Söylediklerinizden hiçbir şey anlamadım. Çünkü dilinizi bilmiyorum. Fakat o kadar içten ve duygusal söylemişsinizki çok çok güzel ve bana çok güzel hisler, duygular yaşattınız. Tebrikler. ❤👏👏👏
From Kenya can't control the tears😭😭😭😭may you rest in peace bro Marco,,,,my entire condolences to the zabron singers and the family in large,,,,Wacha mungu awape faraja😭😭😭😭😭
How can this be so painful and i don’t even know this Marco in person but just from watching his songs . So i can imagine how the family is feeling . God help Marco’s family in this trying times .
Samahani, samahani, samahani tena. Naipenda kwaya ya Zabron Singers kuliko mnavyofikiria. Napenda sana unavyoimba BAADA YA NDOA, lakini Japhet na Marico ndio walionifanya niipende sana Kwaya yenu, sasa rafiki yangu Marico ametuacha. Tunakosa mtu jasiri. Macho yangu yametokwa na machozi, Mungu atupe nguvu katika nyakati hizi ngumu. Tunakaribia kufunga machozi haya, na Marico tutaonana asubuhi ya ufufuo. Ufunuo 21:1-5. Sizungumzi Kiswahili vizuri, lakini natumai utaelewa ninachosema. Uwe hodari na usikate tamaa Yesu yuko karibu kutusamehe maumivu haya. Jina langu ni Nathanael NIZEYIMANA na ninatoka Rwanda. Kanisa la SDA.
Reminds us of all our loved ones who have departed. May their souls continue to shine and be our light and guidance as we walk this earth😭😭😭 Lobe and Light🫂🫂
I can imagine how hard this was hard to write and record in the studio....this is a product of tears and pain😢. God comfort you, his family and all who knew & loved him.
This just took me back 5yrs ago when I lost my beloved Dad...the pain never goes away you just learn to live with it daily....it's so painful sometimes you feel like everything collapsed and ended with him....my son keeps me alive without him I don't think I could have come this far....death robs us of precious souls....may your soul rest in peace MARCO....may God comfort everyone grieving their loved ones😢
Omg rest in peace and peace Joseph Marco,, nikiutazama wimbo natokwa na machozi sijui niseme nini,, zablon singer's mulio baki jipe I moyo ni njia ya Kila mmoja wetu,, mungu awatie nguvu na mjipe moyo najua zinauma na inachoma pia kifo cha gafla kina tesa sana
Yaani waimbaji Tanzania hawana umoja hata kidogo, na Mungu sio mwanadamu, aliinua watu kutoka sehemu mbali mbali yaani ukifuatilia msiba huu utadhani ni msiba wa kiongozi mkubwa wa nchi, Mungu awabariki wote walioguswa na kushiriki pamoja na wanazabloni kwaya😢
From Kenya just crying for the pain of his kids,wife,family and Zabron singer may you find peace and let him rest in eternal life poleni sana tena sana
Söylediklerinizden hiçbir şey anlamadım. Çünkü dilinizi bilmiyorum. Fakat o kadar içten ve duygusal söylemişsinizki çok çok güzel ve bana çok güzel hisler, duygular yaşattınız. Tebrikler.
❤👏👏👏
From Kenyan,can not control tears😢😢.RIP Marco.
From Kenya mungu awatie nguvu kwa wakati kama huu..
Marco alale salama kwa bwana..
i can't stop crying😭😭😭😭Zabron Singers and family receive our condolences from Kenya
Poleni sanaa Mungu awatie nguvu muendelee kuhubiri kwa njia ya wimbo
From Kenya 😭😭poleni sana Zabron singers...fly 🕊️ with angels Marco
Pascal from Goma DRC tunapongeza sana familia ya ndugu Marco. Tu vas nous manqué surtout tes belles chansons
Much love from kenya God bless you so much Marco junior ❤
From Kenya can't control the tears😭😭😭😭may you rest in peace bro Marco,,,,my entire condolences to the zabron singers and the family in large,,,,Wacha mungu awape faraja😭😭😭😭😭
Safiri salama Marco,poleni sana zabron singers mungu awatie nguvu kwa wakati huu mgumu
Mungu awafariji. From Kenya
Yule mungu wa miujiza jameni tenda miujiza yako we will miss marco
How can this be so painful and i don’t even know this Marco in person but just from watching his songs . So i can imagine how the family is feeling . God help Marco’s family in this trying times .
From DRC 🇨🇩
🥲😭😭😭
Twaamini tutaonana siku ya ufufuo ndugu *Marco Joseph* , choir @Zabronsingers muwe ngufu, asante bwana Japhet kwa huu wimbo special.
