BIG BOSS |9|

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 2,5 тис.

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 Рік тому +256

    Nasema tena Clam amekuja kufanya mapinduzi makubwa sana kwenye hili game...🙌🏽🇹🇿💯🎬

  • @bakarimnyubi2650
    @bakarimnyubi2650 Рік тому +18

    Mwana kulitafuta mwana kulipata big up Clam kashalipata huyo...😅😅😅🎉🎉🇰🇪🇧🇭

  • @sirngetich1815
    @sirngetich1815 Рік тому +23

    Number one from Nairobi kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 as usual tulitarajia iwe moooto zaidi vile inafaaa asante sana clam kwa burudani tumbuizo unaotupa😊nadhani sijaaribu ngeli na lafhudhi nyie was waswahili mnijibu😊😊 One love Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿with kenya🇰🇪 🇰🇪wapi likes zangu sasa😊😊😊😊😊😊

  • @jeanettejaja9447
    @jeanettejaja9447 Рік тому +14

    Clam vevo naona tena kanumba Tanzania courage vraiment my big brother Clam vevo nakutakia maisha Marefu Sana kaka Yangu mungu mbere love u so much 💙💙💙💙💙💙💙

  • @wisemanlutomia4781
    @wisemanlutomia4781 Рік тому +18

    I am choosy on what i like,,,I have a taste for class,,and when I like its from deep inside my heart because its classy...Clam Vevo and your crew ...kudos. Great storyline..great acting..love from 254

  • @damianmhagama4398
    @damianmhagama4398 Рік тому +125

    Hii movie ni kali ni kali sana. Wanaokubaliana na mimi twende kazi gonga like

    • @mwantumubakari7303
      @mwantumubakari7303 Рік тому +1

      Ni nzur Ila wanachelewa kutupa muendelezo jamaanii😔😔🤗🤗

    • @damianmhagama4398
      @damianmhagama4398 Рік тому

      @@mwantumubakari7303 wanachelewa Huwa wanatuandalia kitu kizuri zaidi

  • @mrAxelmusic
    @mrAxelmusic Рік тому +287

    Kama umeaza kufuatilia tangu part one mpaka saii tuko part nine tujuane apo kwa comment 😂😂

  • @Benny318m
    @Benny318m Рік тому +84

    Aseeeeee Clam Vevo is the next level I see you very far, keep going well sir Clam Vevo

    • @mrben227
      @mrben227 Рік тому +2

      Wew ume comment point👌sio kama wengine wanaongea pumba badala ya kusifia au kukosoa penye makosa ili msanii azidi kujijenga...well done @clam vevo, una content nzuri,una story nzuri na message nzuri 🎉👏👏👏

  • @NorajoyJoy
    @NorajoyJoy Рік тому +55

    Kama unatoka kenya n unapenda clam piga like zetu❤❤❤

  • @raindoro5201
    @raindoro5201 Рік тому +15

    Clam's comedy are outstanding ..you dont tire watching them again and again

  • @mrben227
    @mrben227 Рік тому +42

    Content nzuri
    Story nzuri
    Message nzur.
    Hongereni sana wote mlioshiriki 🙏

  • @maburudani1234
    @maburudani1234 Рік тому +70

    Ila usiwe wakaa Sana..... Dondosha mzigo.... Mashabiki twasubiri kwa hamu❤❤❤😊

  • @_sirtrouble
    @_sirtrouble Рік тому +179

    THIS IS THE BEST PROJECT CLAM HAS EVER DONE💯🍻

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 Рік тому +1

      Sure it's because ameamua kusimama kwenye talent ambayo sio kuchekesha

    • @harleenmarleen6561
      @harleenmarleen6561 Рік тому +2

      Am Kenyan and am enjoying these episodes,,, big up to Clam and the team❤🎉🎉

    • @anodikikotiAnodikikoti-zy7ej
      @anodikikotiAnodikikoti-zy7ej Рік тому

      Jaman clam apewe Maya take maana so kwa mapinduz haya nahis watu kuna v2 wamejifunza ving sana

