Mbinu walizotumia wazee wa Kiislamu Kumlinda Nyerere dhidi ya Maadui

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 73

  • @joshuachuwa5695
    @joshuachuwa5695 25 днів тому +6

    Mohamed safi sana .wewe ni hazina.tunakuomba tupe vitu adimu zaidi.

  • @MasudiMohamed-u1c
    @MasudiMohamed-u1c 22 дні тому +2

    Mwenyezi mungu ampe umri mrefu

  • @PENDOJOHN-r4k
    @PENDOJOHN-r4k 23 дні тому +3

    Asante sana Mzee

  • @KassimSayid
    @KassimSayid 25 днів тому +1

    Ahsante Babu, Mimi nimekufuatilia na kukuelewa,
    Wanao sema huu ni uchochezi pengine wamedonoa Chuya kwenye Mchele.
    Aliyo eleza hayapo kwenye vitabu vya Historia ya Nchi. Lakini hizi simulizi 95% ni sahihi.

  • @lgf7297
    @lgf7297 24 дні тому +2

    Mtafuteni Padri Kitima na CHADEMA waonye wasimtukane huyu Baba eti ni Chawa. Huyu ni Sheikh Mohamed Said, Mmanyema wa Kariakoo, Shujaa wa Nji hii, kasoma bima IFM. Kaandika Historia ya Uhuru wa Tanganyika, kwamba uliletwa na Waislamu, Yanga, na TANU (wote rangi yao Green).

  • @MackameHassani
    @MackameHassani 26 днів тому +3

    Historia hii abadani hauipati mashuleni jmn......😢😢

  • @DHAli-g5j
    @DHAli-g5j День тому

    Wakristo wasiojitambuwa wakimsikia huyu mzee wanaumwa sana.

  • @samitungo
    @samitungo 22 дні тому +2

    Katika video yangu hapo chini nimeeleza safari ya Julius Nyerere Southern Province ambayo aliongozana na Rajab Diwani na Ali Mwinyi Tambwe.
    Hii ilikuwa mwaka wa 1955 baada ya mkutano wa kwanza wa TANU uliofanyika Hindu Mandal Ghandhi Hall, Dar-es-Salaam.
    Angalia hiyo clip hapo juu siku ya kutolewa tarehe ya uhuru kuwa ni tarehe 9 December 1961 Karimjee Hall.
    Nyerere amebebwa juu juu na wananchi katika Viwanja Vya Karimjee.
    Katika hao waliombeba Nyerere angalia utamuona Rajabu Diwani.

  • @KalicKaguz
    @KalicKaguz 24 дні тому +2

    Sauti kama Mohammed Khelef

  • @MasudiMohamed-u1c
    @MasudiMohamed-u1c 22 дні тому +1

    So aje mtuu akanushe nyie watu was 2000 hmjui lolote mpate istoriya jamani

  • @KhamisNahodah
    @KhamisNahodah 25 днів тому +2

    Safi sana hii ni hazina

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 26 днів тому

    Hongera sana mzee wetu Muingereza kaja juzi kabla ya muingereza na mjerumani hayo maeneo yalikua yakimilikiwa na watu gani

    • @samitungo
      @samitungo 25 днів тому +1

      Master,
      Hayo maeneo yalikuwa chini ya uongozi wa machifu.
      Mathalan Wanyamwezi hadi kufikia uhuru wakati Chifu alikuwa Chifu Abdalla Said Fundikira.
      Ukianzia kwake unarudi nyuma Unyanyembe kulikuwa na machifu 12 Chief Abdallah Said Fundikira alikuwa wa 13.
      Chief Fundikira akiwajua wote kwa majina yao.

    • @muhammedalisaid9152
      @muhammedalisaid9152 25 днів тому

      ⁶​@@samitungo

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg 26 днів тому +2

    Uyu maalum Yuko vzr kweli

  • @muslimkhamis2372
    @muslimkhamis2372 26 днів тому +2

    Duh inasikitisha sana

  • @mboneamachaki
    @mboneamachaki 26 днів тому +2

    Nimeamini kwamba 'kila kunapokucha ni Shule'. Inavyoonekana kuna watu muhimu sana ambao hawakutajwa katika maelezo hapo juu (Mzee John Rupia) au kwa kuwa yeye alikuwa ni Mkristo?. Ninaamini kwamba Mzee John Rupia ana umuhimu kwa sababu kwenye fafanuzi mbalimbali za kale zinaelekeza kwamba alichangia kiasi kikubwa cha Fedha au zote katika kuwezesha safari ya Mwl. Nyerere kwenda Marekani kwenye Baraza kuu la
    Umoja wa Mataifa. Naomba ufafanuzi au nirekebishwe katika u
    huo uelewa wangu.

