UKIMUONA PAKA MWEUSI Anapita mbele yako USIPUUZIE ! Anakupa ISHARA hii

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • #pakamweusi #ishara #nguvuzauniverse Ukimuona paka mweusi anakatisha mbele yako ghafla,kamwe usipuuzie,zipo ishara nyingi anawakilisha na kamwe hupaswi kupotezea.Tazama video hii mpaka mwisho Utajifunza mengi.
    Paka mweusi
    ishara ya paka
    paka
    nguvu ya universe
    ‪@NGUVUZAUNIVERSE‬

КОМЕНТАРІ • 107

  • @balukujackson1066
    @balukujackson1066 4 місяці тому +6

    Asante sana dada yangu , Mimi ni billionaire mimi ni tajiri Mimi ni mushindi Mimi ni mwenye nguvu Sana AMEN amen amen amen❤❤❤❤❤❤❤

  • @emmabanda6175
    @emmabanda6175 4 місяці тому +1

    Shukran dadangu,mimi ni tajiri ,mimi ni mshindi na namiliki mamilioni na mimi ni mwenye nguvu mingi sana in Jesus Christ name.

  • @RosePreygod
    @RosePreygod Місяць тому

    Kweli kabisa dada mm nashukuru Sana kwa mafundisho yako MUNGU akupe unacho taka mm siwezikukupa

  • @rhodawaridi4766
    @rhodawaridi4766 4 місяці тому

    Asante mwalimu wangu umekua baraka katika maisha yangu.Nimejifunza mengi kwako barikiwa na uzidi kutufunza mapya.

  • @joycekimambo1602
    @joycekimambo1602 4 місяці тому +1

    Nashukuru sana kwa funzo zuri ubarikiwe sana sana

  • @LeticiaShoka-me2wq
    @LeticiaShoka-me2wq 4 місяці тому +1

    Asante Kwa somo zuri.
    Naomba unisaidie dada,siku ya kupatwa Kwa jua nilifanya kama ulivyoniagiza....kuandika maswali na jibu liwe ndio au hapana.nilitoka nje na maswali yangu....wakati naendelea kurusha juu majibu ya ndio na hapana..... ghafla upande wangu wa kulia alitokea paka.....nilipomuona akakimbia na kurudi njia hiyohiyo aliyotokea yaani akageuka na kukimbia.chakushangaza nyumba ina ukuta sikujua huyo paka kapitia wapi!
    Kweli hili jambo naliwaza sana....sielewei hiyo ilikuwa ni ishara gani kwangu.
    Siku hiyo nilihisi uchawi.sasa.natamani kujua dada.

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  4 місяці тому +1

      Kama alirudi upande huo huo hiyo ni ishara ya kitu kizuri

    • @LeticiaShoka-me2wq
      @LeticiaShoka-me2wq 4 місяці тому

      @@NGUVUZAUNIVERSE Asante dada ,ubarikiwe sana Asante Kwa somo hili...maana nilikua najiuliza Hadi Leo huyo mchawi anaenifatilia......kumbe ni Imani potofu tu juu ya paka.
      Na majibu yangu yote yalikua ndio...mean mazuri. ..hiyo tu ya paka ilinishangaza sana.
      Wewe.dada Mungu akutunze wasema kweli tupu

  • @ElizabethDeusi-sx8di
    @ElizabethDeusi-sx8di 4 місяці тому +2

    No 1🎉🎉🎉🎉❤

  • @LatifaMushi-i3m
    @LatifaMushi-i3m 4 місяці тому

    Asante sana nashukuru nguvu zaulimwengu kunipa ufahamu wa mambo mengi kunitoa gizani hakika Mimi nuru Mimi ni mshindi Mimi ni tajiri mkubwa sana hapa dunian

  • @GabrielJoseph-n7z
    @GabrielJoseph-n7z 4 місяці тому +1

    Asante kwa somo zuri nimejiifunza kitu

  • @Mwakalimga
    @Mwakalimga 4 місяці тому +2

    THANK YOU🙏♥️♥️♥️♥️

  • @SalimaPeter-d2t
    @SalimaPeter-d2t 4 місяці тому +1

    Asante sana kipenz yaan umefundisha jana leo hii kaja paka hapa nyumban ❤❤ nimempa chakulaa tu