    • @ZakiaBakar-um7tg
      @ZakiaBakar-um7tg Рік тому

      😂😂hatar sana duh

  • @footballsite4868
    @footballsite4868 Рік тому +16

    Clam vevo nice thinking hii nayo iko lit💥💥isije ikaisha haraka we need more episodes gonga likes kama umeipenda

  • @michaelomega3646
    @michaelomega3646 Рік тому +20

    Team mwakatobe gonga like hapa😀😀😀🔥🔥🔥🔥🔥

  • @EagleEzra
    @EagleEzra Рік тому +368

    Wa Kwanza hapa kutoka Kenya🇰🇪 kutazama BIG BOSS 9 kama unapenda kipaji cha CLAM nipeeni likes

    • @petermakinni9177
      @petermakinni9177 Рік тому +7

      Sasa umeona kipande cha 9 big boss ushaanza kusema wew ndio mkenya wa kwanza kutazama wakati mim nimeona mwanzo mwisho 😅😅😅😅😅😅😂😂

    • @EagleEzra
      @EagleEzra Рік тому

      ​@@petermakinni9177 hamna shida Kwa Hilo....funika bakuli lako la mdomo Na uende zako.....senge wewe

    • @tonneycharles6029
      @tonneycharles6029 Рік тому +5

      Wakwanza kufanyaje??

    • @bibialichuma-zy2jh
      @bibialichuma-zy2jh Рік тому +5

      Watu wameikamia

    • @asiaiddi2476
      @asiaiddi2476 Рік тому +3

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Рік тому +769

    😂😂😂😂Wangapi wanaangalia Big Boss episode ya 9 huku tukisoma comment tujuane basi kwa like. Nimefurahi kumuona Mr Big big nabii Kama nabii Ezekiel 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏼

  • @mohamedsheealom8745
    @mohamedsheealom8745 Рік тому +67

    Hii series ikiisha iunganishwe iwe movie moja itakuwa hatari sana tunafwatilia kuanzia episode 1 na bado tunahitaji iunganishwe tununue ili tuangalie na family..ni movie yamafunzo mengi.

  • @katiemedality9666
    @katiemedality9666 Рік тому +19

    toka episode ya kwanza hadi leo😂😂 good job Clam🎉 I see you far broooh❤😊

  • @luckydavesimba9548
    @luckydavesimba9548 Рік тому +6

    #ClamVevo kazi nzuri natizama kutoka Kenya tupo Pamoja nanyi hadi tamati ya the #BigBoss🙏💞😎🤗😊🤣🤣

  • @luvachrisog7449
    @luvachrisog7449 Рік тому +38

    This guy is amazing💯💯

  • @Adela.Raheem
    @Adela.Raheem Рік тому +129

    Mwakatobe Kila scripts za BigBoss anakill sana😂km unakubaliana na mim gonga like

  • @saloumtz6596
    @saloumtz6596 Рік тому +59

    Mwamba Anayecheka sana muhimu sana kwenye Hii SERIES usmwacheeee CLAM 😂

    • @loiborsoitb4583
      @loiborsoitb4583 Рік тому +4

      Mwakatobe asiuawe, akifa movie itakua mbaya

    • @monandakajole7138
      @monandakajole7138 Рік тому +1

      Asiuliwee banaa itapunguza utam yale matamboo michamboo yatapunguaa😆😂

    • @VailethPhilipo-sj7gf
      @VailethPhilipo-sj7gf Рік тому +1

      Mchumba tu wew n zuchu tu nimenukuu 😂😂kweli anafurahisha

    • @alicenice1711
      @alicenice1711 Рік тому +1

      Nani bhailam au

    • @Papagordy254
      @Papagordy254 Рік тому +1

      Zuchu tuu wwe😂😂😂😂😂

  • @officialcheeh
    @officialcheeh Рік тому +102

    Hii movie imesababisha napenda CHAPATI NA MAHARAHE😂😂😂😂. gonga likes za kutosha kwa biaba ya @clam vevo 😂😂😂