    • @samitungo
      @samitungo 25 днів тому

      Mbonea,
      Nimemtaja John Rupia kwingi.
      John Rupia alikuwa katika TAA Political Subcommittee pamoja na Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Said Chaurembo, Hamza Mwapachu, Abdul Sykes, Hamza Mwapachu Steven Mhando na Dr. Vedasto Kyaruzi.
      Ukipenda naweza kukuwekea hapa video yake.

  • @muslimkhamis2372
    @muslimkhamis2372 26 днів тому +2

    Ukweli haufichiki daima sijui nani alokuja kutufikisha hapa tulipo sasa

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 24 дні тому +1

      Hapa katufikisha Nyerere kwa ukatoliki wake

  • @MasudiMohamed-u1c
    @MasudiMohamed-u1c 22 дні тому +1

    Nyie mnao mpinga leteni istoriya yenu basi

  • @MasudiMohamed-u1c
    @MasudiMohamed-u1c 22 дні тому

    Kweliii

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 24 дні тому

    Historia nyepesi nyepesi

    • @samitungo
      @samitungo 23 дні тому +1

      Kima...
      Historia hii ipo katika Cambridge Journal of African History.
      Haiwezi kuwa nyepesi.
      Halikadhalika ipo katika Dictionary of African Biography.
      Haiwezi kuwa nyepesi.

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 26 днів тому

    Hiyo kofia aliyovaa Nyerere alipendeza sana, tena ikawaje hakusilimu mpaka kaenda akhera.

    • @froma3732
      @froma3732 25 днів тому +4

      Ile kufia alikuwa anawapaka mafuta Waislamu wamuone kama wao lkn sio kweli

  • @fridafranco315
    @fridafranco315 26 днів тому

    kwani kilochofanya mwl.apewe uraisi wa Tanu na baadae kuongoza harakatii za Uhuru ni uwezoo wakee wa au waingereza hawakutaka muislam ndo apewe kipaumbelee kwenye kuongoza harakati za Uhuru .alafu tangu niazee kulifuatiliaa mwl alipata tabu sanaa kuiweka nchiii kwenye usawa kwenye suala la udiniiiii kapambanaa sanaaaa

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 25 днів тому +1

      Mbona alipoona waislamu wanataka kujenga chuo kikuu, Sheikh Hassan bin Ameir akamfukuza Tanganyika kama alikua msawa katika dini. Huyo ndiye Sheikh aliyekua akigawa kadi za TANU msikitini, wakati huo Nyerere ndio kwanza anatoka shamba kuja Daisalama.
      Wakati anagawa kadi Sheikh hakuona mdini, ila uhuru umepatikana waislamu wanajenga chuo kikuu kawa mdini.

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 21 день тому +1

    Kati ya waislamu wa kiarabu hawajaleta dini na wajerumani hawajafika Tanganyika na kuleta dini yao ya kikrito hakuna watanganyika wowote wale wapagani waliyopigania uhuru?

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 25 днів тому

    Historia adimu hata shuleni hakuna ,andika kitabu hii historia itapotea

    • @samitungo
      @samitungo 25 днів тому +1

      Kitabu kipo huu mwaka wa 25.
      "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika," Minerva Press London, 1998.

  • @emmanuelmogasa498
    @emmanuelmogasa498 26 днів тому

    ??

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 21 день тому

    Huyu mzee ni mbaguzi sana wa kidini wakati Nyerere hakua hivyo.

    • @slymsameer5415
      @slymsameer5415 20 днів тому +1

      Ona hata haya kidogo kaka mtu kakuelezeni ukweli lakini nyie ndio wabaguzi na huyo mwalimu wenu hamna mapenzi ya kweli wanafiki sana

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 5 днів тому +1

      Hao Ndio Mashoga Weusi Tanzania na Bado wamakasumba ya UTUMWA na kuwapenda Wazungu ni Wapumbavu

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 26 днів тому

    Mzee uje uelezee na historia ya wale vijana wa kiislamu walivyoteka ndege ya tanzania wakitaka kumpindua nyerere

    • @samitungo
      @samitungo 25 днів тому +1

      Charles,
      Bahati mbaya sijui historia yao nimeisoma magazetini kama ulivyosoma wewe.

    • @khalidjuma5530
      @khalidjuma5530 25 днів тому

      Fuatilia historia ya Eugene Maganga, Kijana aliyetaka kumpindua Nyerere, usiseme vijana wa kiislam, waislam walimsaidia Nyerere Kwa kiasi kikubwa kuikomboa Tanzania.

