Bony Mwaitege -Limebaki Jiwe '' (Official MusicAudio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 бер 2024
  • Huyu Yesu wa nazaleth amefufuka,limebaki jiwe tuu,tuungane sasa kwa wakati huu tunapoelekea kwenye kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu Kristo.
    Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    limebaki jiwe, #limebakijiwe
    Bony Mwaitege -Limebaki Jiwe '' (Official MusicAudio)
    MUNGU AKUBARIKI SANA.

КОМЕНТАРІ • 207