DJ TITO AMKOSHA RAIS SAMIA KWA VINANDA, VIBE LA SHOLO MWAMBA MBELE YA RAIS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 28

  • @255kwetu8
    @255kwetu8 3 місяці тому +1

    Binafsi hivi karibuni sijivunii tena kuwa mtanzania,ile hari ya uzalendo inashuka siku hadi siku.Mungu atusaidie 😢😢

  • @luchaxtz
    @luchaxtz 3 місяці тому

    ushuzi wa vitual dj

  • @mtatatv1414
    @mtatatv1414 3 місяці тому +2

    Yani ii nchi shida tupu MAJI Ya dawasco Leo wiki na siku ya pili maji ayatoki na wandishi ata amupazi sauti muko tu kuposti usenge watu tunaoga kutwa mala moja na bili za maji tunalipa kwa wakati

  • @OmariNgurangwa
    @OmariNgurangwa 3 місяці тому +1

    Kampeni mapema sana duuuuuh

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 3 місяці тому +1

    Watu Wana kufa huko nakutekwe ww rais nikuzingatia ujinga Tu munamsifia nn amefanye😢😢😢

  • @AndrewmngokeMngoke
    @AndrewmngokeMngoke 3 місяці тому

    Mamaee

  • @davidjohn9535
    @davidjohn9535 3 місяці тому

    Dj ajajipanga

  • @Alphathomas-z9w
    @Alphathomas-z9w 3 місяці тому +1

    Ivi hamuwezi fanya hzo ziara bila wasanii. Izo pesa mfanyie maendeleo mengine

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 3 місяці тому

    Watu hawawezi Kuacha kuja kuangalia Shoo ya bule angalieni Shoo ya bule tukutane kwenye uchagu Yaani Wanateseka mim binafsi yangu Bola Jile kuliko .................!

  • @AlifaHamis
    @AlifaHamis 3 місяці тому

    Sasa hapo kakoshwq nanini dah ila Tanzania

  • @davidmsambaakitabu.4933
    @davidmsambaakitabu.4933 3 місяці тому

    Aje na idea mpya hiyo tunaijua ni ya MISO MISONDO.. kwa kifupi hapo Tito kapuyanga HANA MAAJABU

    • @twizzycannello2482
      @twizzycannello2482 3 місяці тому +1

      Yy nd wa kwanza

    • @bonnymsd8116
      @bonnymsd8116 3 місяці тому +1

      Kabla ya huyo miss wako Tito ndio alitangulia na idea hii na siku zote huwa anaitumia anapokuwa na sholo mwamba

  • @RahimChilumba
    @RahimChilumba 3 місяці тому +1

    Ushenz tupu

  • @jonijoogabriel3728
    @jonijoogabriel3728 3 місяці тому +1

    Anaetaka kumuiga misso misondo lakini bado sana

    • @Niget-us1np
      @Niget-us1np 3 місяці тому +1

      Huyo alizaa huy Sem humjui tu

    • @AllyMngoya-ov8fs
      @AllyMngoya-ov8fs 3 місяці тому

      Mmh

    • @sokalatanzania
      @sokalatanzania 3 місяці тому +1

      Yaani mtu alieanza unasema anamuiga😂😂

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 3 місяці тому +2

      Huyu wamuda sana bro, mbona amewahi kufahamika mapema kuliko miso misondo. Wote wanajua

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 3 місяці тому +2

      Huyu wamuda sana bro, mbona amewahi kufahamika mapema kuliko miso misondo. Wote wanajua

  • @OCHUMASIHI
    @OCHUMASIHI 2 місяці тому

    Mbn km.wanamcopy misondo ss

  • @SasaKweli-p5v
    @SasaKweli-p5v 3 місяці тому +7

    Kati ya inchi za ovyo tanzania niaovyo saaana.

    • @mdikabakari6210
      @mdikabakari6210 3 місяці тому +1

      Nawe ni wa hovyoo maan upo Tanzania

    • @SasaKweli-p5v
      @SasaKweli-p5v 3 місяці тому

      @@mdikabakari6210 nipo state Bro don't play

    • @mdikabakari6210
      @mdikabakari6210 3 місяці тому

      Hahahahahahahahahaha so ukiwa state

  • @vinny.morales
    @vinny.morales 2 місяці тому

    Upumbavu mtupu