SALVINA || Swahili Latest || Bongo Movie 2021

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @mpetafrank7195
    @mpetafrank7195 2 роки тому +8

    Mnajua mpaka mna kela ndo tuna taka mabadiliko ya bongo mov nzuri kama hizi zenye kufundisha haswa big up sana kwa washiriki wote mmejua kutukonga nyoyo hii na Ile move yenu Kosa la mama Ni Moto mbaya aseeee

  • @shamimuseleman3140
    @shamimuseleman3140 2 роки тому +7

    Asante sana Dada kwa kuwafunza wengi ambao hawajui thaman ya mama hakika hakuna kama mama

  • @victerkanje1697
    @victerkanje1697 2 роки тому +7

    Hongeren umu wote mabingwa kama sio watanzania. Hizo ndo movies tunazozitaka. Sio maigizo.

  • @shijamayenga7748
    @shijamayenga7748 2 роки тому +5

    Bro bro bro bro bro bro Kabaya nimekuita mara 6 ujue ni jinsi gan Salvina amegusa moyo wangu mwambie nmempenda bure

  • @ernestmwakalambo3938
    @ernestmwakalambo3938 2 роки тому +12

    Hongeren sana kwa kaz nzur hakka inamafunzo ya upendo kwa wazaz wetu, hongera xana mrembo Salvina kwa upendo uliohuonyesha kwa mzaz wako Ahsanten sana

  • @uuuuiiii3917
    @uuuuiiii3917 2 роки тому +3

    Daah nimeupenda ujqsili wako my dada ww nijqsiki naunaupendo wqdhatu na mama yko love you somuch ❤️❤️❤️ movie nzuli sana

  • @rosemwanyika5306
    @rosemwanyika5306 2 роки тому +5

    Na hongera Kwa Dada aliyeigiza ukichaa amevaa uhusika tangu mwanzo, nimempenda

  • @kalaMusique
    @kalaMusique 2 роки тому +2

    Maisha ni dhuluma tunapitia na moyo ni daraja unapitia kila aina ya vita na mateso,,ila jua na mbalamwezi isitofautishe hali, wote tunasahau aliyeuumba nafsi na miyo zetu ,,, mzazi ni mzazi ,mpende kama mzazi wa damu yako ,,akupendae kwa dhiki yendo faraja yako

  • @inkurushow2827
    @inkurushow2827 2 роки тому +3

    Kapaya amefufua Bongo movie kweli baada ya kanumba kutoweka

  • @Lovelove-or2ob
    @Lovelove-or2ob 2 роки тому +2

    Mtunzi asant kwa mover hii nimejifinza meng pia hongera kwa washiriki wote hvy tuwapende wazazi wetu na kuwatunza nakupenda saana mama yangu nakuombea maisha marefu

  • @upendoazori5325
    @upendoazori5325 2 роки тому +5

    Kuna mda unatakiwa kufanya maamuzi hata Kama yanauma
    Congrats salvina more respect to all mama in the world

  • @tilderndegeulaya6062
    @tilderndegeulaya6062 Рік тому +1

    Is nice story .kila mu2 na history take kwer mama ni mama hata awe vipi hongeren sana wasnii wote mlioshiliki.mungu awabariki sana

  • @seigneurdieu9351
    @seigneurdieu9351 2 роки тому +3

    Maman ni maman nakupend sana mama yang mungu akupe maisha marefu

  • @alexmussa5405
    @alexmussa5405 2 роки тому +4

    Kweli kabsa duniani sote tunapita hvyoo usimzalau mtu yeyote kwaina yeyote atakyekua nayo mungu atawarpa Asanteni saanaa kwaelimu yetu nimejifunza pia nani kama mama

  • @victoriabonaya4143
    @victoriabonaya4143 2 роки тому +3

    Woow tamu sana. Mama ni mama hata kama ana kasoro lkn ni mama. Katika hii picha ina mafunzo makubwa sana, tunapaswa kuheshimu kina mama.

