MUME WA RAIS SAMIA ALIVYOWASILI KATIKA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 23

  • @binasbinas
    @binasbinas 10 місяців тому +3

    Kutoka Kabwe Zambia nawatakia maadhimisho mema Zenji Oyeee!!

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 10 місяців тому

    FIRST MAN HUYOO

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 10 місяців тому

    Mama Pastor Gachagwa

  • @swaleebabu5264
    @swaleebabu5264 10 місяців тому +1

    Vice president wa Kenya anaitwa RIGATHI GACHAGWA. hio pia inawashinda😅🤷‍♂️

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km 10 місяців тому +1

      Kutamka gachagwa ni mpaka uwe na mafua ndo utaweza kuitamka vizuri au labda uwe unajua lugha ya gikuyu😅😅

    • @harithpusuleiman1472
      @harithpusuleiman1472 10 місяців тому +1

      Pengine hata wewe ungelikuwa unasema ingekushinda ila hapo umeiandika tu ndio unaona rahisi

    • @edwingichobi1657
      @edwingichobi1657 9 місяців тому

      Watanzani hukua tu Kiswahili miingi

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km 9 місяців тому

      @@edwingichobi1657 Wala hata haturingi 😊😊😊

  • @MustaphaKiluke
    @MustaphaKiluke 10 місяців тому

    Amekosea jina la makamu wa kenya

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 10 місяців тому

    Enzi za mwamba mhuuu

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 10 місяців тому +1

    Jamani hapa kuna kitu tujifunze wa Tz wenzangu. Mke wa raisi anashangiliwa akifika je, mme wa raisi??! Si nae ni vilievile??

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 10 місяців тому +1

      Hapana HAyamuhusu kwA kuwa yy sio riasi wa nchi kilichowaunganisha pamoja ni ndoa sio kaZi na majukumu

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 10 місяців тому

      Wanawake wanapenda sifa kuliko wanaume. always we act cool

  • @juliusmagunila6308
    @juliusmagunila6308 10 місяців тому

    Baba wa taifa au sio

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 10 місяців тому

    Sherehe hii ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar imeandaliwa kwa Uzito mkubwa tofauti na Miaka yoote kabisa ya Zanzibar.
    Watanzania tunafikiri hii tofauti imetokana na nini?

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 10 місяців тому

      wanatumia pesa za kodi za Tanganyika wote ni wazanzibar

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 10 місяців тому

      ​@@kwisa4899We kuma Tanganyika muna kodi gani?
      Zilipokuwa zikitumika kodi za Wazanzibari kuijenga Tanganyika hadi wabunge wetu walilalamika bungeni mbona hamkuwa mukiongea?
      Muliweka mikundu yenu kimya

    • @Soon815
      @Soon815 10 місяців тому

      @@OmerSuley-gl7go Ndo maana huwa nasema hayo mambo ya kidini mliyonayo hayana maana mnapoteza muda

    • @jumakasim8784
      @jumakasim8784 10 місяців тому

      Kama ningezaliwa zanzibar basi ningejutia maisha yangu yote

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 10 місяців тому +1

    Huyuu mtangazaji ajitafakari baada ya hapa. kukosea majina ya watu wakubwa ni kitu kibaya sana. kabla ya speech pitia majina ya head of state utakao wataja practices regulaly ili wakati wa kuwataja yasiwe mageni kwako. huwezi kushindwa kusema Gachagwa mara mbili kama uko serious .

    • @seserasamson748
      @seserasamson748 10 місяців тому

      Sahihi kabisa, hata mimi nimeshangaa sana. Wasimuweke tena,anatuaibisha.

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 10 місяців тому

      ​@@seserasamson748kwanza sijapenda saiti yake sijui anatamkaje maneno

    • @joshuasiro7461
      @joshuasiro7461 10 місяців тому +1

      Watu wakubwa ni akina nani,wauaji wa watu Hawa ni magaidi