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 4 місяці тому

    Shukrani sana dada yangu naamini nguvu za ulimwengu mm ni tajiri mm ni mshindi katika huu ulimwengu

  • @AngelJimmySangweni-y9h
    @AngelJimmySangweni-y9h 4 місяці тому

    Yaani sijuwi niandike Nini
    Ila nashukuru sana ndani ya nguvu za universe 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @Denicy-c9p
    @Denicy-c9p 4 місяці тому

    Dada Asante maisha yangu yamebadiliko sana tokanimeanza kukufatiria maisha yangu mazuru sana

  • @JanethCalisto
    @JanethCalisto 4 місяці тому +1

    Ansante barikiwa sana

  • @MaryMushi-o9w
    @MaryMushi-o9w 4 місяці тому +1

    Asante dada Leo nimeelewa

  • @elizabethndimbwa5470
    @elizabethndimbwa5470 4 місяці тому

    Ahsante sana kwa mafundisho mazuri

  • @monirangerera7155
    @monirangerera7155 4 місяці тому

    Nashukulu sana Mimi ni tajili mkubwa sana ulimwengu huu na nguvu za universe

  • @FatumaZuberi-g6s
    @FatumaZuberi-g6s 4 місяці тому +1

    Mimi.ntaji.mkubwa.Amina

  • @MchinaSeme
    @MchinaSeme 4 місяці тому +2

    Nisaidie dada angu mm nimekaa kwenye kiti ofisin from no were kaja paka upande wa kushoto karibia na kiti nimeshtuka huyo paka kakimbia.maana yake nini??

  • @BahatiRajab
    @BahatiRajab 4 місяці тому

    Asante sana. Je kipepeo mweusi akikatiza mbele yako ina maana gani

  • @JaneNgereza
    @JaneNgereza 4 місяці тому

    Asante sana kwa mafundisho ❤❤

  • @RahabuShabani
    @RahabuShabani 4 місяці тому +2

    Mimi ni tajiri

  • @JolieKanyama
    @JolieKanyama 4 місяці тому +1

    Asante saana mama

  • @HamidaMandanje
    @HamidaMandanje 4 місяці тому +1

    Asante dada

  • @NchamaLude
    @NchamaLude 4 місяці тому +1

    Nilikuwa naomba somo kuhusu kunguru.

  • @dorahmavazi111
    @dorahmavazi111 4 місяці тому +1

    Amenitokea leo mchana mweusi,anatoka kushoto kwenda kulia,ghafla naendesha gari anakatiza,,,,,

  • @AminaPonda
    @AminaPonda 4 місяці тому

    Dada apa nyumbani kuna paka wanasumbua usiku wakitafuta pakuingilia mimi nikawa naogopa na kunamda unamkuta kalala mlangoni jamani leo umenifumbua macho dada angu❤❤

  • @HalemahAl-l3r
    @HalemahAl-l3r 4 місяці тому +1

    Shkran

    • @mariambakari8065
      @mariambakari8065 4 місяці тому

      Asante sana kwa somo ..unajua kuelezea vizuri

  • @EmanuellyLukindo
    @EmanuellyLukindo 4 місяці тому

    asante kwa kunichagua mm kuwa tajiri

  • @candidadilemile5882
    @candidadilemile5882 4 місяці тому +2

    Thank you God bless you 🙏❤

  • @EmiliaJoseph-m9j
    @EmiliaJoseph-m9j 4 місяці тому

    Asante sanaaa

  • @AssOii
    @AssOii 4 місяці тому +1

    Mm uwa namuona ila nikimuona t anakimbia mbio kwahy nakua sijui katokea upande upi yaan anapotokea ndo anapokimbilia ad nashangaa na namuona kwa siku sio kila xku

  • @RachelMalekela
    @RachelMalekela 4 місяці тому

    Thanks 🙏

  • @shanti-hd7zy
    @shanti-hd7zy 4 місяці тому +3

    Kuna paka Mweusi wa Jirani yangu But Anakojowa usiku mlangoni Main door na kupita usiku Mara kadhaa au akaye mlangoni akiniona Jicho na Kunishutuka but Ajabu hakiimbiii ananikodolea macho 🇩🇪🇩🇪

  • @GodfreyMukhwana
    @GodfreyMukhwana 4 місяці тому

    Asante Dada kwa mafundisho mazuri. Wewe ni mtu mzuri. Paka mmoja, wawili ama kadha wanapolia kama mtoto ama nikama wanaomboleza yani mlio wao wakutisha hususan usiku ni ishara gani hiyo?