  • @gideonmarube6832
    @gideonmarube6832 2 роки тому +1

    Kapaya usimtarahu mtu yeyote maskini, wendawasimu, usijukie mama mkwe, hii filamu imetufunza mengi sanaaa,

  • @rachelthomas5468
    @rachelthomas5468 2 роки тому +4

    Salvina you are a super woman like you are Mom congratulations kapaya the greatfilm good work 🤝😘

  • @kaifaomary3852
    @kaifaomary3852 2 роки тому +4

    Salvin ni mimi kabisa siwez mthamin kamwe
    Mtu asiye mpend mama angu

  • @asinajasna3347
    @asinajasna3347 2 роки тому +12

    Mama ni mama ❤️❤️♥️♥️filma nzuri sana 🇧🇮🇧🇮🌹🌹❤️❤️

  • @fatmaamir1972
    @fatmaamir1972 Рік тому +1

    Awe chizi, mlemavu, kipofu, mweus,mweupe Mama ni Mama tu, ujumbezur sana

  • @joiskwizera1326
    @joiskwizera1326 2 роки тому +7

    Asant sanaaa dada salvina kira siku mama ni mama nimewapenda sana 🥰🥰 from BURUNDI 🇧🇮

  • @petermind9520
    @petermind9520 2 роки тому +2

    Mtunzi wa story una hitaji pongezi sana pia wahusika mmeweza kuitendea haki story hii the movie is so great haichoshi nzuri ina vutia

  • @عليعلي-و8ش3ر
    @عليعلي-و8ش3ر 2 роки тому +7

    Asante sana dada umetupa funzo, mama ni mama no matter how❤️💕

  • @hawasaid9521
    @hawasaid9521 2 роки тому +2

    Pale salvida alipoenda kulala pembezoni mwa mama yake nimelia sana hisia niloipata nikali sana ama kweli no 1 like MAMA. Hongera kapaya kwa ujumbe mzuri kwa jamii Mungu akubariki na azidi kukutumia katika kutuelemisha waja wake. Baada yakumaliza kuangalia hii movie nimejikuta nampigia sim mamaangu nakumwambia nampenda

  • @marygorethlaswai6787
    @marygorethlaswai6787 2 роки тому +6

    Hii move imenitoa machozi kweli rafiki yako ndiye adui yako ndio maana cpendi marafiki Mimi kabisaa daaaa

  • @nananadinetuyi1998
    @nananadinetuyi1998 Рік тому +2

    Safi sana da salvina jamani asante sana mama ni mama

  • @barakalusake
    @barakalusake 2 роки тому +6

    Hongera sana jamaa kwa juhudi nyingi kutoa movie za kuelemisha,
    Kumb Twk ilikuwa imeficha vipaji, Du,safi sana.

  • @feidhabakari261
    @feidhabakari261 2 роки тому +1

    Alie igiza kicha mzuri Jamanii kifuani sa sitaa🥰🥰🥰 japo mi ni mwanamke ila nimeona hilo

  • @laureenthomas1537
    @laureenthomas1537 2 роки тому +4

    Im proudly of being a mother jmn mama anaheshima yake jmn najisikia raha sana sana sana yn

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 2 роки тому +1

    Wonderful hii movie inatakiwa iwe movie bora kwakweli ni movie yenye mafundisho mazuri juu ya thamani ya mama

  • @ritahnash6142
    @ritahnash6142 2 роки тому +3

    Niko Ugandan lakini napenda kuwona film ya Swahili nakushuru sana hii movie ni nzuri may God bless u all watching

  • @jumatano242
    @jumatano242 Рік тому +1

    Very emotional film hongereni sana hizi ndio film tunahitaji kuona no nusu uchi major message

  • @haniphahanipha4829
    @haniphahanipha4829 2 роки тому +5

    Mashallah no one like mom❤️I love you so much mama angu😘

  • @altarofgodtelevision665
    @altarofgodtelevision665 Рік тому +2

    Kk kabaya umeigiza vizuri hongera sana haya uliyoigiza nimaisha halisi Kuna watanzania wanayaishi MUNGU akubaliki sana kk

