HATUA MPYA HUJA NA SHETANI MPYA // KILA HATUA USISAHAU SALA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Yafueni majembe yenu yawe panga, na miundu yenu iwe mikuki; aliye dhaifu na aseme, Mimi ni hodari.
    Yoeli 3:10
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/siri...
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 74

  • @Loice-c9o
    @Loice-c9o 27 днів тому +1

    Amen mtumishi wa Mungu barikiwa sana Mungu azidi kukupa maarifa

  • @FaithDoha
    @FaithDoha 27 днів тому +1

    Mungu kaa pamoja nasi mawimbi na dhoruba tunayopitia isitufanye tukajikatie tamaa

  • @DativaOscar
    @DativaOscar 26 днів тому

    Asante Yesu kwa neno lako ambalo limekuja kwa wakati🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rosebatroba9534
    @rosebatroba9534 26 днів тому +1

    Mungu akutunze mtumishi

  • @Rosenyamweya
    @Rosenyamweya 26 днів тому +1

    Nikutojua mtumishi waja mungu anisaidie nibe ujasili Bwana

  • @ZengoMbogo
    @ZengoMbogo 26 днів тому +1

    Asante MUNGU Kwa uzima. nilionao pamoja na uzao wangu

  • @NelsaMbusa
    @NelsaMbusa 26 днів тому +1

    Bwana yesu asifiwe na aka nitiye nguvu nisikate tamaa

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 26 днів тому +1

    Mungu wangu nipe uvumilivu

  • @Latherf-v4q
    @Latherf-v4q 27 днів тому +1

    Amen eee mungu pigana na vita nilio nayo

  • @juliussulana5343
    @juliussulana5343 27 днів тому +1

    Mungu ingilia vita kwenye maisha yangu siwezi Mimi mwenyewe 😢

  • @iwaromasesa
    @iwaromasesa 26 днів тому +2

    Amen Hakika tujitambulishe kwa Mungu nae Mungu atatutambusha kwa watu .

  • @Edinahnyaboke-b9o
    @Edinahnyaboke-b9o 24 дні тому

    Amen barikiwa sana mutumishi wa mungu mafundisho mazuri nimebarikiwa sana Amen 🙏🙏

  • @ClemenceaKashamakula-yc9qs
    @ClemenceaKashamakula-yc9qs 25 днів тому

    Mungu sitakata tamaa naomba unikumbuke na Mimi🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Princesscareen
    @Princesscareen 27 днів тому

    AMEEN 🙏 mungu ni mwema nashukul kwa Kila hatua napata maarifa mengi

  • @jounisj6031
    @jounisj6031 27 днів тому

    Mungu nifanye jasiri wa imani unishindie roho ya kukata tamaa

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 25 днів тому

    Asante Yesu kwa neno hili nitapona

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 27 днів тому +1

    Asente mungu

  • @DorotheaCleopa-q5z
    @DorotheaCleopa-q5z 25 днів тому

    Asante sana mtumishi was mungu nimeguswa sana na somo hili mungu akubariki sana amen

  • @RahabkRuth
    @RahabkRuth 26 днів тому

    Mungu wangu nahitaji msaada, unipiganie Kwa ktk futa vikuu nnavyo za maadu na na mazambaulizi peke yangu ziwezi nakuhitahlji Yesu unisaidie

  • @oman5875
    @oman5875 23 дні тому

    Asante Mungu hakika nimejifunza kitu kikubwa sana katika Ibada hii hakuna nimepona kupitia neno hili 🙏🏿

  • @alicemwaka3762
    @alicemwaka3762 26 днів тому +1

    Emeeen

  • @binnahjohn881
    @binnahjohn881 25 днів тому

    Amen...Mungu nisaidie niweze kusimama,majaribu yasinivunje moyo kabisa.

