SERIKALI YASITISHA KAMATA KAMATA, UKAGUZI WA RISITI KARIAKOO, MGOMO UMEISHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 41

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 3 місяці тому +6

    Charamila hajawahi kuwa kiongozi mzuri.
    Anakurupuka mno hatumii hakili

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 3 місяці тому +2

      Hajielewi huyo MHEHE,HUWA ANAKUWA KAMA MUHUNI WA MITAANI.😂

  • @TOGOLANIDICKSON
    @TOGOLANIDICKSON 3 місяці тому

    Mwisho wa Chalamila Dar ess salaam

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 3 місяці тому +2

    Hayo ndio maamuz sahih...mkuu wa mkoa alikuw anazingua

  • @IbrahimHassan-by5ym
    @IbrahimHassan-by5ym 3 місяці тому +1

    ebu Tanzania tusi complicate mambo saaana, hilo soko la kariakoo walio wengi wateja ni sisi wanyonge, so mkijifanya kukaza mtatuuwaa, elekezeni nguvu kwenye mambo mengine sio saana kwa sehem hio, hamfaham kwanini wanagoma always migomo mnaboaaa😢😢

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics 3 місяці тому +2

    Yule mkuu wa mkoa anatumia cheo kwenye kuongea na sio kutumia akili kwenye kutoa maamuzi

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 місяці тому +3

    Mkiona mnatoa maamuzi wanayotaka wananchi baada ya kugoma. Basi ujue Viongozi waliopewa dhamana katika jambo Hilo ni wavivu kufikiria.

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 3 місяці тому +1

    Serekali hii inaongozwa na mabweha na mafisi . Raisi mwenyewe tundu la choo

  • @josephkulija293
    @josephkulija293 3 місяці тому +2

    Pongezi nyingi sana kwa uamuzi wa Serikali kuweza kutatua mgomo huu kwa BUSARA na HEKIMA. Siku zote busara na hekima huleta ufumbuzi wa tatizo vizuri kuliko vitisho kutoka pande zote.

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 3 місяці тому

    Kiongozi umeeleweka wasikilizeni wafanyabishara wa hoja za msingi

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 3 місяці тому +2

    Siku zote mlikuwa wapi??? Wafanyi biashara na wananchi wameshajua dawa.

  • @jeremiah90199
    @jeremiah90199 3 місяці тому

    KINACHOFUATA NI KWAMBA HATUMTAKI MKUU WA MKOA CHALAMILAAA HATUMTAKI APANGIWE KAZI NYINGNE

  • @MngwaliAllykizangwa
    @MngwaliAllykizangwa 3 місяці тому +1

    Charamila asiende katika kadhia hizi,hana busara yule

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 3 місяці тому

    Wanaacha kukusanya kodi bandalini na migodni wnadilina wfnyabishala zakawaida

  • @RamadhanKidedede
    @RamadhanKidedede 3 місяці тому +2

    Saf sanaa kiongozi umeeleza umeereweka co wanaoleta komedi

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 3 місяці тому

    Chalamila anatumia ubabe kwa wananchi haipendezi

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 3 місяці тому +2

    Hongera sana kiongozi mkuu wa mkoa anatumia kufoka tu uongozi hauitaji ubabe

  • @GreceMwalende
    @GreceMwalende 3 місяці тому

    Charamira huyu wajabu

  • @leonidaskwigize1853
    @leonidaskwigize1853 3 місяці тому

    We are continuing praying for our country so as peace can remain our pillar of livelihood

  • @nomoboy152
    @nomoboy152 3 місяці тому

    Hizi kamati ndo zinachelewesha mambo kila kitu kinatakiwa kusolviwa ndani ya week tu .Ita viongozi wa wafanyabiashara kariakoo Ita watu wa TRA Ita watu wa Bandari Ita kila mtu leta watu wa biashara zungumzeni mpaka wote mtoke mmeelewana MOTHER FUCK

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 3 місяці тому +2

    Kwa hiyo msipokagua EFD makusanyo yatafanyikaje?

    • @odilomwakamela4889
      @odilomwakamela4889 3 місяці тому

      Kwani kabla ya EFD walikuwa wanakusanya vipi mapato?, Je EFD ni chanzo cha mapato au makusanyo? Usichangie kitu ambacho huna ufaham nacho.

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 місяці тому

      ​@@odilomwakamela4889Sasa kama hakuna mauzo yenye risiti unajuaje mfanya biashara ameuza kiasi gani? Tatizo litakuja baadae tra watakisia kiasi cha wewe kulipwa matokeo yake utalipa nyingi au kidogo na ndio kitakua chanzo cha Rushwa.