    • @isaya240
      @isaya240 Рік тому +3

      Upo kama mim😅😅😅😅😅 i like chapati na maharage

    • @willieulemsee6565
      @willieulemsee6565 Рік тому +1

      Tuko pamoja huku Kenya😂😂😂😂 chapati maaragwe

  • @agostinhoalbertofrancisco5006
    @agostinhoalbertofrancisco5006 Рік тому +19

    Bom trabalho irmão força 💪estou ligado apartir de G delgado Mueda muito obrigado 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿 🇲🇿

  • @Monystar01
    @Monystar01 Рік тому +58

    Wakwanza Ni Mm Leo nipewe Likes nyingi tunaosubiri big boss 10 gonga Likes 👍 hapa

  • @kerosdamusic5521
    @kerosdamusic5521 Рік тому +47

    Kazi nzuri saaaaaana Clam vevo , hii BIG BOSS part 9 inanikumbusha hii nyimbo "JIAMINI Official video by Keros DA Music" kwamba kivyovyote vile yatupasa kuwa makini katika yote tuyafanyayo na kumshukuru Mungu kwa yote. @kerosDAMusic. God bless you CLAM VEVO

    • @Andrew57Atm-wh5km
      @Andrew57Atm-wh5km Рік тому +1

      Kaka umetumia hakr KUBWA kuandika ili watu waasikilize wimbo wako 😅😅😅

    • @kerosdamusic5521
      @kerosdamusic5521 Рік тому

      @@Andrew57Atm-wh5km pamoja saana ndugu yangu Andrew , sisi wote CLAM VEVO FAMILY for life , all the way from Lexington Kentucky USA

  • @Mpanda_boy_Tv
    @Mpanda_boy_Tv Рік тому +14

    Aliye mpenda docta hapa tujuane❤

  • @renoxnmpinga576
    @renoxnmpinga576 Рік тому +48

    Wanaotaka clam vevo aongeze dakika kwenye episode zake tujuane😂😂😂

  • @wa-mbeyaTv4725
    @wa-mbeyaTv4725 Рік тому +5

    Huu jamaa anaecheka mwanzo wa movie daaaah anajua kuigiza Sana 🎉🎉 #clamfans#

  • @silamwamlima2758
    @silamwamlima2758 Рік тому +5

    😂😂😂Ila mwakatobe anajua kuigiza 😂😂😂😂

    • @JamilaMpulanya-su3on
      @JamilaMpulanya-su3on Рік тому

      Yani anajua sana jamani daah yan wanacheka na miye nacheka tuu hahhhahhha daaah sa talented

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Рік тому +10

    😭😭😭😭😭hiii imenitoa machozi kwakweli yaaan kama mambo yenyew ndo ayo acha niwe na maisha magumu kuliko kuwatoa ndugu zangu kafara jamani eeee molla niepushe na hil balaa jamani niendelee kukaa katika uwepo wako niepushe na tamaa kwakweli

  • @alencleophace2182
    @alencleophace2182 Рік тому +53

    *Good job to all team not only Clam*

  • @bintykikungu6900
    @bintykikungu6900 Рік тому +10

    Wallah inauma sana 😢😢. Nikweli kwenye maisha hutokea haya tujifunze kupitia hii move usije sema hukuambiwa kuona pia usione.? Tujifunzu kuwa cha kharam mwisho wake mbaya .💯💯👌. ujumbe umewafikia. I love you all.❤😊😊

  • @EricSmith-fx5mo
    @EricSmith-fx5mo Рік тому +4

    Am watching the big boss at mumias kakamega kenya and am so happy forit.big up man( clam vevo)

  • @jeanberchmas5452
    @jeanberchmas5452 Рік тому +4

    Kanumba karudi upya duniani aise daah clam vevo mbele pazuri sana mwanangu 😍😍

  • @charlesngombo1616
    @charlesngombo1616 Рік тому +16

    The Last Part is soo Deep haki...
    Nice scripture very Educative

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Рік тому +8

    Hard fans of BIGBIG and you guys, so talented, mmeiweka Comedy ktk level nyingine, we laern a lot from you guys.