  • @jimmygerald1212
    @jimmygerald1212 26 днів тому +1

    Uhuru wa Tanganyika ulipiganiwa na wananchi wote bila kuangazia mtazamo wa udini au ukanda.

    • @samitungo
      @samitungo 26 днів тому

      Jimmy,
      Unajua historia ya Dr. Kwegyir Aggrey kutoka Achimota College na Kleist Sykes kukutana kwao Dar-es-Salaam 1924 na Dr. Aggrey akampa wazo Kleist la kuunda African Association?
      Unaijua historia ya waasisi wa African Association 1929 na majina yao?
      Unajua sababu za waasisi wa African Association kuunda Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika)1933?
      Unayajua mapinduzi ya kuitia TAA kwenye siasa 1950 yaliyoongozwa na Abdulwahid Kleist Sykes na Hamza Kibwana Mwapachu 1950?
      Unaijua historia ya mkutano wa siri wa Abdul Sykes na Jomo Kenyatta Nairobi 1950 uliohudhuriwa na Peter Mbiu Koinange, Kungu Karumba, Bildad Kaggia, Paul Ngei na viongozi wengine wa KAU?
      Unajua kuwa Abdul Sykes kadi yake ya TANU ni No. 3, Ally Sykes mdogo wake ni No. 2 na Julius Nyerere ni No.1?
      Unajua kwa nini wanachama wa kwanza wa TANU walitoka Rufiji na walikwenda kutafutwa na Said Chamwenyewe na hawa walikuwa murid wa Quadiriyya Khalifa wao Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir.
      Waliofanya haya mimi wengine wananihusu kwa nasaba na wengine kwa ujamaa.
      Hawa ndiyo waliokuwa mstari wa mbele.
      Hawa wakatembea nchi nzima ya Tanganyika kuwahamasisha Waafrika wajiunge na TANU kudai uhuru.

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 26 днів тому +1

      Ulikuwepo

    • @froma3732
      @froma3732 25 днів тому +2

      Tupe Jina la Askofu aliyekuwepo wakati wanaanza Kujipanga kupata Uhuru

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 5 днів тому +1

      ​@@saidsuleiman1753😂😂😂😂

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 23 дні тому

    Mwiba wa Kujidunga huo !!!!....Ina maana hakukua na angalau Muislamu mmoja angeweza kupewa kipao mbele kuliko huyo Mlanisi ?!

    • @samitungo
      @samitungo 23 дні тому +1

      Lennie...
      Nafasi ile ilikuwa lazima ishikwe na Mkristo na sababu kubwa ilikuwa kuondoa ile fikra kuwa harakati za siasa kupambana na ukoloni lilikuwa jambo la Waislam peke yao.
      Hofu ilikuwa ikiwa Wakristo watabakia nje ya harakati itafika mahali Waingereza watawashawishi Wakristo na wao kuunda chama chao.
      Hili lilikuwa jambo la hatari kwani Tanganyika ingeingia katika kudai uhuru ikiwa na vyama viwili vilivyojengeka katika misingi ya dini.
      Haya ndiyo ýaliyozungumzwa nyumbani kwa Hamza Mwapachu baina yake yeye, Abdulwahid Sykes na Ali Mwinyi Tambwe.
      Hii ilikuwa 1953.

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 23 дні тому

      @samitungo Mtu atawezaje kupigania uhuru kama hajawahi kuekwa hata nusu siku akiwa lokap ?
      Nchi nyingi tu duniani zimepigania uhuru wao katika misingi ya kidini, Cyprus, Afrika kusini,India n.k hivyo ni utepetevu na kukosa ukomavu wa Kisiasa ndio ulopelekea kadamnasi ya Waislamu kutojiamini wenyewe na kupeana madaraka wasiokua wao kisha badae Kuja kujililisha eti wamebaguliwa na kukandamizwa kisiasa,kiuchumi na kijamii !

    • @samitungo
      @samitungo 23 дні тому

      ​@@lenniefei6710
      Waislam hawakujiamini hii wewe umeipata wapi?
      Waislam wameasisi African Association 1929 na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1933 na TANU 1954 wawe hawajiamini?
      Vipi wale ambao hawakuwa na historia mfano wa huu hao tuwatie kundi gani?

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 23 дні тому

      @samitungo Swala langu sio kuasisi Chama ama taasisi ! Kuliko Nyerere awe kiongozi wa chama mbona wasingempa angalau Mzee Sykes ama Muislamu yeyote kulingana na wingi wa wafuasi walokuwapo ????!!! JIBU ni Kutojiamini na hadi wa leo hali ni hiyo hiyo!

