DEREVA TAX PART 1 | Jacob Stephen & Jackline Wolper |

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024
  • God forbid, they are all insane, they are my passengers.
    Awe mcha mungu awe mwendawazimu wote ni abiria wangu.Hawakukosea waliosema hivyo,majanga tunayokutana nayo Mungu ndie ajuaje.Hata hivyo hi ndio kazi niliyoichagua.TAXI DRIVER,kila shari ina heri yake.

КОМЕНТАРІ • 796

  • @user-se1qc5mx4o
    @user-se1qc5mx4o 5 місяців тому +81

    Tujuane tunaangalia movies hii ya dereva tax mwaka 2024 ❤❤❤❤❤. Naipenda kinoumar

  • @yusuphmyinga
    @yusuphmyinga 5 місяців тому +10

    Tupo hapa tunaoichek 2024😂😂😂😂😂❤❤❤ kitu kikali

  • @Lavieka
    @Lavieka 5 місяців тому +19

    2024 muko, jamani filamu nzuri, ila napendga ile nafasi ambao J.S ana towa sharon gerezani

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 5 місяців тому +115

    Tunaongalia zetu 2024 huku tukisoma comment taratibu tujuane

  • @user-mu8mh1xd2x
    @user-mu8mh1xd2x 4 місяці тому +35

    Tunaongalia hii huu mwez wa nne wapi like zangu❤❤❤❤

  • @user-cg1vd5jr8t
    @user-cg1vd5jr8t 5 місяців тому +11

    Hapa nilikua naipenda kweli bongo movie

  • @abelnduwayoofficial
    @abelnduwayoofficial 3 роки тому +9

    Filamu nzuri.ongela sana.tunawapenda.tuko Bujumbura Burundi.mimi nimucezaji mwenzenu .rakini muzehe nirikukuta dalesalama mirimani City nimekusalimia rakini hakunipa muda.tumeongea mengi kuhusu filamu.

  • @emmanuelsaguda9008
    @emmanuelsaguda9008 4 роки тому +10

    Nice movie dj Benny nakubali mkubwa

  • @user-uu3si6dx9b
    @user-uu3si6dx9b 11 місяців тому +7

    From Oman daaaah jaman siku zinaenda wolpa amekua Sasa 😂😂😂🎉

  • @jojonostress486
    @jojonostress486 4 роки тому +191

    Waooooo napenda sana Jacqueline&Jacob from burundi bujumbura nipe like

    • @fredgomes8639
      @fredgomes8639 4 роки тому +1

      Nipende mimi pia basi kama kweli unawapenda.

    • @jojonostress486
      @jojonostress486 4 роки тому +1

      @@fredgomes8639 naww nakupenda

    • @ab3ab313
      @ab3ab313 4 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣

    • @florarose1626
      @florarose1626 4 роки тому

      Fadi Gomes 🤣😂😂😂😂

    • @jojonostress486
      @jojonostress486 4 роки тому

      @@AliHassan-mf3dx hhhhh amakuru nimeza umeze saw nawe?

  • @TatuMsanja
    @TatuMsanja 4 місяці тому +4

    Wolper hua nakukubali Sana ktk uigizaji uko vizur hongera

  • @jadykasimilu3319
    @jadykasimilu3319 Рік тому +6

    Sauti imetuponza ila naipenda sana hii my favorite jacklin wolper and Jacob big love from 🇰🇪

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 5 місяців тому +5

    Huwa napenda sana movie za jb ❤❤❤❤❤

  • @givenchisosa5663
    @givenchisosa5663 3 роки тому +6

    Video nzuri naipenda sana kutoka Zambia

  • @AbrahmaniHaji
    @AbrahmaniHaji 2 місяці тому +1

    Movies kali sana nakubali kazi

  • @johnsonngonya3463
    @johnsonngonya3463 4 роки тому +14

    Movie iko bomba sana kikubwa wasanii tungo ziwe zenye kuijenga jamii na kuleta tafakuri ili kukuza fikra za hadhila

