Polisi jijini Nairobi wanachunguza kutoweka kwa mwanafunzi
Вставка
- Опубліковано 4 кві 2023
- Polisi jijini Nairobi wanachunguza kutoweka kwa mwanafunzi wa miaka 12 katika hali tatanishi mtaani south b, kaunti ya Nairobi. Akolde Dut Paul, alitumwa dukani kununua bidhaa tarehe 23 machi mwaka huu lakini hakurejea nyumbani. Wahudumu wa duka alikonunua bidhaa hizo wanasema walimwagiza kurejea nyumbani kumleta mzazi baada ya kupatikana na peremende ya wizi
Inaka ameogopa kurudi nyumbani.atapatikana katika jina la yesu
Amen .
We are sending love she will be found well and safe
Aliogopa kurundi home because of the threat from the shop. Shame😢
If you have lived near Sudanese you know how they punish the kids. The girl got scared and took off.
Wako xtremely strict😮.
Imagine that is your sister will you talk like that?
@@akierb1657 why are you making it look cruel? Most of the times when kids runaway it's because they are afraid of punishment, shoot we know our African parents are strict.
Why do i feel like she got scared of going to bring the parents and decided to take off elsewhere. Woiii.. May she be found safe and sound i pray.
That must be the case
She was hungry
Sasa kuangalia angalia vitu ni mbaya juu hujaiba?? Hivyo we don't have window shopping?? Hakuna kenye alifanya anatumwa wazazi, cctv vile inaonyesha huyu mtoto hakuna kenye aliiba na kenye alitumwa alinunua. Shame on you hii supermarket, nyinyi ndio mumepea akaogopa kwenda home akatoroka bureeeee kabisaaaa
Just add 1 +1 and know it's 2. According to the video and the narration, one can just conclude the child took the chocolate. If they did not find her with anything why did they then hold the Milk and the money?. The thing is she was scared to go back home because of discipline may be. I think she is just in the streets.
I wish wangemwambia akaa hapo,wacall the parents,juu huyu obvious anajua number ya either mum
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😮
Maybe kalichukuwa Chocolate,But ni kawainda watoto. Wangemuzuiliwa mpaka mzazi akuje
Alikua amevaa aje ndio maybe iwe easy to find the lady😢😢😢
Atapatikana in Jesus name...
They could take the items she had taken and let her go home with the milk or even buy her like 5 sweets. That was just a child
They did not know, kama huyo mtoto angepoteya jameni
GOD we protect her we pray for her safe return
When home is terror zone, the child likely disappeared fearing reproach.
Kuishi na relatives ni noma. She must have been scared.
Ata ni parents wake,Kama alikosa lazima angeogopaa
Here's a case of a little girl 'tempted by candy'. I don't argue for shop-lifting but have my reservations that this retail outlet could have done better owing to the juvenile age of the subject. Was the candy open? Was the difference between the value of the milk pack and the Ksh.1400/- enough to take care of the chocolate? There's a possibility that the girl, oblivious of the risks out there on our streets got hesitant to return home in fear of punishment by her parents/guardians for the wrong she had done. We commit this family unto God's able hands for strength during this difficult times & pray that young Akolde returns home safe ... 🙏🕊️ ...
Ati peremende mko na mchezo sana naivas mko aje
Naivas security to be blamed solely,they could have called the parents and detaine the child 😅
Mungu mrejeshe
God help
Labda aliogopa but my prayers apatikane salama salmini
May she be fine whenever she id
Why did you have to send a little child like that even you parents stop carelessness
Oh my God, wooiyie grade 1
Alikuwa amevaaje for eazy indetity
Waseme alilovaa
@@elizahbethngele kwani huoni cctv
@@webmallkenya8480 ooh sorry dr
Peremende ni kitu ya kutumana mzazi surely
nmemuona leo asubui huyu mtoto
Wapi jamani piga ripoti kwa wazazi
😢
Please can we know the dates girl lost because there was girl raped and killed 24th of April
But I think she had enough money they could have deducted from after paying the milk
Meaning her parents are very strict
You have to be strict kwa watoto as parents. Hakuna mtu angenjua huyo mtoto hataenda nyumbani. God Almighty saidia huyo mtoto arundi kwa wazazi wake 😢
12 years Grade 1???
From south Sudan haezi kuwa level moja na watoto wa kenya kazima aanzie chini ndo ashike poa
Form 1
Ni tricky sana. I thought ako grade 7