Mashallah uzuri wa mtu kua na ilmu. Sheikh anafafanua jambo linaeleweka vizuri. Allah akuzidishie ilmu na maarifa na umri mrefu wenye kheri uzidi kutupa darsa
ASALAM ALAIKUM .SHEIKH WANGU WALID NA DARSA TV ALLAH SW AWAPE AFYA NJEMA NA AWAKINGE NA BALAA LOLOTE HASA HILI GONJWA LA CORONA ILI TUZIDI KUPATA HAYA MAFUNDISHO MUHIMU KWETU WAISLAMU.TUNAWAPENDA SANA KTK IMANI.AMEEN.
Shukran Kwa ukumbusho

Asante kwa hadith sheikwalid mungu akupe kila la kheri
Masha Allah sheikh wangu wa cku zote Allah akujaalie umri na afya njema upate kutufundisha yaliyomema Amiin
Shukran ❤❤❤
Allah akuhifadhi sheikh
Shukran kwa dawa
Mashalla Alihabibi
ASALAM ALAIKUM .SHEIKH WANGU WALID NA DARSA TV ALLAH SW AWAPE AFYA NJEMA NA AWAKINGE NA BALAA LOLOTE HASA HILI GONJWA LA CORONA ILI TUZIDI KUPATA HAYA MAFUNDISHO MUHIMU KWETU WAISLAMU.TUNAWAPENDA SANA KTK IMANI.AMEEN.
Amin
Shukran alhabib 5:19
Mashallah
Alhamndulillah 😍
Upo
Asalam alaykum Darsa tv mbona kila video zenu zote bada ya mawaidha mnaikata kabla ya dua au dua inayosomwa ni kwa ajili ya walio msikitini tu?
Shukran Kwa ukumbusho