Nice 👍 movie guys,you are kanumba who are a live, congratulations Vincent to continue acting like your friend kanumba,hii ni kumbukumbu kwake,,kua ukieka bits za ngoma zake
Katika mwanzo wa filamu hii hadi katikati yake unaeza kosa kumwelewa dada Schola lkn she was totally innocent in whatever she did!! No matter to thy parents or who elsewhere!! So painful....
Kuna makosa madogo kwenye movie nimeyagundua. 1:Movie kuanzia mwanzo hadi mwisho Schola hajabadili nywele. Kwa maana hiyo hakuna utofauti akiwa mtoto hadi mtu mzima. 2:Kuanzia mwanzo hadi mwisho wa movie sijaona Schola akibadili kucha zake. But movie mmeua kabisa, Clifford mpumbavu sana.
Nice movie, wazazi wajifunze , badala ya kutaka kujua tatizo wakawa idiots , eti rudi ulikotoka .Of course as a human being she has to alternative while she was angry n emotional na hayo ni matokea, i blame those type of parents
Yani iren uwoya umejua kuniliza japo mimi ni mwanamme na mimi nawachukia wanaume isitoshe nna watoto wa kike 8 wakiume wawili pole sana uwoya umeniliza vyakutosha
Huyo daktari ameiva ku act upande wa u daktari ni kama amesomea alafu in real life ni kama daktari.siwezi laumu scholastic cox alikua anaugua magonjwa ya akili saikolojia/psychology ambayo uletwa na changa moto za kimaisha kupitia jamii ama hali zozote za kimaisha.
Wah! Kumbe background ya mtu uenda ikawa ndicho chanzo cha udhaufu wake,hakuna ugonjwa mubaya kama depression coz people will alwsys mistake you.nice movie🙏🙏
Scholastica siyo mzuri juhu ya nini mikucha yake highlashes nywele bandiya zote vitu kama vile vinahonyesha siyo mzuri pretty as u said she is attractive but not that beatiful. Make up doesn't mean being pretty or beautiful. She is just attractive.
Kiukwe kama ilivio sema Ray uyu mume wake kitendo alicho kifanya ni zaidi ya unyama maana ata imbwa dog unaweza uka muelekeza Aka kuelewa Ila uyu mume wa scora ata dog Ana muzidi akili ni mengi Ila siwezi nika maliza kama upo pamoja Nami gonga lik apo
Ooooh my God sicola unahumiza moyowangu unanicekasha sanaaa sicola actrice muzuli nakubaliii❤❤❤
🤣
Nice 👍 movie guys,you are kanumba who are a live, congratulations Vincent to continue acting like your friend kanumba,hii ni kumbukumbu kwake,,kua ukieka bits za ngoma zake
Tanzania movie was very well when i think the late kanumba and Vincent kigosi is a legend🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kanumba muv
Nimeipenda sana, congratulation 🎊, ndani ya kenya 🇰🇪
Wow..This awesome..Fantastic movie..Big up yoselves bongo movies for the good job y'all done👊👊
Llpplllllllllllllllllllllllllllljjbhjjjjjjjjllkmkkkmkkkkkkklp0⁰000⁰000⁰000ppppppppppppppppppllll77u77u77uddddrrrr33443444333³332³377887888888888i
Thanks for watching
Vincent kigosi and the late steven kanumba were my favourite actors, am happy to see another fabulous movie even after the death of kanumba,,,woow
We belong together
this Irene uwoya she is an amazing actress and she is a true comedian. She is making me laugh
So...!?
@@lordofrings4593 it is just a comment
Hata mm pia
Katika mwanzo wa filamu hii hadi katikati yake unaeza kosa kumwelewa dada Schola lkn she was totally innocent in whatever she did!! No matter to thy parents or who elsewhere!! So painful....
Mmmhhh
Hongera majirani zetu ndani ya Kenya .
👍👍👍
Asante
Kuna makosa madogo kwenye movie nimeyagundua.
1:Movie kuanzia mwanzo hadi mwisho Schola hajabadili nywele. Kwa maana hiyo hakuna utofauti akiwa mtoto hadi mtu mzima.
2:Kuanzia mwanzo hadi mwisho wa movie sijaona Schola akibadili kucha zake.
But movie mmeua kabisa, Clifford mpumbavu sana.
