Wakazi nakushauri msikile sana kinya mistari kuna kitu utajifunza kutoka kwake usipofanya hivyo huku kwenye hip hop utabaki kuwa wa kawaida sana kwakuwa uwandishi adi kugani uwezi
Kusema ukweli mm siwezi ingilia vita yenu maana sijui imeanzia wapi au ila nimekuja hapa nafata maelekezo ya Roma toka X 😂😂😂😂 uko underground I'm Burundian 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hatimaye comments zimefunguliwa..... Sema atajifanya yeye mkubwa Ili asijibu hii.... ila wote tumesikia punch nzito hapa ..... Man I love Rap battles 🤣
Na hata evo nmekj kuskiza ulichoongea ni baada y roma kuomba tuje tu-streems kanyimbo chako. We blaza una kaz y kudis wenzio tu, umemalizan na zuchu umeamia kw roma, ach majungu mtt wa kiume toa nymbo kali watu waskize acha kulia lia
Wakazi na Roma tukiweka mbali na ushabiki wa pande mbili kwenye upande wa Rap Writing skills Roma hamfikii Wakazi , Roma ye ni mjuzi wa kutengeneza heart songs
TUONGELEE MUZIKI SASA... 1.Alikchokifanya @wakaz kinaruhusiwa kabisa hasa kwa wale wanaoamini katika misingi ya HIPHOP (majigambo / majivuno) 2. Hii ngoma inaweza kutumika katika maono mawil yaan kujitafutia jina katika game au kutafuta fulsa fulani hasa katika gavoo (UPEPO) 3.NACHOKIONA: ni muda sasa wa KIKOS kazi kuja mchana ROMA ili kuboost game zaid kwa kuwa Wakaz na Nikki mbish hawatoshi.
WAKAZI ni mkali sana, ila tu anapo amzungumzia ROMA. namna hii ukimzungumzia huyu jamaa katika kila ngoma kuanzia sasa nawe utakuwa maarufu angalau kama d'voice ama zuchu
Amma big fan of Lord eyes since a youngin. Sijui atarudi vipi nasubiri but wakazi ni kiumbe chengine balaa na tofauti. Mombasa Kenya tumekubali ..#Fellow B ameskiza 😂
Tulio kuja hapa kwa ajili ya maelekezo ya roma tujuane
Hahahaha tupo wengi maana bila Roma nisingeijua hii
😂😂😂
Nimecheka kifala sana 😆😅
*Amshukuru sana roma uyu*
😂😂😂 naassm
Baada ya Roma kusema Ndioo tukaja?
Wana wa X
hahahaha tu camp hapa
Roma ndio katutuma hapa
Wanakumenya mzee mwanaume awez kuwa anachukulia vitu personal ivyo
KWA AJILI YA ROMA TUJUANE HAPAAA 🎧🎧🎧🎧🎧 ROMA NDO KATULETAA HAPA😂
Kama umekuja baada ya ROMA ku share link. Bonyeza alama # kama ni algorithm imekuleta hapa bonyeza alama ya *
Give big 5 for Roma!! Maelekezo ya roma yametuleta apa mkubwa
Waliokuja na Bus la 'ROMA MKATOLIKI' washukie hapa! 😂
😅😅😅tuko live
😂😂😂
Nimekuja hapa kwa maelekezo ya ROMA!
Wakazi kwenye sala zako usiache kumtaja Roma aishi sana
nimekuja hapa kwasababu ya Roma,, mbali Na hapo ungejiskiza hii dis mwenyewe ukikuna Ngozi ya kende
Tulia Kuja hapa Kwa ajili Ya Roma.
Like Hapa Kwanza 🤣
Nimekuja kwa maelekezo ya #roma 😄
Mliotumwa na Roma like usipite bila kulike.
