NDEGE ILIYOPOTEA KUZIMU NA KURUDI TENA DUNIANI BAADA YA MIAKA 37

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2019
  • NDEGE ILIYOPOTEA KUZIMU NA KURUDI TENA DUNIANI BAADA YA MIAKA 37
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @mkushinenga
    @mkushinenga 2 місяці тому +10

    Tunao irudia 2024 hii story like zenu hapo

  • @seffsamwel5649
    @seffsamwel5649 3 роки тому +21

    Mtiga proud of you my brother am from in Tanzania African my brother, jamani tujivunie kuwa mtiga, hapa Tanzania nipeni like za mtiga, mtiga I wish you all the best of your life, 🙏👏👏👏❤️🙏❤️❤️

  • @bintichausa6716
    @bintichausa6716 Рік тому +12

    Hiyo ndio mungu.....ukisoma kisa cha watu wa pangoni katika suratul khaf....uwezi shangaa na hili mungu ana miujiza mingi.

  • @funnyclips6096
    @funnyclips6096 4 роки тому +18

    Mtanganzaji niombeee mungu nkishika hela in sha Allah ntakupa mil 1 kama zawad 🙏🙏🙏

  • @langaa-035
    @langaa-035 11 місяців тому +3

    Peter Drury of stories...Gonga likes za jamal .. Watching from Austria

  • @gabrielmchau5195
    @gabrielmchau5195 4 роки тому +17

    kumbe kuna sayar watu hawafi na hawazeeki dah kweli dhambi ya dunia imetutafuna ee mungu inusuru dunia yetu.

  • @nicksonmgale4699
    @nicksonmgale4699 5 років тому +211

    Moja ya watangazaji bora kabisa Tanzania Mtiga Abdallah salute sana kaka

    • @lissaedmund5432
      @lissaedmund5432 4 роки тому +1

      So true jamani Mtiga Abdallah ana namna ya kufanya the story kuwa na mvuto wa kipekee..amefanya the story book iwe ma best program in 88.9

    • @fatumabakari3208
      @fatumabakari3208 4 роки тому +1

      iko kitu akiwez kuwa ukukweli cz iyo ilienda na haikuweza kurudi tenaah

    • @helensoka8670
      @helensoka8670 4 роки тому

      Going balaa

    • @henrymfikwa4834
      @henrymfikwa4834 4 роки тому +1

      Msikiliz ananis ndio utaelew yupoje, yule ndio namuelew mm

    • @empitech25
      @empitech25 2 роки тому

      American supernatural drama television series.
      manifest

  • @akibarahamadi5058
    @akibarahamadi5058 5 років тому +36

    the story book naipenda sana tena sana kazi nzur san wasaf limited oyooo wcb for life

  • @khashkhely5788
    @khashkhely5788 5 років тому +27

    mmmhhh huu uongo unaofanana na ukweli any way fresh mm nimeinjoy bhna maan ximuliz n nzuri

  • @DoricasWawire-ff9os
    @DoricasWawire-ff9os 8 місяців тому +6

    Love historical event keep on from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JeanKamala-ei4ck
    @JeanKamala-ei4ck 10 місяців тому +5

    Eeee Dunia iko na mambo kabisa 😱😱
    Asante kwa istoria 🙏

  • @willsonjuma6015
    @willsonjuma6015 4 роки тому +9

    big up mtiga abdallah unajua sana bro nazikubali story zako, km naww unamuelewa mtiga kushinda mm gonga like twende sawa

  • @alneyuyunela7010
    @alneyuyunela7010 3 роки тому +20

    Tunaosikiliza #The story book 2021 tujuane 🚶🚶💯💯

  • @suleyman_007
    @suleyman_007 5 років тому +318

    Kama movie za kibongo zingekuwa simulizi...na mtiga ndie anaesimulia baas ata uongo ungekuwa una sound kama ukweli...big up bro nazikubali simulizi zako sana tu🇰🇪