Movie nzuri sana na imebeba mafundisho mengi. Hongereni sana
Yap hii movie nzuri tu sana na maisha lazima yaendelee ila kuna maumivu makali tu sana
iyi wallah nikali sana 👌👌💪💪 mungu awepe uwezo mutowe nyengine
Kwa mara nyingn leo muvi za bongo zinaniliza toka kanumba afariki that's is a good message
Akika nime lpenda sana
Mbn hii muvi y zaman sana tu tok kanumba yuhai
@@khamoshmikidadi9262 muongo
😭😭😭
Movie nzuri sn hongereni nyote mwenye hajaangalia ac achwe nyuma
Tunaoangalia hii movies SAS hivi gonga like tujuwane hapa
Pelusi Emanueli wewe
@@bayombejean3959 nambie
Fundisho jema kabsa ahsanten kazi nzuri
Westlife
Mamabo vip
Nice movie, wazazi wajifunze , badala ya kutaka kujua tatizo wakawa idiots , eti rudi ulikotoka .Of course as a human being she has to alternative while she was angry n emotional na hayo ni matokea, i blame those type of parents
Mwanasphycologia nimemuelewa💥 ameitendea haki nafasi ya taaluma yake
Old?
Ireen alikuwa ana rangi nzuri sana ila hii mikorogo yao imemuharibu sana.
Wooooow ,,,what God can do no man can do 100%Glory to God 💃💃💃💃💃💃
Asante sana
exactly man can try emulating Gods deeds but can never reach God
💃💃💃💃💃💃🏾
Kwa jinsi nilivyo iangalia kwa umakini nimegundua scora Hana kosa lolote wenye kosa ni wazazi wake Kama tuko pamoja gonga like yako
Ataivyo Hana kosa kabisa
Sikuzote muzazi hakuwag nakosa hata wakufanyie nini
Jeanne hoy no unafik wa hali ya juu. Scola ,pole dada unahitaji fides kwa yote ulioyapitia.
@@TheDronne ok
Barakajoshua5385:2y ago
Movie nzuri sana nimeipenda mno naangalia siichokagi Ina mafunzo sana
Nice move Schola umejaribu hongera
I never knew that Irene she is an actress and a good one of that.
Kwa kweli wewe ni muzuri sana.
Du nimeipenda San hii muv na imeleta fundisho kubwa San ongelen San endeleen kulta fundisho kwawanaich
Wow movie nzuriii sana hii
Dah adi machozi yamenitoka.pole sana scola umepitia mengi
Nakupend san uwoya we n mzuri
Jamn scola nakupenda sana mamy
Yani iren uwoya umejua kuniliza japo mimi ni mwanamme na mimi nawachukia wanaume isitoshe nna watoto wa kike 8 wakiume wawili pole sana uwoya umeniliza vyakutosha
Acha ushoga ww
Wow is so beautiful and wonderful actress, her acting move is so Wow. . you can watch again and again with no fatigue
Ety wanaume kazaliwa na baba mmoja... Zii kasonge kusonga. Nice movie
Wanaume daaaaaa mungu pekeake nkooo😏😏😏😏😏
Wallah mimi murundi ila kama opr ananasikia namupa pongezi sana anawezza ningelikuwa na uwezo ningemufikia basi nimuguse ata mumikono
Natafuta "she is my love " napitia kutoka 254 Nairobi kenya,🇰🇪🇰🇪🇰🇪.. one love
Umepata dan
Kuja tz utanipata mm ila jua watz twajua mapenzi😅😅
@@jackyjacob2105 alaaah, tz mtaa gani hasa
Wow! I love the movie too much 👏👏👏👏👏
Love this one
Huyu mwanamke ana madharau mbaya mbovu, wallahi kama ningekuwa Nick, ni heri jela kuliko kuvumilia madharau yake huyu. Risasi imkatae haki ngai.🇰🇪
Nimeipenda sana,,,, Kwa scola umefanya vyema kukubali tukio na kusonga mbele,, congratulations 👏
Nilikuwa naisubir kwa hamu...safi xna
2022 still love it 🔥🔥
Nimeludia Kuyitazama Tena 2023🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Ohh pole Sana schola ulipitia magumu sana it happen kwakweli wanaume baba yao ni mmoja even mama yao pia 😢😰😅
Maskini Skola hana kosa.mme wake njo bala
Daaah scorah that is so sad pole sana
Sio kila cheusi ni mkaa na si kila cheupe ni maziwa.that's true doctor
Thanks
Kwawatu tunaosomea counseling psychology huyu mwanasaikolojia ametumia therapy ipi???
Nimeipenda saaanaa movie hii
Huyo daktari ameiva ku act upande wa u daktari ni kama amesomea alafu in real life ni kama daktari.siwezi laumu scholastic cox alikua anaugua magonjwa ya akili saikolojia/psychology ambayo uletwa na changa moto za kimaisha kupitia jamii ama hali zozote za kimaisha.
