ANANIPENDA: DARAJANI SDA YOUTH CHOIR-official music video
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za Mungu, bado Anafanya Kazi bila kuchoka na Anapania kuikamilisha. Labda, leo, hujahisi upendo wowote au maisha yaliyowezeshwa na Mungu, lakini bora tu humwachi Mungu, na hupotezi matumaini kwake basi kutakuwa na siku ambapo tabasamu la Mungu litafichuliwa kwako.