Kiukweli Nimekuja Huku Kwasababu Ya Roma
Nmekuja hapa baada ya roma kunielekeza
TULIOKUJA KWA AJIRI YA ROMA like hapa
Ni roma kasema tuje hapa kusikiliza hii dis track 😂😂
ROMA AMENILETA NIPITISHE HUU UCHAFU MASKIONI MWANGU,, GADDEMIT 🚮💔😂😂🙌
Hii ngoma nimejua imetoka baada ya roma kutujulisha 🔥🔥
4 days 5 6k views 🤦🤦
Brought here by Roma😊😊
Wallah kama sio Roma mkatolikie mimi nisingefaham kama kuna huu wimbo🙏 shout out to you Roma wewe ni super genius wa hip-hop
Maelekezo chapter with my broh Roma ❤
Wakazi sounds like :
Mimi ni msela
Siwezi kwenda jela
Nikienda jela
Narudi na mahela
Mahela si Mahela
Majani ya mpera
we mzee😂
😂😂😂
Ana kawaida ya kutia viingereza vyake ili kulainisha hiyo “mimi ni msela…”😅
Be like
Napiga tikitaka
Wahuni wananitaka
Mimi siwataki
Nawaona takataka
Mshukuru sana Roma tofauti na hapo hii kazi ingedoda
Mshukuru sana Roma ila goma baya kinoma, unarap ile ki 80zz
Rhymes of magic attraction (ROMA) amenielekeza kuja hapa
Wakazi nakushauri msikile sana kinya mistari kuna kitu utajifunza kutoka kwake usipofanya hivyo huku kwenye hip hop utabaki kuwa wa kawaida sana kwakuwa uwandishi adi kugani uwezi
Aje na yeye tusikie
Kajua viwanja ukubwani😂😂🔥🔥🔥🔥
😂WANGAPI WAMEFURAHI KUSIKIA DIZASTA KWA NGUMU HII??… drop U are comments 😁
Vinaa🔥
Kusema ukweli mm siwezi ingilia vita yenu maana sijui imeanzia wapi au ila nimekuja hapa nafata maelekezo ya Roma toka X 😂😂😂😂 uko underground I'm Burundian 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Yoo! Wajobu, nimekuja kwa maelekezo ya Mromania, umeimba nini humu?
Mi nadhan wakaz ungejikita kwenye kuchamba watu mitandao tu, sanaa waachie wengine.
Tuliokuja kwa Maelekezo ya Roma tukae pale Kwenye Tent la Blue 😂
Bro hapa ulkua n hasira Sana umechana sanaaaaa respect
Ndo dis track hii? 😂
Wale tulioletwa na Roma togonge like
Tulokuja kwa maelekezo ya Roma tunakaa wapi? 😂
Mkatoliki
Hautakaa kamwe kumuweza roma... Mpoozee tu bro
roma umefanya nisklze ngoma ya huyu jamaa kwa mara ya kwnz😂😂😂
Nimekuja hapa kwa maelekezo ya mkatoliki😂😂😂😂😂
Tumekuja kukusukiliza kwasababu ya Roma
Roma give yoo viwers. Otherwise tusingejua 😅
FACTSS😂
Ila roma umenifanya nimuongezee mwana viewers💪💪😂😂😂😂😊
Nimefata maelekezo
Roma kanileta hapa.
Kwa maelekezo ya Roma nipo hapa ,sema mashairi ya skul haya
Ila roma umetuleta kwake angalau tumsupport
Bila Roma kushea link, tusingefika hapa😅😂
Kwa maelekezo ya mkuu ROMA👊🙌
Humu kweli umetambaa mzee wakazi beat za kina marehemu sean price na raste juxx hizoo nomaa
Ila wabongo 🙌🙌🙌
hii ndio shida ya WAKAZI, Mkali sana hashikiki!!!!🙌💯
Bila roma nisingebonyeza link😂
Hatimaye comments zimefunguliwa..... Sema atajifanya yeye mkubwa Ili asijibu hii.... ila wote tumesikia punch nzito hapa ..... Man I love Rap battles 🤣
Roma impact🥂
Shukuru Kwa kidogo we Boya Shenzi.....
Heshema kwakwe Roma mkatoliki🎉
Nimekuja hapa Kwa maelekezo ya Roma
Roma bhana,,,, yaani umenifanya nimalize bando yangu kwa hizi kelele,,,
Ngoja nikamsikilize mwanangu NASH - MC aka Maalim
Asingekua ROMA hapa nsingefika.. kunbe huyu jamaa ni msanii 😂😂😂😂😂
Nimefika hapa kwa hisani ya Roma
Baada ya ROMA kusema nimekuja kusikiliza dis track
We all know who is going to win this battle ✍️
Who is
Wakazi mkali sana ananyumbulika sana kwenye mdundo afu diss ya kisomi haina maneno machafu
Semaa hii dis track imetulia ila Nikki mbishi sijamwelewa mm😅😅😅
Maelkezo ya roma....aya tumekuona
Sijaisikia popote pale mpaka Roma alipoitambulisha, 😂 Aya umeludishwa mjini
Kazi ni Raper bora mwisho wa mwaka huu hii naomba ikubalike tu mfanye msifanye ila nacho muomba Aache kuwa Dess macha waupande wanjaaa
😂😂😂 Yaan wakazi kakaa katunga hii Dis track halafu Roma kamdiss kiaina kaona anapoteza Muda kutunga nyimbo kwa watoto wadogo kama Wakazi
Heshima ya ROMA kwa alicho fanya kwa hawa vijana waende town hapa
1:00 "Hiki kipaji fhakhaigdkua.....