  • @gamingkskcomedy3452
    @gamingkskcomedy3452 5 місяців тому +6

    Daah sidi ulikua qwa hii movie 😂😂😂 nitmbo sna

  • @Humanity21216
    @Humanity21216 5 місяців тому +3

    😂😂😂🤣🤣🤣🤣 nimecheka sana JB anavyolalamika

  • @annamamaalpha8295
    @annamamaalpha8295 2 роки тому +11

    From Burundi napenda sana iyi movie

  • @brightonhosiana7660
    @brightonhosiana7660 2 роки тому +24

    Tujuane tunao cheki hii move 2022😜😜😜🇹🇿

  • @aamyaamy8504
    @aamyaamy8504 4 роки тому +125

    Nimechelewa bt nmefika wale wakusoma comment b4 waone plz tujuane😂😂🤣🤣🙈

  • @andersonrobert1468
    @andersonrobert1468 4 роки тому +2

    Iko vizuli sanaaa nimeikubaliii kinoma noma jaki weee shidaaa

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 3 місяці тому +1

    Mwanasimba mwenzangu JB ulitisha sana katika hii movie ,leta nyingine kaka maana hii ni next level

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 роки тому +5

    Ahaaa nakuguruta kama gunia la mkaa ahaaa Jb wewe munoma Sana love you

  • @adelinadidi3886
    @adelinadidi3886 2 роки тому +22

    Jamani naitizama 2022 sichoki hii move kweli 😘♥️

  • @maherzain615
    @maherzain615 3 роки тому +6

    Nataka wali samaki.anko hapo m niletee maji madogo😂😂

  • @stephenwagura3469
    @stephenwagura3469 2 роки тому +6

    Bongo movie always lite...bt sauti plz make it surely guys from Tnznia

  • @araphaisihaka3283
    @araphaisihaka3283 3 роки тому +2

    Jamani movie nzuri sauti nusu kipande hamna daah kueni makini na mshika boom na sound hawakuwa makini kabisa

  • @rashidinuru4314
    @rashidinuru4314 3 роки тому +4

    Nakubali kazi zako jb

  • @PeterMBA85
    @PeterMBA85 4 місяці тому

    Asiee Sijawi kuona Movie ya kibongo poa, but leo i came across this movie and hands down it was one of the best ever watch for me. J Wolper did a fantastic job on her role and Jacob as well did his thing as always he never disappoint . Very put together cast, editing and story line was spot on. I cant wait for part 2. I have never seen J Wolper acting this was a 1st time and i liked her. She did an amazing job.

  • @kadijajggf9367
    @kadijajggf9367 4 роки тому +6

    Nilikuw naitafuta mnoooo Tnx sana

  • @fanuelijr7055
    @fanuelijr7055 2 роки тому +2

    Mov nzuri sauti hamna utendaji wa Mov suio mzuri mivi unakuwa haivuti

  • @jilambepoint9338
    @jilambepoint9338 4 роки тому +87

    Mimi nasemajeee hiliii chupaaa nomaaa a'seeee Kama unakubaliana na Mimi like twende sawa

  • @OSOONLINETV
    @OSOONLINETV 4 роки тому +4

    Kuona comedy na movi za MKOJANI na TIN WHITE bofya apa👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼ua-cam.com/video/vjBLSdZWDoY/v-deo.html

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 4 роки тому +11

    filam bomba sana congratulations to JB, naomba mutuekee ile filam ya JB anakua anapatanisha wapenzi waliogombana kama sikosei kacheza na gabo ni filam kali sana nimeisahau jina

  • @user-fs8dm9bj9w
    @user-fs8dm9bj9w 5 місяців тому +2

    Very beautiful film, I really liked it

  • @palokodurban
    @palokodurban 5 місяців тому +2

    Ninzuri sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @milascophdmtiti5473
    @milascophdmtiti5473 5 місяців тому +2

    😅😅Mm 2024 ,😅😅jaman sema JB anajuwa sana🎉🎉🎉... Likes hapa jamoon

  • @mwembambamotto3300
    @mwembambamotto3300 3 роки тому +8

    umetisha wolper gonga like kama umeskia daslam

  • @marsheddossa961
    @marsheddossa961 4 роки тому +2

    Movie ya zamani nilishaiona ila bado ni movie nzuri naitamani kuiona tena Ila sauti haipo .

  • @palokodurban
    @palokodurban 5 місяців тому +2

    Safi sana jakobo😂😂😂😂😂😂

  • @jumarashid978
    @jumarashid978 4 роки тому +8

    Movie naikubali.all the way from kenya

  • @fortuneakankizya5336
    @fortuneakankizya5336 4 місяці тому +2

    jaki wholpher alikuaga pisi kali kwa hii movie nimemuheshimu

  • @trevourmulwale8922
    @trevourmulwale8922 4 роки тому +9

    😂😁🤣 Leo JB ulipatikana.