  • @milkakerubo9201
    @milkakerubo9201 24 дні тому

    Naomba Mungu unitie nguvu nisiwe mtu wa kukata tamaa,pia usimame Na familia yetu Kwa majaribu yanayotukumba👏🙏

  • @gukawafly
    @gukawafly 17 днів тому

    Asifiwe Bwana yesu amen

  • @SevAl-p9k
    @SevAl-p9k 26 днів тому

    Sylvia Asante mungu wangu kwa neema ya uzima,uniamhsha salama nashukuru mungu wangu,naomba neema yako baba niyashinde yote majaribu🙏🙏🙏🙌♥️

  • @adolphinemuswamba1059
    @adolphinemuswamba1059 27 днів тому

    Asante BWANA YESU,unisaidie nisikate tamaa

  • @SYDEYLINET
    @SYDEYLINET 27 днів тому

    Hallelujah I am strong,courageous, loved and most important thank you LORD for keeping me till now I desire to know my purpose that your name may be glorified,forgive me,renew me 😢😢😢😢thank you pastor for this WORD 🙏🙏

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 27 днів тому +2

    Naomba unipe ujasili Mungu wangu nisiwe mtu wa kukata Tamara🙏🙏

  • @SelinaRaphael-dr5lg
    @SelinaRaphael-dr5lg 27 днів тому +3

    Bwana Yesu nitie nguvu nisikate tamaa niongozwe na wewe

  • @NeemaKarisa-s2w
    @NeemaKarisa-s2w 15 днів тому

    Amen hakika nitainuka tena Sitokata tamaa hata hivyo Nashukuru nilivyo Kua Jana sio kama Leo Asante MUNGU nipe uvumilivu nisonge Mbele nisikate tamaa nisikumbuke yalio pita nijazwe nguvu mpya na Imani Amen 🙏❤️

  • @JohnWaithira-m3r
    @JohnWaithira-m3r 25 днів тому

    Amen asante yesu

  • @JolleetNiaze
    @JolleetNiaze 26 днів тому

    Amenmmme 🎉a 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @milkakerubo9201
    @milkakerubo9201 24 дні тому

    Ameeeen,mtumishi wa Mungu ubarikiwe Sana hilo neno limeninguza Sana🙋nimepitia mangumu mpaka nikajiulaza mbona Mungu Mimi hajibu maombi yngu lkn sikukata tamaa sababu najua hata km itachukua muda atajibu🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kapamevenas79
    @kapamevenas79 15 днів тому

    Mungu aku baraki pastor

  • @vailethvennance4651
    @vailethvennance4651 27 днів тому

    Asateeee mungu kwa siku hii mpya🙏🙏🏾🙏🙏🏾🙏🏾

  • @MargaretNjeri-qu2yn
    @MargaretNjeri-qu2yn 26 днів тому

    Psalm 35 always fight for me,

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 26 днів тому

    Ameeen Ameeeeen asnte sana kwa ujumbe huu mtu wa Mungu hakika umenioa hatua acha nipambane kumtafuta Mungu

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 25 днів тому

    Ameen, Mungu usinisahau mm mwanao 😭😭

  • @MinzaMadilo-zf5yl
    @MinzaMadilo-zf5yl 26 днів тому +1

    Mungu asante kwa Neema uliyonibariki kusikia hili neno .Mungu simama na mimi kwenye kazi yangu vita imekuwa nyingi pekee yangu siwezi nahitaji univushe nione mbele nuru.Vita imekuwa kubwa sana lakini kwa jina la Yesu kristo sitofukuzwa kazi na nitadumu hadi pale Mungu utakaponipeleka viwango vya juu .Changamoto zote,vita ,kuonekana sifai eneo la kazi yangu Mungu unaenda kusimama mbele yangu na yote hayatopata kibali wala kunidhuru maana wewe Mungu unanenda kunishindia.Amen🙏🙏🙏

  • @DativaOscar
    @DativaOscar 26 днів тому

    Mtumishi wa Mungu be blessed kwa kazi yako ni njema sana🙏🙏🙏

  • @ELIYA33
    @ELIYA33 10 днів тому

    MUNGU WA ELIYA ATUTETEE AKUVUSHE AMEN,LEO TANZANIA YETU TUNAITAJI WATU KAMA NYIE

  • @FadhilahbonyBoniphancemgogosi
    @FadhilahbonyBoniphancemgogosi 27 днів тому

    Thanks lord🙏🙏

  • @EstherMulekania
    @EstherMulekania 26 днів тому

    Amen amen amen

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa 25 днів тому

    Ee mungu ni sahidiye baba nipe ujasiri wa kupambana na changamoto

  • @nervashonza587
    @nervashonza587 25 днів тому

    Amen pastor

  • @dorahalfayo355
    @dorahalfayo355 26 днів тому

    Amen,Haya Yote ninayapitia Sasa hivi, naomba nisikate tamaa.