Hey
From Kenya. Cant control my tears. Zabron singers....you always bless me so much
I can't stop crying 😭😭 sincially my heart is bleeding from inside 💔💔💔 rest well Marco🙏🙏🇰🇪🇰🇪
From Ghana, I don't understand the language but I love their music. May his soul rest in peace
Poleni Zabron Singers na Taifa kwa Ujumla ❤❤❤❤❤
From Kenya may you shine with angles Marco we loved you but ....God loved you more
Sure
Poleni sana.Mungu awatulize na muwe na utulivu wa moyo.Mungu abarikiwe.Mungu hutubariki pia yeye ndiye hurudisha.
Samahani, samahani, samahani tena.
Naipenda kwaya ya Zabron Singers kuliko mnavyofikiria. Napenda sana unavyoimba BAADA YA NDOA, lakini Japhet na Marico ndio walionifanya niipende sana Kwaya yenu, sasa rafiki yangu Marico ametuacha.
Tunakosa mtu jasiri. Macho yangu yametokwa na machozi, Mungu atupe nguvu katika nyakati hizi ngumu. Tunakaribia kufunga machozi haya, na Marico tutaonana asubuhi ya ufufuo. Ufunuo 21:1-5.
Sizungumzi Kiswahili vizuri, lakini natumai utaelewa ninachosema. Uwe hodari na usikate tamaa Yesu yuko karibu kutusamehe maumivu haya.
Jina langu ni Nathanael NIZEYIMANA na ninatoka Rwanda. Kanisa la SDA.
😂😂😂
Pole kaka,hasauliki itabaki kumbukumbu
Reminds us of all our loved ones who have departed. May their souls continue to shine and be our light and guidance as we walk this earth😭😭😭
Lobe and Light🫂🫂
I can imagine how hard this was hard to write and record in the studio....this is a product of tears and pain😢. God comfort you, his family and all who knew & loved him.
Am tired already ...I can't control my tears ...Mungu awafariji sana Zabron singers and more especially Marco wife and children. 😢😢😢😢
This just took me back 5yrs ago when I lost my beloved Dad...the pain never goes away you just learn to live with it daily....it's so painful sometimes you feel like everything collapsed and ended with him....my son keeps me alive without him I don't think I could have come this far....death robs us of precious souls....may your soul rest in peace MARCO....may God comfort everyone grieving their loved ones😢
I didn't know him personally but for real, hili limeniumiza Sana. 😭😭😭😭
It's so touching but may the Lord be your strength zabron.. God is in control.
Nimelia sana sijafarijika Bado
Mbona wewe my best singer 😢😢
Mungu akulaze pema marco 😭😭
Kwa kweli inauma sanaaaa Mungu akulaze mahali pema peponi Marco Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana Lihimidiwe
Rip kaka ....dance with angels 🙏tunaamini saa hii uko Kwa Baba....poleni familia ya zabron🙏🙏
Poleni zabroni ,,wimbo wa maombolezo mnzuri sana,
Second coming of Jesus christ...we will all see Marco and others that died in christ...accept our condolences as advents from 🇰🇪 zabron singers...
Go ahead and release this song .Even in sorrow God has already manifested through the song
😭😭😭😭Safiri salama peponi kule juu binguni ndiko Kuna Furaha tele Michael safari ya Dunia hii imeisha tutaku😭kumbuka kwa matendo yakooo 😭😭😭😭
Jamani mumemuenzi vizuri sana nashukuru sana Leo hayupo muendelee kumuenzii hivi jamani
From Kenya can't control my tears daily when i watch this song😭😭😭
Wakenya MUNGU awabariki kwakweli,, mmewazidi hata wasanii wa Injili wa Tanzania
Pole san😢
From Kenya, pole kwa zablon singers
The voice and melody so perfect 🎉🎉🎉 rest in peace 😢😢
Polen Sana we Mungu ipokee roho ya mwanao😭😭😭😭
Oh poleni sana Zabron I am one of your followers poleni poleni sana mimi bado ninalia.
I'm always in tears when I watch this😭😭😭😭 it's painful...my condolences 😢😢😢
Maumivu ya kufiwa yasikilizie tu kwa wenzako ila yasikukute..😢😢
RIP MARKO🕊️
Poleni sana kwa kumpoteza mmoja wenu,Mola ailaze roho yake pema.
It pain but take heart, poleni, RIP Marco, from Kenya
Poleni xana familia pamoja na watanzania woote kazi ya mungu haina makosa
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amen
It's not yet unti it's done keep the candle glowing brother 💥💥
😭😭😭😭 speechless...but go well marco😢
From Kenya,rest in peace Marco so painful
😢😢 God's time is the best from Kenya
Poleni sana Zabron singers Mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu na kuwafariji katika wakati huu mgumu.