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 роки тому +6

    We bongee ! Kizitoo ahaaaa wolper wewe noma sana

  • @user-un1kd2db5r
    @user-un1kd2db5r 5 місяців тому +2

    Bonge la move Yan neipenda

  • @DicksonGeorge-cx2qn
    @DicksonGeorge-cx2qn 5 місяців тому +3

    Daaah goma ni kali

  • @hhajimussa1737
    @hhajimussa1737 5 місяців тому +1

    Nawapenda kazi nzuri jb na madam wangu hapo good

  • @ramaissa2620
    @ramaissa2620 4 роки тому +17

    Move ilikua nzuli lakini sauti hakuna mnao endelea kucheki move hii naombeni like

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 роки тому +9

    Jacob kumbe wewe ni mukristu ? Nakuona umeomba mbele ulale I like it

  • @evelinaluvata1471
    @evelinaluvata1471 4 роки тому +10

    Nime mwona sid wa kwenye HUBA ana uza maandaz🤣

  • @easthereasther2645
    @easthereasther2645 3 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😆😆😆😆aty awache Kula chakula iko na wadudu

  • @cikwaninedaniel3463
    @cikwaninedaniel3463 4 місяці тому +1

    Capten
    Na Mista Bajaji kwenye season ya kandi😂😂😂

  • @PetloMtweve-yf6eu
    @PetloMtweve-yf6eu Рік тому +2

    Daaaa kaka jakobo et owoo inzi mliwatolea wapi

  • @jnkb257tv5
    @jnkb257tv5 3 роки тому +3

    Hiyi movie mitikasi nirikuwa nakutana nayo kwauendeshaji Wa tax thx muzee

  • @PhilmonNorman
    @PhilmonNorman 5 місяців тому +1

    Mpo vizr endeleen kutburdisha jb na jackline

  • @elliyawilliam2521
    @elliyawilliam2521 5 місяців тому +10

    Walio muona seed wa huba gonga like

  • @tifashadrack7135
    @tifashadrack7135 Місяць тому

    🎉🎉🎉🎉 Worpel nimeipenda hyo hama

  • @user-ds6dd4jm3u
    @user-ds6dd4jm3u 3 місяці тому +1

    Napenda sana bongo movie

  • @halimasulaiman3229
    @halimasulaiman3229 4 роки тому +6

    Unapendeza sana uhuni Jacqueline

  • @reginajustin2432
    @reginajustin2432 4 роки тому +5

    Ooooooh wolper nakupenda sana

  • @sheddy4689
    @sheddy4689 3 роки тому +2

    Kwann sauti kila muvee mnashindwa kurekebisha jaman

  • @deograuskapunga4298
    @deograuskapunga4298 4 роки тому +1

    Nimeikubali sanahii movie kamanaww umeikubali gonga ap twende saw

  • @maherzain615
    @maherzain615 3 роки тому +5

    2021 watching. Mnaolilia sauti mulikwepa shuleni maana mna fasiri yakiengereza hapo chini

  • @simonsweka7305
    @simonsweka7305 4 роки тому +6

    mnAzingua saut hakuna na kazi yenu n nzuri....

    • @lwessopacifical9580
      @lwessopacifical9580 2 роки тому +1

      DEREVA TAX PART 1 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🤌🤌💣💣💣💣👌👌👌👌👌👌