  • @SalimaPeter-d2t
    @SalimaPeter-d2t 4 місяці тому +5

    Leo mchana nimeota nakemea mchawi kuna mda nilikuwa namzid nguvu na kuna md nilishindwa kutoa saut yaan nilikuwa nakemea kimoyo moyo mwisho wa siku tulimkimbia huyo mchaw,sijuw inamaana gani

    • @ElizaPetro-fy2rm
      @ElizaPetro-fy2rm 4 місяці тому

      Maan ake ulimuacha ashi nde Yani usingebmkimbia unge mkemea paka akakimbia yeyey jitaidi sana kuomba

    • @ElizaPetro-fy2rm
      @ElizaPetro-fy2rm 4 місяці тому

      Ukimukimbia muchawi ndo umemupa nafasi ya kuku fanyia kitu kibaya omba sana tafadhal

    • @EdnaMkoma
      @EdnaMkoma 4 місяці тому

      Je wale paka wanaolia na kutoa sauti kama ya binadamu, inamaanisha nini?

    • @AnethElias-s9r
      @AnethElias-s9r 4 місяці тому

      Mimi kuna paka ana rangi kijivu na nyeupe gafla tu aliamua kuniganda akahamia apo nje kwangu ubarazan ikabd tuanze kumpa chakula maana anashinda apo,tukimfukuza anazunguka nyumba kdg kisha anarud tena bas adi tumechoka kumfukuza ,au tufanyeje dada

  • @roselee4048
    @roselee4048 4 місяці тому +1

    Juzi usiku niliwaonapaka wanapita Kwa Kasi mbele ya duka langu wakiwa wanakimbizana mumoja analangi ya buulauni na mweusi

  • @TeddyMinja-fp8mg
    @TeddyMinja-fp8mg 4 місяці тому +1

    Najifunza

  • @azizakisugar7969
    @azizakisugar7969 4 місяці тому +1

    Dada mm nna paka mweusi alikuja mwenyewe ni mweusi,kalikuja kadogo kana jipu ametokea porin, bas nilishaanza safari hii ya kuamka,nikajisemea karibu, nikakaa kama wiki mbili hiv,akaja mwingine tena mweusi, baada ya cku tatu akaja paka mweusi na watoto wake wawili wa kijivu akaja tena mwingine wa chui chui, kukawa napaka 7ambao wamekuja wenyewe ni paka wa porin cjui tuseme, basi huyu alokuja na jipu tukalipasua nikaendelea kuwahudumia nawapikia kabisa cjui wamekuja kufakufanya nn,Basi akaja jirani yangu mmoja akamuomba mmoja nikampa wakabaki 6 basi yule mwenye watoto wawili naye akaondoka na watoto wake,wakabaki watatu wa chuichui mmoja,na weusi wawili,Wakawa wanalala na mm kitandani,changamoto ikawa wananikojolea nikiamka ni kitanda kimeloa kabsa mikoja,kuuliza uliza ah ckupata majibu had Leo,wengine wakasema wanakuweka alama tu hata ukiwa mbali wakutambue,basi cku moja nikatoka,kurudi nikakuta yule wa chui chui hayupo kuuliza watoto wakasema anakula kuku tulikuwa tunaenda kumtupa lkn kuna vijana wamemuua,Dah nikaumia wangemtupa tu aendelee na maisha yake,basi wakabaki paka wawili tu ambao weusi,, siku hiyo nimelala huyu mmoja akaanza kuruka anaparamia ukuta kama anapambana na kitu,usiku muda mrefu tu,Kila nikiangalia sioni kitu lkn yy anapambana anaruka huku na huko,Asubuhi tumeamka paka mnyonge ni nikaenda zangu kazini,kurud kha paka anaumwa anaanguka kifafa,alikuwa jike nikaanza kuwaza hivi wanakuwa na kifafa kama binadamu,nikaanza kuuguza paka takribani wiki mbili akafa,Basi nilikuwa na mbwa naye akafa,nilikuwa na jogoo naye akafa.mpaka hivi kabaki mmoja tu yule ambae alikuja anajipu.
    Dada Leo umenifungua naomba uniambie zaidi kwa ishara hizo