Pole Sana duuuu unauma Sana kabisa, MUNGU amusamehe huyo mmeo
Muwe mnatoa movie zenu Hadi part four... Hii story in potential
Duh🤔 nimekuelewa san Irene upo sahih kabisa 👌
Aliona makofi ya ukweli naomba like zangu
Movie nmeipenda 💖
Asante sana
Waaaa uwoya pretty sana
Sasa nimebadilisha mawazo sikutaki tokaaaaaaa daah nouma sana
I love this movie for real 😂😂🤣
Yeeeah Kama umeiangalia vzr hii movie na uka gundua scora Hana kosa comment na dondosha like yako chin hapo
Daaah! Inasikitisha san
Daaah ukatili wa namna hii daaaah anyways nice Bongo movie
Mwanaume mushamba, Mungu amusamehe,
Tunaeangalia huku tunasoma comment tujuane kwa like
Ahaaa ati bwana harusi ahaaa sikia hiyo cheko ya Schola aki natamani nimuchape makofi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwakweli duuu!!!!I
Tumeiyelewa sana muv hii mtunzi ilikua vizuli Sana ninzuli
Ray kigosi the best ❤❤❤❤
Nampenda Vincent Kigosi na kazi zake.
Vp
Wah! Kumbe background ya mtu uenda ikawa ndicho chanzo cha udhaufu wake,hakuna ugonjwa mubaya kama depression coz people will alwsys mistake you.nice movie🙏🙏
Kwel
Hellooo kwakweli iyi film inaniliza2 saana pole scola ilatuu naku miss saana my kwagisi unacezaga ma chérie wamie
Aaaaaaaaaah nimeipenda na nimejifunzaaa sanaaaaa
I like this moveis so much and nice two......@
Scholastica siyo mzuri juhu ya nini mikucha yake highlashes nywele bandiya zote vitu kama vile vinahonyesha siyo mzuri pretty as u said she is attractive but not that beatiful. Make up doesn't mean being pretty or beautiful. She is just attractive.
Firamu nzuri saaaaana mpaka ivi le 9/1/2021 niko nayiona na inanivutiya saaana🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mmetisha sanaaaa, tz tunawezana
Nice move
Inaumiza sana kuchaguliwa kitu ambacho hukipendi score njoo kwangu
Sinema tamu Scola Hana kosa kabisaaa
Daktar king sley big up bro
Asante sana
Pole sana umeptia magumu meng
huzuni kwa kweli 😭😭😭hila inamafunzo ndani yake😉😉😇
Naipenda sana iyi movie leo 12/05/2021
Nice one nimeipenda naomba part three please
Nzuri sana
nguoo ana change irine ilaa rang za kucha mwanz wa muv had mwish wa tanzania 2nafeli wapi.. ila ngoma kali kinomaaa..
Na nywele
@@pendondossy4181 umeliona ilo
Kiukwe kama ilivio sema Ray uyu mume wake kitendo alicho kifanya ni zaidi ya unyama maana ata imbwa dog unaweza uka muelekeza Aka kuelewa Ila uyu mume wa scora ata dog Ana muzidi akili ni mengi Ila siwezi nika maliza kama upo pamoja Nami gonga lik apo
Schola kichwa ngumu aki nawaza huyu mukurugenzi mpya atamu discipline
Wallah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mumenifurahisha sana uwoya
Asante sana
Hongera scora kwa kuwa na msimamo
Who else love tz if you like it like comment and share to your friends
Bado unamuitaji tena
Siku hizi wanashare comments za UA-cam???una kichaa
Asanteni sanaa ase huyu dada kayapitia mengi na nimempenda anajua ndio kaibeba picha yote
Iyo film Kali 🛐 zaidi
Nancy movies 👍 l like your video 🇰🇪🇯🇲🍎
Schola hata huyo mwanaume unafanya mapezi naye mbele ya wazazi wako hawezi akakuowa tena, hawezi kurudi tena kwako
2023 let go 👏💪♥️
Wow... nzur sana hii mbarikiwe wahusika.
Such a sad story but ndajikubali kwa kila jambo nanisamehe wote nisahau niliyoyapitia
Tulia watu tule vyombo mh mumeo sianakufanyiaga ivi eh
Ukiangalia mwanzo Mpaka Mwisho wa movie ndio unaelewa Kwanini?yupo hivyo.
Uwoya you so beautiful girl 😍 Always
Dokta nimempenda bule uyudokta kamadokta kweri jama
Wapi nyingine jamani inapendeza sana
Like za mama krish jmn
Pole sana scolar
Dah kumbe yupo sahh Kwa wazaz kuwazngua dah inauma kuolewa au kuoa Kwa mtu ambae ujampenda matokeo yake ndo hayo Hilo nalo funzo Kwa wazaz
Mimi nimeipenda sanaaa hi muvi inamafunzo
Nzuli jamani 😍😍
Ikopoa sana
Oooh nimeipenda Sana Ila muiendele isiishie hapa