  • @johnhassan4664
    @johnhassan4664 4 роки тому +9

    kwa story zako nitakufuata mpaka unichoke Niko na mwanachuo line Nakupenda Sana bro

  • @miltonmoshi8956
    @miltonmoshi8956 5 років тому +37

    Tuna subili sana kazi mnachelewa kuziachia

  • @winmazachariah7708
    @winmazachariah7708 4 роки тому +376

    kama unapenda sauti ya mtiga gonga like hapaa,sauti yake inahamasishaa sanaa

  • @meckydady8153
    @meckydady8153 5 років тому +7

    Daaah nimeamini ni kweli cyo mara ya kwanza kuckia hii nakubali sanaaaaa

  • @Buterajmjohnlifestyle
    @Buterajmjohnlifestyle 5 років тому +9

    Mungu wangu fanya urudiye 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️ Asante sana myiga 🙏🙏🙏

  • @jumasalehe3209
    @jumasalehe3209 4 роки тому +10

    Maajabu ya mungu mungu nimkubwa

  • @jamilmwinge3695
    @jamilmwinge3695 5 років тому +719

    Wanao sikiliza na kusoma comments wakiwa na head set gonga like yako apa.

  • @mamaclarasjiko
    @mamaclarasjiko 5 років тому +20

    Maaaan you need to start doing audio books. That voice is soothing

  • @Chacha-p4u
    @Chacha-p4u Рік тому +18

    Nazipenda story za huyu jamaa acha mwenyezi Mungu ampee maisha Mingi🙏

  • @denisabea2884
    @denisabea2884 2 роки тому +1

    Excellent 👍 ya mungu miujiza ya mwanadamu ni mayayi

  • @benopiyo6036
    @benopiyo6036 Рік тому +5

    You're a Legend Bro, keep it up bro

  • @amosmutua1935
    @amosmutua1935 3 роки тому +3

    Strongest man inth world is the one who stands alone

  • @YoungVee994
    @YoungVee994 4 роки тому +1

    Nampenda mtangazaji .. yuatoa maneno kikakilif

  • @gideonsupeetgideonsupeet8793
    @gideonsupeetgideonsupeet8793 2 роки тому

    You are number one Kwa kutangaza....hongera

  • @favourboy5779
    @favourboy5779 5 років тому +549

    Kma unawachomolea berti wasimulizi wa channeel nyngne na unamkubal mtiga gonga like hapa

    • @fastonamos5412
      @fastonamos5412 5 років тому +1

      Hajamzid yule wa global tv

    • @nurukymwager9075
      @nurukymwager9075 5 років тому +3

      Kla mtu anauwezo wake lkn ananias Edgar ndo baba lao

    • @yusufajab2961
      @yusufajab2961 5 років тому

      Nuru Kymwager#,who's is Edgar the narrator of this story

    • @hamiskasara8672
      @hamiskasara8672 4 роки тому +1

      We Ananias ana sauti nzuri ya kusimulia

    • @rukianamuna7499
      @rukianamuna7499 4 роки тому

      Oz mask Wpa zlipo

  • @xaverysunday1886
    @xaverysunday1886 5 років тому +27

    Aboi 4rm Makambako respect mtiga abdala

  • @molalib2715
    @molalib2715 5 років тому +6

    Dah nakubaliii the stoRY Book 💙

    • @babuugwakey4277
      @babuugwakey4277 4 роки тому

      Hiz story ni za kutungwa na kuaminishwa wa2 kuficha tukio flan, wazungu wako vzr kuanzisha story flan na kuziaminisha kwny jamiii

  • @zuhuranjeri1663
    @zuhuranjeri1663 4 роки тому +19

    Wonderful job bro. Quran talks about this.