  • @salmanshimirimana3938
    @salmanshimirimana3938 4 місяці тому +1

    Mimi juzi nilitoka nyumbani saa kumi na moja alfajiri nilikutana na paka mweusi kati kati ya njia aliponiona aliunguruma badae akaenda kulia kwangu sikujua alimaanisha nini

  • @ConstanceConny-c6y
    @ConstanceConny-c6y Місяць тому

    Asante

  • @StevenMetingeki
    @StevenMetingeki Місяць тому +1

    Kamanimemkajaga inamaanishanini?.

  • @NoelMmbando
    @NoelMmbando День тому

    Naamin

  • @NdinaoHaonga-k6j
    @NdinaoHaonga-k6j 19 днів тому

    Paka was kijivu alikuwa akilia nyumba I msiba wa mine wangu ulitokea

  • @Missda-bw4pv
    @Missda-bw4pv 4 місяці тому +1

    Msaada pls kila nifumba macho kufanya meditation ninaona picha kama naangalia movie

  • @NimaNima-dh6zz
    @NimaNima-dh6zz 3 місяці тому +1

    Mimi nimemuona paka mweusi mbele yngu sio kushoto wala kulia mbele ya geti ya nyumba iyo ina maana gani alivyo niona akakimbia na nafungua geti naingia ndani nikamuona tena paka mweusi mbele yngu mpaka nikaogopa dada ebu niambie apo

  • @MchinaSeme
    @MchinaSeme 4 місяці тому +1

    Yaani nimekaa kwenye kiti paka katokea kushoto alitaka kwenda kulia nimeshtuka aka rudi kule kule kushoto maana yake ninj??

  • @arubartgodfrey
    @arubartgodfrey Місяць тому

    Mimi nitajiri mkubwa🙏

  • @salumsafari5914
    @salumsafari5914 4 місяці тому

    Naamini katika ishala zote ambazo ulimwengu unanionesha

  • @AliceRugambage
    @AliceRugambage 4 місяці тому

    Sasa mpendwa mimi kuna paka amehamia kwangu, tukimpa chakula hataki kula ila analala nje kwenye kochi. Ila hatuogopi ukimwita anakuja kama vile ni mwenyeji

  • @KALUMWASHIDAHA
    @KALUMWASHIDAHA 4 місяці тому

    Mim ni tajiri mkubwa hapa ulimwenguni ishall

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 4 місяці тому

    Wewe umejuaje

  • @salumsafari5914
    @salumsafari5914 4 місяці тому

    Leo paka Kapita mbele yangu nikiwa kwenye pikipiki ila sija Shanga moyoni nikasema natakiwa kuwa makini na niendeshe piki piki kwa utalatibu nifike ... na ime tokea kulia kwenda kushoto

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 4 місяці тому

    Dada nimerudi kukupa jibu la ishara ya paka jana tarehe 12 za huu mwezi wa 5 kuna paka mweupe aliniona na kunipenda kaja kwenye migu yangu nikamshika kwenye kicwa kafurahi na nilivyo toka kalia sana sijuo inamahanisha nini nilivyo toka kaja kwenye migu yangu nikamuona kama mwenye furaha

    • @oman1oman179
      @oman1oman179 4 місяці тому

      Na Kisha Mimi nilijihisi furaha kutoka moyoni na Leo hii nampelekea chakula

  • @EstherJuma-be5ul
    @EstherJuma-be5ul 4 місяці тому

    Mimj nyumbni kwetu hatuja wai fungal paka ila mwezi wa kwanza nilienda sehqmu kufanya kazi kabla nifike kazini tulipota kwa mamake na bosi pale wamefunga paka nilipo fika tu pale paka yao iilikuja ililala miguuni mwanyu mpka nkatoka pale sasa nilivo enda nyumbni kwa bosi wangu pale hamna paka sasa kuna paka wanakuja pale kila nikikaa paka akawa anakuja anakaa miguuni mwangu nikawa nampa chakula ila kila nikitoka nje au hata nikifua paka anakuja nilipo nikienda getini ananifuata na hata nikimfukuza anardi tu badae boss wangu aliniambia mimi ndo naleta paka nyumbni kwake naye hapendi paka aninifokea mimi naleta paka kulikosekana amani mpka nikaacha kazi cjui wale paka walikuwa na maana gani