    • @odilomwakamela4889
      @odilomwakamela4889 3 місяці тому

      Issue ya Efd ni kubwa kuliko unavyozani huwezi kumkadilia mtu kodi kwa kuangalia sales peke yake na efd ina record sales pekee yake.
      Naweza kuuza laki moja na faida ikawa elfu mbili na mwingine anaweza kuuza laki moja na faida ikawa elfu 20, sasa hawa watu ukiwakadilia kwa kuangalia sales watakuwa sawa??
      Service levy wanacharge 3percent ya sales sio faida angalia hapo anayeuza laki na faida elfu mbili atapata nini?

    • @husseinmkanga7794
      @husseinmkanga7794 3 місяці тому

      @@odilomwakamela4889 Sasa hapo tatizo ni mfumo wenyewe, lakini katika biashara za mauzo na matumizi risiti ndiyo inayo onyesha mauzo yako na manunuzi ambayo mwisho wa mwaka itaonyesha matumizi yako kodi ambayo umelipa na mauzo uliyo fanya, sasa hapo ndio tra wafanya hesabu kutokana na hivyo vitatu kama je umepata hasara, faida au hauna hasara wala faida. Na hapo kunakuwa na mambo matatu, kama mfanya biashara amelipa kodi nyingi anarudishiwa, kidogo anaongeza, au kama amelipa sawa hakuna mdaiwa. Tatizo letu serikari na baadhi ya wafanya biashara sio waaminifu ndio maana imewekwa mifumo mibovu ya ulipaji kodi ili kutengeneza njia za Rushwa.

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 3 місяці тому

    Xhallamila tengua mama akalete comedy huko😅😅😅

  • @bestman8182
    @bestman8182 3 місяці тому

    Hawa kariakoo wanadeka, tusipokuwa makini watatusumbua sana. Kwanza hizi biashara za kariakoo ni za kina nani? Usijekuta watu wanaojigomesha na kujitolea muafaka wenyewe.😅

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 3 місяці тому

    Unajua hata ukilipa kodi pesa zonaliwa tu inakatisha tamaa wananeemeka WALAFI NA WEZI

  • @HarunGeorge
    @HarunGeorge 3 місяці тому

    Mnaongea ujinga tu kila siku japo mnafanya hivyo hata hivyo huo ujinga mmeshindwa kuusimamia

  • @DeoKimbe-gt4op
    @DeoKimbe-gt4op 3 місяці тому

    Mh mama anapenda amani asande mh raisi tunaomba kodi zote ziwekwe seemu moja tra lesenni ya maspaa ,zimamoto,maaliasili ,nk kondi ninyingi kilamoja anakuja na sheria zake kama inhi tofauti bado kodi ya pango tanesko maji mlizi takataka Tanzania kabla hujaaza bishara kwaza lipakodi alafu ukilipa kodi zote alafu fungungua bishara

  • @JUBRANBULAYHl-yb4ke
    @JUBRANBULAYHl-yb4ke 3 місяці тому

    Uadilifu na uadilifu kwa mabwana wa Afrika, wanaume na wanawake, vijana na wazee, kiapo cha yule aliyeteremsha Taurati, Injili, Mtengano, Zaburi na Qur'ani yenye hekima kwa Mola wa Mitume na Muhuri. wa Mitume na Mitume, Muhammad, swala na salamu za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake na ahli zake wote na maswahaba zake, kwa anayestahiki zaidi uadilifu na uadilifu kwake, licha ya kila dhalimu, dhalimu, na dhalimu na amani iwe juu ya Mola wetu Muhammad na aali zake na maswahaba zake wote, Amina, Mola wa walimwengu wote☝🏻☝🏻🤲🤲☝🏻☝🏻

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 3 місяці тому

    Mueshimiwa rudia tena huku wafanya biashara hawajakuelewa

  • @maase2023
    @maase2023 3 місяці тому

    Mpk wananchi waandamane ndio mnajua kuchukua hatua kweli tutafika hivi???

  • @jumannepaskary3182
    @jumannepaskary3182 3 місяці тому

    Haya yule mkuu wa mkoa alivyokuwa anatishia wafanya biashara haya yangepatiwaje muafaka

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 3 місяці тому

    SAFI SANA NAONA KUNAMATAHILA YANABEZA UAMZI HUU

  • @FurankoSimbeye
    @FurankoSimbeye 3 місяці тому

    Hongera kiongozi kutuwakirisha

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 3 місяці тому

    Shida tu maneno mengi

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi 3 місяці тому

    Acheni ujinga

  • @wechemakambo2182
    @wechemakambo2182 3 місяці тому

    NCHI YA HOVYO HII YAANI WAFANYABIASHARA WANAIVIMBIA SERIKALI KWA KUTISHIA MGOMO,HIZO KODI HUWA HAWAPENDI KULIPA NA HIZO RISITI BADO WANAZIFANYIA UJANJA MWINGI....YAANI TRA HAIJITAMBUI AU WANATUNGA PASIPO BUNGE?AJABU HAWA WAFANYABIASHARA WAKIENDA NCHI NYINGINE HAWAKWEPI KODI NA WANATII MAMLAKA ZA KODI