  • @zippynyamasege5800
    @zippynyamasege5800 4 роки тому +6

    Tunao sikiliza na kusoma comments tukiwa na headset tugonge like zetu hapa

  • @MichaelKangeta-lt2gh
    @MichaelKangeta-lt2gh 11 місяців тому +1

    MUNGU ndiye muweza👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🏆

  • @sharonakinyi686
    @sharonakinyi686 Рік тому +6

    Your voice is really amazing

  • @yusufajab2961
    @yusufajab2961 5 років тому +39

    what's the name of the narrator?BIGUP BRO,,ur voice captures the listener into the story

  • @kerrykerry254
    @kerrykerry254 10 місяців тому +1

    The narrator is🔥🔥🔥🔥

  • @jumajuxx4925
    @jumajuxx4925 3 роки тому +1

    Duhuuu Nomah sanaaa sema mungu mwache haitwe mungu

  • @adijadee-lr3vb
    @adijadee-lr3vb 11 місяців тому +3

    Haipiti siku bila kusikiliza story zake napenda sana ❤❤

  • @ismailmalaki5480
    @ismailmalaki5480 4 роки тому +7

    That's amaizing, historical event

  • @syengopatrick9585
    @syengopatrick9585 5 місяців тому +1

    Mtiga Abdallah❤, I normally like how narrate all the storie, incha yako yafutia Sana.

  • @amaranenula8628
    @amaranenula8628 4 роки тому +1

    Da maajabu ya dunia hongera msimulizi upo vizuri

  • @fatumajumaa7050
    @fatumajumaa7050 3 роки тому +3

    Niko hapa leo lkn jamaa Yuko vzr Sana kwenye simuliz, na hii historia inatufundisha kitu

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 4 роки тому +10

    Amazing story love it

  • @rosekarimi5789
    @rosekarimi5789 3 роки тому +1

    Mwenyezi mungu yupo na sisi duniani tumuogope jamani

  • @salhaclassic9061
    @salhaclassic9061 3 роки тому +1

    👏👏👏👏♥️❤️ Napnd sn the story book ♥️❤️🙌👌👍🙏

  • @muusilvermasunga9368
    @muusilvermasunga9368 4 роки тому +4

    Huyu jamaaa ana sauti nzuri kwelii yaku sisimua

  • @abdullykapole9617
    @abdullykapole9617 4 роки тому +17

    Kama unakubari hii sauti like hapa....

  • @lamecksamsoni7356
    @lamecksamsoni7356 5 років тому +2

    Una sauti nzuri nzito omba kazi BBC London..

  • @mwexitelevion5896
    @mwexitelevion5896 4 роки тому +1

    Excellent waafi the xtory book

  • @ernestgeorge5265
    @ernestgeorge5265 4 роки тому +5

    mtiga upo vzuri sana kwenye simulizi hata iwe mbaya,itavutia tuu hongera sana

  • @abeidmasaka6918
    @abeidmasaka6918 4 роки тому +6

    Hawa wazungu Mungu anajaribu kuwaonesha yupo lakin ni wabishi tu

    • @saijize6054
      @saijize6054 4 роки тому

      Mzungu gani asiyeamimini Mungu broo au unajifurahisha na maneno yako

  • @jumahassan1863
    @jumahassan1863 3 роки тому +13

    Mash Allah am from Uganda but am really enjoying the wasafi radio documentaries big up to the king diamond platinum

  • @donatlwabanya5440
    @donatlwabanya5440 4 роки тому +10

    Mungu anapenda kuhonesha wazungu kama yupo

  • @halimanyerere4797
    @halimanyerere4797 4 роки тому +6

    Yan hii stor naiwatch kila saa gonga like hapa twende sawa kama na wewe unarudia rudia

  • @samWorld666
    @samWorld666 5 років тому +208

    Wangapi waliokuwa wakiisubiria youtube
    👇

  • @BARIKIELMICHAEL-fc7oh
    @BARIKIELMICHAEL-fc7oh 10 місяців тому +1

    Jamani Mungu ni mwema sana, lakini si amini tukio hili!