  • @Valline-u1z
    @Valline-u1z Рік тому +26

    You respect my brother clam vevo 💯 respect my brother bailam💯 wanao wakubali waigizaji wetu naombeni like zenu hata 2 💯💯💯💯

  • @Miss_Jesy
    @Miss_Jesy Рік тому +4

    The story is so sweet yani kama movie flani hivi.. Story inaeleweka, iko na good sequence na editing is so convicing...nawapata sana all the way from Ghana. Big up Clam for perfect job🥰

  • @SDM2024-z4s
    @SDM2024-z4s Рік тому +15

    Leo nimekuwa wa Kwnz 😂😂😂 Naomba like zangu

  • @bienfaitfuraha-u4w
    @bienfaitfuraha-u4w Рік тому +13

    This guy is so genius for real, mpeni mauwa yake

  • @africanjoker8406
    @africanjoker8406 Рік тому +5

    First Tanzanian from south Africa to watch BIG BOSS 9😌😌kiss my comment😍😍

  • @rehemarehemamasond-et3jw
    @rehemarehemamasond-et3jw Рік тому +19

    Kwa kweli nimeacha kufanya kazi niko hapa kuangalia big boss nawa penda nyote kazi nzuri Mnipe like zenu🎉

  • @Kita_Tz
    @Kita_Tz Рік тому +1

    Mwakatombe yeye yashamshinda mapema tu 😀😀😀

  • @TIGER_TALENT
    @TIGER_TALENT Рік тому +41

    Kzma unaamini alitucheleweshewa gonga likee uku ukimpa mauwa yake cram❤❤

  • @FulgenceMikaOfficial
    @FulgenceMikaOfficial Рік тому +20

    Nipeni like zangu coz Clam ni hatari sana!❤🇧🇮

  • @beautyafrica254
    @beautyafrica254 Рік тому +45

    I appreciate your work brother ,haujawai kutuangusha kijana.from 254,001 gonga like kama tunamkubali clam vevo

  • @ChingaMediaa
    @ChingaMediaa Рік тому +1

    Mwan kulitafuta mwana kulipataaa unaskia kujamba jambaaaa😂😂😂

  • @TribalChief254
    @TribalChief254 Рік тому +6

    Nice one boys. Future is bright for you guys, enlighten the new generation.. karibu sana nabii Ezekiel 😂😂😂😂

  • @jacksontajirmuthui464
    @jacksontajirmuthui464 Рік тому +4

    Good job Mr clam naitizama kutoka Kenya big boss party 9

  • @nirfaahmed7645
    @nirfaahmed7645 Рік тому +104

    Mmoja kama Mimi ambae hataki kusikia big boss inaisha like hapa❤❤

  • @WakusiziBoy-b6b
    @WakusiziBoy-b6b Рік тому +33

    Leo wakwanza kuangalia Big boss ya clam naomba weka hapo like

  • @kuborashid9351
    @kuborashid9351 Рік тому +8

    Clam na team yake yote... Super talented mazee.... Unarudisha utamu wa bongo movie mana ilikuwa nishaachana nazo

  • @victorpaschal-tm2pz
    @victorpaschal-tm2pz Рік тому +11

    Filamu nzuri sanaa ila nilikuwa nashauri uyo mganga wetu tunayemkubali,hapunguze kucheka kwa muda mrefu maana inafika kipindi anaboa😢USHAURI WANGU NI UO TU BUT YOUR DOING GOOD GOD BLESS YOU AND YOUR TEAM

  • @Staga254
    @Staga254 Рік тому +14

    Nakubalii sana mkuu big boss 9 fire 🔥😂wow it's amazing nipeee likes Zangu kutoka kenya 🇰🇪 tunakubalii

  • @ElvisNyamawi
    @ElvisNyamawi Рік тому +16

    you are in another level clam,,keep on the ball rolling..watching you from #Kenya