Rest in peace Marco.
Wimbo bora kwa 2024❤❤
From Kenya,,kumpoteza familia n uchungu sana ila yote ya Mungu,,ss hatuna la kufanya kubali yote
Safiri salama Marco,, poleni sana Zabron singers
From Kenya , pumzika pema peponi my condolence zabron family ❤❤
I can't remember when I shed tears this much!! O God, this one has hurt us a lot. Why God?
😢😢😢 😭😭 Marco umewaacha wenzako na majonzi makubwa sana mpaka najikuta nalia mwenyewe poleni sana Zablon singers kwa kipindi hiki kigumu
Nimeumia sanaaa me jaman 😭😭😭
Yuko Mungu juu binguni atawafariji poleni sana ndirangu from nyandarua kenya
Poleni Sana Zabron Singers Mungu awatie nguvu.
Poleni sana mungu awatie nguvu
Poleni sana familia Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
Pumzika Kwa amani Marco Joseph 😭🕊️🕊️🕊️😭🕊️😭🕊️😭🕊️ shine on your way
Pole kwa hii Familia 😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Poleni sana...Mola awape nguvu na afute machozi yenu...ni uchungu sana
Pumzika kwa amani ndugu yangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
I will really missed the voice of Marco my condolences to the choir nd family 😢😢😢😢
Pole sana kabisa mungu awatiye nguvu
Poleni wenzetu kutoka Zabron Tanzania
From Zambia friends I'm really in great sorrow, my brother rest in intenal peace 😭😭😭
Poleni sana zabro singers pamoja na Familia
Go easy zabron..... from kenya❤ pumzike pahali pema peponi
Pumzika Kwa aman Mtumishi WA Mungu daaaah Mungu awatie nguvu sana hii familia 🙏😢aise
Hili limetuumiza sana wote poleni may God give you energy zablon singers
Polen jaman Hilo jambo halizoelek, na kazi ya mungu Haina makosa
Poleni wafiwa hasa wanafamilia poleni sana
This guy's can sing ,, poleni sana
God help all us
very sad 😭😭 poleni sana wana zabron na familia pamoja na marafiki Rest in Peace Marco
Watu wazuri ndio TU huenda I beg zabron singers mjikaze na hao watoto na mke mwalilinde milele.tuna Lilia huku Kenya zaindi.
RIP Mtumishi wa Mungu.
From Kenya we join the family, friends and relatives in prayers and mourning.
May God comfort you during this trying moments.
From Uganda we see him again dear friends in Christ Jesus
😢 poleni mungu awatiea nguvu
Kazi nzuri Sana❤️
From Kenya,Brothers, it was the will of God but its so hard to control our tears.
Familia ya zaburoni singie kuwa na moyo wa uvumilivu shukulu kea yote mwambie mungu Asante kwa hili
So sad 😭😭😭,his service to Almighty God through music shall not go in vain, rest easy servant of the Most High. Kenya.
Oooh God!...aki inaumiza sana💔😭🙏
Mungu awafariji sana!
Omg rest in peace and peace Joseph Marco,, nikiutazama wimbo natokwa na machozi sijui niseme nini,, zablon singer's mulio baki jipe I moyo ni njia ya Kila mmoja wetu,, mungu awatie nguvu na mjipe moyo najua zinauma na inachoma pia kifo cha gafla kina tesa sana
Poleni sana wanafamilia wote mung awatie nguvu hakika inauma sana
Poleni sana,mungu awape nguvu
Yaani waimbaji Tanzania hawana umoja hata kidogo, na Mungu sio mwanadamu, aliinua watu kutoka sehemu mbali mbali yaani ukifuatilia msiba huu utadhani ni msiba wa kiongozi mkubwa wa nchi, Mungu awabariki wote walioguswa na kushiriki pamoja na wanazabloni kwaya😢
It's well Zabron. May God give you perfect comfort.
God know our destination let him rest easy we can not hide our pain,,tear😭😭😭😭 rest easy rest easy rest easy
From Kenya just crying for the pain of his kids,wife,family and Zabron singer may you find peace and let him rest in eternal life poleni sana tena sana
Je n'arrive pas à me retenir Mungu wangu 😭😭😭😭😭😭😭😭
R.l.P.Marco.Poleni Wafiwa.
Very painful, mpaka sahizi siamini kabisa kama ndugu yetu alipotea,tumekubali lakini na uchungu,pumzika salama😢😢😢😢
Poleni Sana watu was Mungu wangu.
God is always take the best, rip marco Joseph.