  • @athumanii
    @athumanii 5 років тому +2

    Manifes tv series, kama umeifananisha na hiyo gonga like.

    • @allymontana18
      @allymontana18 4 роки тому

      athumani issa ndo wanimeiga hii real live situation

  • @emmamikate4741
    @emmamikate4741 5 років тому +14

    Story Kama movie ya MAZERUNNER 3 wangap wameiona

  • @hafidhalliy2621
    @hafidhalliy2621 5 років тому +23

    Kama story hii umeanza kuisikiliza katika redio gonga like

  • @merrynancesimoni2728
    @merrynancesimoni2728 4 роки тому +2

    Ndio maana ndege zinapotea angani mashetani yanachukua ndege daaha mungu atulinde kwenye safari zetu za anga.. Kama Malaysia Air lines haijaonekana mpaka Leo hata mabaki wala kamba za viatu hawajaziona

  • @foreverblessedkids8164
    @foreverblessedkids8164 4 роки тому +1

    Bro thanks sana kutuelimisha zaidi mambo tusoyajua

  • @yohanabaraka8192
    @yohanabaraka8192 5 років тому +10

    Bro,"The Story book" hiki kipind unakiwezea kinoma....salute

  • @mutuachris
    @mutuachris 5 років тому +40

    Here before 1k views storybook ndo kiboko piga like 255 and 254

  • @mibaroimusungu8988
    @mibaroimusungu8988 2 роки тому +1

    Mungu ni mwema

  • @latfahaule127
    @latfahaule127 4 роки тому +1

    Mungu anatisha mno asante ziende kweke kaka Mtiga namungu akubariki

  • @miriammutuku4000
    @miriammutuku4000 10 місяців тому +3

    I love this story

  • @rockyvlogs2214
    @rockyvlogs2214 5 років тому +7

    Kaka hii hatar kabisa 😂😂😂😂😂😂😂sema MwAnangu mimi nakuelewa

  • @dennisshingwa4496
    @dennisshingwa4496 3 роки тому +1

    Napenda sana sauti ya mtiga√√

  • @chirryk7738
    @chirryk7738 4 роки тому +1

    Naona videos zako sababu ya Kiswahili safi sana 👌

  • @moreenbinnah9520
    @moreenbinnah9520 4 роки тому +15

    This looks like "The Manifst Series' HEHEHE

  • @petertoshwilliams3217
    @petertoshwilliams3217 4 роки тому +59

    Better DJ afro can take us from Kenya to Thailand within a second

    • @cyndycyndy1444
      @cyndycyndy1444 4 роки тому +9

      Uyu anatupeleka mbio 😂 hata hatujajua streets za kuzimu 😂

    • @Sniper.0
      @Sniper.0 4 роки тому +1

      secord

    • @legenddigale6025
      @legenddigale6025 2 роки тому +1

      Its real story si za dj afro uongo tupu

    • @zubeidashabhan2188
      @zubeidashabhan2188 2 роки тому

      @@legenddigale6025 watu wengine kuelewa ni ngumu🤣🤣🤣haja sema ni dj afro

    • @mercymawia2693
      @mercymawia2693 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @palmphilusomolo4413
    @palmphilusomolo4413 3 роки тому +1

    Napendaah story ila unafanya nizipende zaidi ...hongera

  • @franklinmaina7900
    @franklinmaina7900 2 роки тому

    I like this guy more

  • @solemba595
    @solemba595 5 років тому +19

    Hakuna linalishindikana kwa MwenyeziMungu, ukifuatilia vizuri unaona historia, kuna vijana walipotea miaka zaidi ya 300, na wakarudi dunia.
    Kikubwa kila tukio wanadamu hatuna budi kujifunza.