    • @samitungo
      @samitungo 22 дні тому +1

      ​​@@lenniefei6710
      Hapakuwa na mzee.
      Abdul Sykes amekichukua chama TAA 1950 umri wake ulikuwa miaka 26
      Bahati mbaya sana huijui historia ya TANU.
      Haya nielezayo wewe unayasikia leo.
      Hukupata kuijua historia hii kabla.

  • @emmanuelmlekwangano9991
    @emmanuelmlekwangano9991 26 днів тому

    We mzee acha hizo kwa nini unaleta uchochezi na migawanyiko katika jamii tulishatoka huko tofauti zetu haziwezi zikaisha maramoja bali kidogokidogo one day zitaisha . Wwewe umejikita kwenye dini je makabila , ukanda, tofauti haziishi siku moja nyie wasilamu pelekeni watoto shule acha uchochezi uisiokuwa na maaama

    • @HusseinMaarufu-zf1kc
      @HusseinMaarufu-zf1kc 26 днів тому

      Tatizo ukweli amtaki

    • @MpumaLanga-vc4zh
      @MpumaLanga-vc4zh 26 днів тому

      Waliosema Akili ni nywele kila mtu anazake ndio haya sasa. Uchochezi wa aina gani anaouleta. Mbona waoga Sanaa kwenye kusemwa haki? Nini mnaogopa

    • @OmariShuli
      @OmariShuli 24 дні тому

      @emmanuel...,
      Ukweli ukidhihiri uongo ujitenga. mmezoea kutusikilizisha historia za "WAARABU WALITUTESA"
      sasa hivi hazina tena nafasi, ukweli wote wa historia tangu alivyoingia padre vasco dagama tanganyika hadi uhuru iko wazi, hakuna wa kuipinga.
      Mlitudanganya sana, mkatulisha matango pori, sasa tumeyatapika yote, acha tule chakula sahihi.

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 26 днів тому

    Mohamed huko tulishatoka mambo ya udhuruma sijui waislam waujuwe ukweli acha hizo babu

    • @samitungo
      @samitungo 26 днів тому +1

      Muhimu sana kuhifadhi historia.
      Hakuna ubaya kusomesha historia ikafahamika.

    • @samitungo
      @samitungo 26 днів тому +5

      Bwana Richard,
      Ulipata kuijua historia hii?
      Unataka kunikataza mimi kufundisha historia ya wazee wangu na jamii yangu?
      Unadhani unayo haki hiyo?
      Unasema niache.
      Kwa nini niache kuna ubaya kuongeza elimu katika jamii?
      Usiogope kusoma uzalendo wa waliotutangulia.

  • @MiziziMti
    @MiziziMti 26 днів тому

    Huyu mzee muongo muongo tushamshitukia ana udini

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 24 дні тому

    Masimlizi ya namna hii siyo ya kuyatilia maanani kwani hayatokani na utafiti makini.

    • @samitungo
      @samitungo 23 дні тому

      Kima...
      Nimesoma Nyaraka za Sykes.
      Baba Kleist Sykes ni muasisi wa African Association 1929.
      Watoto Abdulwahid Sykes na Ally Sykes ni waasisi wa TANU 1954.
      Kama hukuwaamini hawa katika historia ya TANU utamwamini nani?
      Unajua kadi ya Tanu ya Abdul Sykes ni no. 3, Ally Sykes No. 2 na No. 1 ni ya Julius Nyerere na aliandikiwa na Ally Sykes?
      Unajua kadi 1000 za kwanza za TANU alinunua Ally Sykes kutoka mfukoni kwake?

  • @GeorgeMuhongole
    @GeorgeMuhongole 26 днів тому

    Huyu mzee hana cha kufanya anazeeka vibaya watu tuna mawzo ya uchaguzi anatuletea mambo ta kale asubiri uchaguzi upite 2025

    • @AmosToret
      @AmosToret 25 днів тому

      We mafii nini??

    • @samitungo
      @samitungo 25 днів тому +1

      George,
      Uchaguzi hauzuii dunia kuzunguka.
      Nimeandika historia hii nikiwa kijana.
      Uzee umenikuta tayari nina vitabu na makala nyingi.

    • @KalicKaguz
      @KalicKaguz 24 дні тому

      ​@@samitungoPiga kazi

  • @h77-f8m
    @h77-f8m 21 день тому

    Nyerere aliwasaliti waaislamu