  • @aggyshaz5539
    @aggyshaz5539 2 роки тому +6

    Hii movie ina mafunzo mazito sana. Mama ni mama hata iweje, upende wa mama hautawai pungua. Hongera sana kaka Kapayo kwa filamu hii yenye ujumbe mzito ❤️

  • @christinemutheu3562
    @christinemutheu3562 2 роки тому +2

    Kwa kweli hakuna upendo kama wa mama.....big ups salvina you're Gem

  • @jamesmwihaki4675
    @jamesmwihaki4675 2 роки тому +3

    BONGE LA filamu congratulations wa husika kutoka kapaya great films

  • @IreneKazungu-vn2fu
    @IreneKazungu-vn2fu Рік тому +1

    Slivana pongezi Sana dada Kwa jakuo lako zuri🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @yvettemunezero5599
    @yvettemunezero5599 2 роки тому +10

    Mungu we! Nice movie with the good lesson. Salvina nakupenda sana kwaku take care of your mom.

  • @alimondbenson1751
    @alimondbenson1751 2 роки тому +2

    Hatar Sana hii move mko pow Guys Mungu awape Uwezo wakutuletea kazi Bora Zaid tuko pamoja na nyie

  • @fayetteville6310
    @fayetteville6310 2 роки тому +46

    Wangapi wemekuja baada ya kuona sehem fup tiktok🙋‍♀️

  • @Black_cheeter
    @Black_cheeter 2 роки тому +2

    Yaani bro James kuanzia sasa naanza kufuatilia kazi zako maana mnajua sana kutunga history zenye kusisimua na kuelimisha japo mnatupunja tuu kwenye umaliziaji na kutuwacha njia panda..

  • @vickyphares4505
    @vickyphares4505 2 роки тому +7

    salvina nimekupenda bure kwa upendo uliyoonyesha kwa mama

  • @electine476
    @electine476 2 роки тому +1

    Movie nzuri sana siku moja nilitaka mke kwa nyumba nikarusha inje wakanifuza kabisa pahati ya maisha mwaelemisha vizu sana

  • @fatimahasan3852
    @fatimahasan3852 2 роки тому +3

    Mama ni mama hataiwejee itabaki kuwa mama tuu Asanti sana salvina ❤❤❤❤🙏🙏

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 Рік тому +2

    Jamani ni mama tu hata awe vipi, nakupenda sana mama yangu

  • @judithtaluh2285
    @judithtaluh2285 2 роки тому +9

    Wangapi tumefika kwa kuona ile clip fupi ticktock

  • @magrethchangendo-pm5oi
    @magrethchangendo-pm5oi Рік тому +2

    Really reflect our daily life hongereni sana mlioshiriki

  • @cradle-lordmunissi336
    @cradle-lordmunissi336 2 роки тому +4

    aisee nimelia wakat anaona kovu la salvina mama yake kugundua ni mwanae na kumfurahia hongera sana kwa kazi nzur vipenz vyang Mungu awape hitaji la moyo wenu kundi zima✌️✌️✌️✌️

  • @MwanapiliSidi
    @MwanapiliSidi Рік тому +1

    Ongea Silvia ❤mama ni mama hatakama ni kilema ahsaent Silvia mmmwaah❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @khadijatanzania8040
    @khadijatanzania8040 2 роки тому +3