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 років тому +3

    wah kama movie kama drama so.ulinzi nzuri sana sauti safi hongera

    • @neemapeter5870
      @neemapeter5870 5 років тому +1

      Nzisa Kasau maajabu siamin kabs☺☺☺☺☺

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 5 років тому

      @@neemapeter5870 kabisa maajabu

  • @ramsohouse5527
    @ramsohouse5527 5 років тому +1

    Makini sana mtiga mungu akubariki

  • @teevent4657
    @teevent4657 4 роки тому +2

    Manifest au 😊😊

  • @nasibabdul7203
    @nasibabdul7203 5 років тому +27

    Moja Kipindi Bora Wasafi TV

  • @janesabore2965
    @janesabore2965 5 років тому +10

    there is a series Manifest dope stuff

  • @Nurjan847
    @Nurjan847 Рік тому +1

    Je hao watu walivyo ulizwa walisema walikuwa wapi ? Come back bro we miss you 🥰

  • @kassimulugajo6512
    @kassimulugajo6512 5 років тому +12

    kama imegundua mtangazaji anaumwa mafua gonga like

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 Рік тому +3

    Dunia ina mambo ya kushangaza sana! usikute na sisi tuliopo hapa duniani tumepotea

  • @mubanassortz
    @mubanassortz 5 років тому +24

    _Mtiga Unatisha Bro, Kazi Zako Zimesimama Unajua Kuamsha Amsha_

  • @halimarashid2839
    @halimarashid2839 6 місяців тому

    Allah u akbar yote ni miujiza, Allah ndiye mfalme wa bingu na ardhi.....Sifa zote ni zake Allah..

  • @bas2823
    @bas2823 3 роки тому +2

    ALLAHU AQQBBAR QABERAN YAKHLUKU KULL SHEY ALLAHU AQQBAR KHALIKU KULL SHEY WA YAARAAFU KULLU SHEY WA NAHNA MA NAAFF SHEY.SADAQA LLAHU L, ADHEEM

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +96

    HIKI KISA KINATISHA KULIKO MOVIE YA INSYUKA😁😁😁😁

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 4 роки тому +6

    Loooh ya mungu ni mengi 😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @valenciamwadoe
    @valenciamwadoe Рік тому +1

    Kama unatambua Kenya,gonga like hapa

  • @millardyleonardy21
    @millardyleonardy21 5 років тому +1

    Hiyoo ni nguvuu ya mungu jmnii walikuwa watu wa mungu duuuuu

  • @veronicawanjiku6027
    @veronicawanjiku6027 4 роки тому +5

    And thiz is amazing Grace that they came safely but the big question am left with where were they all that journey life

    • @michaelchege
      @michaelchege Рік тому

      Mr abort my physics teacher onces told us if you move with speed of light huwezi zeeka utarudi kijana😂😂😂😂😂😂😂

  • @adilaamani8217
    @adilaamani8217 5 років тому +9

    Uongo njoo utam kolea😎🤔😃😃😃

  • @frankchrisfour3739
    @frankchrisfour3739 3 роки тому

    Duuh mungu ndie anajua ndege hio ilikaawapi

  • @kiokongila471
    @kiokongila471 2 роки тому +1

    God farst

  • @jumamohamed7588
    @jumamohamed7588 4 роки тому +9

    Nyie unaoomba like kwenye post za watu zinawasaidia nin kwan?? Sijaelewa bado

  • @halimanyerere4797
    @halimanyerere4797 4 роки тому +23

    Kwenye hii ndege kulikuwa hamna mjamzito ???nafkiria tu hapa peke yangu sielewi

  • @anethchua4041
    @anethchua4041 4 роки тому +2

    Ilienda munguni naikarudi duniani,ndio maana wote hawakubadilika

  • @rogartycaterpillar3837
    @rogartycaterpillar3837 4 роки тому

    Napenda hizi story your so creative wasafi

  • @dayoo_
    @dayoo_ 4 роки тому +5

    Miaka yote cjawai isikiia ndo nackia leo hii kali

  • @directorbony185
    @directorbony185 5 років тому +7

    Ningepata bahati hiyo ya kutozeeka