    • @حسن-ح7م1ق
      @حسن-ح7م1ق Рік тому

      Kula chuma ukooo😂😂😂 nashindwa kushangaza nmefwata nn huku chogo ka mwiko😂😂

  • @PirfaImanipirfa
    @PirfaImanipirfa Рік тому +27

    Tupo pamoja toka Sehemu Ya kwanza nani mwengine anipe like 😂😂😂

  • @victorndosi5164
    @victorndosi5164 Рік тому

    Mwanakulitafuta mwana kulipata😅😂😂😂😂

  • @HeroJoseph-nm8pv
    @HeroJoseph-nm8pv Рік тому +8

    Ila mna chelewesh hizo episode mpaka wahuni wanaingilia channel yen nakuanza kutoa mapisode yao yaungo fikilia hilo i love you ❤❤🙏

  • @frankjackson4435
    @frankjackson4435 Рік тому +17

    Walio penda uhalisia wa doctor gonga like

  • @bernardmathengendumia8458
    @bernardmathengendumia8458 Рік тому +6

    Clam videos are the best nazipenda sana kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪

  • @Mrmnigeria
    @Mrmnigeria Рік тому +8

    Hongera sana clamvevo hii Tamthiria ime imebeba uhalisia wa maisha yetu ya sasa hivo nikupe pongezi zako broo

  • @SamuelSirya-k3r
    @SamuelSirya-k3r Рік тому +1

    I say clam ni genius well done brovoo brother VEVO na bailam😂😂😂

  • @ashprince4272
    @ashprince4272 Рік тому +1

    Nmeipenda❤ sana mjue......Najua tumbo limewaka moto😂😂😂

  • @denismwaniki9803
    @denismwaniki9803 Рік тому +69

    Nice one can’t wait for 10

  • @hamzit_bajuniboy005
    @hamzit_bajuniboy005 Рік тому +9

    Hii part hii ndo umemkomesha bibi wa kipara😂😂😂😂😂 nimeipenda hiyo episode🫶 naona tumempata mwanachama mpya❤

  • @justinjames035
    @justinjames035 Рік тому +16

    Clam namuona akija kuwa mrithi wa marehemu stiven kanumba maana movie zake ni za viwango vya ali ya juu kabisa🙌🙌

  • @marylichoti4540
    @marylichoti4540 Рік тому +2

    Nakupenda sana clam m natokea Kenya na napenda sana bigg boss weee tamu kweli

  • @BadruRashidy
    @BadruRashidy Рік тому +1

    Clam kk hongera cnh umepig hatua

  • @JoanNdinda-e3k
    @JoanNdinda-e3k Рік тому +47

    Wakwanza kutoka kenya nipeni likes acheni umbaya nawapenda❤

  • @eddypluss9618
    @eddypluss9618 Рік тому +5

    Hii inafundisha sana clam wahisha sehemu ya10 iwe ndefu ndefu kidogo boss

  • @callmeog4786
    @callmeog4786 Рік тому +11

    Aise lime nimependa mr Big Big kuoneneka kama na ww umefurahi nipendi liké 10 tu n'a ww ipo Siku na ww utapa laki kumi nipe like tu

  • @ChristianRugenge-kd1xh
    @ChristianRugenge-kd1xh Рік тому +3

    Kazi nzuri Sana clam pamoja n'a team nzima Kabisa one ❤️ from South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦 gonga like kama una kubali kazi za Clam vevo 🤟🤟🤟🤟

  • @tiagovaldobernardo1236
    @tiagovaldobernardo1236 Рік тому +29

    Espero a parte 10 apartir de Moz, Clam 🎉

  • @PraygodMollel-p8v
    @PraygodMollel-p8v Рік тому +12

    Me ndio wa kwanza katika kuona big boss party 9

  • @bosshapendi
    @bosshapendi Рік тому +12

    Mkenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wa qwanza ni mm😢😢😢naomba🙏 likes zangu 👍👍👍

  • @MbossoMichael
    @MbossoMichael Рік тому +14

    You real know how to act bro congregation for this good message for we youths bro