    Afadhali kwa Wi-fi ya Mwarabu naenjoy kila tukio😀😀😀Ahsante sana kwa funzo

  • @charlespetro5676
    @charlespetro5676 2 роки тому +2

    Hongeren sana members wte tunashukuru sana kama GGM inakua vile 🤝🤝🙏🙏good sana

  • @margaretthe7932
    @margaretthe7932 2 роки тому +4

    Nakupenda sana mama yangu God bless my mumm 🙏🙏

  • @saumuchivumba7018
    @saumuchivumba7018 2 роки тому +1

    Hongera sana salvina mama ni mama hafananishwi na kitu chochote duniani

  • @gilbertmwasambilile5597
    @gilbertmwasambilile5597 2 роки тому +3

    Ukimenda mwanamke penda na wazazi wake kwa saabu bila wazazi hao usnge muona mke wako mbalikiwe Sana wenye movie Hui❤❤❤❤❤❤

  • @neemanicodemo4269
    @neemanicodemo4269 2 роки тому +2

    Inasikitisha sana na inafundisha mno,kweli hatutakiwi kuwadharau watu tusiowajua.. Big up sana waigizaji wote

  • @abdulkadirwamukota9142
    @abdulkadirwamukota9142 2 роки тому +14

    Natoa shukrani zangu za dhati kwa wote waliousika kwa kutoa filamu hii, Mweyenyezi Mungu awaongoze kwa kila jambo , kwa kweli nmeeelimika kupitia kwenu .

  • @agneskemmy4935
    @agneskemmy4935 Рік тому +1

    Ama kwel mama n mama hata aweje salivina hongera sana Dada kwa ujasiri

  • @chakubanga8053
    @chakubanga8053 2 роки тому +3

    Bonge moja la movie kuwahi tokea TZ big up kwa washiriki wotee

  • @yusuphmdima4480
    @yusuphmdima4480 2 роки тому +1

    Pongezi za dhati kwako salvina uko vzr Dada angu

  • @ailcemuthoni3339
    @ailcemuthoni3339 2 роки тому +32

    Aki kusema kweli a mother is very important it doesn't matter what condition she's in this movie has really touched me it's been long since I watched bongo movies but this one is the best ever ,much love from Kenya

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  2 роки тому +2

      Karibu sana mpenzi
      Enjoy movie nzuri

    • @ailcemuthoni3339
      @ailcemuthoni3339 2 роки тому +2

      @@kapaayathegreat Asante Sana kaka,kusema kweli yaani ndio naona movie nzuri za bongo after kanumba Asante Sana bro

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  2 роки тому +2

      @@ailcemuthoni3339 karibu sana mpenzi wangu jisikie uko nyumbani

    • @ailcemuthoni3339
      @ailcemuthoni3339 2 роки тому +1

      @@kapaayathegreat what a great and warm welcome actually am home you got a loyal fun now

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  2 роки тому +1

      @@ailcemuthoni3339 Ahsante sana jamani ailce muthoni nimekupenda 🙏🙏

  • @callennyanchama-6751
    @callennyanchama-6751 Рік тому +1

    Wow mama ni mama.hata akue kipofu bdo ni mummy hta mm ntazidi kumpenda mamangu

  • @emmahnjigai7346
    @emmahnjigai7346 2 роки тому +7

    Happy mother's day to all mother's am so happy ❤️🌷 to watch this movie at the right time and teach me more about life mother is more important than anything else 🌹💗 no matter what situation she's she still be your mom watching from 254kenya

  • @deborahfuraha9477
    @deborahfuraha9477 2 роки тому +2

    Pole dada inarumiza haki pole jinyamazie yako kabisa umetwa nashida

  • @nickoloo8100
    @nickoloo8100 2 роки тому +4

    Much love from KENYA salvina we love you so much

  • @fadhilahamidu3500
    @fadhilahamidu3500 2 роки тому +1

    Daa Yani iko pw Sana inafundisha nakuerimisha pia Dada mungu akupe moyo huohuo hata kwenye maisha yakawaida isiishie kwenye mv tuu

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 2 роки тому +14

    Maisha ni historia ndefu sana kuisimulia hadi mwisho hila haya yote yapo utumifika sisi wanadamu kwa kwrli,asanteni sana kwa filamu yakuvutia, DAYANA # SALVINA.Watching you guys from mombasa kenya.