  • @MagrethSwai-pc4xx
    @MagrethSwai-pc4xx 4 місяці тому +1

    Sasa mmalutoka kulia kwenda kushoto nilimgonga nikiwa nAendesha gari

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 4 місяці тому

    Hizo ni dhana zako tu dada Wacha kujifanya unajua

  • @mashaurifoundation
    @mashaurifoundation 4 місяці тому

    Mimi Ni Bilionea Mkubwa Hapa Duniani.

  • @JACKCHILAS
    @JACKCHILAS 4 місяці тому

    Dada samahani hirbuni ningeskia za hii vidio leo wamekuja paka wawili asubuh hii wamegombna sana juu ya bati kwenye nyumba ninayo ishi hii inamaanisha nini naomba nisaidie dadangu

  • @rachelwilliam3585
    @rachelwilliam3585 4 місяці тому

    Miezi kadhaa iliyopita nilikutana na paka mweupe mikocheni akawa ananifata nyuma nikawa namfukuza lakini bado ananifata tu nikaona sielewi nikampiga na mkoba eti

  • @JACKCHILAS
    @JACKCHILAS 4 місяці тому

    Naomba msaada wako dada kuna maana gani mana wamekuja asubuh asubuh nikiwa nimelal wamegombana sana wakiwa juu ya bati kwa mda Mrefu asubuh hii yaani mda huu je kuna ishara gani naomba nisaidie

  • @rosemarymtesigwa1782
    @rosemarymtesigwa1782 4 місяці тому

    Dada mimi kwangu kila siku usiku hua anakuja paka analia sana nje ila nikitoka tu anakimbia hiyo inakuwa na maana gani?

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 4 місяці тому

    Mimi jana paka alitokea upande wa kushoto akakatiza upande wa kulia

  • @JACKCHILAS
    @JACKCHILAS 4 місяці тому

    Mimi ni birionea mimi nin tajiri mkubwa hapa dunia

  • @noramajubu5783
    @noramajubu5783 4 місяці тому

    Kuna paka watatu wanavamia nyumbani kwangu, yuko paka mweupe, mweusi na mwingine wa rangi kama nyekundu, ukweli nilikuwa naogopa nikidhani narogwa, nilikuwa naqafukuza

  • @tanoamani2205
    @tanoamani2205 4 місяці тому +1

    Pesa zinanifuata katika huu mwaka 2024 na miaka mingine yote inayofuata.
    NINAPOKEA NGUVU ZA ULIMWENGU (UNIVERSE)!
    KATIKA JINA LA YESU HAKUNA KINACHOSHINDIKANA.

  • @salumsleyyum2847
    @salumsleyyum2847 4 місяці тому +1

    Dada naomba nikuulize swali. Kuandika vitu kwenye karatasi vitu unavyotaka vitokee katika maisha yako,katika mwezi mwandamo ni lazima ufanye na meditation au ukishaviandika hivyo vitu kwenye karatasi na ukavitamka inatosha kufanya hivyo bila kufanya meditation?. Na swali la mwisho kwa mfano umeandika kwenye karatasi siku hiyo ya mwezi mwandamo ukaandika "MImi nina milioni kumi" je kuna uwezekano wa kuja kuzipata hizo pesa baada ya siku ngapi,na unaweza kuzipata hata kama huna kazi yoyote?.

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  4 місяці тому

      Maswali yako yote yamejibiwa Kwenye video hii ua-cam.com/video/HvHXSjqhPnE/v-deo.html

    • @SafinaKarani
      @SafinaKarani 4 місяці тому

      Barikiwa kwa somo nzuri

  • @JaneMaiga
    @JaneMaiga 4 місяці тому +1

    mimi kuna paka alikuwa mbele yangu akasimama bàada ya dk 10 akakimbia alipokuwa anatoka maana yake nini mumy?

