaAndelison
    @AnithaAndelison 4 дні тому

    Amen 🙏🙌

  • @NIVYUKURITV
    @NIVYUKURITV 5 днів тому

    AMEN

  • @AnithaAndelison
    @AnithaAndelison 4 дні тому

    Amen