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  2 роки тому

      Tunakushukuru sana pia

    • @nananadinetuyi1998
      @nananadinetuyi1998 Рік тому

      Ila sijaelewa vizuli dayana ndie aliebeba Mme wa kicha?kwanini haswa alikuwa anapelekea chakula nawakati alimbeba mmewe?

    • @nananadinetuyi1998
      @nananadinetuyi1998 Рік тому

      @@kapaayathegreat Ila Kaka yule dayana si yéyé aliebeba Mme wa kicha?Sasa kwanini alikuwa anampelekea chakul

  • @BOSSLADY3656
    @BOSSLADY3656 Рік тому +2

    Tamu sana🤣🤣🤣part 2 plz,,pongezi kubwa nyote🙏keep it up🤝

  • @abooshabubble582
    @abooshabubble582 2 роки тому +14

    Asante sana dada umetupa mqfunzo katika hii movie

  • @RoseShiuga-il2xg
    @RoseShiuga-il2xg 7 місяців тому +1

    Bongo mov za enzi hizo zinamafunzo ndani yake ❤️

  • @ruthkhalayi5097
    @ruthkhalayi5097 2 роки тому +6

    Wow no matter what, Mom she will remain Mom congratulations salvina 🇰🇪🇰🇪 yes you are a star

  • @natrinemweha8625
    @natrinemweha8625 2 роки тому +1

    Wow, wonderful..Penzi la mama hata kama kunao wengine huwachukia watoto wao tu hivi hivi...Mungu na aturehemu.

  • @evasanga1018
    @evasanga1018 2 роки тому +3

    Hongeren sana movie umegusa wengi ,ukiiangalia unaweza kujifunza mengi ahsanten kwa Funzo .

  • @abb4600
    @abb4600 2 роки тому +1

    Asante sana movie nxuli nimeipenda shukurani kwa ubunifu wa Hali ya juu watching from kenya

  • @saidmussawazir8689
    @saidmussawazir8689 2 роки тому +3

    Daaah sitochoka kuangalia bongo movie jamn,mpo vizur sanaaaa&mnajua kupitiliza axe

  • @zenakioga6567
    @zenakioga6567 Рік тому +1

    Kazi nzuri sana hongeren wote timu kapaya mungu awabaliki sana

  • @gideonmarube6832
    @gideonmarube6832 2 роки тому +3

    Congratulations Mr kapaya and entire team, pole Sana salvina kwa kumpoteza mama mzazi 😭😭

    • @gideonmarube6832
      @gideonmarube6832 2 роки тому

      Thanks so much for like my comment, from Kenya

  • @GracePatrick-zc2eb
    @GracePatrick-zc2eb 7 місяців тому +1

    Kapaya we sio mwnaume sahihi kw salvina.kw7bu unamtenga mama.utanyang,anywa mke na rafk yako.

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  Місяць тому

      @@GracePatrick-zc2eb kwanini, kwani mimi kosa langu ni lipi?

  • @eunicejoseph5770
    @eunicejoseph5770 2 роки тому +15

    Hongera sana Salvina umeludisha heshima ya bongo movie hongera sana

  • @WilliamMMgila
    @WilliamMMgila 2 роки тому +1

    Jina langu naitwa william Marco Natokea mwanza nina umr WA miak 22napenda sana hii fani yakuigiza mwaweza niruhusu nikawa kweny kampun lenu

  • @BigBitesound
    @BigBitesound 2 роки тому +5

    Max 100 kazi iko vizuri Sana we need next

  • @danielmarite1265
    @danielmarite1265 2 роки тому +1

    Hongera Sana salvina kwa ujasiri wako movie nxuri xana inafundixha xana mungu awatie nguvu hakika nimechukua point kwenu

  • @felestinekwamboka2873
    @felestinekwamboka2873 2 роки тому +8

    This is amazing waaahooo love it beautiful teachings to the world

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 2 роки тому +2

    Rafiki mnafiki maisha ya stori ndefu kuadisia,pole sana DAYANA hayo ndio maisha kua mje myaone