  • @Harusipesa
    @Harusipesa 4 місяці тому

    Naomba namba yako ya simu

  • @lolodaprincess7411
    @lolodaprincess7411 4 місяці тому

    Mimi ni Tajiri bilionea

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 4 місяці тому

    Hakuna lolote, paka mwenye rangi nyeusi ni paka kama paka wengine...!

  • @MaimunaMajay
    @MaimunaMajay 4 місяці тому +1

    Sisi kwetu tunafuga paka mweusi

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 4 місяці тому

      Hakuna tatizo lolote, paka mweusi ni paka kama paka wengine ..!. yaani paka anasemwa vibaya Tanzania tu', Nchi nyingine paka wanafugwa na hawana tatizo lolote

  • @ONESMOANDREW
    @ONESMOANDREW 4 місяці тому

    A
    Jitaidi gutoa maelezo yanayo endana na kichwa cha habari...

  • @andrewmallya1704
    @andrewmallya1704 4 місяці тому

    Sasa dada nitafanyeje akipita ili niepuke hilo swalA?..kuna paka alikatisha mbele yangu tena mjin kabisa barabara nne mida ya saA 3 usiku na alitokea kulia ila hakua speed alikua taratibu tu...ebu nisaidie dada ni ishara gan...pia nilikua nimepanga kwenda msibani kwa jirani yetu .nifanyeje dada

    • @andrewmallya1704
      @andrewmallya1704 4 місяці тому

      Na ni mjin kabisa na watu wanapita wengi tu...je? Nikwamba nikiwa mwenyewe ndo ishara mbaya au niwote tiliomwona? Nakumbuka watu wanapita wengi na alikua nakatisha njia nne apo stend na magar yapo meng tu..je kitatokea kibaya au nikwa wote waliomwona ..nisaidie nijue ni eneo gan lenye madhara

  • @Magicalvi
    @Magicalvi 4 місяці тому

    Guys try to speak in English plze some of us we don't understand kiswahili ❤

  • @ElodyDjasmine
    @ElodyDjasmine 4 місяці тому

    Mimi nimutu muchimu apa duniyani mimi rafiki wapesa pesarafikiyangu

  • @LevocatusDastan
    @LevocatusDastan 4 місяці тому +1

    5

  • @Asiamohammed1317
    @Asiamohammed1317 4 місяці тому +2

    Naona video hiii ikiwa na viewer's 777 angel numbers inamaanisha nini kwangu dada

    • @NGUVUZAUNIVERSE
      @NGUVUZAUNIVERSE  4 місяці тому

      ua-cam.com/video/OjmSvvf1w60/v-deo.html

    • @Asiamohammed1317
      @Asiamohammed1317 4 місяці тому

      @@NGUVUZAUNIVERSE yaani mwalimu umenirudisha kwa kiboko kusoma masomo ya nyuma 🤣🤣❤Asante dada

  • @estherndungo1872
    @estherndungo1872 4 місяці тому

    Mimi nimutu Mukubwa ndani ya ulimwengu wa roho

  • @Twariqabaalwy
    @Twariqabaalwy 4 місяці тому +1

    Naomba number zako za simu,whatsApp

  • @MchinaSeme
    @MchinaSeme 4 місяці тому +2

    Nisaidie dada angu mm nimekaa kwenye kiti ofisin from no were kaja paka upande wa kushoto karibia na kiti nimeshtuka huyo paka kakimbia.maana yake nini??

  • @AssOii
    @AssOii 4 місяці тому +1

    Mm uwa namuona ila nikimuona t anakimbia mbio kwahy nakua sijui katokea upande upi yaan anapotokea ndo anapokimbilia ad nashangaa na namuona kwa siku sio kila xku

  • @AminaNdayizeye
    @AminaNdayizeye 4 місяці тому +1

    Najifunza

  • @AssOii
    @AssOii 4 місяці тому +1

    Mm uwa namuona ila nikimuona t anakimbia mbio kwahy nakua sijui katokea upande upi yaan anapotokea ndo anapokimbilia ad nashangaa na namuona kwa siku sio kila xku