  • @Manga_junior
    @Manga_junior Рік тому

    Akiinama McHale akiinuka McHale
    Big up brother

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +1

    Mwanangu ntakusupport
    Sana mwanangu kila unapo toa
    Kazi mpya mzee

  • @Kamandaah
    @Kamandaah Рік тому +5

    Nasubiri episode 10 Kwa hamuu😊😊,,,,kazi nzuri clam ,,Kenya tuko set🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @drsniper1126
    @drsniper1126 Рік тому +21

    wa kwanza kutoka 🇧🇷🇧🇷 naombeni likes kama unaikubali big Boss🎉

  • @ibrahimkhamis3324
    @ibrahimkhamis3324 Рік тому +30

    Hii series mmeifanya Kwa ubunifu mkubwa Sana hii ndio series yangu ya mwaka mpaka Sasa

  • @PretaKeza
    @PretaKeza 19 днів тому +1

    makatobe🤣😅😂 yule brother huu nichekesha kweli,angekosa kwenye hi cinema.kweli kweli cinema hi hainge ni furahisha.mimi natoka kenya lakina, cinema huko tanzania ni fire. simunipe likes afadhali,kwakuwa mimi nimependa hizo cinema kutuka inchini kwenyu.

  • @dicvanofficial
    @dicvanofficial Рік тому

    The return of late Steven kanumba bravo kwa CRAM CHRIS

  • @biba2552
    @biba2552 Рік тому +4

    Nice one guys l can't wait for episode 10

  • @allfootballscoreliveworld8055
    @allfootballscoreliveworld8055 Рік тому +6

    UWEKEZAJI MZURI SAANAAAA BIG UP ICLAM

  • @zalhahmustaph7219
    @zalhahmustaph7219 Рік тому +8

    Nyie kama mnaipendaa big boss pamoja na team yake kama mm gonga like twende saw❤️❤️ 💯💯

  • @khemedsaidsayyidsaidsayy-vb7sg

    nimependa zaid clam kufanya kazi tena akiwa na mr bigi wametoka mbali sana tangu hatumjui clam tunamtizima big anamuonyesha clam na leo clam anamuonyesha big i like it

  • @linusjustinian902
    @linusjustinian902 Рік тому +1

    Nilikuw sifauatilii bongo muvi sa hv nimejikita tuu😂

  • @gerlasvayahi8441
    @gerlasvayahi8441 Рік тому +7

    You're our Next Kanumba. Keep it up bro.

  • @tc_angel
    @tc_angel Рік тому +16

    The actual meaning of Talent and creativeness 🙌

  • @ShawnLexon
    @ShawnLexon Рік тому +12

    Wow! The investment in this video 🎉 keep going bruh 🔥🔥

  • @jumaramadhany866
    @jumaramadhany866 Рік тому +1

    Uyu mwamba atalii napenda chapat na mahalage

  • @fabianbrian8256
    @fabianbrian8256 5 місяців тому

    Team Clam nawakubali Sana,,, Much LOVE from Mombasa Kenya.. Oyaa Biggy Ezekiel uko juuu 😂😂

  • @isackwaite-uf1zy
    @isackwaite-uf1zy Рік тому +70

    Desejo lhe sucessos CLAM ViVO🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @abdulrasulchinowa8543
    @abdulrasulchinowa8543 Рік тому +5

    My favourite movie is out,, keep going bro talent ipo💯

  • @directorpenny
    @directorpenny Рік тому +33

    JAMANI YEYOTE ANAYEKUBALI KIPAWA KAZI YA HUYU MWAMBA WEKA LIKEE👍👍

  • @azharaliahmed7033
    @azharaliahmed7033 Рік тому +1

    Aaah clam we na team yako at large ni viboko 😂😂😂😂😂😂

  • @jumachawinga7261
    @jumachawinga7261 Рік тому +8

    Tunajifunza mengi sana kupitia hii series usione mtu anakula bata na anapesa za kutosha lakini kusaidia ndugu zake ni mtihani mkubwa kwake Kama MwenyeziMungu anakubariki na kukupa pesa za halali mshukuru sana

    • @EbenezaMayala-w4r
      @EbenezaMayala-w4r Рік тому +1

      Ustaman pesa za MTU ndo maana hata bibilia imesema usitaman mali ya mwingine nyumba pesa gari make hujui kavipateje mungu awabarik wote