USHINDI WA TRUMP UNAMAANA GANI KWA AFRIKA, VITA YA URUSI NA UKRAINE VITAISHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @jeansindayigaya1257
    @jeansindayigaya1257 Годину тому +2

    Crown is the best radio

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 12 годин тому +11

    Tramp alisema AFRICA NI KAMA SHIMO LA CHOO. Africa ni tajiri, alisema rafiki zake wametajilikia Africa. Na kwanini tutegemee misaada? Serikali ikipigana na ufisadi na uongozi ukiwa bora, Africa ina mali za kutosha. Kitu Africa hatuna ni uongozi bora.

  • @nicholouskennedy9813
    @nicholouskennedy9813 3 години тому +1

    Asante sana kikeke yaani hiyo sauti utafikiri BBC inahiji mtu

  • @josiahobed2414
    @josiahobed2414 5 годин тому +2

    Tunawapata vizuri😅

  • @AndAnd-n4i
    @AndAnd-n4i 12 годин тому +1

    Man men mtata🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 12 годин тому +4

    Tanzania hakuna kupimwa. Ni kupendekezwa tu na chama. Watu wakipenda wasipende, lazima wamuchaguwe mama. African democracy.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 години тому +1

    Waafrika tuache ombaomba na kujikombakomba kwa wazungu km Lissu na Lema😢😢😢Chagadema kwa ujumla😢😢

  • @Karimchembela
    @Karimchembela 4 години тому +2

    Kimbiza omba omba wote 😂😂😂😂 bora mana tumezidi kutia tia huruma 😂😂😂 Kimbiza wote hao

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 5 годин тому +4

    Bora misaada isije ,,Trump ndio anatakiwa

  • @YahayaKiobya
    @YahayaKiobya 6 годин тому +2

    Kattka zama hizi Afrika na uchumi wake bado unaendelea kutegemea matokeo ya replican na demon class ya USA shame on us 🤣🤣

  • @iamthefarmerceo2316
    @iamthefarmerceo2316 35 хвилин тому

    Salim anazungukwa na wachambuzi wachanga sana aisee.

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 5 годин тому +2

    Kuombaomba ni laana sana tujitegemeye kabisa

  • @Benny318m
    @Benny318m Годину тому

    sasa mtamkumbuka magufuli aliyesema Tanzania 🇹🇿 haihitaji misaada ila inahitaji kutoa misaada nchi nyingine 🎉🎉🎉🎉 hongera Donald Trump komesha misaada afrika

  • @erickashindi2666
    @erickashindi2666 12 годин тому +2

    Nyinyi mulikua nataka ushindi wake uwe namaana gani kwa Africa, kwani ni raisi wa Africa ao wa Marekani? Kwani hajawai kua rahisi, nini kilicho badilika? Poor mind

    • @JohnBaton-h5v
      @JohnBaton-h5v 8 годин тому

      We ndo poor mind...hekima ya mfalme ni kujadili na kufafanua mambo...
      Ngoja uone kuanzia mwakani uyo trump mambo atayoyafanya utaamini kua ww ndio poor mind..unajua kwanini karudishwa?ujui..hata usipojadili madhara yake yatakufikia tu

  • @iamthefarmerceo2316
    @iamthefarmerceo2316 34 хвилини тому

    Aliwahi kufika Nigeria

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 3 години тому

    Afrika inaenda kutawaliwa tena, afrika hawajui kujitegemea ,wamejenga tabia ya kutegemea misaada hicho ndicho afrika kinacho wafelisha, afrika tunakila kitu hatuna na malengo na lasilimali tulizopewa na Mungu , ifike mahali afrika ijifunze kujitegemea inaweza kufanya kila kitu,

  • @HABARI24532
    @HABARI24532 4 години тому

    🎉🎉🎉

  • @JeanBaraka-pu5xo
    @JeanBaraka-pu5xo Годину тому

    vita ya congo rwanda

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 7 годин тому +1

    Watangazaji nyinyi ni wavivu mnapenda kutawaliwa kwa misaada

  • @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
    @Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 12 годин тому +1

    Hapo kweny uchumi ndo Kikubwa ambacho kimemponz Kamala Harris

  • @evancemichael5489
    @evancemichael5489 3 години тому

    Apige marufuku misaada yote kwa nchi za Africa ili wajitegemee.

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny 10 годин тому

    American haina haja ya tz

  • @azzaliy8109
    @azzaliy8109 4 години тому

    Kwani hawa wazungu wanakuja AFRIKA kwa ajili ya kuwanufaisha WAAFRIKA bado tunaamini hivo?