Mimi: Ngoja kwanza wakazi unasemea kipaji kipi, cha nani😂
Hii Beat Kwenye Speaker💥
Nmeelekezwa na Roma nikusapot😂😂😂
Mshukuru sana Roma ndio kanileta hapa 😂😂😂
Na hata evo nmekj kuskiza ulichoongea ni baada y roma kuomba tuje tu-streems kanyimbo chako. We blaza una kaz y kudis wenzio tu, umemalizan na zuchu umeamia kw roma, ach majungu mtt wa kiume toa nymbo kali watu waskize acha kulia lia
Kama umeletwa na roma like hers
Kwa Maelekezo ya MKATO 🤔🤔🤔
Kwa sababu ni Roma katupa Link nimesikiza ikiwa na 0% volume.. yaani Bora nisikie Maji ichemka
Da😂😂😂 nimepita kwa page ya roma ndio nikajaa hukoo
ILA ROMA😂😂😂😂😂
U still young..ktk dis truck...just small advice..keep fanya mziki..and not dis truck niggha
Wakazi na Roma tukiweka mbali na ushabiki wa pande mbili kwenye upande wa Rap Writing skills Roma hamfikii Wakazi , Roma ye ni mjuzi wa kutengeneza heart songs
Hit songs
Roma kanileta humu ila mbona sisikii chochote😂😂😂😂😂
Hapo kwenye Rap skills...uhakika
Bado twaja kwa maelezo ya emperor of roman empire
🎉🎉🎉chukua maua yako" wakazi wa kishua, Paparazi tunajua🎉🎉
Kumbe ndo wewe Wajob..nimefuata maelekezo😂
Nimekuja kusikiliza sababu ya Roma hakuna msanii apa rabbish takataka 😂😂
Ngoma Kali.. Ila Ukweli Ni Kwamba Nimekuja Kwa Maelekezo Ya Roma Hapa
TUONGELEE MUZIKI SASA...
1.Alikchokifanya @wakaz kinaruhusiwa kabisa hasa kwa wale wanaoamini katika misingi ya HIPHOP (majigambo / majivuno)
2. Hii ngoma inaweza kutumika katika maono mawil yaan kujitafutia jina katika game au kutafuta fulsa fulani hasa katika gavoo (UPEPO)
3.NACHOKIONA: ni muda sasa wa KIKOS kazi kuja mchana ROMA ili kuboost game zaid kwa kuwa Wakaz na Nikki mbish hawatoshi.
WAKAZI ni mkali sana, ila tu anapo amzungumzia ROMA. namna hii ukimzungumzia huyu jamaa katika kila ngoma kuanzia sasa nawe utakuwa maarufu angalau kama d'voice ama zuchu
Hapo mwisho kwenye " it's just a warning shots ". 😂😂😂😂😂, ila wakazi jau sana..😂😂😂
Maelekezo ya #mkato ,familia saana
Mkato kanileta hapa
Roma anakuboost sana
Amma big fan of Lord eyes since a youngin. Sijui atarudi vipi nasubiri but wakazi ni kiumbe chengine balaa na tofauti. Mombasa Kenya tumekubali ..#Fellow B ameskiza 😂
LordEyez kaingia vipi hapo
Roma kasema tuje kukuunga mkono 😅
Roma katuleta hapa ili tucheke jamaa anaimba dolidoli samwela alaf yupo siriaz kinoma ..hapo kachana jasho kibao kwenye komwe
Bila roma kupost tukusaport ungekufaa njaaa
#roma
Ila mchizi kajaza vitu ndani.🫡
He's good
Diss nzuri umechora bro ningependa kaka mkubwa nae ariact iwe rap Hot