  • @VeronikaAbekya
    @VeronikaAbekya 5 місяців тому +1

    😂😂😂❤yani nimesheka balaa

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 роки тому +7

    Wolper you are safe hapo kwa Jb

  • @KamselaOg
    @KamselaOg 2 місяці тому +1

    Hii move inafunzo kubwa sana

  • @Elia-wk6oh
    @Elia-wk6oh 4 місяці тому +1

    Tatizo sio movie, tatizo UA-cam wenyewe..😊

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 8 днів тому

    Congratulations keep it up good job ❤🎉

  • @user-rj8zh8ok7q
    @user-rj8zh8ok7q 5 місяців тому +1

    Tupo😂😂

  • @user-pc9ir8wr3r
    @user-pc9ir8wr3r Місяць тому

    Naipenda sana hii movei ❤

  • @Elia-wk6oh
    @Elia-wk6oh 4 місяці тому +1

    Ety maji madogo ndo nini 😂 acha ushamba agiza chakula ule

  • @johnhiuhu7366
    @johnhiuhu7366 3 роки тому +4

    Hizi sinema zenyu zinapoteza sauti

    • @BongoCinematv
      @BongoCinematv  3 роки тому +1

      Asante sana. Kwa feedback, tunaishugulikia

  • @umynata8255
    @umynata8255 4 роки тому +2

    Du Kali ya mwaka

  • @esthermoraa6648
    @esthermoraa6648 4 роки тому +4

    Hapo Jacky eti hii ni ndege🤣🤣🤣🤣,,,, kuiba pombe

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 3 роки тому +3

    Hapo uuze gari au uweke bondi 😄

  • @fuguremalone
    @fuguremalone Рік тому +4

    Tujuane tunechek hii move 2023

  • @raysamfreva9117
    @raysamfreva9117 3 роки тому +4

    Iko poa sana hiii movie

  • @TatuMsanja
    @TatuMsanja 4 місяці тому +2

    Wolper hapo umejua kucheza bigap Sana wolper

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk 4 роки тому +3

    Nani kasikia yangu haina wadudu bhana!!!!!!!!
    Alafu hapo hotelini saa ya kuondoka hawajanawa hivyo kama uko lakini maana yake hapo pabovu.

  • @narcosnasir9190
    @narcosnasir9190 Місяць тому

    Tupo weng mnooo😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwetafils8875
    @mwetafils8875 4 роки тому +3

    Bongo movie sauti inakuwa ugonjwa sugu

  • @ramajasso2214
    @ramajasso2214 5 місяців тому +2

    Watching from Kenya 🇰🇪

  • @LowassaSimonikipaiwa
    @LowassaSimonikipaiwa 2 місяці тому

    Tanao angalia hii movie mwezi wa sita 2024

  • @cardinal0016
    @cardinal0016 3 роки тому +19

    🤪🤪tulio anza nayo 2021 tia ✓👇

  • @JumanneItalange-zh2ur
    @JumanneItalange-zh2ur 4 місяці тому +2

    Star sana

  • @molaizer992
    @molaizer992 4 роки тому +2

    😁😁😁nauliza tu kwaiyo sisi watazamaji tunajifunza kutembea na nzi kwenye begi ili tuke kwenye chakula tusilipie siyo

  • @AncyMerci-un2nu
    @AncyMerci-un2nu Рік тому

    Kkkkkkkkkkkkk kwa kweli ushizi wa huyu binti unaniuwaga Sana

  • @ibraahimsunje9387
    @ibraahimsunje9387 3 роки тому +3

    Imetisha babaake

  • @mathildemwangaza109
    @mathildemwangaza109 4 роки тому +2

    Aki ukora huwo eti eeee hayo maneno sababu wameambiwa basi wote wasilipie

  • @timotheokileo4335
    @timotheokileo4335 3 місяці тому +1

    changu hamna wadudu bhna😂

  • @alimnyubi7866
    @alimnyubi7866 3 роки тому +2

    Inshallah mungu atakusaidia brother

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 роки тому +5

    Dah niliisubir kwaham sn 💪✌🏻😘

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 роки тому

      Sada we MashaAllah uko kila sehem UA-cam😁

  • @user-jm3rp3nv5z
    @user-jm3rp3nv5z 3 місяці тому

    Mimi naipenda sanana nestoli

  • @evelyneimana9372
    @evelyneimana9372 3 роки тому +1

    Hahaa inanifurahisha sana

  • @cactucmgy5660
    @cactucmgy5660 2 місяці тому

    Eti tax inaitwa Hummer 😂
    Alafu Dani Sharon anamuita Kizito😂

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 4 роки тому +3

    Jb hotelini hajanawa,alipo sikia tuondoke🤣🤣🤣

    • @jumaayubu
      @jumaayubu 4 роки тому +1

      Mistake hapo

    • @anethnovat2663
      @anethnovat2663 4 роки тому

      😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄

    • @maherzain615
      @maherzain615 3 роки тому

      Lkn amemkatiza alkua hajamaliza alkua akila pole pole kwa wasi wasi kwakuwa hana hela😃

  • @gracejohn6865
    @gracejohn6865 3 роки тому +4

    Oooh ilove you bongo move

  • @fatumakhamissi4405
    @fatumakhamissi4405 4 роки тому +2

    Sidi wa kashaulo alikuwa hajavimba😂😂😂