  • @azzaliy8109
    @azzaliy8109 4 години тому

    "AMERICA has permanent INTRESTS has no permanent FREINDS" what does it mean?

  • @geeva99
    @geeva99 4 години тому

    Yani nimechefukwa kumsikiliza huyu kilaza, so wapiga kura ambao hawana elimu ya chuo means not brainwashed which is +ve, alafu mwa Africa kijana unawaza misaada ya marekani!!? Yani kilaza huyu ni wa grade ya juu sana, tena naombea right wings watawale miaka atleast 20 ijao, ili huu ulemavu wa misaada inexchange kwa maagizo ya kupoteza marinda visiwepo kabisa

  • @Maldoboy
    @Maldoboy 10 годин тому

    Iyo history yenu niyauwongo

  • @malkiawagiza1327
    @malkiawagiza1327 12 годин тому

    Kamala Harris na kicheko chake...Najua kicheko ni dawa lakini anacheka huku watu wengi wakipoteza maisha, haionekani vizuri.

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr 50 хвилин тому

    IKIWA TRUMP AJAGUNDUA AFRIKA ISHAAMKA ATAUMIA KWSSB TIYALI WAAFRIKA PUTIN ASHAWAAMUSHA WAAFRIKA...NA AKIJIFANYA AMNAZO ATATENGWA NA AFRIKA

  • @amirymdee4259
    @amirymdee4259 4 години тому

    ***Kwani tuna tatizo la hali ya hewa kuliko Marekani?***

  • @PaullyzmundaPaullyamunda
    @PaullyzmundaPaullyamunda 6 годин тому

    Uchambuzi bora kabisa, wa viwango vya BBC.
    Hauwezi uoata kwa vituo vya kichawachawa!

  • @totonata5384
    @totonata5384 5 годин тому

    Trump aliwa aamsha waafrica na nchi za latin America. Nimefurahi sana kwa ushindi wake. Matusi yake ndio leo Sahel vijana wameamua kushika nchi zao. Na ni kweli nchi za kiafrica ni tajiri ila .........Nchi za kiarabu nao hawana umoja ndio maana nchi zao zina.......

  • @FranckDaniel-cc5rg
    @FranckDaniel-cc5rg 7 годин тому

    Huyu ndo anatakiwa,atuache tujitegemee

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 11 годин тому

    Tramp hawezi kutembelea Africa. Anaiona Africa ni kama SHIMO La CHOO kauli yake mwenyewe

  • @Karimchembela
    @Karimchembela 4 години тому

    Acheni akili za kimaskini tangu mpeta huru mnamiaka mingapi Acheni ujinga wa kuomba omba

  • @rajabuKilongo-d3h
    @rajabuKilongo-d3h 6 годин тому

    Hauna maana yoyote kikubwa tu waafrika kuacha kuombaomba hovyo

  • @ramadhanmazije3882
    @ramadhanmazije3882 5 годин тому

    Hii ni BBC tosha

  • @YahayaKiobya
    @YahayaKiobya 6 годин тому

    Sasa magaidi hasa IRAN Kaeni mkao wa kuliwa 🤣🤣🤣

    • @azzaliy8109
      @azzaliy8109 4 години тому

      Wewe umekaa mkao gani? Wewe ndo hasa umekaa mkao wa kuliwa!! Jitathimini utajua!!

    • @azzaliy8109
      @azzaliy8109 4 години тому

      Sisi waafrika ni bendera fuata upepo!!! Tumetawaliwa kifkra mawazo kiutamaduni na kila kitu chetu! tumeshudia viongozi bora Afrika wakichinjwa kama kuku na huku wengine wakifurahia! ETI Kamal HARRIS alikuja Afrika! kwani alikuja kumimina milima ya dhahabu na almasi!!

    • @Karimchembela
      @Karimchembela 4 години тому

      Omba omba wewe wezako wanajitengemea na wewe subiri kunyooshwa omba omba mkubwa

  • @metuselacharles9148
    @metuselacharles9148 Годину тому

    Kikeke wewe unajua

  • @Maldoboy
    @Maldoboy 10 годин тому

    Kwaninie amnaraisiwenu kosanie mna wivusana wajinganie

    • @JohnBaton-h5v
      @JohnBaton-h5v 8 годин тому

      Wenyew wakilala wakiamka wanatuwaza ila sisi ndo tunalala zaidi ya pono adi tunaota ndoto za kuchekesha..rudini kujifunza bila ivo hata kukikucha hamtastuka.. elimu aina mwisho na siyo io elimu uliopata shule

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 5 годин тому

    Kuombaomba ni laana sana tujitegemeye kabisa

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 5 годин тому

    Kuombaomba ni laana sana tujitegemeye kabisa