  • @teresiaemmanuelmswamwajuma2464
    @teresiaemmanuelmswamwajuma2464 24 дні тому

    Amen .. thanks for words of God,i can't run i will face all the promblem it's very very peinful but i will 🤲🙏

  • @jadymshary2035
    @jadymshary2035 26 днів тому

    Amen 🙏🙏🙌

  • @VinahOfficial5925
    @VinahOfficial5925 27 днів тому +2

    Mungu ni mwema kila siku🙏guide us Lord, we're going through a lot in our lives😢we need you

  • @ModestaTemba
    @ModestaTemba 27 днів тому

    AMEN 🙏

  • @waitheramwangi3558
    @waitheramwangi3558 27 днів тому +1

    LION OF JUDAH MY TRUST IS IN YOU 🙏🙏

  • @albertsenyagwa
    @albertsenyagwa 26 днів тому

    Muhimu nakutumaini ww yesu kristo sintojali chochote katika maisha yangu kwa sababu pumzi TU uliyonipatia inatosha.

  • @CarolineOside-s5q
    @CarolineOside-s5q 26 днів тому +1

    Mimi linanifa kabisa

  • @nurubushirianelkas8681
    @nurubushirianelkas8681 27 днів тому +3

    Asante sana Bwana Mungu mzima nakushukuru kwa ujumbe kama na huu, kwaiyo naomba neema yako Mungu izidi kuwa pamoja nasi in the might name of Jesus christ 🔥 💪🙏💎

  • @elizeusrwilanga7786
    @elizeusrwilanga7786 27 днів тому +3

    Bwana Yesu asifiwe napenda kumfahamu mchungaji unaitwa mchungaji nani na unapatikana wapi

    • @salomemwangi406
      @salomemwangi406 27 днів тому +1

      His name is pastor innocent mashauri online pastor.

  • @Christina-dz7ff
    @Christina-dz7ff 25 днів тому

    Mimi ni shujaa

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 27 днів тому

    Thank you Jesus for another day 🙏🙏

  • @AshuraNdayisaba
    @AshuraNdayisaba 27 днів тому

    Amen Mungu wangu nipiganiye kwa iyi vita ninayo

  • @ZakinaMakokha-fe1sq
    @ZakinaMakokha-fe1sq 27 днів тому

    Asante bwana yesu kwa afya mimi pamoja na familia yangu

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui 27 днів тому

    😢

  • @mamadon2953
    @mamadon2953 27 днів тому +1

    Nimeacha job juzi sababu ya kelele. Am now regretting 😢😢

    • @ModestaTemba
      @ModestaTemba 27 днів тому

      Pole sana usikate tamaa ni fundisho,simama kwa uwezo wa mungu, mungu akikuwekea goliati mbele yako ukae ukijua ndani yako una David.

  • @catherinemkisi5655
    @catherinemkisi5655 26 днів тому

    Samahni jamani kwani jana maombi yalikuepo ??

  • @FaridaKivuno
    @FaridaKivuno 26 днів тому

    Amen 🙏🙏🙏

  • @DorothyChilembo
    @DorothyChilembo 27 днів тому

    Amen 🙏🙏

  • @MerlinaKubadesha
    @MerlinaKubadesha 27 днів тому

    Amen🙏🙏🙏

    • @iwaromasesa
      @iwaromasesa 26 днів тому +1

      Hakika Mtumishi wa Mungu azidi kukupigania tunahitaji uwepo wako ili nasi utusaidie kumjuwa Mungu hakika utukufu wa Mungu huja kupitia watu anao wamini Na kutufundisha yaliyo mpendeza yeye.