  • @Abuushaymaatz
    @Abuushaymaatz 2 роки тому +13

    Congratulations Salvia, you ended like the hero, and that's what I was waiting for sure

  • @knowlesbutera5120
    @knowlesbutera5120 2 роки тому +1

    Mhusika salvana ahsnte sana umeonesha thaman ya mama iliko na mungu akubariki sana

  • @brianwaswa8805
    @brianwaswa8805 2 роки тому +3

    Bring more siz Salfina nakupenda sana

  • @fadhilahabdalah3561
    @fadhilahabdalah3561 2 роки тому

    Daaah sio kila rafiki ni mwem kwak umwambie kila jambo lako mama zuwen amemwamin dayan kumpa siri zake za ndoa yake kumbe ndo mwizi wa mume wake na kumfanyia vitu vibaya daaah maisha haya jaman... hongeren wahusika wote

  • @ladyvision9831
    @ladyvision9831 2 роки тому +4

    With tears in my eyes,,, akna mapenzi ya kweli kwenye hii dunia kama ya mama,,,, may almighty God bless all mothers,,, no matter what don't look down on people,,,, movie yenye mafunzo kweli

  • @vestinafrolian8655
    @vestinafrolian8655 2 роки тому +1

    Hongera salvina upo vzr umecheza vzr Karna na fas yak

  • @neemamuhungu8302
    @neemamuhungu8302 2 роки тому +7

    Salvina big up kwa msimamo wako!

  • @felisteryeliasi6683
    @felisteryeliasi6683 2 роки тому +1

    Mama ni mama hakuna kama mama atakama Yuko vip ni mama tu mungu akumbaliku kuwafundisha watu dada 💕

  • @roselinekilibai1287
    @roselinekilibai1287 2 роки тому +3

    Salvina uko vizur sana....uko na msimamo

  • @issakhan260
    @issakhan260 2 роки тому +2

    mmecheza vizuli kweli mnastahili kuendelea 😍😍😍😍😍😍❤🙏

    • @Christine-qq2gy
      @Christine-qq2gy 2 роки тому

      Nice movie ❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰

  • @yohanamasambula376
    @yohanamasambula376 2 роки тому +2

    Big up kapaya na nizaidi ya kanumba

  • @muhannasory8490
    @muhannasory8490 2 роки тому +1

    Kizaz sana bnge 1 ya pcha mumetisha san congratulations for all

  • @hazrathassan1134
    @hazrathassan1134 2 роки тому +3

    Jaman huyu kakapaya nampenda sana sijui kwa nini

  • @coastermahenge8910
    @coastermahenge8910 2 роки тому +1

    Hongerasana salvina mama ndiyo fahariya dunia ila mmeo kichwamaji

  • @goodluckkigwenenge8953
    @goodluckkigwenenge8953 2 роки тому +4

    nimesha gonga like kubwa naona mnaikuza geita yetu ila sitoria yenu nimeipendanda sana adi usiku nakesha nikiwa naangalia nyie mkiwa mmelala ❤️❤️💪👏🙏

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  2 роки тому

      Ahsante sana

    • @maseleleonard8885
      @maseleleonard8885 2 роки тому +1

      @@kapaayathegreat nipe links ya movie uliyocheza na rose ndauka geita

    • @kapaayathegreat
      @kapaayathegreat  2 роки тому +1

      @@maseleleonard8885 sawa ntakutumia

    • @maseleleonard8885
      @maseleleonard8885 2 роки тому +1

      @@kapaayathegreat nitumie sa hv au nkumbushe jina inaitwaje niisearch kaka

  • @bayishemezealberic7182
    @bayishemezealberic7182 2 роки тому +1

    Ayise duuu yani muko sawa kabisa na kundi lote . Jemes hongera sana . Yani ivi bongo movie utajinyakuliya zawadi kweli. Endelea ivo ivo songa mbele na kundi lakooooo.🤝🤝